UTACHEKA: DIAMOND PLATNUMZ NA BABA LEVO PITA HUKU (DULLA MAKABILA)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
  • #diamondplatnumz #comedy #babalevo #azaboi

ความคิดเห็น • 61

  • @samsonrumanywa320
    @samsonrumanywa320 ปีที่แล้ว +6

    You're moving to the next level

  • @charoharrison219
    @charoharrison219 ปีที่แล้ว +5

    Hahahahaha kumbe mbinguni watu awalali,,,sema pitapita hizo

  • @officialAlAbdul
    @officialAlAbdul ปีที่แล้ว +13

    Hakika mnavuka mipaka sana mungu ana mfano wala afanani na yoyote chochote kile .....basata kama mtaiona ii comment Mimi kama shabiki siwezi kubali ili hakika hali ya yote tuache utani wakijinga

    • @mohamedayub3666
      @mohamedayub3666 ปีที่แล้ว +2

      Innalillah wainna ilayhi rajiun hakika huu ni msiba mkubwa

    • @wilsonwidudupfikiwilson1723
      @wilsonwidudupfikiwilson1723 ปีที่แล้ว

      Kakakakakakka nyie nae mnazinguwa

    • @nyandajr
      @nyandajr ปีที่แล้ว

      @@mohamedayub3666 hicho kiarabu acheni watu wafanye kazi nani mwenye mali ya halali

    • @TonnyCaesar
      @TonnyCaesar ปีที่แล้ว

      Hao wamemuigiza Gabriel na Michael hao ni Malaika sio Mungu jamani

    • @octaviorlucky6928
      @octaviorlucky6928 ปีที่แล้ว +1

      We nae mwehu

  • @sebastiankatalle2732
    @sebastiankatalle2732 ปีที่แล้ว +3

    Mtahukumiwa kwa ujinga wenu.MUNGU haletewi upumbafu wenu

  • @azaboicomedy
    @azaboicomedy  ปีที่แล้ว +4

    KESHO NAWEKA STORY YA MARIOO NA DIAMOND

  • @EmmanuelLucas-sb5sk
    @EmmanuelLucas-sb5sk ปีที่แล้ว +1

    Mpo. Good xanaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 from naivashaa kenyaaa

  • @uwimana6533
    @uwimana6533 ปีที่แล้ว +2

    😁😁😁😁😁 baba levo umetisha

  • @stevennyondo2215
    @stevennyondo2215 ปีที่แล้ว +3

    😂😂😂 machawa rais kawapa shavu

  • @PASSWORD-026
    @PASSWORD-026 ปีที่แล้ว +1

    Nakubal sana kaka

  • @issaskighanga3199
    @issaskighanga3199 ปีที่แล้ว +1

    Mondi natamani nyimbo ya asake 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 babalevo bane🤣🤣🤣

  • @fatumaomary6110
    @fatumaomary6110 ปีที่แล้ว +1

    Aza nakukubali sana mwanangu ila kwa upambavu huu utaharbu mashabiki wa siku nying kwa clip moja njaa isikupande kichwan ukakosa hekima na imani ya dini yan Leo ndota unamuitwa jibril shenz nyie

  • @ramadhanhassan6241
    @ramadhanhassan6241 ปีที่แล้ว +2

    Hakika sisi ni wamungu na kwake tutarejea

  • @elizabethndinda4538
    @elizabethndinda4538 ปีที่แล้ว +4

    Hahaha makubwa

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 ปีที่แล้ว +2

    Fanyeni mabo uenu yote lakini
    Msifanye mchezo na mungu nyie washenzi

  • @azeezmawled5830
    @azeezmawled5830 ปีที่แล้ว +4

    Acheni kuvuka mipaka mungu hataniwi kiasi hichi

    • @TonnyCaesar
      @TonnyCaesar ปีที่แล้ว +1

      Hao wamemuigiza Gabriel na Michael hao ni Malaika sio Mungu jamani

    • @Officialvplat
      @Officialvplat ปีที่แล้ว

      Em mtuache tuchekee 😂😂😂

  • @georgemzuli3422
    @georgemzuli3422 ปีที่แล้ว +3

    Chawa hadi mbinguni

  • @jumahassan273
    @jumahassan273 ปีที่แล้ว +1

    Mbinguni kuna boda boda zinapita hapo boy mmechemka

  • @NurdiniChamtung-kr8ut
    @NurdiniChamtung-kr8ut ปีที่แล้ว

    Ni moja kati ya dalili za qiyama allha wasamehee

  • @NurdiniChamtung-kr8ut
    @NurdiniChamtung-kr8ut ปีที่แล้ว

    Tunakufuru waungwat

  • @momaderachide7806
    @momaderachide7806 ปีที่แล้ว

    Kama comed zimewachinda bora 2 mukae, kuliko kuufanya ujinga kama huo. KUMA🇲🇿

  • @checheblessum8343
    @checheblessum8343 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂😂

  • @mziwandaak-4743
    @mziwandaak-4743 ปีที่แล้ว

    Mnajua.sana

  • @zuwenaalamin8985
    @zuwenaalamin8985 ปีที่แล้ว +2

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @davidnyerere2016
    @davidnyerere2016 ปีที่แล้ว

    Mnajifanya muwalokole acheni ujinga waachen vijana

  • @ladoidris4387
    @ladoidris4387 ปีที่แล้ว

    Nyny mbwa hmna adab mnamtania Allah

  • @farida7645
    @farida7645 ปีที่แล้ว +1

    😁😁😁😂😂😂😂

  • @nelsonmaganya5391
    @nelsonmaganya5391 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣pita uku

  • @pickfordjustin3432
    @pickfordjustin3432 ปีที่แล้ว +1

    Huna Idea nyingine

  • @jumahassan273
    @jumahassan273 ปีที่แล้ว

    Asake wa tandale

  • @vanderjoe2551
    @vanderjoe2551 ปีที่แล้ว +3

    Naombeni like zangu

  • @nunuuali5316
    @nunuuali5316 ปีที่แล้ว +1

    😀😀😃😃😃😃😃😃

  • @yordanyona1234
    @yordanyona1234 ปีที่แล้ว

    Igizo

  • @abrahapple8462
    @abrahapple8462 ปีที่แล้ว

    Astaghafirullah astaghafirullah astaghafirullah

  • @nzitogondwe9976
    @nzitogondwe9976 ปีที่แล้ว

    Mmevuka mipaka nyie

  • @charoharrison219
    @charoharrison219 ปีที่แล้ว +1

    Daamondi wa leo kaongea eti

  • @nizytz7273
    @nizytz7273 ปีที่แล้ว

    😂😂😂

  • @adamuabuu9750
    @adamuabuu9750 ปีที่แล้ว

    Acheni kufuru

  • @bobylove2757
    @bobylove2757 ปีที่แล้ว

    😂😂 follow

  • @khamisjuma3841
    @khamisjuma3841 ปีที่แล้ว

    Tukicheka nao sana sote tutakua kwenye makosa, ipo haja ya kiwakataa Kuna vitu wavuka mipaka. Hizi sifa za kijinga mungu hafananishwi na mtu yoyote. Sio poa kuwafanya watu ni mungu

  • @fererouzferasixth5374
    @fererouzferasixth5374 ปีที่แล้ว

    Baba levo

  • @kushkabulika4074
    @kushkabulika4074 ปีที่แล้ว

    Vijinga ivi 😂😂😂😂