BARABARA YAPASUKA KIGOMA/UCHAKACHUAJI/ TANROADS WAFUNGUKA “NGUVU ZA ASILI”...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • #JAMBOTV
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►TH-cam: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

ความคิดเห็น • 44

  • @richardbegga6679
    @richardbegga6679 5 หลายเดือนก่อน +4

    Kwanza nianze kwa Kumshukuru Mama Samia kwa kufanikisha hili bila yeye hii Barbara isingevunjika hivi 😂😂😂

  • @nth3512
    @nth3512 5 หลายเดือนก่อน +2

    Huo ni mmomonyoko wa ardhi, unaweza kusababishwa na maji yanayotembea n.k, km ilo eneo waliweka kifusi wao, yani walichukua udongo somewhere wakaongeza kwa juu basi shida ni mkandarasi na ikiwa ni udongo wa asili basi hilo ni tatizo la ardhi ya hapo na inahitajika technologia kubwa zaidi kutatua ilo tatizo

  • @EmmanuelMajele-ny2hk
    @EmmanuelMajele-ny2hk 5 หลายเดือนก่อน +3

    Eti waendelee kufanya uchunguzi upuuzi mkubwa Sana huu mzee kazeeka atoke kwenye hiyo kazi

  • @4custaywithme
    @4custaywithme หลายเดือนก่อน +1

    Majirani bila fitina hio si ujenzi mmbaya inafanyika hivi anavyosema ni haki dawa ni kubadlisha mkondo wa hio barabara.

  • @elioimer8423
    @elioimer8423 5 หลายเดือนก่อน +2

    Tanroads wapigajiiii. Serekali iwamulike hawa mainjinia wa hii taasisi ni mabilionia wa pesa za miradi.

  • @costamasuba1099
    @costamasuba1099 5 หลายเดือนก่อน

    Well done rm,failure itakuwa imeanzia chini,pengine depressions ya aridhi kama ilivyokuwa manyala,msifate mihemko ya watu wasio na utalaam ,kulalamika hakutoi solution,you can't control changes za wheather.

    • @pastorgodwinchengula7848
      @pastorgodwinchengula7848 5 หลายเดือนก่อน

      Haiingii akilini ulichokiongea.... fikiria tena ni barabara kubwa hii na eneo kubwa ni mbovu iko chini ya kiwango.

  • @jesaminzo
    @jesaminzo 5 หลายเดือนก่อน +2

    Huvi uhujumu wa uchumi mpaka ufanyaje, kwanini kama hili lisiwe miongoni mwa uhujumu uchumi?

  • @Hajisilima-ul5rl
    @Hajisilima-ul5rl 2 หลายเดือนก่อน

    Kwa waliosoma Geography wameshafaham tayar

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 5 หลายเดือนก่อน

    Huyu Mzee Hana akili na kaz I haiwezi maana thikness😂 ni ndogo walipokeaje mrad

  • @user-ub1xk6yz6l
    @user-ub1xk6yz6l 5 หลายเดือนก่อน

    Lami imejengwa juu ya vumbi. Ushindilijia usioridhisha. Tuta limenyanyuliwa sana.

  • @user-sc7ev1wh9u
    @user-sc7ev1wh9u 5 หลายเดือนก่อน

    Meneja amekula lushwa afukuzwe kazi

  • @winfredkaroli5065
    @winfredkaroli5065 4 วันที่ผ่านมา

    Huyo mhandis ndio chanzo cha kutengeneza barabara .na inaonekana hana elimu hiyo ya uhandisi tatizo umekula hela ukatengeneza kibovu hakuna tatizo lingine usidanganye umma .ww siumekaa tuu ofsin

  • @nyumbanituthegendaheka7222
    @nyumbanituthegendaheka7222 5 หลายเดือนก่อน

    Pumbavu saa hii ndio mnatuma wachunguzi wakati wanajenga hamkusimamia Tanroad nyie wezi tu..hivi vilio vya miaka yote leo ndio mnajifanya mnaanza chunguza barabara zingine

  • @mohamedS-yd9wh
    @mohamedS-yd9wh 5 หลายเดือนก่อน

    Kila kukicha uchunguzi uchunguzi mpaka lini, ninyi hamfai kabisa kuwa kwenye kazi hizo mlizopewa achieeni ngazi, tumechoshwa na kauli za uchunguzi, mchakato vikao vinaendelea hayo ni njia ya udanganifu

  • @domymerinyo8165
    @domymerinyo8165 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hapo ndipo waswahili waliposema ukila na kipofu usimshike mkono, kashikwa mkono sasa paja lake limeshaliwa tayari

  • @omarkapula588
    @omarkapula588 5 หลายเดือนก่อน

    Mzembe sana huyu hafai rais amtimue

  • @zakayombuba8953
    @zakayombuba8953 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ni mumomonyoko wa aridhi

  • @georgemahenge
    @georgemahenge 5 หลายเดือนก่อน +2

    Upigaji mwingi

  • @danielmwandenga5369
    @danielmwandenga5369 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani we mzee umesomea wapi ?? Man jibu hapo hata ambae ajaenda shele kwanini usijiulize kwanini ni barabarani tu nasio pembeni yake ili ujue ilo unalongea duuu jamani nendeni shule wazeee acha uongoo

  • @adelinelyaruu3036
    @adelinelyaruu3036 5 หลายเดือนก่อน

    Warudie kazi kwa pesa zao. Yaani feeder road iko poa lakini main road Ina shida. How ??Na hilo daraja nina wasiwasi nalo..Linaweza kukatika. Ushauri ni kwamba,lichunguzwe mapema iwezakanavyo

  • @omarkapula588
    @omarkapula588 5 หลายเดือนก่อน

    Kwa nini msitoe taarifa kabla watu hawajaona

  • @georgesolos344
    @georgesolos344 5 หลายเดือนก่อน

    Acheni uchawi, hilo eneo kuna wanga sana bususu, nyamunguruma uko Kigoma. Hiyo siyo uchakachuaji

  • @tumainimwaifunga3884
    @tumainimwaifunga3884 5 หลายเดือนก่อน +2

    Asilimia ndio tatizo

  • @henrychacha5592
    @henrychacha5592 5 หลายเดือนก่อน

    Huo ni Uchawi wa WAHA😂😂😂😂😂😂!Eng.usipate shida fanya maombi tu.

  • @KulijeNovart
    @KulijeNovart 5 หลายเดือนก่อน

    Choma barabara inaonekana hata kiwango cha lami ni hafifu, "layer" ya lami vs udongo lami ni kidogo sana, mnaleta wakandarasi wa hovyo ambao huko walikotoka hawawezi kufanya haya, watapewa adhabu kali

  • @user-sc7ev1wh9u
    @user-sc7ev1wh9u 5 หลายเดือนก่อน

    Tuna wasi wasi nawewe meneja pisha uchunguzi

  • @husseinhkitambi1701
    @husseinhkitambi1701 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna tatizo la nature hapo

    • @knight6757
      @knight6757 5 หลายเดือนก่อน +1

      Kabla ya kujenga..hawaja fanya thatmini ya kigeologia 🫢

    • @yugemasanza1008
      @yugemasanza1008 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@knight6757wewe mahalo ulipo umepafanyia uchunguzi wa kijiolojia? Au nikulaumu tu. Badilika.

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 5 หลายเดือนก่อน

    daa kweli bongo nyoso

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh 5 หลายเดือนก่อน

    Hawa wakuu wa mikoa wengine sijui mama samia hua anawaokota wp

  • @esromkanubo815
    @esromkanubo815 5 หลายเดือนก่อน

    Angalia layers za hiyo barabara ni uchakachuaji mtupu

  • @AffectionateBeachCoast-dr2ir
    @AffectionateBeachCoast-dr2ir 5 หลายเดือนก่อน

    Huyo mkandaras afungwe tunamaisha magumu alafu wanachezea pesa ivyo daaa

  • @bakariwaziri3548
    @bakariwaziri3548 5 หลายเดือนก่อน

    Mainjinia wanafanya kaz gan mpaka uchakachuaji kama huo unatokea

  • @user-wb1di2jm2c
    @user-wb1di2jm2c 5 หลายเดือนก่อน

    Mnajisemea tu hamjui kitu kaeni kimya

  • @sylvakahungu49
    @sylvakahungu49 5 หลายเดือนก่อน

    akuna k2 apo

  • @peterjoseph4771
    @peterjoseph4771 5 หลายเดือนก่อน

    Underground water

  • @indalesiohenery6124
    @indalesiohenery6124 5 หลายเดือนก่อน

    Hapo sio mkandalasi nitetemeko

    • @petroezekiel9097
      @petroezekiel9097 5 หลายเดือนก่อน

      Hilo tetemeko lilitokea lini mbona sisi wenyeji wa hapa Busunzu hatujalisikia. Wewe umelisikia ukiwa wapi😂😂

  • @yassinrajabu6511
    @yassinrajabu6511 5 หลายเดือนก่อน

    wee mkandalasi umepigaje apo

  • @nordinebaraca4635
    @nordinebaraca4635 5 หลายเดือนก่อน

    Mtetemeko wa arzi!