Kasri la kifahari la Mobutu sasa ni mahame

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024
  • Katika mji wa Gbadolite alikotoka, Rais Mobutu Sese Seko alijenga kasri kubwa la kifahari na uwanja wa ndege ambao ndege za kusafirisha bidhaa za anasa kama vile mvinyo ghali kutoka Ulaya zilitua na kupaa.
    Njia ya kutumiwa na ndege kupaa na kutua katika uwanja huo ilikuwa kubwa kiasi cha kuweza kutumiwa na ndege kubwa ya wakati huo Concorde - ambayo aliikodi mara kwa mara.
    Lakini alipotimuliwa madarakani mwaka 1997, kila kitu kilisimama. Sasa ni mahame.

ความคิดเห็น • 55