KUNDI LA M23 LAMJIBU RAIS TSHEKEDI WA CONGO BAADA YA KUKATAA MAZUNGUMZO NA KUNDI HILO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 123

  • @HappyGondola-gs8cg
    @HappyGondola-gs8cg 8 หลายเดือนก่อน +2

    kongo ina tatizo ina ukabila sana mtu amezaliwa kongo hao viongozi m23 walikuwa ndani jeshi la kongo wakatoka hiyo vita ya kongo haitoisha leo

  • @anzuruniassumani9340
    @anzuruniassumani9340 8 หลายเดือนก่อน +4

    Hao wa marekani wakatiye Kambi zao kwao alafu wanaita watu magaidi

  • @omarasif6083
    @omarasif6083 8 หลายเดือนก่อน +5

    Ni haki gan wanaogombania kama wakongomani...FDLR inawaziwiya nini wao kama sio wanyarwanda....Nima gaidi na hakuna amani yoyote wanaiba Mali ya raiya ovyo

    • @sanosanamilele4017
      @sanosanamilele4017 8 หลายเดือนก่อน

      haki ya kuishi ,na haki ya usalama

  • @NasoroMembe
    @NasoroMembe 8 หลายเดือนก่อน +4

    Rwanda ndiyo tatizo

  • @joycekundo-uu5su
    @joycekundo-uu5su 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mbona hamuja sema kama America ni inchi yenu ao zingine inchi mulizo kimbiliya emo. MUNA ONEYA TU CONGO

  • @bonneideeomar8808
    @bonneideeomar8808 8 หลายเดือนก่อน +2

    Ongera sana rais wetu, usiongei nao kwasababu tunajuwa kama ni wazungu njo biko nyuma ya hao wa M23.

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 8 หลายเดือนก่อน

      Ni wanyarwanda hawa M23 ,msiwasingizie wazungu wa watu

  • @bonabonala5559
    @bonabonala5559 8 หลายเดือนก่อน +2

    wily ngoma ulingi kufa ndeko mobali oza na motema mabee ukufe leo njo leo ukufe bhote m23

  • @mubakeiyadi4820
    @mubakeiyadi4820 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nibongo mtupu

  • @hamisramadhan-eb3ie
    @hamisramadhan-eb3ie 8 หลายเดือนก่อน +5

    Magaidi hawa wanafaziliwa nawatu wamagalibi

  • @joycekundo-uu5su
    @joycekundo-uu5su 8 หลายเดือนก่อน +2

    Munataka Mugawe Congo. Hamuna Akili kabisa..muko kama nyoka kabisa

    • @sanosanamilele4017
      @sanosanamilele4017 8 หลายเดือนก่อน

      kuita watu nyoka ni moja ya mafikiriyo ya wa genocidaire

    • @niyonsabaabdoulhakim3397
      @niyonsabaabdoulhakim3397 8 หลายเดือนก่อน

      Very soon balkanization itakuwa suluhu

  • @emmanuelchiza7733
    @emmanuelchiza7733 8 หลายเดือนก่อน +1

    M23 sio waasi ni wavamizi toka rwanda ni bora DRC tutangaze vita rwanda kabisa ili kuleta amani ya kweli drc

  • @BanilaMshoto-fp4iu
    @BanilaMshoto-fp4iu 3 หลายเดือนก่อน

    Mejar Willy ngoma

  • @bahomehussein8289
    @bahomehussein8289 8 หลายเดือนก่อน +6

    M23 sio wakongomani ni magaidi kutoka lwanda haki yako hiko wapi

    • @Usbar-oc1kl
      @Usbar-oc1kl 8 หลายเดือนก่อน

      Kwanini Antoine Tshisekedi baba wa Felix Tshisekedi pia na Tshisekedi Tshilombo waliungana na hawo M23 miaka iliopita kabla ya Félix Tshisekedi kuwa Raisi?!!

  • @sekuzoroger1095
    @sekuzoroger1095 8 หลายเดือนก่อน +2

    Kwani uongozi wa baiden yeye nivita kwadunia nzima very bad

  • @emmanueltwingurenzabanita9967
    @emmanueltwingurenzabanita9967 8 หลายเดือนก่อน +2

    Am jambo RF?
    Mimi nlitaka niulize Willy Ngoma:
    Amesema yeye anapigana ili ku teteya haki za binadamu ambao wananyanyasika je!
    Hawo binadam ambao wananyanyasika nchini D r Congo wame liliya M23 eti wame nyanyasika?
    Tunajuwa kama m23 ni askari wa Kagame Paul ktoka Rwanda 😢

    • @mubangakoko
      @mubangakoko 8 หลายเดือนก่อน

      Sisi wa kongomani tuko na M23 tuko na Amani serikali ya kongo hatusaidiyaki barabara hôpital hamuna masomo njala mingi vive M23

  • @marcelinkamuntu
    @marcelinkamuntu 8 หลายเดือนก่อน +1

    Dawa yenu iko ku Moto.

  • @richarddavidmk
    @richarddavidmk 5 หลายเดือนก่อน

    Tatizo hapo ni ulaya, hakuna haja ya mazungumzo, weka dili na urusi vita viishe sikumoja.

  • @petersimba3663
    @petersimba3663 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa majama dah kwa kweli congo kazi wanyo m23 inaonekana wanajiamini sana

  • @swalekhRamadhani
    @swalekhRamadhani 8 หลายเดือนก่อน +1

    Willi ngoma cku moja itakufa
    Acha uongo

  • @JacquesKalala-gy9jx
    @JacquesKalala-gy9jx 5 หลายเดือนก่อน

    Ngoma acha ongo muuwaji utarudia kwenu rwada Siku mja

  • @assaningyoku5948
    @assaningyoku5948 8 หลายเดือนก่อน +2

    Muko wanyarwanda

  • @MushamukaMastake-yf7wj
    @MushamukaMastake-yf7wj 7 หลายเดือนก่อน

    Willy Ngoma ana zarau

  • @PondoLulinda
    @PondoLulinda 7 หลายเดือนก่อน

    Will ngoma utarudi kwenu burundi

  • @festohaule9716
    @festohaule9716 8 หลายเดือนก่อน

    M23 ni Magaidi wanafadhiliwa na wazungu wenyewe kupitia Lwanda!!!!waendelee kupora Mali za Wakongomani ..pole sana Afrika kitovu changu!!!!!

  • @NyakatoGrace-i8u
    @NyakatoGrace-i8u 7 หลายเดือนก่อน

    Ufaziri ni Congo.

  • @bagumaisaac4220
    @bagumaisaac4220 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu atukomboe

  • @DavidKiondo-rj1zd
    @DavidKiondo-rj1zd 8 หลายเดือนก่อน +1

    wanaendeleo kudumu M23 nijuu ni inchi jirani uwa ambie waingie shaba ao Bandundu hawana dakika ya kuishi kwamwisho Congo ita ichukuwa ushindi

    • @sanosanamilele4017
      @sanosanamilele4017 8 หลายเดือนก่อน

      M23 HAINA SABABU YAKUPIGANA NA WATU WA SHABA AO BANDUNDU HAO NI WANDUGU ZETU,LAKINI INA HAKI YA KUISHI KATIKA INCHI YAO RDC BILA MAOMBI.KWA UBAYO AO KWA UZURI

  • @joycekundo-uu5su
    @joycekundo-uu5su 8 หลายเดือนก่อน +2

    Kagame ana wasanganya siku moja mutajuta.

    • @dayasonkibawa274
      @dayasonkibawa274 8 หลายเดือนก่อน +1

      Kagame tuta mnyuka asije gusa Tanzania

    • @dayasonkibawa274
      @dayasonkibawa274 8 หลายเดือนก่อน +1

      Anawaonea Kongo

  • @Leishicirhuza
    @Leishicirhuza 7 หลายเดือนก่อน

    Hadisi za upuuzi. Acha Wale wakaidi watazikwa wote mwaka juu.

  • @Kujason12
    @Kujason12 8 หลายเดือนก่อน +1

    Tatizo ni monusco siku monusco itaondoka huo mdomo utaisha

  • @YusuphuMakange
    @YusuphuMakange 5 หลายเดือนก่อน

    Tatizo kongo ukabila na uchu wa madaraka ndio chanzo kikubwa cha machafuko nchini kongo vita ya kongo siwezi kwisha ady ukabila na uchu wa madaraka vitu ivyo vife

  • @GiribathMugisha
    @GiribathMugisha 8 หลายเดือนก่อน +1

    Wea are together

  • @chisugimunvanesa2352
    @chisugimunvanesa2352 7 หลายเดือนก่อน

    Uyu ni Munyarwanda!iyo Kiswahili yake ni ya wa Rwandese

  • @SylvieHangi
    @SylvieHangi 7 หลายเดือนก่อน

    Niuzuni kabisa sisi radical ndoo tunasumbuka hatuko manyama

  • @peterjamskaila534
    @peterjamskaila534 8 หลายเดือนก่อน

    Willy ngoma ni kinywa cha kagema hawezi kukiri kwa wanafadhiliwa na Rwanda ...mshenzi kabisa

  • @PhilibetLadislaus
    @PhilibetLadislaus 8 หลายเดือนก่อน

    Joe eleza vizuri demokrasia ya congo ambayo ndani yake kuna wizi wa rasilimali za nchi, Jeshi la UN lilishindwa nini na wamesababisha upotevu kiasi gani cha fedha

  • @josephmutamba7241
    @josephmutamba7241 8 หลายเดือนก่อน

    Wagaidi hawa Wanyarwanda wa M23, wana Pata musaada ya Rwanda, ya USA, ya UK na wa France. Lakini wajuwe yakwamba hawata weza lolote ndani ya Inchi yetu DRC.

  • @FredMwamgogwa-td6ni
    @FredMwamgogwa-td6ni 8 หลายเดือนก่อน +1

    Daah hao waasi watawasumbua sana wa Congo

    • @dayasonkibawa274
      @dayasonkibawa274 8 หลายเดือนก่อน +1

      Waliua wanajeshi wetu wa Tanzania magufuli alisema nendeni mkawapige walipigwa mpka walikimbilia rwanda

    • @dayasonkibawa274
      @dayasonkibawa274 8 หลายเดือนก่อน

      Wazungu wanyama sana wanatugombanisha waafrica tuuwane wenyewe

  • @husseinmbaya4855
    @husseinmbaya4855 5 หลายเดือนก่อน

    Wewe siomkongo ww nimnyarwanda

  • @AndrewOchola-v4j
    @AndrewOchola-v4j 8 หลายเดือนก่อน

    M23 nyinyi sio wa congo kwasababu wa,asi wote walirudi kwa serikali wazalendo

  • @edouardnsengiyumva1145
    @edouardnsengiyumva1145 8 หลายเดือนก่อน +1

    Majungumuzo na majambazi

  • @AkyamsNassor
    @AkyamsNassor 8 หลายเดือนก่อน

    Hiyo ni dharau kwa wanajeshi wasaliti

  • @EnockSiva
    @EnockSiva 8 หลายเดือนก่อน

    Willy ni mazimu mumuulize kama Hao kesho wa Rwanda wanaokuafa katika arzi ya Congo huyu Willy Ana kichaa. n'a muda simurefu huyu ni marehemu Sisi raiya ya Congo hatu yako M23 ni ma gaidi.

  • @johnabery-vn7eb
    @johnabery-vn7eb 8 หลายเดือนก่อน

    Congo kuweni wazalendo m23 inatakiwa wamalizwe nasiyo kuwasaidia

  • @peterjamskaila534
    @peterjamskaila534 8 หลายเดือนก่อน

    Huyu ni mpambavu sana ...Willy ngoma ni mbwa ya kagame

  • @joycekundo-uu5su
    @joycekundo-uu5su 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mutaangaika mwa iyi Dunia muko na laana

  • @victorwilliam1111
    @victorwilliam1111 8 หลายเดือนก่อน

    Acheni uelewa finyu. Hao waasi na Rais huyo ana mkono wake ndo maana hataki kuwasikiliza na ni ishara ya Viongozi wa hovyo sana ambao hawafai kuongoza Africa. Sema Congo kiuelewa bado anawahadahaaa wacondo tu huyo

  • @williamkeita1519
    @williamkeita1519 8 หลายเดือนก่อน

    Tatizo wakongomani hawaelewi cha hiyovita na anayewapigasha ndio maana vita haitaisha,fungeni migodi yote mtamuona adui kamili anawashambulia hao wanaochimba madini wajuen acheni kuuana ninyi kwa ninyi kwa michuki yenu.yupo kinshasa na nje ya Drc ninyi mnaua wamama wasio na silaha eti n wanyarwanda pumbavu zenu kwenye mipaka miingiliano ya lugha na sura ni kawaida acheni chuki,fungeni migodi

  • @omarasif6083
    @omarasif6083 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nivizuri kutokuongra nao maana hawana lolote hao...kazi kuiba2 Mali ya drc inchi za magharib ndio zinazo wasapoti maana Rwanda kama Rwanda haina nguvu yoyote yakukabiliana na drc

  • @bashikalakaMkasa
    @bashikalakaMkasa 8 หลายเดือนก่อน

    Akuna mazungumzo yatakayo fanyika na wanyarwanda mukomae ivyohivyo mutaisha wanyarwanda

  • @jumashedafa
    @jumashedafa 8 หลายเดือนก่อน

    Marekan mkimgusa tu Iran mmeisha watu wanawasubir kwa hamu mtakufa kama sisimiz huk russia, korea kaskazin wanawasubir hap ndio mtaelew

  • @nshimiyimanaaaron1347
    @nshimiyimanaaaron1347 7 หลายเดือนก่อน

    M23❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ISAKWanjalamushimwenda-db9xd
    @ISAKWanjalamushimwenda-db9xd 8 หลายเดือนก่อน

    Weye Willy ngoma weye uko mkongomani gani wakuuwa wezako wakongomani akuna Siku utakuwa mkongomani kabisaa
    Akuna mkongomani mwenye iko naishi jua mkataba weye ulishauzwa Na wanyarwanda kabisa tuna jua Na ujue akuna mkongomani mwenye ataitika munyarwanda atutawale kabisaa
    Tuko tayari kungombanisha tu

  • @shukurukaheja8605
    @shukurukaheja8605 7 หลายเดือนก่อน

    Ninyi ni wavamizi hamna wacongomani hapo

  • @Askari22
    @Askari22 8 หลายเดือนก่อน

    Hawa Jama wasenge wanaua watu eti wanataka amani acha mda wao unahesabia

    • @NyaburaSarah
      @NyaburaSarah 8 หลายเดือนก่อน

      Swaitans

  • @MurielleMitonga-xf9qf
    @MurielleMitonga-xf9qf 8 หลายเดือนก่อน

    Vraiment tshisekedi n'est pas mon président il est à la base de tous ces qui nous arrivent

  • @kashindijohn5145
    @kashindijohn5145 8 หลายเดือนก่อน

    kwa nini boss wa M23, hafanya mazungumzo na FRLR? tunafaham sana mipango ya kagame ananjama za kutafuta tena apate tena vibaraka wake ndani ya serekali ya congo. maana kwasasa ameshapoteza watu wengi aliokua akiwategemea ndani ya serekali ya congo. mheshimiwa rais tshisekedi asiwape kamwe mazungumzo na ao vibaraka wa kagame.

  • @kolinbaguma6247
    @kolinbaguma6247 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ule ni njinga mkubwa atakimbia

  • @PandaKakozi-n9i
    @PandaKakozi-n9i 8 หลายเดือนก่อน

    Nyiye iko siku tutawabiga mpaka Rwanda

    • @muhirefiston83
      @muhirefiston83 8 หลายเดือนก่อน

      Kwani hio siku hai fiki ?😂😂😂 Wazairwa mbule kbx.

    • @muhirefiston83
      @muhirefiston83 8 หลายเดือนก่อน

      Sisi tunawagoja mujarimbu tu kuja kwetu Rwanda mutaona majambu mujawai ona .

  • @omarasif6083
    @omarasif6083 8 หลายเดือนก่อน

    Rwanda na Uganda ndio wafadhili
    Yule willy ngoma ni muongo saana wako kwa faida ya Rwanda na hawana nguvu hata kidogo wanapata usaidiz hata kwa wazungu

  • @HashimTibahwa-gl1jy
    @HashimTibahwa-gl1jy 8 หลายเดือนก่อน

    Ni wakati sasa ma Rais wa Afrika kuacha uoga na unafiki, kumpiga kibaraka wa wakoloni KAGAME

  • @marcelinkamuntu
    @marcelinkamuntu 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mnakamata vijana wa nyarwanda kwanguvu mna waleta Congo kufatu, wewe Willy endeleya kupotosha tu ipo siku Yako, Msione wanya Rwanda hawasemi mioyo zime toboka zamani, M23 mtabaki Ku jisifu ya Ujinga Na mna kufa kama wanyama. FRDC & WAZALENDO protège la terre promise 🇨🇩🦾🦾🔥🔥

  • @assaningyoku5948
    @assaningyoku5948 8 หลายเดือนก่อน

    Willy wewe na wenzako ni wanyarwanda .ulikuja kama mkimbizi

  • @JacksonBonheur
    @JacksonBonheur 8 หลายเดือนก่อน

    Sasa 23 ni wakongomani Gani wenye wako natupa ma mbombe mu rahiya APA saké ? Vrmnt miye ninge kuwa raïs kama hamuko ata dju wazu'gu njo bako n'a bapatiya ma arme pa moya n'a Rwanda n'a Uganda tunadjuwa vyote

  • @NewwaltersKamara
    @NewwaltersKamara 8 หลายเดือนก่อน

    Don't allow someone to paying with your family or your country

  • @MutabaziKahota
    @MutabaziKahota 8 หลายเดือนก่อน

    rais akatale kabisa kuongeya namagaidi

  • @IsabelKavirakatsuva
    @IsabelKavirakatsuva 8 หลายเดือนก่อน

    Willy ngoma nimutu wa bongo

  • @VumiMoise
    @VumiMoise 8 หลายเดือนก่อน

    Iposiku tuta wa wakibize ata rwanda. Muta ipoteza rwanda yote

    • @muhirefiston83
      @muhirefiston83 8 หลายเดือนก่อน

      Rwanda unafikilia ninyama unaweka kwamundomo unakura hivyo hivyo

  • @omarymachela5298
    @omarymachela5298 8 หลายเดือนก่อน

    Marekani si muondoke katika Nchi za watu wavinja Amani wakubwa nyinyi

  • @AlexMakungu
    @AlexMakungu 8 หลายเดือนก่อน

    Sasa nyie Marekani huko munafata nn si mtulie na inchi yenu

  • @PandaKakozi-n9i
    @PandaKakozi-n9i 8 หลายเดือนก่อน

    Sasa kama ni wa Congo mbona wanahuwa wa Congo simbongo hiyo.

  • @omarasif6083
    @omarasif6083 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mm naona bora drc ijiunge na urusi ili wapate uwafueni maana wale ma beberu ndio wanasaidia wale magaidi kuendelea kuiba mali ya drc

    • @BarnabaBuhoma
      @BarnabaBuhoma 8 หลายเดือนก่อน

      Unaweza kutoa ushahidi? Mbona msemaji wa M23 amesema hawafadhili na mtu? Adui wa Africa hayuko nje, yuko ndani. Africa usimtafute mchawi. Mchawi ni wewe mwafrica…

  • @uwezojaninosgospelartist1432
    @uwezojaninosgospelartist1432 8 หลายเดือนก่อน

    Wataisha wote M23 na Kagame kibaraka wa wazungu.

  • @yusufmohamed8874
    @yusufmohamed8874 8 หลายเดือนก่อน

    Maliza M23 hao

  • @tresorbin148
    @tresorbin148 7 หลายเดือนก่อน

    We are not negotiating with Terrorists…

  • @ismailiramazhani3570
    @ismailiramazhani3570 8 หลายเดือนก่อน

    Hawa wazungu ndo mashetani wa kubwa

  • @joycekundo-uu5su
    @joycekundo-uu5su 8 หลายเดือนก่อน

    Tena wily Ngoma wewe una kanusha Kagame siyo anaye wasapoti. Unataka kumudanganya nani aside kuwa na Akili?

  • @assaningyoku5948
    @assaningyoku5948 8 หลายเดือนก่อน

    Maimai itawamaliza

  • @ignasnyembo1256
    @ignasnyembo1256 8 หลายเดือนก่อน

    M23 nyinyi ni wahuni tu hamna lolote.

  • @humanrescue7946
    @humanrescue7946 8 หลายเดือนก่อน

    Wongo mpupu, siku moja utalipa weye ngoma

  • @benedictmtiganzi3532
    @benedictmtiganzi3532 8 หลายเดือนก่อน

    Majo William Ngoma anajiamin sana na tena wanajiita wao n professional hawaogopi chochote
    M23 songa mbele endeleen kudai haki zenu bhana.!?

  • @joycekundo-uu5su
    @joycekundo-uu5su 8 หลายเดือนก่อน

    Kwa nini wa hutu wa Nyarwanda hawasemi kama Congo ni yao

    • @sanosanamilele4017
      @sanosanamilele4017 8 หลายเดือนก่อน

      Inaonekana haujuwe kile unacyo sema; Rucyuru na Masisi kuna muungano ya wacongamani kutoka kabila la wahutu,na serkali yenyewe inajuwa huyo mukutano;na wenyewe wanajijua kuwa wa congomani,na katika m23 kuna majeshi mengi kutoka kabila la Wahutu.Ndungu yangu shida kubwa ni ukabila,hawa wapiganaji wa m23 na serkali ya congo inafahamu vizuri yakuwa ni wa congomani.Serkali hijawayi kusema yakuwa jeshi la 23 siyo wa congomani.Na waliyo kata mipaka wakati wa ukoloni wanajuwa vizuri ya kuwa rucyura Masisi na Mulenge kuna wacongomani ambao wananena kinyarwana.

  • @RugombiBonheur-y3f
    @RugombiBonheur-y3f 8 หลายเดือนก่อน

    Willy ngoma uta hazibiwa namungu weye na kagame ku isumbuwa rahiya ya Rdc, uko mujinga sana wewe na kagame munasumbua wazungu wanawashawishi ilimu mu uwe weusi wenzenu

    • @pavlotz8084
      @pavlotz8084 8 หลายเดือนก่อน

      willy ngoma ni mucongo hakuna mnyarwanda anaitwa ngoma😅

  • @apolovhk5549
    @apolovhk5549 8 หลายเดือนก่อน

  • @solidground2045
    @solidground2045 8 หลายเดือนก่อน

    Wewe mujinga, subiri kabisa saha yako iko mfupi

  • @nizigiyimanabaruani4590
    @nizigiyimanabaruani4590 8 หลายเดือนก่อน

    Huyo bwana anafkiri wakongo ni wajinga wasiokuwa na akili, hao ni wauwaji wasiokuwa na imani ya wakongo.

  • @ngematv7900
    @ngematv7900 8 หลายเดือนก่อน

    Kama nyie ni wakongomani kwa nini kupigana na jeshi la Kongo? Mazungumzo gani mnapenda nyie raia gani mnaotetea kama sio wanyarwanda

  • @ZaireMudeba-lx8pt
    @ZaireMudeba-lx8pt 8 หลายเดือนก่อน

    Unashangaa nini sasa wewe unaye pigana unaitaji nini wewe kibaraka utatafuta sehemu ya kujificha umekuwa kama telecomande utasikia aibu wewe mujinga weeee

  • @taremwageorge8167
    @taremwageorge8167 8 หลายเดือนก่อน

    M23 itarekebisha kisekedi tu

  • @didoniwa4206
    @didoniwa4206 8 หลายเดือนก่อน

    kama ni hivio basi honesha hiyo mikataba ambayo mulisahini na rahisi wa congo, na kwa nini rwanda ikataye maana jeshi la rwanda njo limeteketezwa kwenye shamba la vita? na bahadhi ya macomando mahiti zawo simepatikana kwenye mapambano wakiwa na sare la jeshi la rwanda? kagame haja wayi kuku bali chocho te.

  • @Faizimalembe
    @Faizimalembe 8 หลายเดือนก่อน

    Kama uyo ni mu Congomani kwanini washihishi kama wa Congomani?, kitakuwa aje mu Congomani ata ongeya na mucongomani mwenziye, munyarwanda Acha kuongeya uongo

  • @joycekundo-uu5su
    @joycekundo-uu5su 8 หลายเดือนก่อน

    Mume uwa wa kongomani wengi saaana na kubaka wa Mama na wa dada wa kongomani. Na kupora Mali za Congo. Nyinyi ni watoto wa shetani kabisa

  • @TeddyBinene-j9s
    @TeddyBinene-j9s 8 หลายเดือนก่อน

    Bamwizi auna muko,gomani nyama

  • @jepibier
    @jepibier 6 หลายเดือนก่อน

    Hacheni fujo zenu nyinyi. Yote muyasemayo ni propaganda za Rwanda na Uganda .

  • @b-brightakapella7734
    @b-brightakapella7734 8 หลายเดือนก่อน

    Na bado mtokwisha nyooote

  • @bashikalakaMkasa
    @bashikalakaMkasa 8 หลายเดือนก่อน

    Kumanyoko zenu

  • @kafwimbimilambo8556
    @kafwimbimilambo8556 8 หลายเดือนก่อน

    Wily utakimbia haujaona vita wewe nigaidi

    • @Askari22
      @Askari22 8 หลายเดือนก่อน

      Hajuwi Jama watakaangwa naskia fununu kua Wagner wanataka kulamba diri

  • @jean-pierrebatumakongo4957
    @jean-pierrebatumakongo4957 8 หลายเดือนก่อน

    Tu es un menteur. Tu finiras très mal. Si tu dis que le Rwanda ne soutient pas le M23 et pourquoi il bcp de deuils au Rwanda des officiers? Il y a des entrées massives des ougandais, viennent-ils aider qui?