🔴

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 36

  • @rosepeter8996
    @rosepeter8996 2 ปีที่แล้ว +4

    Nafwatilia ili nipate kubarikiwa.kwa kawaida ndani ya chanel hii kupitia mchungaji mmbaga hua napata kubarikiwa na kujengeka ki imani.🙏wana kwaya barikiweni sana kwa nyimbo zenu nzuri,hakika mwauteka moyo wangu nami nafurahia.mtumishi wa mungu pastor mmbaga barikiwa sana na asante kwa kutuombea kupitia mtandao huu tunakupata vyema....AMEN.🙏

  • @margaretwanjiru9096
    @margaretwanjiru9096 9 หลายเดือนก่อน

    Hua nabarikiwa sana na kukua kiimani kwa kumjua Mungu..
    Kwa kweli umenifundisha na kunielekeza kwa jia ilio sahihi ..Barikiwa sana na Bwana 🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @mosesthobiasjoseph
    @mosesthobiasjoseph ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe pastor mmbaga napenda Sana huduma yako

  • @sarahwambui879
    @sarahwambui879 2 ปีที่แล้ว +2

    Pastor Mmbaga may our dear LORD bless you and your family,we love your preaching.tutazidi kukuombea Ili upate nguvu yakulisha Wana wa MUNGU.

  • @shukranjulius9526
    @shukranjulius9526 2 ปีที่แล้ว +2

    Hallelujah, Pastor Mungu akubariki uzidi kutulisha chakula cha kiroho hakika nabarikiwa nikiwa Dubai Bwana akubariki sana

  • @esterkaogo2390
    @esterkaogo2390 7 หลายเดือนก่อน

    Nabarikiwa mnoo jina la BWANA lipewe sifa.

  • @roselineombati670
    @roselineombati670 2 ปีที่แล้ว +1

    Amina,mungu akulinde pastor Mmbaga katika juma hili la makambi,nahitaji Baraka

  • @leilahjaye6413
    @leilahjaye6413 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen,
    Pastor ,nimepokea mibaraka Asante sana,
    Nikiwa Msa.

  • @elizaphankamando5605
    @elizaphankamando5605 2 ปีที่แล้ว +1

    Napenda san unavyohubiri MUNGU akulinde san na akubariki, Amina

  • @ednaednamillanzinia2826
    @ednaednamillanzinia2826 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante pastor Mmbaga ubarikiwe, somo ili limekuja wakati mwafaka kulingana na hali.

  • @benardosiocha1939
    @benardosiocha1939 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana Mnenaji

  • @ruthondara6941
    @ruthondara6941 2 ปีที่แล้ว

    Ameen mtumishi

  • @happytanzania9726
    @happytanzania9726 2 ปีที่แล้ว

    Nabarikiwa sana

  • @elizabethbwire1480
    @elizabethbwire1480 ปีที่แล้ว

    Ubalikiwe Sana mchungaji

  • @joycemashikolo9096
    @joycemashikolo9096 10 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @nancyomwenga7633
    @nancyomwenga7633 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen pr. Kindly remember my grandfather who is sick admitted in the hospital

  • @margrethkaserikali1458
    @margrethkaserikali1458 2 ปีที่แล้ว

    Amina😌🙏

  • @angelmndambi8454
    @angelmndambi8454 ปีที่แล้ว

    ❤ameeen

  • @Msmanokx
    @Msmanokx 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @mlungumlungu3185
    @mlungumlungu3185 2 ปีที่แล้ว

    Vizuri

  • @awalimunishi
    @awalimunishi 2 ปีที่แล้ว

    Sasa Mchungaji basi tuseme Dunia haikuwepo.

  • @MN-hi8ll
    @MN-hi8ll 2 ปีที่แล้ว +1

    Ndiyo wokovu sekunde!!!

  • @silvestarlema72
    @silvestarlema72 2 ปีที่แล้ว

    Kinondoni ooh sawa natembelea

  • @MN-hi8ll
    @MN-hi8ll 2 ปีที่แล้ว

    Hahaha rafiki yangu Mchungaji Mmbaga

  • @sophydaudi8609
    @sophydaudi8609 2 ปีที่แล้ว

    Panda dalala za mwananyamala au makumbusho ama za kawe shuka studio ulizia uwanja wa buibui sio mbali na kituoni

  • @MN-hi8ll
    @MN-hi8ll 2 ปีที่แล้ว

    Nikusaidiana

  • @silvestarlema72
    @silvestarlema72 2 ปีที่แล้ว

    Mtumishi dar mko sehem gan au mtaa gani?

    • @zilpandikumwami9590
      @zilpandikumwami9590 2 ปีที่แล้ว

      Yupo kinondoni,mwananyamara

    • @elizaphankamando5605
      @elizaphankamando5605 2 ปีที่แล้ว

      @@zilpandikumwami9590 nami nitaenda, ni makambi siku ya ngapi leo?

    • @zilpandikumwami9590
      @zilpandikumwami9590 2 ปีที่แล้ว

      @@elizaphankamando5605 yalifunguliwa jana..hope yatafungwa j.mos

    • @adelaedward3109
      @adelaedward3109 2 ปีที่แล้ว

      Sehemu gani Elizabeth.Nielekeze

    • @adelaedward3109
      @adelaedward3109 2 ปีที่แล้ว +1

      Zipa naomba nielekeze vizuri.Nataka niende kesho

  • @margaretwanjiru9096
    @margaretwanjiru9096 9 หลายเดือนก่อน

    Hua nabarikiwa sana na kukua kiimani kwa kumjua Mungu..
    Kwa kweli umenifundisha na kunielekeza kwa jia ilio sahihi ..Barikiwa sana na Bwana 🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @veronicaakeyo3193
    @veronicaakeyo3193 2 ปีที่แล้ว

    Amina