ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

ZAIDI YA BILIONI MOJA ZAWEKEZWA KWENYE MRADI WA KUKU NA MBUNGE WA KWIMBA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ส.ค. 2024
  • Mbunge wa Jimbo la Kwimba mkoani Mwanza, Shanif Mansoor (CCM) amewekeza zaidi ya shilingi bilioni moja katika shamba kubwa la kisasa la ufugaji wa kuku wa mayai wapatao elfu 35 katika eneo la Nyanguge wilayani Magu mkoani hapa.
    Pamoja na kufunguka kuwa kwa sasa anauhaba wa mahindi kwa chakula zaidi ya tani elfu sitini, Mansoor ambaye ni Mkurugenzi wa shamba hilo liitwalo SMJ Poultry Eggm Farm amesema kuwepo kwa shamba hilo kumekuwa fursa kwa wakazi wa wilaya ya Magu kupata ajira licha ya kukabiliwa na changamoto ya uingizwaji wa mayai ya magendo toka nje ya nchi.

ความคิดเห็น • 19

  • @hildajohn4526
    @hildajohn4526 4 ปีที่แล้ว +6

    Wewe unatuua wafugaji wadogo unauza mayai bei rahisi ukweli nakuambia acha kushusha bei ya mayai na sisi wafugaji wadogo tupate hela

  • @vitusnicodem9620
    @vitusnicodem9620 3 หลายเดือนก่อน

    Safi sana

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri

  • @josephkahindi5705
    @josephkahindi5705 5 ปีที่แล้ว

    ongera san🤝🤝

  • @gemkachar
    @gemkachar 5 ปีที่แล้ว

    SAFI sana

  • @veronicankhwazi7954
    @veronicankhwazi7954 5 หลายเดือนก่อน

    Kwa mbunge sishangai wanapata hela nyingi sana hawa watu

  • @davidmziray2048
    @davidmziray2048 6 หลายเดือนก่อน

    Unalipa kodi

  • @dorcasmonga6608
    @dorcasmonga6608 2 ปีที่แล้ว +1

    Siku nyingine usiruhusu watu kwenye mabanda hata kama wamefanya bio security,usivae nguo nyekundu kwenye kuku wa mayai.

  • @hildajohn4526
    @hildajohn4526 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwann usizalishe kuku unazalisha mayai sio poa hata huyo mbunge anaunga mkono lakini sio poa watanzania tufanye kazi

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj 2 หลายเดือนก่อน

      Acha wivu soko lipo kubwa sana, ww unazalisha tray 3 halafu Bado unalialia kuwa anashusha Bei? Mpuuzi kwli

  • @nekashash2190
    @nekashash2190 2 ปีที่แล้ว

    Soko la ndani utakuta yai litauzwa sh50

  • @athanasirand811
    @athanasirand811 5 ปีที่แล้ว

    Naomba kupata namba za hao nahitaj kuwa na ahiza mayai mengi sana

  • @leonardrevelian4733
    @leonardrevelian4733 2 ปีที่แล้ว

    Saf

  • @smartmkambala5395
    @smartmkambala5395 5 ปีที่แล้ว

    Naomba nisaidiwe namba za hao watu

  • @nekashash2190
    @nekashash2190 2 ปีที่แล้ว

    Tani 60 za mahindi kwa mwezi?

  • @francislucas1169
    @francislucas1169 5 ปีที่แล้ว

    Naomba namba ya simu kwani nahitaji mayai yabiashara Niko bariadi

    • @athanasirand811
      @athanasirand811 5 ปีที่แล้ว

      Vp namba ulipata kaa namei nahitaji

  • @abdullasalim279
    @abdullasalim279 5 ปีที่แล้ว

    Huo Ni ukatili wa wanyama vipi uwanyime uhuru wao wa kutembea.na ukawafanya wao kua wafungwa wa kukutumia wewe ... usitumie kigezo cha malipo ya chakula kwa manufaa yako .. HAKI YA WANYAMA.....