majibizano makali Lissu aingia kwenye 18 za Samia "huyu ametukosea ,Hana adabu kabisa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 174

  • @edwardmakonge6951
    @edwardmakonge6951 9 วันที่ผ่านมา +10

    suala hapa ni katiba mpya tu,mengine ni ngonjera tu,eti kuna vyamba vingine vipii??Chadema ni chama kikubwa chenye wanachama nchi nzima,sio busara kukipuuza.

  • @fr.edgarngowiosa6599
    @fr.edgarngowiosa6599 9 วันที่ผ่านมา +9

    This time around, things will never be the same. Most Tanzanians aren't fools, as they think. They will understand the language, "no reform no election."

    • @MandabaMkubwa
      @MandabaMkubwa 8 วันที่ผ่านมา

      Lisu yupo sawasawa katibu c cm hayupo kisisa bali yupo kitumbo

  • @lucaskasonde4558
    @lucaskasonde4558 9 วันที่ผ่านมา +3

    😂😂😂 lissu kaisha wavurugaa watu hukuuu, wanachanganyikiwa huku 😅😅😅 na bado hamjasema .... .

  • @MaximilianBwire-yx5vh
    @MaximilianBwire-yx5vh 9 วันที่ผ่านมา +7

    Hamjamuelewa mwenyekiti Lisu,mbona alifafanua vizuri kuwa anayepaswa kusimamia hili ni Mhe,Rais na si mwenyekiti wa chama na unaposema Raisi unampata Samia wala so wasira

  • @JescaNyambo-q3c
    @JescaNyambo-q3c 9 วันที่ผ่านมา +7

    Nyinyi watu wa ccm mbn mnatumia nguvu sisizo na maana hii inchi sio ya ccm

  • @OsmundKapinga
    @OsmundKapinga 9 วันที่ผ่านมา +9

    Povu tu hakuna hoja hapa. mtaelewa tuouemtaka kaja sasa

  • @fredyhatari2572
    @fredyhatari2572 9 วันที่ผ่านมา +5

    Kwa huyu Lissu, mda sio mrefu CCM mtalala kitandani na VIATU

    • @tumainikibona5252
      @tumainikibona5252 9 วันที่ผ่านมา +2

      😂😂😂😂 lissu ni kiboko yao

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 9 วันที่ผ่านมา +8

    Nyie mafisiemu kwani katiba ni ya kwenu au ni ya wananchi

  • @Leodimk-n5c
    @Leodimk-n5c 9 วันที่ผ่านมา +6

    Huyu wa ccm anayehojiwa naona ndio anavuruga kabisa

  • @gasperpanga4422
    @gasperpanga4422 9 วันที่ผ่านมา +13

    Uvumilivu umetosha tunataka katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.

    • @eliakazilo6078
      @eliakazilo6078 9 วันที่ผ่านมา

      @@gasperpanga4422 katba ,KATIBA, kaibaaaa.tuwe tunajifunza.hata,kwa mashemeji zetu ( wakenya),KATIBA wamerekebisha Mara ngapi? Nchi imetulia?Kenya Lila.siku vurugu .hamuoni. Sasa nikwambie KATIBA Ni watawala tuu.wakiamua kufanya vizuri hiyo ndio KATIBA..Sasa jiulize serikali yako imefanya mangapi mazuri? Inawezekana kutawala nchi bila KATIBA mpyaa.na Mambo yakaendelea.kikubwa amani upooo????

  • @donaldbenedict5761
    @donaldbenedict5761 9 วันที่ผ่านมา +3

    Na bado ntatoa mapuvu mwaka huu

  • @Mjeda-q1m
    @Mjeda-q1m 9 วันที่ผ่านมา +5

    Ccm mnajificha kwennye mazungumzo ikifika kwenye uchaguzi mnapola uchaguzi mnakata majina ya wagombea wa upinzani Bora lisu awaeleze ukweli *+huyo wasila saizi yake ni makamu mwenzake John heche

  • @MashallaShimbi-pw7ix
    @MashallaShimbi-pw7ix 9 วันที่ผ่านมา +7

    Wasira hana jipya na hatakisaidia ccm zaidi ya kukipunguzia mvuto kwa wananchi, wananchi tumemchoka, kama Jimbo tu lilimshinda atawezaje kukisaidia chama???

    • @gililwise
      @gililwise 9 วันที่ผ่านมา

      Mzee atawaweza vijana?umri alionao ni wa kushinda kanisani na kuwa karibu na Mungu siyo umri wa mipasho ya siasa.mi ni ushauri wangu

  • @YahyaMbega
    @YahyaMbega 9 วันที่ผ่านมา +6

    NILIJUWA TU HUYU MAKAMU NA LISU HAZITAEVA

  • @SmilingFlowerBouquet-hs2hv
    @SmilingFlowerBouquet-hs2hv 9 วันที่ผ่านมา +3

    Mtanyooka tuu huyo ni TUNDU LISSU nyie maizi ya CCM kiboko wenu huyo ni tofauti na mbowe ambaye mlikuwa mnamuhonga pesa zenu halamu?

  • @muhamadsheha1866
    @muhamadsheha1866 9 วันที่ผ่านมา +2

    kama wapo vyama vyengine na washiriki lakini chadema no reform no election , kazi kwenu CCM.

  • @DaimaNyakunga-jb6do
    @DaimaNyakunga-jb6do 9 วันที่ผ่านมา +2

    Lisu yupo sawa ccm hamna jipya kabisa

  • @GodfreyMwamaso
    @GodfreyMwamaso 9 วันที่ผ่านมา +3

    Tunataka katiba mpya katiba mpya katiba mpya hatutaki ngonjera zenu mmelewa madaraka mnadhani nchi hii Ni mali ya CCM hii nchi Ni mali ya watanzania wote

  • @josephatcelestinemuhoza2214
    @josephatcelestinemuhoza2214 9 วันที่ผ่านมา +4

    Hapana, unakosea, hawapaswi kuomba! Wanapaswa kudai!

    • @Kwelihukuwekahuru
      @Kwelihukuwekahuru 9 วันที่ผ่านมา +1

      Huwezi kuomba hili ni jambo la sheria si mlisema Mbowe anadai demokrasia wakati yeye kang'ang'ania kiti sasa ameachia mnataka tena arudi

  • @ElibarikiMollel-t5k
    @ElibarikiMollel-t5k 9 วันที่ผ่านมา +2

    Wewe ndo haujaelewewa LISU kamaanisha kiongozi wa Serekali sio wa chama tatizo lipo kwenye katiba ya nchi sio katiba CCM. Wasira hahusiki yeye aishauri serekali yake. Ili Samia achukue hatua maoni ya maridhiano yalikataliwa kwa barua ikawakatisha tamaa chadema kuona wanadanganywa sasa msingi wa maridhiano nini ?

  • @ChristianMkumbo-ix2ke
    @ChristianMkumbo-ix2ke 9 วันที่ผ่านมา +2

    Ccm akili zao ziko tumboni sio kichwani

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 9 วันที่ผ่านมา +2

    Uchaguzi bila ya chadema inawezekana 😂😂😂

    • @Kwelihukuwekahuru
      @Kwelihukuwekahuru 7 วันที่ผ่านมา

      @@halimamasai2234 kwa vyama vya kununua inawezekana lakini ujue ni laana usifikiri wizi wa kura unambariki Mungu

  • @atupegemwakahesya
    @atupegemwakahesya 9 วันที่ผ่านมา +4

    Jibu swali ulilouzwa msemaji wa CCM!

  • @sskondopoleani9616
    @sskondopoleani9616 9 วันที่ผ่านมา +2

    Aside heshimu mama wa mwezie unue wakwake atamvua nguo

  • @nathanmmasi3890
    @nathanmmasi3890 9 วันที่ผ่านมา +1

    Tusiye mtaka kaja uyu lisu atatuuwa ataki mariziyano da sasa tukubali kubadilisha katiba maana ikibadilishwa tu jela tumeenda naiziela tunazo waibiya wa Tz tutakula wapi tena jamani lisu wewe unataka kutuuwa napresha

  • @MahyoroKalokola
    @MahyoroKalokola 9 วันที่ผ่านมา +7

    Lissu yuko sahihi. Sasa CCM na sheria za uchaguzi wapi na wapi. Hili ni suala la kiserikali. Matatizo ya uchaguzi Wasira atayatatua vipi wakati hata serikalini hayupo.

  • @joscamwoshezi2986
    @joscamwoshezi2986 9 วันที่ผ่านมา +2

    Kwani Lisu yuko serikalini.basi kama wasira hayuko serikalini atamalizana na huyu Lisu asiyekuwa serikalin

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 9 วันที่ผ่านมา +2

    Mheshimiwa lisu anategemeya sana nchi za nje kuliko ndani haya ndo yale alosema Dr salmin miaka ya nyuma wanaenda lalamika kwa wakubwa kanifinya hapa kanishika hapa
    Nasema mtamkumbuka mboe karibu

  • @PaulLaizer-vz9vw
    @PaulLaizer-vz9vw 8 วันที่ผ่านมา +1

    Anayehojiwa hana lolote make bwana lissu alieleweka vizur sana. Samia ndio anayepaswa kusimamia hayooo

  • @adrophwilliam3225
    @adrophwilliam3225 8 วันที่ผ่านมา +1

    Kichanganyeni mtajua hamjui tunawasikiliza tu!

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 9 วันที่ผ่านมา +2

    Samia hana muda na mkimbizi 😂😂😂

    • @hamisishabani4072
      @hamisishabani4072 8 วันที่ผ่านมา

      HIZI NDIO PROPAGANDA ZA CHUKI NA NDIO INAYOWAHUKUMU KILA UCHAO,HIVI MNAPATA WAPI UJASIRI HUO WA KUMWAMBIA RAIS NI MKIMBIZI?!! CHADEMA HAINA SIFA YA VIONGOZI WENYE BUSARA YA KUIONGOZA NCHI,WAMEKWISHA POTEZA MUELEKEO,NA WAMEFILISIKA KISIASA.MLICHO BAKI NACHO NI CHUKI NA PROPAGANDA ZA UONGO.SIO WA KWELI KABISA.KWANZA CHAMA CHA MAPINDUZI,HAMUWEZI KULINGANISHA NA HICHO CHAMA CHA WAROPOKAJI WA MANENO YA UONGO, FITINA NA CHUKI.NA CHADEMA HATUTOWEZA KUSHINDANA NA C.C.M HATA SIKU MOJA IKASHINDA.KWANZA HAO WANACHAMA ILIO NAO TUPEKE YAKE NCHI NZIMA WANATOSHA KUIPA USHINDI C.C.M!!! C.C.M. Vs CHADEMA NI SAWA SAWA,NA KUIPAMBANISHA YANGA NA COPCO YA MWANZA,ILIYOTAFUNWA GOLI 5-0.PIGENI KELELLE WEE MWISHO MTAISOMA NAMBA.C.C.M.NUMBER ONE.

  • @eliakazilo6078
    @eliakazilo6078 9 วันที่ผ่านมา +2

    Tutamkumbuks Sana Magu.alikuwa makini hataki mzaha kwa wapumbafu..Bi Mkubwa alifanya makosa.watu wengine sio wa kuwaonea huruma.lisu Hana ADABU..alitakiwa abanwe huko huko asirudi tz.hatufai

  • @PetroPhilemonmimbi-y5m
    @PetroPhilemonmimbi-y5m 9 วันที่ผ่านมา +7

    Hata kuwe na kiza kiasi gani Imani yangu patakucha tu ni swala la 🕛🫵👆

  • @mundhirsaid1250
    @mundhirsaid1250 9 วันที่ผ่านมา +2

    Nyinyi CCM hiii sio nchi yenu ,,, hakuna tena kukaa mezani na nyinyi wapumbavu. tunasema tena. Hakuna uchaguzi hapaaaa
    Tunataka katiba mpyaaa.
    Wananchi wanataka katiba moyaaa.

  • @MerichoPeter
    @MerichoPeter 9 วันที่ผ่านมา +2

    Hauna lugha nzuri usiseme Lisu kama nani na wewe ni kama nani

  • @donaldbenedict5761
    @donaldbenedict5761 9 วันที่ผ่านมา +1

    Mnajua chadema ni moto hakuna hoja yakutulia hapa ni tume huru lazina acha upuuzi wako

  • @Leodimk-n5c
    @Leodimk-n5c 9 วันที่ผ่านมา +3

    Mazungumzo ya nini watekeleze yaliyolalamikiwa

  • @JudithMuhamba
    @JudithMuhamba 9 วันที่ผ่านมา +2

    Mpaka mseme 😂😂😂😂 bado hamjasema

  • @BarakaMsusa-m4s
    @BarakaMsusa-m4s 9 วันที่ผ่านมา +1

    Kwanza huyo mzee ana hila halafu hana la kusema na lisu afanye analo ona ni la maana kwani ccm bila fujo hawapo tayari

  • @FRANK-k2x7g
    @FRANK-k2x7g 9 วันที่ผ่านมา +1

    Muwe waelewa tundu alisema anataka kuongea serikali na siyo chama,ndo maana akasema anatakakuongea na rais

  • @mohammedbakar4142
    @mohammedbakar4142 9 วันที่ผ่านมา +2

    MAZUNGUMZO MUHIMU NI KATIBA MPYA NA TUMEHURU CHADEMA HAKUNA MUDA TENA KUONGEA NA WASIRA

  • @mfwimiekayuki8692
    @mfwimiekayuki8692 9 วันที่ผ่านมา +7

    Wewe mzungumzaji wa CCM tumia lugha ya adabu.Lissu M/K kama SAMIA CCM.

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 9 วันที่ผ่านมา +1

      Samia Raisi Lisu mwenyekiti tena mkimbizi toka ubelgiji shenzi wewe

    • @aidankakulu398
      @aidankakulu398 8 วันที่ผ่านมา

      ​@@halimamasai2234Unagongwa mala ngapi kwa siku????

  • @joscamwoshezi2986
    @joscamwoshezi2986 9 วันที่ผ่านมา +2

    Katiba mpya sijui insaidia nini sisi tunafurahia maendeleo tunayoyaona ccm hoyee.Sera mmeitimiza kwa kishindo

    • @josephwilliammnyune5464
      @josephwilliammnyune5464 9 วันที่ผ่านมา +1

      Kama hufahamu katiba inasaidia nini, maana yake hujui katiba ni nini. Pole.

    • @wiliamkatala
      @wiliamkatala 8 วันที่ผ่านมา

      Akili zako zipo miguuni.

  • @YohanaMboma-vz3sl
    @YohanaMboma-vz3sl 9 วันที่ผ่านมา +3

    Tatizo CCM mnadhani Kila wakati ni utani hata wakati watu wako Silias nyie mnafikiri ni utani

  • @GodfreyMwamaso
    @GodfreyMwamaso 9 วันที่ผ่านมา +1

    CCM acheni ngonjera watanzania wanataka katiba mpya na tume huru ya uchaguzi acheni ujanja ujanja nyinyi ndiyo tatizo ndiyo mnaokwamisha mpango wa kuwaletea watanzania katiba mpya tunatakiwa katiba mpya

  • @emanuelpiniel5277
    @emanuelpiniel5277 9 วันที่ผ่านมา +1

    Maridhiano sio ya chma ni ya nchi

  • @mremaelisenguo
    @mremaelisenguo 9 วันที่ผ่านมา +1

    Acha ujinga, mapendekezo ya mabadiliko ya Katiba yalitolewa muda mrefu mkapuuzia. Hilo la kutokuwa na muda kwa sababu bunge litavunjwa June halina mashiko.

  • @rubenMbokwa-b3o
    @rubenMbokwa-b3o 9 วันที่ผ่านมา +1

    Wasira anaongoza Serikali?
    Katiba Tunaitaji kutoka Serikali sio Kwa CCM

  • @ChristianMkumbo-ix2ke
    @ChristianMkumbo-ix2ke 9 วันที่ผ่านมา +1

    Wasira saizi yake ni heche na lisu saiziyake ni samia

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 9 วันที่ผ่านมา +2

    Tundu lisu hana lolote ni mkimbizi tu kutoka ubelgiji 😂😂😂

    • @zawadimbwambo1091
      @zawadimbwambo1091 9 วันที่ผ่านมา

      Wala huiljielwi.

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 9 วันที่ผ่านมา

      @ Hongera wewe unayejielewa 🤣🤣

    • @Kwelihukuwekahuru
      @Kwelihukuwekahuru 7 วันที่ผ่านมา

      @@halimamasai2234 nani alimsababishia maumivu mpaka akaenda kutibiwa nje ukijibu hili nami nitaungana nawe

  • @brightergermanus2163
    @brightergermanus2163 9 วันที่ผ่านมา +1

    INAONSHA WAZI KABISA CCM HAWAKUTAKA LISU ASHINDWE HADI MUNATUSIA BILA SONI

  • @joscamwoshezi2986
    @joscamwoshezi2986 9 วันที่ผ่านมา +2

    Mropokaji hawezi kuongeogea na rais wetu

  • @NgendandumweAlouise
    @NgendandumweAlouise 9 วันที่ผ่านมา +2

    Hakuna maridhiano ni uongo kungekuwa na maridhiano uchanguzi wakihuni haungefanyika 2024 kwa kuenguwa wagombea wa upinzani

  • @gulalakitinya7615
    @gulalakitinya7615 9 วันที่ผ่านมา +1

    Wewe kicheche.Kwani CCM ni tofauti na Chadema? Vyote ni vyama vya siasa.

  • @DONALDMTOWE-u9g
    @DONALDMTOWE-u9g 8 วันที่ผ่านมา

    Tanzania inavyama vingi,Tundu lisu chadema wakigoma,haitawasaidia uchaguzi utaendelea tu,na hakuna mwananchi wakuandamana au kuleta fojo,uchaguzi utakuwepo mtake msitake,Tz sio Kenya,ukileta za kuleta mtapigwa tu.Mama samia mitano tena.

  • @EliasFijabo-pt2zb
    @EliasFijabo-pt2zb 9 วันที่ผ่านมา +1

    Chaguzi zilizopita hazikuwa huru tatizo haki zinapindishwa katiba mpya kwanza

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 9 วันที่ผ่านมา +1

    Wassira siyo Rais wa Serikali. Vyama vya siasa vyote viko sawa Kikatiba!

  • @MichaelAlbertin-b1k
    @MichaelAlbertin-b1k 9 วันที่ผ่านมา +1

    Unapo Sema Lisu ni Nani we ni nani Lisu ni mwenye kiti wa Chama ataongea na mwenye kiti kama yeye.sio mwingine

  • @DanieliMtangi
    @DanieliMtangi 9 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu chawa wa ccm analopoka

  • @livingstonekabantega
    @livingstonekabantega 9 วันที่ผ่านมา +1

    Shida yenu CCM manaiba chaguzi kupitiliza ad mkanunua wabunge 19 mkawachia mbunge1 wanaona bila tume huru hawawezi kutoboa tena wanahis vitajirudia

  • @tumainikibona5252
    @tumainikibona5252 9 วันที่ผ่านมา +1

    Lissu yuko sahihi, alieleza vizuri tuu mwenye mamlaka ya kutatua mifumo ya uchaguzi ni rais sio ccm maana ni wanufaika, sasa unampingaje Lissu muache ukajanja wenu wananchi tumechokaa nanyie

  • @GodfreyMwamaso
    @GodfreyMwamaso 9 วันที่ผ่านมา +2

    Sasa wewe unaongea Kama nani? Watanzania wanataka katiba mpya na ukumbuke nchi hii si ya wanaccm nchi hii Ni ya watanzania wote tunataka rasimu ya warioba itumike itumike iwe katiba mpya

  • @benosalema7939
    @benosalema7939 9 วันที่ผ่านมา

    Hapo Kwa Mzee wasira Lisu yupo vizuri Katiba ni serikali itupeee. Nyie ccm tutendeeni Haki hivyo vyama vingine ni CCM B

  • @Sangaadam
    @Sangaadam 8 วันที่ผ่านมา

    Hili Swala linahitaji Busara Zaidi kuliko vitisho na Kauli za huyu msemaji zimejaa command mgejipanga na kujibu kidipromasia, hakuna Chama kilicho bora kukizidi kingine.....!!!

  • @brownkihanga688
    @brownkihanga688 8 วันที่ผ่านมา

    Haki aiombwi mkikataa utulazimisha haki iwepo,,hii much siyo ya ccm Niya watanxania wote,,lakini ccm mnajona no wenye haki

  • @KaburaNimrod
    @KaburaNimrod 8 วันที่ผ่านมา

    Kwenye CCM hakuna mtu wa kuhojiana na Tundu Lissu akashinda. Lissu anajua nini aongee, aongee wapi, lini na aongee Kwa nani.

  • @bernardgervas768
    @bernardgervas768 9 วันที่ผ่านมา +2

    Harafu hayo nimaneno yanamtoka lakini rohon hayapo njaa ztawaua

  • @omarinyahegs4539
    @omarinyahegs4539 9 วันที่ผ่านมา +1

    Anatakiwa kuongea na Heche huyu Wasira Tundu lisu ni mwenyekiti wa chama kama alivyo Samia Acha ubwege ndg Chawa

  • @FrankasamisyeMwaiswasu
    @FrankasamisyeMwaiswasu 9 วันที่ผ่านมา +1

    Wewe ndo hujui Lisu haitaki kuongea na chama anataka kungogea na serikali,serikali inacho jivunia ni Dora tu ndo kibuli hicho

  • @ladislausriwa7768
    @ladislausriwa7768 9 วันที่ผ่านมา +2

    Makamu mwenyekiti wa CCM anakaimu muda wote kwa kuwa muda mrefu mwenyekiti anafanya majukumu ya Serikali hivyo makamu anafanya majukumu mengi ya mwenyekiti isipokuwa tu linapokuja suala la vikao au majukumu ya chama kitaifa

  • @edistidiusmutalemwa5758
    @edistidiusmutalemwa5758 9 วันที่ผ่านมา +1

    Kimsingi ccm ilishapotea Tanzania ktk ramani ya siasa. Kivuli chao kinalindwa dola tu. No dola no ccm,hata wao eanajua hivyo. Ndo maana kivuli cha ccm kinaogopa katiba mpya, maana ikiwepo hicho kivuli kinapotea kabiiiisa.
    Ndo maana hata huyu anayeongea sasa hivi kwa kusemea kivuli cha ccm,anaweweseka tu.

  • @felisimshana9088
    @felisimshana9088 8 วันที่ผ่านมา +1

    Wewe unaeongea msenge

  • @michaelmlyuka6032
    @michaelmlyuka6032 9 วันที่ผ่านมา +1

    Katiba ni Serikali na siyo Chama

  • @CastoryTheodory
    @CastoryTheodory 9 วันที่ผ่านมา +2

    Lissu huyoo jembe anajua anachokifanya,

    • @tumainikibona5252
      @tumainikibona5252 9 วันที่ผ่านมา

      Kabisa na tunamwelewa sana lissu

  • @prospersumka3853
    @prospersumka3853 9 วันที่ผ่านมา +1

    Kwani usipo fanyika uchaguzi kwa huu mwaka nini kitaharibika uchaguzi usogezwe reform fest

  • @steverotali
    @steverotali 9 วันที่ผ่านมา +1

    KWANINI CCM WASIONDOE WASIMAMIZI WA UCHAGUZI, WATENDAJI, WAKURUGENZI, WAKUU WA WILAYA KWA NINI WASIWATOE HAO USIMAMIZI UWE KAMA CHADEMA WALIVYO FANYA? KILA KITU KIWE WAZI? AU MAREKANI? KILA KITU WAZI WAZI.

  • @CastoryTheodory
    @CastoryTheodory 9 วันที่ผ่านมา +1

    Yaaan huoo ni mwanzo 2 mpaka msemee

  • @LucyVenant
    @LucyVenant 9 วันที่ผ่านมา +1

    Tundu lisu anaongea na selikali ,na akuna aliye juu ya katiba kila mtanzania anahaki sawa na wengine

  • @karingtonisimwinga122
    @karingtonisimwinga122 9 วันที่ผ่านมา +1

    tunataka katiba mpya

  • @josephatcelestinemuhoza2214
    @josephatcelestinemuhoza2214 9 วันที่ผ่านมา +1

    Samia, wala Kinana, hawapaswi kuwabeba CHADEMA, mzungumzaji unadhani unawapa fadhila!

  • @bernardgervas768
    @bernardgervas768 9 วันที่ผ่านมา +2

    Huyo aneongea nahisi niuchawa unamsumbua Hana lolote aneongea NN SASA hapo

  • @MuradAbdul-u2c
    @MuradAbdul-u2c 9 วันที่ผ่านมา +1

    Hahaaaa joto limeanza mapemaaaa😂😂

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 9 วันที่ผ่านมา +1

    Mheshimiwa lisu ni mwana harakati

  • @godwineliya4686
    @godwineliya4686 9 วันที่ผ่านมา +1

    Endelea kujipa Moyo kuwa kuwa Chama kitajifa. Inamaana wewe hauono Tatizo kwny Uchaguzi. Au Una maslahi binafsi

  • @steverotali
    @steverotali 9 วันที่ผ่านมา +1

    ONDOENIWAKURUGENZI NA MIFUMO YA SERIKALI KUSIMAMIA UCHAGUZI MPAKI CHAMA KAMA CHAMA HAPO PATAFURAHISHA WANANCHI HAMUONI WENZENU WOGA WANINI?

  • @Gilbertnyanda
    @Gilbertnyanda 9 วันที่ผ่านมา +1

    Kuna bunge hapa Tanzania kweli

  • @NgendandumweAlouise
    @NgendandumweAlouise 9 วันที่ผ่านมา +1

    Hakuna uchaguzi kama hakuna mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi niuongo mtu acha kuongea utumbo au umetumwa na samia na Abdul

  • @jonathanmindolo61
    @jonathanmindolo61 9 วันที่ผ่านมา +2

    UCHAWA MWINGI MARDHIANO GN?

  • @RashidiBirukundi
    @RashidiBirukundi 9 วันที่ผ่านมา +1

    We mwana ccm acha kutupotezea muda

  • @wiliamkatala
    @wiliamkatala 8 วันที่ผ่านมา +1

    Utaelew tu,

  • @IsaacKalenge
    @IsaacKalenge 9 วันที่ผ่านมา +2

    Wasira ni mzee wa propaganda,Hawezi kusaidia nchi yetu,Hasa kwenye kipindi hiki kigumu,KalI zake zinaonyesha Hawezi,wasira SAWA na Yusufu Makamba

  • @evancemwaky7425
    @evancemwaky7425 9 วันที่ผ่านมา +1

    Kwani si yeye kamtaka mwenyekiti mwenzie

  • @JohnS.mwafubo
    @JohnS.mwafubo 8 วันที่ผ่านมา

    Wewe ni mwongo sana

  • @remigiusnyoni7195
    @remigiusnyoni7195 8 วันที่ผ่านมา

    Kwani maridhiano ni ya CCM au ya Serikali?

  • @YahyaMbega
    @YahyaMbega 9 วันที่ผ่านมา +2

    KWANI HUYO MWENYEKITI HAYUPO MBONA MADOGO HAYO POVU

  • @joshuaswai8203
    @joshuaswai8203 9 วันที่ผ่านมา +1

    Hivyo vyama vingine si vya kwenu??

  • @kirariwilanya1850
    @kirariwilanya1850 8 วันที่ผ่านมา

    Kishindo Cha Lisu hicho!!

  • @JonasNzemya
    @JonasNzemya 9 วันที่ผ่านมา +2

    Wewe unaongea ki ccm tu,huna jipya

    • @JosephMwaitete
      @JosephMwaitete 9 วันที่ผ่านมา +1

      Ulitaka tumsikie anayeongea kichama Gani?

  • @barillalitibulali1565
    @barillalitibulali1565 9 วันที่ผ่านมา +1

    Mmesikilizwa miaka 64 Sasa mmeng'ang'ania madarakani!

  • @brightergermanus2163
    @brightergermanus2163 9 วันที่ผ่านมา +2

    👆HAWAKUTAKA ASHINDE