Ushauri wako uko vizuri unatija kwangu mm ushauri wako tunaendana nakuombea mungu akubariki katika kkazi yako nakutakia maisha mema nakaz njema yenye tija
Hapa kwenye matumizi hapa sasa Itabidi nijitahidi kila ninachonunua niandike ili nione natumia kiasi gani ili niweze kujibajeti Nijue naingiza sh ngapi na kutumia sh ngapi kwa mwezi Shukran broo much love to you😍
Hahahaaaa asante kwa hili maana mi naliweza sana mpk marafiki zangu wakiwa sehem zao za starehe huwa wananikimbia but mm nasema its fine coz this is my life broo,hasa mm kinachonifanya nisitumie pesa ovyo nakumbuka nilipotoka na pia nina kiu na kuwa na pesa nyingi (utajiri) Niishi life flan ivi la kinyamwezi na family yangu
Nimekuelewa bro nizamu ya fetha ni muhimu sana eti mnafungua dirisha langine la mr kuku limited mwezi wa ngapi maana niliweka matumaini yangu kwa mr kuku lakini napiga simu ofisini naambiwa wameshafunga hawapokei tena wawekezaji tokea nimeambiwa ivo sina raha tena nimekuwa nikijiuliza maswali mengi sana nitafanyaje nilitegemea lakini mwisho wa siku ndio ivo uliwahi kusema mtu usiweke furaha katika vitu lakini furaha yangu kuu ninayo ila hii ya mr kuku pia ili kuwa furaha kwangu maana ilikuwa ni fursa nzuri basi hakuna namna bay Deus john Mimi napenda sana kusubutu jambo sinaga uwongo wa kufeli wala hasara pindi dirisha langine mtakapofungua nitakuwa wa kwanza kushea
1 kipato kisizidi matumizi 2 matumizi yasiyo sahihi 3 epuka mikopo isiyo ya lazima 4 tumia pesa uliyonayo tu si uliyoahidiwa 5 kuhakikisha kuwa na bajeti💪 6 kuepuka matumizi ya kutumia credit card Kama umemuelewa Ezden bin J4 gonga like
Ebana bro mm naitwa Abdul shida yangu mm ni mtafutaji yani wakipato cha kila kila siku sasa mimi nacheza mchezo wa upatu ule wakila siku anatoka mtu nalipia shilingi elfu kumi kwa siku lakini naona kama natoa pesa nyingi kisha sioni faida na nikisema niache mchezo ndio siwezi kabisa kuhifadhi iyo pesa sasa sijui nifanye nn kaka EZDEN naomba ushauri wako
Abdul una tumia benki nenda benki Kama crdb au nmb alaf waaereze Hilo swala .Kisha mwisho mwa maerezo yako waambie unaitaji black account au reserve account itakufaaa
Abdul una tumia benki nenda benki Kama crdb au nmb alaf waaereze Hilo swala .Kisha mwisho mwa maerezo yako waambie unaitaji black account au reserve account itakufaaa
thanks you for your geet thinking bro ww upo sawa sana pne nikifaniwa ww ni mchango kwangu usihofu sicomment muda mwingi but naku appreciate sana ww in term pf your topical in examinining knowledge
Mr Jumanne, am very inspired by your advices. kiukweli hiyo ndio changamoto kwangu. kila nikipata hela bhana, hujui inaisha je gafla tu. lakini kupitia ushauri wako leo hii , nimejifunza mengi sanaa
Thank you bro nikwelia aisee huwezikujua kiasi cha fedha unayokwenda kutumia kabla yakujua unachokihitaji haswaa: yani kama vile unanisema mimi kabisa aisee
Nafurahia sana kazi yako ndugu yangu. Nakutakia Maisha mare fun sana. Sanasana kwenye SEVEN POINTS TO SUCCESS, ILI UWE NA MVUTO KWA WATU NA HATUA 6 ZA MAFANIKIO YA KIPESA. Mimi ni Diamond Francis Silungwe Mbuba Nikikipata vitus vitamu nikiwa nchini Zambia. Mpakani mwa Zambia na Angola.
Hiyo ni Sawa kabisa Kwa kuomgeza bro me naweza sema pia kukosa ubunifu Wengi wapo kwenye Ajira na tatizo linakuwa kwenye ubunifu wa wao kutumia kidogo wanachopata Hivyo hujikuta mshahara wote kuishia kwenye nauli chakula na matumizi mengine yasio Rasmi Hivyo me naona kama ni vyema kuwa na ubunifu wa kufanya plan B ya kujikimu ili kuwa zaidi kwenye kipatao
Hey bro, thanks for sharing this with us, I seriously love what you do kaka, Allah akulinde insha'Allah.. HII VIDEO UMENITOA KULE NILIKO TAKIWA KUTOKA, THANK YOU BRO❤️
Ushauri wako uko vizuri unatija kwangu mm ushauri wako tunaendana nakuombea mungu akubariki katika kkazi yako nakutakia maisha mema nakaz njema yenye tija
Shukrun kwa funzo. Nzuri
Shukran sana nakufwatilia sana masomo yako yananipa mafunzo na akili ya kutulia nakusoma ni kiwa Dubai asante kaka ALLAH akuzidishie ilmu
Hapa kwenye matumizi hapa sasa
Itabidi nijitahidi kila ninachonunua niandike ili nione natumia kiasi gani ili niweze kujibajeti
Nijue naingiza sh ngapi na kutumia sh ngapi kwa mwezi
Shukran broo much love to you😍
Habari Ezden Jumanne,asante Kwa kutuelimisha naomba unielimishe kuhusu bajeti Kwa upana zaidi,asnt
Nimeilimika kwa hilo shukran allah akujaze kheri
Mungu akubariki sana unanisaidiya sana kwama fundisho yako kaka ubarikiwe sana
Thanks nimejifunza kupitia ilisomo laleo na nitajifunza zaid🙏
Alhamdulillah umetufungua macho maana nafanya kazi kwa bidii Ila pesa aiwekeki I don't know why but now nimepata jibu nifanye Nini
Thanks mimejifunza sana kupitia ilisomo lako la Leo na nitajitaidi kujifunza zaidi.🙏
Hahahaaaa asante kwa hili maana mi naliweza sana mpk marafiki zangu wakiwa sehem zao za starehe huwa wananikimbia but mm nasema its fine coz this is my life broo,hasa mm kinachonifanya nisitumie pesa ovyo nakumbuka nilipotoka na pia nina kiu na kuwa na pesa nyingi (utajiri) Niishi life flan ivi la kinyamwezi na family yangu
umenifungua kaka asante sana ndio maana nashindwa kusonga mbele kumbe niko rafu sana na pesa
Asante nimekuelewa vzr Allah akujaze kheri ishaallah
Jamani mimi nabalikiwa sana namafundisho yako. Asante sana kaka.
Nakuelewa vizuri Sana unanifunza vitu bingi mungu akulipe
Amen kak nahid kubadilika somo nzur san
Nimekuelewa bro nizamu ya fetha ni muhimu sana eti mnafungua dirisha langine la mr kuku limited mwezi wa ngapi maana niliweka matumaini yangu kwa mr kuku lakini napiga simu ofisini naambiwa wameshafunga hawapokei tena wawekezaji tokea nimeambiwa ivo sina raha tena nimekuwa nikijiuliza maswali mengi sana nitafanyaje nilitegemea lakini mwisho wa siku ndio ivo uliwahi kusema mtu usiweke furaha katika vitu lakini furaha yangu kuu ninayo ila hii ya mr kuku pia ili kuwa furaha kwangu maana ilikuwa ni fursa nzuri basi hakuna namna bay Deus john Mimi napenda sana kusubutu jambo sinaga uwongo wa kufeli wala hasara pindi dirisha langine mtakapofungua nitakuwa wa kwanza kushea
Mafunzo yako yapo vizur na mungu akabaliki
Nimekuelewa vizuri tu kbs shukran
Mungu akujaliy Kakayangu kwamafunzoyako anatumika kbx
Shukran kwa ilimu Allah barik
Asante kwa msaada maana ni kweli tunamatumizi makubwa kuliko kipato.
It's a very important Lesson in our society nowadays shukran My Brother Ezden nakielewa miaka yote 🙏🙏🙏
Ya 7 ni kujiepusha na marafiki wenye kupelekea matumizi mabaya ya fedha
Asante Kaka kwa kutuelimisha hii ya kutembea na pesa nyingi nimesha iacha ilikuwa inanipa matumizi siyo
Dah!.kwel bro kuanzia Leo nitafanya mahesabu vzr
Kaka nimekuelewa kweli God bless you and me
Kaka, shukrani sana kwa elimu hii, ingawa nimechelewa kupata darasa, lkn nimejifunza kitu, asante sana
Asante kwa kufundisha somo zuri mimi nnatatizo hilo la bajeti tena linanisumbua sana ndugu yangu naomba msaada wako
Shukran sana nimejifunza
Asante sana kwa mawaidha yako
Nilichelewa sana kukufuatilia kaka wew ni zaid ya mwalim mungu akubariki uzidi kutoa elimu muhim kama hizi.
1 kipato kisizidi matumizi
2 matumizi yasiyo sahihi
3 epuka mikopo isiyo ya lazima
4 tumia pesa uliyonayo tu si uliyoahidiwa
5 kuhakikisha kuwa na bajeti💪
6 kuepuka matumizi ya kutumia credit card
Kama umemuelewa Ezden bin J4 gonga like
Kwenye kutumia fedha kwa kutumia cm huko ndiko dunia inakoelekea hatuwezi kwenye kuepuka
Ebana bro mm naitwa Abdul shida yangu mm ni mtafutaji yani wakipato cha kila kila siku sasa mimi nacheza mchezo wa upatu ule wakila siku anatoka mtu nalipia shilingi elfu kumi kwa siku lakini naona kama natoa pesa nyingi kisha sioni faida na nikisema niache mchezo ndio siwezi kabisa kuhifadhi iyo pesa sasa sijui nifanye nn kaka EZDEN naomba ushauri wako
Abdul una tumia benki nenda benki Kama crdb au nmb alaf waaereze Hilo swala .Kisha mwisho mwa maerezo yako waambie unaitaji black account au reserve account itakufaaa
Abdul una tumia benki nenda benki Kama crdb au nmb alaf waaereze Hilo swala .Kisha mwisho mwa maerezo yako waambie unaitaji black account au reserve account itakufaaa
Safi
Asante Sana Kaka ezden jumanne
Asantee Kaka nimekupenda buree
Masha Allah, may Almighty Allah give which deserve to be upon you
Ahsantee Sana mpendwa
Najifunza sana
Asante sana ubarikiwe
Nashukuru Sana broo unanirudisha kwenye njia🙏🙏
thanks you for your geet thinking bro ww upo sawa sana pne nikifaniwa ww ni mchango kwangu usihofu sicomment muda mwingi but naku appreciate sana ww in term pf your topical in examinining knowledge
May ALLAH bless you my brother,umeniokoa ktk Giza Alhamdulillah.
Nikwell mafundishoyakonimazu asantsan
Asant brother atakama ni mechelew nimejifuza asant
Mr Jumanne, am very inspired by your advices. kiukweli hiyo ndio changamoto kwangu. kila nikipata hela bhana, hujui inaisha je gafla tu. lakini kupitia ushauri wako leo hii , nimejifunza mengi sanaa
Safi sana homie thank you somo limeniingia sana . Umenisaidia sana kwenye hili somo
Mm nimekupenda sana hii
Somo nzuri sana
HONGERA sana wew unatujenga kimaisha
Ahsante sana kwa somo nzuri nimejifunza kitu
Safi sana nimeipenda hii
Thank you bro nikwelia aisee huwezikujua kiasi cha fedha unayokwenda kutumia kabla yakujua unachokihitaji haswaa: yani kama vile unanisema mimi kabisa aisee
Nimekuelewa vizuri kaka ilaongeongelea pia swala la kuridhisha marafiki katika matumizi ya fedha
Am.happy for.sorty you.
Mungu akubaliki
Nimekuelewa brother
nimekukubali sana yani ntakufatilia broo umenifunza kitu
Shukrani sana sana
Shukran broo
Worthy practices that can indeed change the status of life. Quality staff brother,
Mungu akubariki sana,kwa somo. La maana
Mashallah Allah akubariki shukran sana
tupo pamoja
Asante hilo la 6 nilinotice kitambo
Thnx alot
Ezden jumanne brother mm kila nikiangalia video zako uwa napata amasa kubwa niangalie na nyingine asante sanaa
Asate😢😮😅😊 nimejifunza meng kwako
somo zuri sana nikupata vyema.
Ushauri wako mzuri sana tutaendelea kukusapoti na kutoa mawazo hendelevu
Nafurahia sana somo nzur
Nashukur sana
Nimependa sana somo lako.
Elimu nzuri kuliko ya darasan
Thanks bro
Allah akubarik sana
Asate sana kaka hap nimejifuza kitu mana sijuwi kutuza hela
Free class big up bro kwa mawazo yanayoishi na yenye faida!!!!!
Allah akubariq kaka najifunza mengi kupitia wewe
Nashukuru Sana umenifunza Sana hapo kwa budget Shadrack kutoka masinga kenya
Uko vizuri
Asante sana kaka kwa somohili.Namuomba mungu akupe afya njema na umri mrefu
Assalamu aleikum tunakushkuru sanaa kaka kutufunza mengi natufungukiwa kimaisha Mimi lazima nitakukumbuka nikifanikiwa
Like it broo
NC advance Bro
Shukran
Nafurahia sana kazi yako ndugu yangu. Nakutakia Maisha mare fun sana. Sanasana kwenye SEVEN POINTS TO SUCCESS, ILI UWE NA MVUTO KWA WATU NA HATUA 6 ZA MAFANIKIO YA KIPESA.
Mimi ni Diamond Francis Silungwe Mbuba Nikikipata vitus vitamu nikiwa nchini Zambia. Mpakani mwa Zambia na Angola.
Somo zuri sana brother.
May Allah bless you.
Bloo una kipaji na una kitu Mia kwa moyo mmoja ili na ss tu jue thanks brother
,Nice. Bro
Nimeipenda shukran san broo
Respect
Nime kuelewa br bgp sana
Hiyo ni Sawa kabisa
Kwa kuomgeza bro me naweza sema pia kukosa ubunifu
Wengi wapo kwenye Ajira na tatizo linakuwa kwenye ubunifu wa wao kutumia kidogo wanachopata
Hivyo hujikuta mshahara wote kuishia kwenye nauli chakula na matumizi mengine yasio Rasmi
Hivyo me naona kama ni vyema kuwa na ubunifu wa kufanya plan B ya kujikimu ili kuwa zaidi kwenye kipatao
Nimejifunza pia. Kuna maeneo mengi nimekwama! Lkn taratibu nitafunguka
Sijui nilichelewa wapi mm jaman nakuelewa sana mungu akubariki kazi yako🙏
Vizuri kaka
Safi sana
Asante ndugu,
Nimekusoma brother thanks
Matumizi makubwa sana mkuu,manunuzi yasio ya lazima zote ni changamoto zinazonikabili
Tupo wengi ni kubadilika ili kufka mbali zaid
Saf sana kak
Mashaallah tabarkaallah elimu nzuri
Soma zuri sana. Nimeelewa
Thanks bro
Somo zuri kweli yani ntaanza kupanga matumizi nyumbani
Hey bro, thanks for sharing this with us, I seriously love what you do kaka, Allah akulinde insha'Allah.. HII VIDEO UMENITOA KULE NILIKO TAKIWA KUTOKA, THANK YOU BRO❤️
Jembe uko vzr nakukubali sanaaaa
Broh hata kama ukisikiliza mara 50 kama bado hauna utayari utarudi kule kule tuu😊