MILELE NITAIMBA // Festo Mtumbe

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • Milele nitaimba
    Ee Mungu wangu, Mfalme, nitakutukuza, Nitalihimidi jina lako milele na milele. Kila siku nitakuhimidi, Nitalisifu jina lako milele na milele. BWANA ndiye mkuu mwenye kusifiwa sana, Wala ukuu wake hauchunguziki. Kizazi kwa kizazi kitayasifu matendo yako, Kitayatangaza matendo yako makuu. Nitaifikiri fahari ya utukufu wa adhama yako, Na matendo yako yote ya ajabu. Watu watayataja matendo yako ya kutisha, Nami nitausimulia ukuu wako. Watasimulia juu ya ukuu wa wema wako mwingi. Na wataiimba haki yako kwa sauti.

ความคิดเห็น • 37

  • @geofreyjoel1131
    @geofreyjoel1131 3 หลายเดือนก่อน

    Tunao rudi kuangalia kila wakati tujuane sio nusu yotee mpaka mwanzo mwisho🔥🔥🔥🙏🙏🙏🙌🙌🙌🙌👊👊UNASTAHILIIII YESU🙏

  • @ericamalamla1523
    @ericamalamla1523 3 หลายเดือนก่อน

    Safi sana Mungu akubariki Kwa uimbaji mzuri wa kumtukuza, umenikumbuaha na mwombaji aliyetangulia mbele za haki Fanuel Sedekia

  • @washirashidi855
    @washirashidi855 2 ปีที่แล้ว

    Wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow......Bwana asifiwe.Bwana Asifiwe.Kazi njema Sana. ubarikiwe Sana Mtumishi Wa mungu

  • @odethaeliud9312
    @odethaeliud9312 2 ปีที่แล้ว

    Hallelujah, hakika Amstahili Mungu wetu, Mungu akubark mtumishi, the good song,

  • @enosmwangondaofficial8589
    @enosmwangondaofficial8589 2 ปีที่แล้ว

    Ooooh hallelujah Baba Ubarikiwe nabarikiwa Mimi mwenzenuuu

  • @esthermavura2266
    @esthermavura2266 2 ปีที่แล้ว

    Hongera sana kazi nzuri kweli Mungu wetu ametukuzwa kwa wimbo huu,Haleluya

  • @SymoSymo-hd7hy
    @SymoSymo-hd7hy ปีที่แล้ว

    Napenda Neema ilio ndani yko, Nimembarikiwa

  • @salvationernest425
    @salvationernest425 2 ปีที่แล้ว

    Mungu azidi kuwabariki na kuwainua!!

  • @IragiChihebe
    @IragiChihebe 2 ปีที่แล้ว +1

    Wozzzzzzaaaa mfwethu, asambeni 🎉🎉🎉🔥🔥🔥

  • @officalmsafijunior1031
    @officalmsafijunior1031 2 ปีที่แล้ว

    Kazi nzr xn M.Mungu akuinue zaidi upande viwango vya juu zaidi na zaidi

  • @aggiebarton8315
    @aggiebarton8315 2 ปีที่แล้ว

    Finally nimeupta OMG, nimetafuta Kila siku nilikua naona ndio unamalizikia Upendo TV.
    I'm real real happy.
    God bless you man of God a

  • @maridadionlinetv
    @maridadionlinetv 2 ปีที่แล้ว

    Brother brother brother this is so nice, hongera sana Papa na timu yako yote, Mungu aendelee kukuinua.

  • @annaelllykayumbo5459
    @annaelllykayumbo5459 2 ปีที่แล้ว

    Hongereni sana kazi nzuri sana..

  • @freretoms5119
    @freretoms5119 2 ปีที่แล้ว

    Félicitations mon général je suis très fière de vous mon vieux good job m'y big Brother

  • @GRACENyanda-cn3pg
    @GRACENyanda-cn3pg 5 หลายเดือนก่อน

    ❤❤milele nitaimba

  • @BeatriceMapinda
    @BeatriceMapinda 2 ปีที่แล้ว

    Hongera kaka kwa hatua hii ni kubwa najua unapambana sana

  • @lyderkaleranoofficial536
    @lyderkaleranoofficial536 2 ปีที่แล้ว

    Wow! Mungu awabariki kabisa wandugu

  • @musalugata7611
    @musalugata7611 2 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri sana inabariki

  • @newtonsimba7930
    @newtonsimba7930 ปีที่แล้ว

    Amen. Great ❤️🇰🇪.

  • @johnmussa3209
    @johnmussa3209 2 ปีที่แล้ว

    Kazi Nzuri 👏👏👏

  • @glorykwai92
    @glorykwai92 2 ปีที่แล้ว

    MUNGU akubariki Sana

  • @elizabethmtweve1458
    @elizabethmtweve1458 2 ปีที่แล้ว

    Hongera Sanaa bonge wimbo

  • @enockmagwesela6242
    @enockmagwesela6242 2 ปีที่แล้ว

    Glory to God 👏

  • @pamelatumaini8052
    @pamelatumaini8052 2 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri sana kakangu

  • @lukogokahjeanjacques6887
    @lukogokahjeanjacques6887 2 ปีที่แล้ว

    One of my favorite songs

  • @neemamsuya8376
    @neemamsuya8376 ปีที่แล้ว

    Hongera

  • @FestoMtumbe
    @FestoMtumbe  2 ปีที่แล้ว +1

    Ninaendelea kuwashukuru sana Nduguzangu kwa pongezi, Nikukaribishe sana niombe sapota yako ya ku share na ku subscrib kama itakupendeza.

  • @shengenagospelpanorama5118
    @shengenagospelpanorama5118 2 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri sana

  • @mauriditresor1971
    @mauriditresor1971 2 ปีที่แล้ว

    Go forward Man of Good

  • @euphremmbuya5859
    @euphremmbuya5859 2 ปีที่แล้ว

    Je tiens à te féliciter mon frère pour avoir choisi cette voie, devenir Pasteur n'est pas chose facile parce qu'on se prive tant de choses.
    Restez concentré kaka

  • @masumbukomussa1189
    @masumbukomussa1189 2 ปีที่แล้ว

    Congrats my godson

  • @lovetachzpro5126
    @lovetachzpro5126 2 ปีที่แล้ว

    kazi kazi

  • @mejamwassa3814
    @mejamwassa3814 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwaa sana mtumishi wa Mungu hii kazi ya kikubwa Sana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯💯

  • @franciswillfred9763
    @franciswillfred9763 2 ปีที่แล้ว

    Very nice song 👏👏👏, Mungu akubariki sana.

  • @katabagiravictorofficial5179
    @katabagiravictorofficial5179 2 ปีที่แล้ว

    Very nice live worship and praise song!!!

  • @ufunuopetertab8584
    @ufunuopetertab8584 2 ปีที่แล้ว

    Amazing melody 👌🏾