Ijumaa kuu leo 2 April 2021 Ahsante M/Mungu kwaajili ya uhai unaoendelea kutupatia mpaka kuifikia hii siku yaleo ikiwa ni siku ya kumbukizi ya njia ya Msalaba mpaka sote tulipo kuja kukombolewa kaitika ile siku ya tatu, sifa na utukufu virudi kwako ee Mungu wetu jina lako litukuzwe na lizidi kuinuliwa katika mataifa yote Amen muwe na siku njema wana wa Mungu.
Nilikua katoto enzi hizo mpaka leo namiliki smart yangu mwenyewe bado ni wimbo unanifanya nitamani kuuimba mbele za madhabau za Bwana karibu EAGT Banana sayuni lango la baraka nitafurahi kukuona😂😂
Thanks God for this Life ....even though we have a very critical Moment in this Life we should just belive in God ..We should be thankful for this Life....thank you dear God for the Gift of Life and protection ...we are all sinners but we would like to ask for forgiveness cause its written in the bibile when we ask for forgiveness we will be foregiven ..thank you for giveing ja Jesus so that we Can be forgiven our sins protect us from all evil upon us in Jesus Name we Pray and belive Amen
Kweli Dada Upendo tunapenda yaliyo ya Mungu Lakini mwili unatushinda kwa mahubili yake mabaya, Mungu atusaidie Barikiwa sana katika maisha yako yote, na uendelee kutuhubiria kwa njia ya nyimbo. Asante sana, Mwamfupe fred
akalia sanaa heroe heroe, Mungu wangu mbona umeniachaa,, barikiwa sana Upendo Nkone naupenda sana huu wimbo mara zote..!!
Ubarikiwe sana mom,napenda sana nyimbo zako,sifa na utukufu virudi kwa Mungu alie hai,January/28/2025
Ijumaa kuu leo 2 April 2021 Ahsante M/Mungu kwaajili ya uhai unaoendelea kutupatia mpaka kuifikia hii siku yaleo ikiwa ni siku ya kumbukizi ya njia ya Msalaba mpaka sote tulipo kuja kukombolewa kaitika ile siku ya tatu, sifa na utukufu virudi kwako ee Mungu wetu jina lako litukuzwe na lizidi kuinuliwa katika mataifa yote Amen muwe na siku njema wana wa Mungu.
Ahsante yesu nashukuru kwa Pendo lako kuu kwangu nakuomba unisahidie
From tiktok baada ya kumuona tin white
Mimi hapa😂
I too
Yaan tupo wengi tuliokuja kushuhudia
Hahaha kumbe yupo wengi😂
And me
Nakupenda sana huu wimbo eeeh Mungu wewe ndo kila kitu katika maisha yangu
Leo ndo nimejui Kua tin white kua alikua Dansa wa upendo nkone
Video vixen
My favorite song 2021,who else is here with me,God bless our sister Nkone.
Bwana Yesu kwa Upendo mkuu ulivumilia mateso makali ili mimi nipate kuwa mwana.
Uliniokoa kwa damu na maji. Ahsante sana.
Amen maumivu makali ulivumiliya ili nihondokewe dini lazambi
Hakika ni BWANA
asante Yesu kwa mateso uliopitia kwasababu yangu nakushukuru SANA.
Yesu alilipa gharama... Nimeamua kumurudia mungu
Ubarikiwe mama yangu Upendo Nkone kwa kazi nzuri ya Uimbaji maana unawatia moyo wale ambao wamekata tamaa.
Jimmy Sango mungu akubariki mama angu nyimbo nzuri Sanaa
Niliupenda,naupenda,na nitazidi upenda
Nilikua katoto enzi hizo mpaka leo namiliki smart yangu mwenyewe bado ni wimbo unanifanya nitamani kuuimba mbele za madhabau za Bwana karibu EAGT Banana sayuni lango la baraka nitafurahi kukuona😂😂
M2
Barikiwa sana sana mama.Yesu tusaidiye baba siku moja tukuone
Wonderful song sister Nkone May God bless you Abundantly
Bwana asifiwe sana....nashukuru
Thanks God for this Life ....even though we have a very critical Moment in this Life we should just belive in God ..We should be thankful for this Life....thank you dear God for the Gift of Life and protection ...we are all sinners but we would like to ask for forgiveness cause its written in the bibile when we ask for forgiveness we will be foregiven ..thank you for giveing ja Jesus so that we Can be forgiven our sins protect us from all evil upon us in Jesus Name we Pray and belive Amen
Your song is really blessing me upendo nkone may God bless you
Tulio urudia huu wimbo kwa ajili ya tin white gonga like😂😂
Nikohapa
😂😂
Tuko mpaka yesu arudi🤣🤣🤣🤣
Niko hapa
Hapa😂😂
Huu ni wimbo wangu bora sana kuwah kutokea ktk tasnia ya gospel hata sasa 2021❣️
Mungu akubaliki. Nyimbo nulii saana
The best song a great blessing in my life
I love this song.Gob bless you sister nkone
mungu akubariki kwakuimbia bwana
Napendaga Sana sauti yako,jtm mama
Mama umetoka mbali na Mungu ...endelea mbele kwa nguvu.....mtumishi wa Mungu kupitia uimbaji ....
MUNGU wangu naomba unipiganie 😭😭😭♥️
Asante bwana yesu kwa pendo lako
Huu wimbo niamani tosha kwawateule
Eeh mungu npe moyo mkuu wa kukupenda Kam ulivy npenda😓😓😥🙏🙏
Hallelujah,,,ainuliwe Yesu kwa kuniokoa
Barikiwa mtumishi kwa huduma yako nzuriiii
Here after 11years such a blessing mummy....I heard this song when I was 13years old and I had to look for it
Beautiful song Sister Nkone, it really blesses my heart, may our good Lord bless you.
Beautiful song...Praise be to God
Duh.... kweli watu wanajua kuimba na sauti 🎉🎉🎉😊❤
Kweli Dada Upendo tunapenda yaliyo ya Mungu Lakini mwili unatushinda kwa mahubili yake mabaya, Mungu atusaidie Barikiwa sana katika maisha yako yote, na uendelee kutuhubiria kwa njia ya nyimbo. Asante sana, Mwamfupe fred
ndiyo unanyo nya sema niukweli
Asante Mungu
Any Kenyan 2024 pita na like 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Waimbaji wajitafakari kwa upya maana nyimbo za sasa hazina mguso na ukiwepo ni wa kitambo kdg sana imbeni nyimbo zitakazoa acha ujumbe zitakazoishi
Wimbo mzuri, zaidi nimependa kumuona tin white
I love ur voice mum
Upendo Nkone is a blessed singer
My all time favorite gospel singer , Natamani uimbaji urudi huku basi tu 🇹🇿🙏🏾🙏🏾
thank you for the good words sent through music.You are really a blessing from above God bless you and your music.
Kweli wimbo unagusa moyo,mungu akubariki upendo
niwogoze
Love this song so much
For your mercy Jehovah I thank you .
Wimbo hauchuji huu Bado unanibariki moyoni mpk leo
Umeimbwa chini ya uongozi wa ROHO mtakatifu ndio mana
Amen
nyimbo nzulii saana
Amen🔥
I like the song much, watching it this easter 2020
2020
J'adore cette song
19/10/2020 still blessing 😍
Unajua unajua tena dada yangu❤
Nabarikiwa sasa Dada upendo
I always feel God bless when I listen
amen wimbo nzuri sana
Just came in mind this morning
Nyimbo zitadumu milele na milelele barikiwa Sana mama
Powerful Powerful. 17.05.2021. Mombasa, Kenya
Barikiwaa mnooooo
nan mwingine anabarikiwa kupitia huu wimbo gonga like twende sawa
L LL be able make sure it was you qu question sqq q😘🥳
😊O😅😮😊llyp😊lyUp to you all the time nzoba ndi muhira
Waliokuja kumuona tin white gonga like hapa😅😅
Pasaka njema kwa wakristo wote ulimwenguni mzima.
Barikiwa mutu Mungu
Amen this song😭😭😭
Gonga like hapa kama bado unaskiliza hii nyimbo 2021🥰🥰🥰🔥🤝🔥🔥
POWERFUL,wonderful song,body,soul,mind
Mama huwa unanbark Sana nyimbo zako Zina mafuta hazichuji endelea kuyatafuta mafuta kwa Bwana
Yesu alilipa gharamA zangu
Muito obrigada meu Amém Amém Amém Amém glória a Deus 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Ubarikiwe sana mama
This song minister's to my soul
More blessing
I remember I used to listen to this song when i was a child 😀🙏🙏
Tulioufuata huu wimbo kwa ajili ya Tin white gonga like hapa
1/4/2021 still blessing🙏
20/10/2019 still a blessing
2022 Nani anaangaliya tena?
safi na naupenda sana huu wimbo
Amen mama
September 7 2024 Asante mungu Kwa uhai huu nyimbo nzuri upendo nkone barikiwa🙏🙏
Niko hapa, 2024 still the song is timeless.
Tusimrudishe msalabani Bwana wetu Yesu kristo
A great song in deed
Kama umemuona tinny white gonna like moko twende sawa
Be blessed so mucj
Aliemuona tin
2025 nakupenda sana mama upendo unatibu moyo wangu
Love is song
Kama bado unaitizama inyimbo 2020 like
Nyimbo za upendo zina mafuta ya roho mtakatifu
Nyimbo za watakatifu hazijawahi kuchuja maana zimeimbwa ktk ROHO
Amen kabisa
Hallelujah 🙏😭😭😭
Amina
🙏✝️🔥
Just came to me this morning 11/10/2019
Rest in peace my good friend mercy I still remember you 12 years later
Wimbo muzri saana ina uujumbe kwa watu wote
Kumbe tin white alikuwa dansa wa upendo nkone
Amina mama barikiwa
Sio dans tu wa upendo mkone huyo ni mama yake mzazi