UZINDUZI WA VIFAA VIPYA BANDARI YA MALINDI ZANZIBAR.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 เม.ย. 2024
  • Mkurugenzi Mkuu Shirika la bandari (ZPC) akiungana na Mkurugenzi Mtendaji wa Zanzibar Multipurpose Terminal (ZMT) wamezindua Rasmi vifaa vipya ikiwemo 'Reach Stacker'-2 pamoja na 'Mobile Crane' -1 Kwa ajili ya kuongeza ufanisi katika shughuli za ushushaji na upangaji makontena katika bandari ya Malindi.

ความคิดเห็น •