MITIMINGI # 153 - WANAWAKE WENGI WAMEKOSA KIU YA UPENDO WA KWELI KWA MUME

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 39

  • @MariamObote
    @MariamObote 2 หลายเดือนก่อน

    Mwanamme atakaesikia haya atapona barikiwa pastor🎉🎉🎉🎉

  • @anyesphilip813
    @anyesphilip813 6 ปีที่แล้ว +1

    Mchungaji Mungu akupe maisha marefu Sana.Unatufundisha mengi yenye faida kwa maisha yetu Mungu akupe nguvu na afya njema utende mengi mazuri zaidi ya Haya. kiukweli tangu nianze kufatilia mafundisho yako nafarijika sana namwomba Mungu anijalie mume Mwenye upendo wa dhati, mwelewa na Mwenye hakili Kama wwe.Hongera Sana Mr and Mrs mitimingi na familia yenu Mungu awabariki nawapenda wote

  • @aminahaule1806
    @aminahaule1806 6 ปีที่แล้ว +3

    Barikiwa SANAAAA mtumish naamin unaokoa Roho na ndoa za watu wengi MUNGU akuzidishie barak tele

  • @venerandafussi9128
    @venerandafussi9128 6 ปีที่แล้ว +3

    kwel kabisa ubarikiwe sana somo hil likiwapata wote wawili lazima mabadiliko yaonekana

  • @kalebuwilliam1014
    @kalebuwilliam1014 ปีที่แล้ว +2

    RIP Mtumishi😢

  • @beatriceloveness3793
    @beatriceloveness3793 5 ปีที่แล้ว +1

    Mtumishi Asante kwa kuteelimisha dah mm Sina hata raha ya ndoa yangu mtume naomba nisaidie 🤒🤒😭😭😭😭😭😭😢Niko na maumivu Sana ndani

  • @devothangovano9729
    @devothangovano9729 6 ปีที่แล้ว +4

    amazing!!

  • @janetmtenzi7835
    @janetmtenzi7835 6 ปีที่แล้ว +1

    Mchungaji ongea juu ya nywele bandia pia juu ya wanawake wanaopenda kueka nywele bandia wabaki coz mungu hataki nywele bandia nakuomba ufundishe kuhusu nywele bandia pia. amen

  • @agneskilongo8606
    @agneskilongo8606 6 ปีที่แล้ว +4

    natamani sana kusikia kuhusu nywele bandia mtumishi tufundishe

  • @christinawilliam3546
    @christinawilliam3546 5 ปีที่แล้ว +1

    Asnt mtumishi umegusia upendo kwa wanaume na wanawake mungu akubaliki San

  • @christinedisii626
    @christinedisii626 7 ปีที่แล้ว +2

    Hahaaah kweli barikiwa mafundisho mazuri sana

  • @rhinaregina5806
    @rhinaregina5806 6 ปีที่แล้ว

    Wow baba uko juu thank you for that I will do that to my husband

  • @catenzeki678
    @catenzeki678 5 ปีที่แล้ว

    Nazidi kujifunza mengi mchungaji kutokana na mafundisho yako ya ndoa na mahusiano.MUNGU akubariki na akupe umri mrefu

  • @hildamatinga4446
    @hildamatinga4446 6 ปีที่แล้ว +4

    jamani naombeni mwenye hii clip offline anitumie please

  • @pillimjiji4867
    @pillimjiji4867 6 ปีที่แล้ว +1

    mchungaji hili somo ulilete na mwanza tunakukalibisha sana unaumuhimu sana juu ya hili somo

  • @focustz4408
    @focustz4408 5 ปีที่แล้ว +1

    Good

  • @annastaziaaloyce8548
    @annastaziaaloyce8548 6 ปีที่แล้ว +1

    nimeelewa

  • @noracharles4371
    @noracharles4371 6 ปีที่แล้ว +1

    Nikweli mwalimu

  • @hildajoshua2906
    @hildajoshua2906 4 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @roxymashikura7126
    @roxymashikura7126 6 ปีที่แล้ว

    Ni kweli kabisa

  • @queendia.4173
    @queendia.4173 6 ปีที่แล้ว +1

    nimebarikiwa na somo hili

  • @neemasamwel6862
    @neemasamwel6862 6 ปีที่แล้ว +1

    hahahaaaaaa mch nimecheka mpaka

  • @isayayohana6165
    @isayayohana6165 6 ปีที่แล้ว

    amen

  • @esterstewart447
    @esterstewart447 5 ปีที่แล้ว

    Haswaaaa

  • @simonmartine8884
    @simonmartine8884 6 ปีที่แล้ว

    Somo zuri Sana

  • @happynessnyanda3613
    @happynessnyanda3613 5 ปีที่แล้ว

    HaaahaaaaaaaaAmina

  • @MrBm369-h1p
    @MrBm369-h1p 5 ปีที่แล้ว

    Ah we mchungaji noma nimekuku bali lakin swali nawe unafanya ivyo kwel

    • @catenzeki678
      @catenzeki678 5 ปีที่แล้ว

      @Ben Mtweve hahahahaha

  • @christinen8291
    @christinen8291 7 ปีที่แล้ว +5

    Yote unasema ni ukweli kabisa.unanibaliki sana

  • @neemasamwel6862
    @neemasamwel6862 6 ปีที่แล้ว +2

    hahahaaaaaa mch nimecheka mpaka

  • @isayayohana6165
    @isayayohana6165 6 ปีที่แล้ว

    amen

  • @neemasamwel6862
    @neemasamwel6862 6 ปีที่แล้ว +1

    hahahaaaaaa mch nimecheka mpaka