RAIS SAMIA ASHUKA JUKWAANI na KUCHEZA MUZIKI wa OMMY DIMPOZ na CHRISTIAN BELLA...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 30

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  ปีที่แล้ว

    BREAKING NEWS! USIKUBALI KUPITWA na HABARI ZA GLOBAL TV. JIUNGE na WhatsApp Group Now: chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ...

  • @AbdilahiMriri
    @AbdilahiMriri ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana Mhe Dr Samia Suluhu Hasani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa uchangamfu na kuwachangamsha wageni wetu.
    Hongera pia kwa Hotuba nzuri.
    Hongera sana pia kwa juhudi kubwa kuweza kumaliza Ikulu yetu ya Dodoma.

  • @MwandaJohn-w6i
    @MwandaJohn-w6i ปีที่แล้ว +1

    Nampenda sana mama Samia Mungu amuongoze ampe afya njema na maisha marefu In sha Allah

  • @hanspop6961
    @hanspop6961 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana Mama, Dimpoz na Bella iyo Nyimbo iwe ndefu kwa Mama yetu nzuri sana muongeze Mashairi ❤❤

  • @PeninaOpondo
    @PeninaOpondo 6 หลายเดือนก่อน

    Haki Tanzania is blessed with great leaders the likes of Magufuli, samia and also powerful worsippers and musicians.

  • @davidmazengo626
    @davidmazengo626 ปีที่แล้ว

    Nyimbooo kaliiii mpaka rahaaaah

  • @shantungamaumba7159
    @shantungamaumba7159 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 ปีที่แล้ว +9

    JAMAN NISIWE MNAFIKI MWENZENU KILA NIKIMUONAGA MAMA JANET MAGUFULI CHOZI LINANIDONDOKA WALLAH DAH SIJUI LINI NITACHA HII ROHO YA HURUMA KWA HUYU MAMA😢😢

  • @elimuvisioncenter
    @elimuvisioncenter ปีที่แล้ว +1

    INAKWAMA KWAMA ... AFU MKAIPOST HIVYO HVYO ... 😢

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo wa mwaka huo

  • @abbassalum6824
    @abbassalum6824 ปีที่แล้ว

    Tafuneni Nchi

  • @DONALDMTOWE-u9g
    @DONALDMTOWE-u9g ปีที่แล้ว

    Hivi kweli serekali haikuona umuhimu ya kuwaalika wanamuziki wa zamani waliokuepo wakati Baba WA taifa akiwepo na wakaimba wakimsifia kwauamuzi wake wa kufanya makao mkuu ya chama na serekali yawe Dodoma, mkawaita hao wanao imba nyimbo ambazo huwezi Angelia na watoto.

  • @oman8573
    @oman8573 ปีที่แล้ว

    Yani hata mimi kwa kweli nikimuona mama janeti duu moyo wangu unajaa huzuni sana

    • @ibrahimmbarouk1564
      @ibrahimmbarouk1564 ปีที่แล้ว

      Poleni sana....!! Lakini hivi mnaamini kadari ya M/Mungu kwa udhati kweli.
      Hofu yangu imani yenu kwa Muumba mmoja ni ndogo.
      Kuna hatari ya kumkosoa hata Mungu mwingi rehema, ambapo sasa mtaingia dhambini, nakupeni pole tena.

  • @fatumamawazo
    @fatumamawazo ปีที่แล้ว

    Mh

  • @oman8573
    @oman8573 ปีที่แล้ว +1

    ❤❤❤❤❤

    • @aysharamadhani941
      @aysharamadhani941 ปีที่แล้ว

      Hongera mama yetu kwa mazuri unayotufanyia Asante Saba mama