Passion fm
Passion fm
  • 384
  • 279 451

วีดีโอ

MZEE KADUGUDA AFUNGUKA SAKATA LA AHMED ALLY NA ALI KAMWE KUTAKIWA KULIPA MABILIONI, WELEDI TATIZO
มุมมอง 22K2 ชั่วโมงที่ผ่านมา
MZEE KADUGUDA AFUNGUKA SAKATA LA AHMED ALLY NA ALI KAMWE KUTAKIWA KULIPA MABILIONI, WELEDI TATIZO
MALANGO: MUSONDA NA BALEKE WANAPASWA KUPEWA NAFASI KAMA DUBE NA MZIZE
มุมมอง 242 ชั่วโมงที่ผ่านมา
MALANGO: MUSONDA NA BALEKE WANAPASWA KUPEWA NAFASI KAMA DUBE NA MZIZE
MASOUND: KOCHA RAMOVIC AMEKUJA NA MBINU MPYA HII NI HATARI SANAKWA WAPINZANI
มุมมอง 394 ชั่วโมงที่ผ่านมา
MASOUND: KOCHA RAMOVIC AMEKUJA NA MBINU MPYA HII NI HATARI SANAKWA WAPINZANI
RAMOVIC AMEAANZA NA KIPIGO HAFIKI JANUARI, MASHABIKI YANGA KUPELEKA LAWAMA KWA ENG.HERSI GAMONDI
มุมมอง 1812 ชั่วโมงที่ผ่านมา
RAMOVIC AMEAANZA NA KIPIGO HAFIKI JANUARI, MASHABIKI YANGA WAPELEKA LAWAMA KWA ENG.HERSI
MAKOA; YANGA WALIKURUPUKA WANAJUTA KUMFUKUZA GAMONDI, ENG HERSI, MASHABIKI WAMEVURUGWA
มุมมอง 6312 ชั่วโมงที่ผ่านมา
MAKOA; YANGA WALIKURUPUKA WANAJUTA KUMFUKUZA GAMONDI, ENG HERSI, MASHABIKI WAMEVURUGWA
KADUGUDA: MUKWALA NA ATEBA HAWASTAHILIKUCHEZA SIMBA, AWATOLEA UVIVU MASHABIKI SIMBA
มุมมอง 27K14 ชั่วโมงที่ผ่านมา
KADUGUDA: MUKWALA NA ATEBA HAWASTAHILIKUCHEZA SIMBA, AWATOLEA UVIVU MASHABIKI SIMBA
KADUGUDA: SIMBA BILA KUTUSHIRIKISHA SISI HAIWEZI KUCHEZA ROBO FAINALI CAF, YANGA BADO
มุมมอง 4.4K14 ชั่วโมงที่ผ่านมา
KADUGUDA: SIMBA BILA KUTUSHIRIKISHA SISI HAIWEZI KUCHEZA ROBO FAINALI CAF, YANGA BADO
MCHAMBUZI: CAMARA GOLIKIPA BORA KWASASA MANULA AKUBALI MZIKI AMPIGIA MAKOFI, DIARRA BADO SANA
มุมมอง 18316 ชั่วโมงที่ผ่านมา
MCHAMBUZI: CAMARA GOLIKIPA BORA KWASASA MANULA AKUBALI MZIKI AMPIGIA MAKOFI, DIARRA BADO SANA
DUBE NA AZIZ KI WAMECHOKA YUKO WAPI CHAMA. USAJILI WA BELEKE NI WA MIHEMKO, MUSONDA HACHEZI
มุมมอง 1116 ชั่วโมงที่ผ่านมา
DUBE NA AZIZ KI WAMECHOKA YUKO WAPI CHAMA. USAJILI WA BELEKE NI WA MIHEMKO, MUSONDA HACHEZI
MASHABIKI YANGA: DIARRA SIO MDAKA MISHALE NI MKWEPA MISHALE, AMESHUKA KIWANGO ANAPIGWA MATOBO
มุมมอง 1316 ชั่วโมงที่ผ่านมา
MASHABIKI YANGA: DIARRA SIO MDAKA MISHALE NI MKWEPA MISHALE, AMESHUKA KIWANGO ANAPIGWA MATOBO
AL HILAL WALIWACHIA VIUNGO WA YANGA WACHEZEYANGA WAMEZIDIWA UZOEFU WA MASHINDANO YA CAF
มุมมอง 6316 ชั่วโมงที่ผ่านมา
AL HILAL WALIWACHIA VIUNGO WA YANGA WACHEZEYANGA WAMEZIDIWA UZOEFU WA MASHINDANO YA CAF
YANGA NI MASIKINI WA MASHABIKI, BILA TIKETI ZA BURE UWANJA HAWAJAZI WAJIFUNZA KWA SIMBA MANARA KAMWE
มุมมอง 8K21 ชั่วโมงที่ผ่านมา
YANGA NI MASIKINI WA MASHABIKI, BILA TIKETI ZA BURE UWANJA HAWAJAZI WAJIFUNZA KWA SIMBA MANARA KAMWE
MANULA KURUDI KIKOSI CHA KWANZA SIMBA, CAMARA KUKAA BENCHI, KOCHA FADLU AKUBALI TUU
มุมมอง 3214 วันที่ผ่านมา
MANULA KURUDI KIKOSI CHA KWANZA SIMBA, CAMARA KUKAA BENCHI, KOCHA FADLU AKUBALI TUU
GAMONDI ALIKUWAANATEMBELEA UPEPO NA KOCHA NABI PALE YANGA
มุมมอง 1514 วันที่ผ่านมา
GAMONDI ALIKUWAANATEMBELEA UPEPO NA KOCHA NABI PALE YANGA
KADUGUDA: INASIKITISHA SIMBA KUKAA MIAKA ZAIDI YA 50 BILA KUCHEZA NUSU FAINALI, ACHENI MANENO MANENO
มุมมอง 16114 วันที่ผ่านมา
KADUGUDA: INASIKITISHA SIMBA KUKAA MIAKA ZAIDI YA 50 BILA KUCHEZA NUSU FAINALI, ACHENI MANENO MANENO
MWAKINYO: MABONDIA WAENDELE KUNIBEZA HAWANASIFA, MIMI NAMBA MOJA AFRIKA, TONNY RASHINDI....
มุมมอง 6414 วันที่ผ่านมา
MWAKINYO: MABONDIA WAENDELE KUNIBEZA HAWANASIFA, MIMI NAMBA MOJA AFRIKA, TONNY RASHINDI....
FRIDGE BOVU: UONGOZI WA YANGA CHINI YA ENG.HERSI UNAMADUDU MENGI SANA, GAMONDI NA MSAIDIZI WAKE
มุมมอง 14414 วันที่ผ่านมา
FRIDGE BOVU: UONGOZI WA YANGA CHINI YA ENG.HERSI UNAMADUDU MENGI SANA, GAMONDI NA MSAIDIZI WAKE
MWALIMU YANGA: KMC WATUONESHE MKATABA, MEYA ANAFANYA UTOTO, KOCHA MOALLIN YANGA
มุมมอง 21014 วันที่ผ่านมา
MWALIMU YANGA: KMC WATUONESHE MKATABA, MEYA ANAFANYA UTOTO, KOCHA MOALLIN YANGA
MASAU BWIRE: SIMBA NA YANGA ZA KAWAIDASANA, JKT NDIO TIMU BORA TANZANIA
มุมมอง 6214 วันที่ผ่านมา
MASAU BWIRE: SIMBA NA YANGA ZA KAWAIDASANA, JKT NDIO TIMU BORA TANZANIA
FRIDGE BOVU AWAPASUA YANGA PRINCESS WACHEZAJI HAWALIPWI TOAFAUTI NA SIMBA
มุมมอง 8321 วันที่ผ่านมา
FRIDGE BOVU AWAPASUA YANGA PRINCESS WACHEZAJI HAWALIPWI TOAFAUTI NA SIMBA
MZAMARU SIMBA: KMC WANAWEKA CAMARA,TUNAWAJUA HAWACHELEWI KUFUKIA MBUZI
มุมมอง 12421 วันที่ผ่านมา
MZAMARU SIMBA: KMC WANAWEKA CAMARA,TUNAWAJUA HAWACHELEWI KUFUKIA MBUZI
KADUGUDA: MO DEWJI ANAFAIDIKA NA SIMBA NDIO MAANA BADO YUPO, WANACHAMA WANATUMIKA VIBAYA SANA
มุมมอง 95321 วันที่ผ่านมา
KADUGUDA: MO DEWJI ANAFAIDIKA NA SIMBA NDIO MAANA BADO YUPO, WANACHAMA WANATUMIKA VIBAYA SANA
KADUGUDA: MTU HANA ELIMU ANAONGOZAJE MPIRA, NI USWAHILI YANGA INASHINDWAJE KUMLIPA OKRAH
มุมมอง 3.6K21 วันที่ผ่านมา
KADUGUDA: MTU HANA ELIMU ANAONGOZAJE MPIRA, NI USWAHILI YANGA INASHINDWAJE KUMLIPA OKRAH
KADUGUDA: NILIWAAMBIA SIMBA KABLA GOLI TANO,MZEE MPILI HANIWEZI, SHIDA HAWATUSHIRIKISHI
มุมมอง 5K21 วันที่ผ่านมา
KADUGUDA: NILIWAAMBIA SIMBA KABLA GOLI TANO,MZEE MPILI HANIWEZI, SHIDA HAWATUSHIRIKISHI
SHETANI YANGA: KMC LEO TUMEKUTA KICHWA CHA PAKA MWEUSI, AZIZ KI NA GAMONDI SIWAELEWI
มุมมอง 4921 วันที่ผ่านมา
SHETANI YANGA: KMC LEO TUMEKUTA KICHWA CHA PAKA MWEUSI, AZIZ KI NA GAMONDI SIWAELEWI
NI KWELI GAMOMDI ALIKIMBIA KIKAO CHA VIONGOZI DIARRA KIPA WAKAWAIDA SANA
มุมมอง 2K21 วันที่ผ่านมา
NI KWELI GAMOMDI ALIKIMBIA KIKAO CHA VIONGOZI DIARRA KIPA WAKAWAIDA SANA
YANGA HAIWEZI KUVUMILIA MADUDU,WATAMPIGA MAKOFI, GAMONDI AU AONDEKE
มุมมอง 9421 วันที่ผ่านมา
YANGA HAIWEZI KUVUMILIA MADUDU,WATAMPIGA MAKOFI, GAMONDI AU AONDEKE
GAMONDI AKUBALI AZIZ KI ANAYEMTEGEMEA KACHOSHWA NA HAMISA, YANGA HAITAKI UBINGWA
มุมมอง 10621 วันที่ผ่านมา
GAMONDI AKUBALI AZIZ KI ANAYEMTEGEMEA KACHOSHWA NA HAMISA, YANGA HAITAKI UBINGWA
HII NDIO YANGA MBOVU ZAIDI KUWAHIKUIONA KOCHA HAMPENDI KABISA KIBWANA
มุมมอง 29821 วันที่ผ่านมา
HII NDIO YANGA MBOVU ZAIDI KUWAHIKUIONA KOCHA HAMPENDI KABISA KIBWANA

ความคิดเห็น

  • @hajichapa4215
    @hajichapa4215 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwa mtazamo wangu hawa wote walikuwa kwenye utani ambao ni jadi huo upo ila ninachokiona kosa la ali kamwe kumuingiza mtu wa3 ambaye ametengeneza jezi na ambae hahusiki katika utani na ndiye ambaye amemshtaki kwa kuchafuliwa brand yake na sio simba iliyomshtaki kwa sababu ni sehemu ya utani ingawaje utani wao umepitiliza mno. Na kwa upandebwa Ahmed Ali kwangu sioni kosa kwani yote aliyoyasema yana uhakika ndani yake na kama kuchafuliwa basi ilikuwa ni kumtumia huyo mchezaji aliyetajwa kuwa yy ndie aliyechafuliwa na sioni kama klabu ya yanga imechafuliwa hapa ni issue ya mchezaji kwani Yanga wameshapewa adhabu kwa issue hiyo vyenginevyo kama yanga walikata rufaa na wakashinda hapo ahmedali atakuwa na kosa. NI MTAZAMO WANGU

  • @hajichapa4215
    @hajichapa4215 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kama mmemuelewa Ahmed Ali kuhusu hilo la sindano na ukihusisha na professionalism media law kama ulivyosema hapo Ahmed hana kosa kwani katumia case study ambayo imeshatolewa hukumu

  • @DoreenMlay-e8g
    @DoreenMlay-e8g 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    uyu anajixima data ahimedy alii ameongelea zaidi ya mara 2 kuhusu yanga kutumia sindano na ile siku yanga wameondoka uwanja wa azam ndo alirapu kweli sasa uyu kaduguda anatetea utumbo gani apo

  • @KaizaJohaiven
    @KaizaJohaiven 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tuko pamoja, kwa mara 1 passion fm. Kutoka bukoba tz airport sports

  • @juliethPhelimon
    @juliethPhelimon 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Jaman huo ni utani tu, wasamehew tu jamani

  • @Simongadsonmlekwa
    @Simongadsonmlekwa 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    lakni ahamed amekoseawapikwani akisema amechoka kudungwa sindano nyinyi mnamaanisha kwel sindano alimanisha kufungwa kila mechi amechoka barisio alimanisha sindano kwel yeye alimanisha amechoma kukaanatimu inafungwatu marakwa mara

    • @DoreenMlay-e8g
      @DoreenMlay-e8g 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      wee mjinga kweli kufungwa na nakusema amechoka kuchoma sindano kama anazuia mimbi mm klip yake ninayo mshenzi kweli na domo lake kaakopo lachooni alipe iyo hela hana adabu

    • @DoreenMlay-e8g
      @DoreenMlay-e8g 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      anaifananisha yanga na iyo box yake ya ndani ikisikia tu kuitzja anataja 2 mpuuzi 1 uyu

  • @Joycekwolola7
    @Joycekwolola7 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ashukriwe Mungu yote haya yametabiriwa

  • @mckobatz5861
    @mckobatz5861 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kaduguda akili kubwa sanaaaa cheki alivyopangua hoja ya sindano kudadadeki 😂😂😂

  • @Iblahim-123
    @Iblahim-123 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wachambuzi wote hamna kitu yan mnashinda kufafanua alikamwe kashitakiwa na sanda sio Simba na ahamedi yeye alikuwa katika utani si kuchafua blandi

  • @AlbertSylvester-g8u
    @AlbertSylvester-g8u 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Akili zenu hazipo SAWA nyie waandishi. Mmemwita Kaduguda. Msikilizeni ili mpatie mtazamo wake. Itawasaidia kuongeza uelewa kuliko mazungumzo yenu ambayo hayaelimishi. Mmejikita kwenye ushabiki tu.

  • @NjoholleSolloOlesoyaih
    @NjoholleSolloOlesoyaih 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mzee anajitoa ufahamu lakini anaijua Ahmed Ally si mara Moja kusema wanatumia sindona kwa maana Ili wawe na nguvu , so hakumaanisha Pacome ni mgonjwa Bali alimaanisha sindano za kuongeza nguvu , Mzee anaijua lakini anajifyatua akili

    • @DoreenMlay-e8g
      @DoreenMlay-e8g 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      na hata baada ya yanga kufungwa na tabora aliongea tena na kusema wanampango wa kumchukua pacome aende simba maana amechoka ku2mia sindano kama wanapanga uzazi wa mpango ailipe yanga kawachafua sana na qoneshe ushaidi mpuuzi 1 nilikua naumia sana kuhusu ichi k2

  • @christopherngiga9349
    @christopherngiga9349 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kuna tusi nimelusikia hapo awajibishwe kabisa.

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwani waandishi hamuwezi kusoma vizuri siku hizi??

  • @herbertfaustine4425
    @herbertfaustine4425 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mtangazaji hata hujui lipi uhoji.

    • @rahimukisandu9961
      @rahimukisandu9961 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ni kweli kabisa yaani hawajui wanachokiongea issue ni kwamba ally kamwe amalizane na kampuni y sanda na sio simba

  • @RobertKajege
    @RobertKajege 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pia mwanasheria na wakala wa pacome anayo nafasi ya kumfungulia shauri la madai ahamed ally kwa kumchafua mteja wake ikizingatia mkataba wake uko ukingoni

  • @RobertKajege
    @RobertKajege 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kiufupi ahamed ally anapaswa kuajibishwa kisheria ameikosea sana heshima yanga asiachwe hivi hivi amezidi kuropoka pia atoe ushahidi juu ya matumizi ya sindano

  • @idrisathabiti5673
    @idrisathabiti5673 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sasa mmesema nyie au mzee!!!?

  • @ramadhansururujuma2394
    @ramadhansururujuma2394 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sindano akiumwa si anachomwa tu mchezaji na swala la Uchawi jamaa washapigwa faini mara mbili mbona hawajawalalamikia TFF wawape ushahidi na Ahmed hajawataja Yanga kasema wale ni Wachawi

  • @nbwchannel4997
    @nbwchannel4997 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nyie waandishi wengi wenu madishi

    • @herbertfaustine4425
      @herbertfaustine4425 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😅😅😅😅😅 Kweli kabisa yani ni km wajinga flani hivi wako sokoni

  • @AbdalahHuseen
    @AbdalahHuseen 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Walisha sema wao simba wanaweka dawa vyumbani aseki

  • @dilludillu2747
    @dilludillu2747 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbona Yanga wao wanaiga tu? Kashtakiwa na Sanda nayy anashtak alikuwa wap

  • @HamisRashid-xl4mn
    @HamisRashid-xl4mn 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    SASA MASWALA PACOME ANAMALIZA MKATABA NDO NINI HAYA NIMANENO YAUTANI2 UTOPOLO ACHANI USHAMBA

  • @WazaeliStefano
    @WazaeliStefano 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hivi jezi za Simba zimesusiwa na nanii walitaka zinunuliwe na yangaa hivi mama akiwaandalia watoto wake chakula jirani akasema chakula chenu kibaya Sasa una kisusia utakula kipii

  • @IMANIMWAITEGE-ve8gr
    @IMANIMWAITEGE-ve8gr 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mjianzie nyinyi wenywe wandishi wa habari ndipo mwende kwa hao wawili

  • @IMANIMWAITEGE-ve8gr
    @IMANIMWAITEGE-ve8gr 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hakuna faini dunia kote Kama waliopewa Hawa wawili

  • @IMANIMWAITEGE-ve8gr
    @IMANIMWAITEGE-ve8gr 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwa ufupi niwasaidie waandidshi.ally kamwe ameajiriwa na yanga na amehdy Ally ameajiriwa na Simba wote wawili hawana uwezo wa kulipa hizo pesa na hawajawahi hatabsiku moja kufikia kiwango hicho.alafu mmetutukana ahmedy Ally katukana na nyinyi mnashabikia waandishi gani nyinyi?

    • @hajikatanje5961
      @hajikatanje5961 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hajasema kumamae amesema tuka mpa mamae nihamisa,au kuna tusi lina itwa mamae

    • @IMANIMWAITEGE-ve8gr
      @IMANIMWAITEGE-ve8gr 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @hajikatanje5961 sikusikia vzuri

  • @IMANIMWAITEGE-ve8gr
    @IMANIMWAITEGE-ve8gr 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nyinyi waandishi ndio mnao chochea vitu.vingi hasa katika swala la mpira.na mmeharibu mpira

  • @NyasanaTv-ol4ix
    @NyasanaTv-ol4ix 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    kunavijana wanapiga kazi saizi akina finishian sio hiyo ubwa yenu anakiwango gani huyo siku mnashenyetwa na tabora goli tatu sialikuwemo uwanjani anazulula tu kama panyalodi alifanya nini sasa

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hapo sioni kuna kitu mnataka kutusomesha . Cha mhimu wafanysbiashara wasiowavumilivu na utani wa yanga na simba ni bora waache kufanya biashara na vilabu vyetu ili tuendelee na utani wetu. Sifa ziende kwa MO na GSM, hao hawana shida na vilabu vyetu.

  • @NyasanaTv-ol4ix
    @NyasanaTv-ol4ix 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    mkataba na addas eee nyooo kwa kiwango gani ashindwe kupewa mbape na ronado na haland apewe pakome national tim yake tu hawamjui wala hajawahi itwa mapumbu yenu mmekosa la kusema

  • @AhobokileKiyamba
    @AhobokileKiyamba 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    wachambuzi uchwala unataka nyeupe iwe nyeusi

  • @NyasanaTv-ol4ix
    @NyasanaTv-ol4ix 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    mzee uko sahihi kabisa ahamed hakusema sindano za kuongeza nguvu pakome alikua majuhi na yanga wakasema wao yuko majeluhi tukashangaa mtu. mtu anacheza tafasili yake alidungwa sindano ya ganzi hizo za kuongeza nguvu wamesema wao kwahiyo wametulahisishia kujua kumbe na hizo wanatumia inadi wachezaji wao wakapimwe na kama hawatumii azam alivyo onyesha zile bomba za sindano walizo zisahau chumbani walimo kua wakibadilishia nguo mbona wakahama na uwanja na wakaanza kuuchafua uwanja wa azamu eti mbuvu eti viti vidogo yanga kwel watakua wanatumia vitu fulan wachunguzwe hawa

  • @IssaMatandi
    @IssaMatandi 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ahemedi kaka imekuaje hadi unatukana,matusi?

  • @MwalumogoMsigwa
    @MwalumogoMsigwa 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kaduguda mlimwita wa nini? Mbona naonge wenyewe sasa

  • @NdayishimiyeEvelyne-ws6ts
    @NdayishimiyeEvelyne-ws6ts 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Munaweza kutwambia sanda ni nani mbona ally alisema sanda apo vipi

    • @DoreenMlay-e8g
      @DoreenMlay-e8g 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      sanda si vazi la marehemu au wew unatakakujua nin apo na ali kamwe alisema izo sanda ni mbaya maana sijai ona marehemu kavaa sanda afu akasifiwa kapendeza sasa nashangaa alikamwe ana kosa gani apo mm mwenyewe naungana nae kusema sanda ni mbayaaa,

  • @NdayishimiyeEvelyne-ws6ts
    @NdayishimiyeEvelyne-ws6ts 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nihatari utafikiri sio msomyi

  • @linuslusian-d5w
    @linuslusian-d5w 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    aho wote simba

  • @saidmasoud9004
    @saidmasoud9004 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wandishi mna entafear kupitiliza

  • @saidmasoud9004
    @saidmasoud9004 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mwandishi mna interfear sana

  • @ferezaisaack9836
    @ferezaisaack9836 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbona msemaji husemi vizur makosa ya Ahmedy ally amechoka kudungwa sindano kama anazuia mimba

    • @DoreenMlay-e8g
      @DoreenMlay-e8g 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      sawa kabisa wewe unesema mm mwenyewe kwa masikio yangu

  • @ShomariAbasiMwinyimku
    @ShomariAbasiMwinyimku 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kaduguda.

  • @RadhidiRamazani
    @RadhidiRamazani 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    awo wachambuzi wanashidwa kusoma chenye nimesemwa wachambuzi munachocheya sana mambo

  • @SimonPonera
    @SimonPonera 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pacoome alikuwa na diri na adidas sasa ameshindwa kupata diri sasa diri imeharibika ya bilion 20 imekufa tunaomba mwanasheria wake mchezaji aangarie hiri

  • @ShabaniJuma-n7f
    @ShabaniJuma-n7f 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mzee Kaduguda Unachengesha. Ahmed Alisema Amechoka Kuchomwa SINDANO Kila Siku. Swali la Kujiuluza unaposema mtu Amechoka Maana yake ni nini? Na Unaposema Kila siku maana yake nini? Anaweza Kumleta Daktari athibitishe kama Pacome anaumwa kila siku? Halafu Mzee Kaduguda mbona Uchawi Ahmed alisema hujauongelea.? Acheni Mambo yenu bhana hayo yote ya Ali Kamwe na Ahmed Ally ni Utani wa Jadi tu bhana. Ukiona Huuzi jezi basi jua ni Lonya tu au Watu hawana pesa za Kununua

  • @LucyMambally
    @LucyMambally วันที่ผ่านมา

    Mbona mwandishi huziungumzii iisue ya Pacome? Jamani waandisho hawa? Ebu nanyi muwe weledi ktk Taaluma yemu???

  • @drallan6879
    @drallan6879 วันที่ผ่านมา

    nyuma mwiko tutawalipa B10 mkalipe madenl no

  • @IbradamFrada
    @IbradamFrada 2 วันที่ผ่านมา

    Jaman mungu akupe maisha marefu yassir uendelee kutuchambulia mpira keep it up uko vzr sana nakuona mbal mungu afungulie mlang mkubwa zaid wa ridhik mm nishakuwa shabik yak namba moja❤❤

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb 4 วันที่ผ่านมา

    Huna tofauti na magoma wa yanga