ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Nakataa roho ya usingizi ktk jina la yesu na imenigusa hii kuanzia leo nakataa kbisa na nimeahinda Amina
Mungu akubariki mtumishi. Tunakupata kutoka Mombasa Kenya Mimi na familia yangu.
Mungu aendelee kukuinua zaidi wa zaidi, In Jesus name
Nashukuru sana kwa neno la kunitia akili na kuikataa hii Roho ya usinguzi!Yesu wa Nazareth akubariki sana mtumishi.
Mungu awabariki kwa mafundisho mazuri kutoka Kenya
Thanks disciple your good to eliminate the devil of sleeping !! May Almighty be upon your blessings !!!
Yaani ijapo hii somo ni la miaka lkn naona Kama limewekwa kwa ajili yangu ee mungu naomba unifungue macho yangu
Umenigusa Sana mtumishi ndo Mimi niombee
Baba ktk jina la Yesu kristor linde mtumishi wako kwakile ulie weka ndani yake.nimepata majibu kwenye hili somo.
Baba at mm nipo Ivo naamini kuanzie Sasa roho iyo itashindwa kwangu
AMEN AMEN AMEN 🙏🙏🙏
Apostle nashukuru sana kwa mafundisho yako,kwa hakika ninafunguliwa sana
Amen
somo limekuja wakati mwafaka nakushukuru Mungu
Ubarikiwe Mtumishi, Somo zuri sana
🙏
Ahsantee MUNGU kwa mafundisho
Mungu akubariki Mtumishi nakupata nipo Morogoro mjini barikiwa sana