Max nilikushangaa kwenye ile video ulivyokula gundi wakati mavitu ya Su-57 yalikuwa si ya kawaida.Wewe subiri tuu hiyo engine nyingine itayofungwa hapo ndio utaona hiyo F-35 yako unayoipigia chapuo kuwa si lolote.Warusi kwa vyombo vya anga ni wabunifu sana.Max siku ukisikia jwtz wana maonyesho mahali kama yale yalifanyika wakati wa JK pale airwing hebu nenda utajifunza vitu vingi na kuongeza maujuzi kuliko kutegemea habari za wenzetu wanazotoa kwa maslahi yao.Ukibahatika kukutana na hao jamaa wa maneuver uta enjoy sana.Ila leo kwenye video hii umejitahidi kueleza nilichotarajia.Safi sana!
Vp max ase sisi shabikizako tumevutiwasana na hiii vidio ya su 57 visi umevyo ingelea mambo ya elodainamick Sa tungependa max utuletee vidio inayo ongelea mashwala ya elodainamick tu na utueleweshe kiundani zaidi olituelewe kuliko kutuacha Juu juu max itapendeza sana kama utafanya hivyo max Tunakuomba usipuuze sisi kama shabik zak max ⏰⏰ nimali
Wew unayumba video ya juz ulisema J 35 ni habar nyingine kuliko su 57 umeona ulimwengun inazungumziwa sana su57 kuliko j35 umebalika
Daaaaah nimecheka sana
Huyu ni kinýonga
Kaka mimi ulinikera sana unatuchambuwa vibaya warusi hiyo video yako ya juzi 😂😂😂
The su 57 is shit
Max nilikushangaa kwenye ile video ulivyokula gundi wakati mavitu ya Su-57 yalikuwa si ya kawaida.Wewe subiri tuu hiyo engine nyingine itayofungwa hapo ndio utaona hiyo F-35 yako unayoipigia chapuo kuwa si lolote.Warusi kwa vyombo vya anga ni wabunifu sana.Max siku ukisikia jwtz wana maonyesho mahali kama yale yalifanyika wakati wa JK pale airwing hebu nenda utajifunza vitu vingi na kuongeza maujuzi kuliko kutegemea habari za wenzetu wanazotoa kwa maslahi yao.Ukibahatika kukutana na hao jamaa wa maneuver uta enjoy sana.Ila leo kwenye video hii umejitahidi kueleza nilichotarajia.Safi sana!
Wakwanza tena leo
J marks unatisha boss chukua maua yako 🔥🙌
safi kaka nakukubali
Naomba unitafutie zile jeti za Tanzania 🇹🇿 huwezo wake
Nakukubali
Max nakukaribisha Kambini apa ngelengele njoo unywe chai kambini
Watuachie mashabki wa marekan jmn
Pamoja tumetulia timu u.s.a
Talk news about Iran airplan F31
Wewe toa testi ya 6 ya roket ya elon max
Vp max ase sisi shabikizako tumevutiwasana na hiii vidio ya su 57 visi umevyo ingelea mambo ya elodainamick
Sa tungependa max utuletee vidio inayo ongelea mashwala ya elodainamick tu na utueleweshe kiundani zaidi olituelewe kuliko kutuacha Juu juu max itapendeza sana kama utafanya hivyo max
Tunakuomba usipuuze sisi kama shabik zak max ⏰⏰ nimali
🇺🇲🇺🇲🇺🇲🇺🇲🇺🇲 nimemkubali kama unadanganya 😅😅😅
🙅
Kiswahili kinajitosheleza mkuu hukusoma ya ngoswe kitovu cha uzembe la sita B?. Aerodynamic = Mnyambuliko wa hewa angani /Mnyambuliko hewani.
😂😂 mnyambuliko wa hewa angani duh
😅😅😅😅 yao yao....
Huo Moshi kwenye mabawa tunatoka kwenye nn😊
Unaoneka na kama moshi lakini sio moshi ni hewa yenye mshinikizo mkubwa inatokana na hewa ya kawaida baada ya kusukumwa na mabawa ya jet
Rubani wa hizo ndege unatakiwa usome masomo gani na kiwango gani
Physics, geography na mathematics
Watuachie mashabki wa marekan jmn