Huyu mdada anaboaa sanaaa halafu bishi kweli kweli sijui ktk maisha yake halisi vepiii CLOUD MEDIA mlitzame hili kama ni Connection bas mlibug step !!! Hadi linaelekezwa kuhoji lakini bishi hatareee
Hapana. Ni mtu ambae hafuatilii siasa vizuri na hajui ethics za political dialogues. Hana uwezo mkubwa wa kufikiria politically. Ni mdhaifu wa fikra za chap chap kwenye siasa za hard talks.
Elimu yake ndogo sana kufanya research 🙏 jingine anahitaji mafunzo zaidi kwenye kujifunza lugha za siasa, hasa wanasiasa ambao ni mazao ya uanasheria........ anahitaji English grammar ambayo aweze kuigeuza kwa kiswahili fasihi
Mungu akulinda sana Mzee Lisu pia akutangulie katika uchaguzi na ukashide kwa kishondo kikubwa na ukawe mwenyekiti wa Chadema Taifa katika jina la YESU Kristo wa Nazareth.AMENI.Nijiwekea nadhili moyoni mwangu Lisu ukiwa mwenyekiti , nitachukua card ya kujiunga na Chadema lasimi.
KIJA ANATAKIWA AENDE XXL NA SIO KUWA MWANDISHI WA ISSUE NYETI NA SERIOUS ZA NCHI KAMA SIASA. AENDE AKAKAE NA KINA MEENA ALLY HUKO XXL AU AENDE LEO TENA KWENYE UMBEA
Naunga mkono hoja. Mtangazaji anabishana tuu na kuuuliza maswali ambayo hayafuati locus ya idea inayo ongelewa. Anakuwa na uelewa Mdogo wa maswala alafu anaongea na mtu mwenye uelewa mkubwa! Kunakuwa hakuna balance kwenye interview.
Huyu dada sijui hasikilizi majibu au haelewi kilichojibiwa maana anarudia kuuliza maswali ambayo ameuliza na ameshajibiwa. Ni kama anashinikiza apewe majibu anayoyataka yeye. Lissu yupo stable sana kumwelimisha
Lissu ni mvumilivu sana kwenye interview. Anadhihirisha ukomavu wake kisiasa. Amehojiwa na waandishi wengi wenye upeo tofauti tofauti. Waandishi muwe mnajipanga mnapohoji watu wenye akili timamu.
NAAMINI SANA JUU YA HUYU MWAMBA NA NATAMANI NIONE ZAIDI NA KUSIKILIZA HOJA ZAKE TUENDELEE KUONA NINI KITATOKEA MAANA HAKUNA MWENYE UWAKIKA JUU YA MWENYEKITI WA SASA ILA INGEPASWA APUMZIKE TU MAANA TUNAMPENDA NA TUNAPENDA CHAMA TUONE KIMEFIKIA LENGO
Clouds hawana watu watangazaji wenye hard talk,hawa wamejaa udaku udaku na huyu Dada anauwezo mdogo sana wa kufuatilia maelezo ya anayemuhoji na kungamua hoja anazotoa Lisu!
kaka sam 🙏tunaomba next huyo dada mtoeni anapoteza muda ,akili yake🧠bado ndogo sana inabidi akawaoji mabalozii tena wa zamani sana sio wa sasa maana wanamaarifa sana nowdayz
Dada mtangazaji 😅sijui kwa nini nacheka, aliposikia,”Nyumba nzuri kama hii namuachia nani? Ile body language yake baada ya spanas 😂 Nchi hii tunakwamishwa sana na Wadada hasa kama huyu! Hawaelewi kitu yaani.
TANZANIA MUNGU ANAIPENDA SANA, WTZ WAME DOWNLOAD MEMA MENGI SANA KIPINDI HIKI KUPITIA HUYU MWAMBA, KWA JINSI WTZ WALIVYO MAZWAZWA NA MACHAWA, KUNA VIPAJI VIPYA KUPITIA MENGI YA NEEMA TOKA KWA MHESHIMIWA Tundu Lissu, Asante sana Mheshimiwa
Lissu is very Smart. Yaani atajwe mwenyekiti halafu asitajwe Abdul
Nimependa sna apo
Huyu Mh. Lissu ni zawadi kutoka kwa Mungu✌️amenyooka mno😂
Eti kama mwenyekiti namtaja kwanini huyu asitajwe
Miungu ipo mingi ila nadhani ni Mungu wa mapembe
This is guy so highly intellectual. My guy speaks facts and knows what he’s talking about. Team Lissu 🇬🇧
Lisu akishinda uenyekiti naenda kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura
👌
Hahahahaha wewe ni mmoja kati ya mamilioni wanaosubiri ashinde tu
Kabisa ndugu yangu
Wanawake wajuaji ni kazi sana ku deal nae ,wanaume wapo kimya wana mchora tu.
Kwa attitude ya huyu dada, Lissu mvumilivu mno.
Aisee bora kuna mwingine pia ameliona hilo. Huyu dada ni kama anauliza swali akiwa tayari ana agenda yake moyoni.
Sio ana agenda,anachat na simu baadae anaibuka ghafla kuuliza suali.anakera kwelikweli
Huyu mwanamama anauwezo mdogo sana wa kufanya interview @clouds angalieni hilo
I don’t understand swahili but huyu dada hajui journalism principles
Haelewi ahoji nini. Ovyo sana
Hajui kabsaaaa
You are right
she is mean
She is an evil.
Lissu hakunaga swali anashindwa kulijibu,
Nilicho gundua walio tumwa kumuhoji Lissu wana uwezo mdogo sana hasa huyo Dada.
Huyu mdada anaboaa sanaaa halafu bishi kweli kweli sijui ktk maisha yake halisi vepiii CLOUD MEDIA mlitzame hili kama ni Connection bas mlibug step !!! Hadi linaelekezwa kuhoji lakini bishi hatareee
Nahisi anaogopa kufukuzwa siunajua vyombo vyahari viko upande fulani😢😢😢
Ashazoea kuhoji wakata viuno
huyu mtangazaji mdada Clouds mmtoe kwenye sensitive dialogue zinahitaji akili kubwa tu, uwezo wake ni mdogo ameharibu interview
Kabisa uwezo wake unanipa wasiwasi🤔🤔
Kabisa Hafatilii kinachozungumzwa na hajui Kuuliza maswali mapya
Huyu kijakazi ni ccm aligombea viti maalum lindi 2015
Huyu ccm kindaki ndaki hawezi kuwa na akili anatafuta teuzi tu
Lissu ni binadamu mwenye akili nyingi sana
Hichi kidada cha Clouds ni kiherehere cha Ccm ndo maana hataki jina la mtoto wa Samia litajwe
Very true
Hapana. Ni mtu ambae hafuatilii siasa vizuri na hajui ethics za political dialogues. Hana uwezo mkubwa wa kufikiria politically. Ni mdhaifu wa fikra za chap chap kwenye siasa za hard talks.
The Next President of Tanzania
Alafu waandishi wanajikuta wanajua historia ya kina Mandela, kumbe hamna kitu, LISU kawapa shule 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
👌
Lissu hi power
Itoshe kusema Lissu Yuko SMART SANA🎉
Huyo mwandishi wa kike asiyetaka jina la mtoto wa samia asitajwe,huyu ni mmoja wa waandishi mavi walioko afrika na tanzania
Yaani ni mambo ya ovyo tu. Waandishi wa habari wa ovyo kama hawa ndo wanaochochea ccm kuendelea
Kabisa
Huyo mama , hakufanya homework yake vizuri, afu mbishi sana.
Hakufanya homework kabisa. Anaripuka sama.
N team mbowe
Clouds mpeni likizo Kija, kwanza aende kwenye mkutano wao Mkuu huko Dodoma, hamna kitu hapo
Huyu dada ni kiburi na jeuri sana na ni mbishi Sana. Pole kwa ambaye ni mume au boyfriend Wake
Umeona ee yan anakatisga katisha mjadala tu
@@mathewpaul629 ukute hata Mume hana Kwa sababu ya huu UJINGA wake
Hana mwanaume
Mdada hafai ni bias
Huyu sayari yake ni usingle, pakukatisha tu .. atakaejichanganya ajiandae na kisukari ..
Lissu ni mtu smart sana
50:30 hapo Lissu alikuwa ameshachoka kumkumbusha huyu kilaza sio mfuatiliaji😅😅😅 Dada sukari ikapanda
😂😂😂😂😂😂 umepiga Kwa mshono
😂😂
Dada amekua muuliza maswali mkuu lakin ana ubongo mdogo mnooo
Huyu Kija hafatilii siasa za Lisu na ameenda kumhoji, siku nyingine ajipange vzr. Anaharibu haya mahojiano
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Huyu dada interview nyingine asiwepo kabisa kwanza ana low thinking capacity sanaa cloud's wamtaftie mbadara
Huyu dada ni mpuuzi sana uwezo wake ni mdogo sana level ya field work🤔🤔😂
nenda wewe😂😂
Clouds Kija bado sana kwenye interview kama hizi. Asome magazeti tu
Lissu we believe in your leading in chadema
Mnapo jiandaa kuwaoji wana siasa wakubwa mashuuri kama lisu inabid wajipange vzur make anajua vitu ving na sheria pia
Clouds amkiamua kufanya interview na watu wenye akili kama Lisu huyo dada asishiriki,uwezo mdogo..anaharibu interview
Lissu ❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥
Sijawahi kujua kama Kija Yunus ana akili ndogo hivi
Du!! Huyu dada anauwezo mdogo sana kwenda kumu interview mtu ka Mh.Tundu, nikumkosea sana.
saaaaana😂
Dada ni mpenzi wa Samia kama alivyo Mbowe,na anatafuta uteuzi
Hawa wanatumwa na CCM wakamuhoji ili wajue Kila kitu ndani ya CHADEMA ndo maana hawezi hata kumhoji
Sanaaa😂
Huyu dada 😂😂😂😂😂😂😂 huku wanamuonea hafiti daaaa kaboaaa
Tundu anajua vitu vingi sana
Hehehe huyu dada hana uwezo wa kujenga hoja mbele ya mtu kama Lissu 💔
Elimu yake ndogo sana kufanya research 🙏 jingine anahitaji mafunzo zaidi kwenye kujifunza lugha za siasa, hasa wanasiasa ambao ni mazao ya uanasheria........ anahitaji English grammar ambayo aweze kuigeuza kwa kiswahili fasihi
KAMANDAAAAAAA❤❤❤❤❤❤❤
Huyu dada uwezo weke ni mdogo sana jifuze bbc na wegine
Huyu dada Bora angekuja Mwijaku
😅😅😅😅😅😅
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😅
Au Juma lokole
Ila Lissu kavuruga siku ya dada yetu Kija 😂😂😂
Ametaka mwenyewe dadada
Yani kapoa kabisa hata isahau hii siku na siku nyingine akipewa kazi ya kwenda kumuhoji lissu hatoenda
@@shukraniuddu5597 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 uwiiiiiii mbavu zangu 🤣🤣🤣🤣atakoma
Wewe kija tambua unayemuhoji nimsomi nguri sio mjinga
Mungu akulinda sana Mzee Lisu pia akutangulie katika uchaguzi na ukashide kwa kishondo kikubwa na ukawe mwenyekiti wa Chadema Taifa katika jina la YESU Kristo wa Nazareth.AMENI.Nijiwekea nadhili moyoni mwangu Lisu ukiwa mwenyekiti , nitachukua card ya kujiunga na Chadema lasimi.
Huyu Dada wa clouds bado sana
KIJA ANATAKIWA AENDE XXL NA SIO KUWA MWANDISHI WA ISSUE NYETI NA SERIOUS ZA NCHI KAMA SIASA. AENDE AKAKAE NA KINA MEENA ALLY HUKO XXL AU AENDE LEO TENA KWENYE UMBEA
Lissu amenyoosha KIJA 😂😂😂😂
Madhara ya kuwapa watu ajira kwa kujuana hapa inaonekana huyo kija hapo kawekwa kwa uwezo hana kabisa.
Mkuu wa Vipindi CLOUDS. Interviews za Moto kama hizi Uwe unawaleta watu wenye Upeo Mkubwa kama CZA na KAYPEEE Bora hata Fettylishers Kuliko KIJA.
Naunga mkono hoja. Mtangazaji anabishana tuu na kuuuliza maswali ambayo hayafuati locus ya idea inayo ongelewa. Anakuwa na uelewa Mdogo wa maswala alafu anaongea na mtu mwenye uelewa mkubwa! Kunakuwa hakuna balance kwenye interview.
Hapo cna cha kuongeza mmenifilisi, kuongeza 2 huyo dada kichwa boksi
Mtangazaji anaushabiki😢😢😢
Huyo dada aende kwenye mambo ya mapishi au urembo....mambo ya iq kubwa hawezi
Ndio mfano wa watu wanaokuongoz
😂😂😂😂 dadeq Lisuu
Huyu dada sijui hasikilizi majibu au haelewi kilichojibiwa maana anarudia kuuliza maswali ambayo ameuliza na ameshajibiwa. Ni kama anashinikiza apewe majibu anayoyataka yeye. Lissu yupo stable sana kumwelimisha
Dada akili ndogo
Interview kama hizi zinamhitaji @fetty, @kipanya @PJ etc.. huyu mdada akasome magazeti tu.
Lissu ni mvumilivu sana kwenye interview. Anadhihirisha ukomavu wake kisiasa. Amehojiwa na waandishi wengi wenye upeo tofauti tofauti. Waandishi muwe mnajipanga mnapohoji watu wenye akili timamu.
Huyo dada nafikiri anasoma hizi comment na anajiona jinsii alivyomweupe
NAAMINI SANA JUU YA HUYU MWAMBA NA NATAMANI NIONE ZAIDI NA KUSIKILIZA HOJA ZAKE TUENDELEE KUONA NINI KITATOKEA MAANA HAKUNA MWENYE UWAKIKA JUU YA MWENYEKITI WA SASA ILA INGEPASWA APUMZIKE TU MAANA TUNAMPENDA NA TUNAPENDA CHAMA TUONE KIMEFIKIA LENGO
Clouds wapumbavu sana
Huyu dada afukuzwe kazi na clouds hajui kuhoji na hana adabu
Kajinga sana haka ...huyu anatakiwa awe anakaa nyuma ya kamera
Lissu the great,
Power Breakfast kuna vichwa kule. Wangepewa hizi kazi, hawa wabaki na kusoma magazeti!
huyu dada akiwa na wenzie kama yeye 10 ndo sawa na mwanaume 1 alielewa pombe kupita kiasi.
😂😂😂😂 wew ndoumeweza kumuelezea vizuri uyo mwanamke
Lissu mungu ametupa lakini lakini wengi hawalijui tu hilo
huyu sister box bora angekuwa baby kabaye 😅
Muhurumie anayemkaz
Nimempenda Lisu sana eti hawawez kunisajili😂
Hizi interview zinahitaji watangazaji smart, clouds huyu dada nadhani mumtafutie majukumu mengine
Lissu,,wewe ni m beba maono,,tena nabii na mtume
Huyu Kija anapaswa ajue IQ ya mtu anaye muhoji...TL COOKED HER GOOD 😅😅 Nimependa composure ya Sam na PJ..Next time KIJA DO YOUR HOMEWORK 😂😂😂😂😂😂
Lisu is genius
Sijaona mwandishi mwenye uwezo mdogo kichwani kama huyu bi dada😅
😂😂😂😂
Clouds hawana watu watangazaji wenye hard talk,hawa wamejaa udaku udaku na huyu Dada anauwezo mdogo sana wa kufuatilia maelezo ya anayemuhoji na kungamua hoja anazotoa Lisu!
Binti arudi kujifunza uandishi nahic yupo kwa ajili ya mshahara maana kazi haijui
Mtangazaji wa kike, ana ufaham mdogo sana kuhusu maswali kwa mtu senior kama lissu
Huyu dada ajifunze kufanya interview na watu wa aina ya Lissu.
kaka sam 🙏tunaomba next huyo dada mtoeni anapoteza muda ,akili yake🧠bado ndogo sana inabidi akawaoji mabalozii tena wa zamani sana sio wa sasa maana wanamaarifa sana nowdayz
kwan uyo Sam kauliza swali la maana wakat wote walikua wanasubir ajibu ndo wapate maswali ya kuuliza,hawakujipanga
HUYU DADA UWEZO WAKE NI MDOGO SANA
Nakukubali sana mwamba una misimamo sana mkuu.. ndo maana wapinzani... Hawataki ushike usukani
hawajui wanacho kihoji
Mwenyekiti ajae hana mbambamba mwaka huu ukishinda ni ubaya ubwela
Uyu dada ni matako sana uwezo mdogo sana
Uyu dada hafai kabisa kuwa mahali hapo labda kama ni wa mfumo
Exactly, uwezo huu ni wa kusoma magazeti
Dada mtangazaji 😅sijui kwa nini nacheka, aliposikia,”Nyumba nzuri kama hii namuachia nani? Ile body language yake baada ya spanas 😂
Nchi hii tunakwamishwa sana na Wadada hasa kama huyu! Hawaelewi kitu yaani.
Kija ukajufunze namna ya kuwahoji watu km Lissu!! Vinginevyo utaibika
I really love Lisu in my life
kija umetia aibu Sana Leo.
Da Kija ikitokea miujiza,uka grow careerwise,usijichanganye ukaenda mhoji Trump,atakutukana 😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
Naona mmeheshimiwa LISSU kamvumilia sana!😂 hapo...
Huyu dada mtangazaji bado sana 😂
😂😂😂da! Huyu jamaa kanyooka sana
Huyu dada takataka tuu😅
Mungu akulindee na akupe afya njema ukishindwa chadema ndio byby
Huyu mwanamke mpumbavu kaekwa sawa
Clouds huyo dada anawaharibia, ni pumba! Cjui mmemtoa wp
Akili yake ndogo sana,hata kusoma magazeti huwa anaongea ujinga sana
Kija ana ukada sana wa ccm,pia ni mtu mwenye interest hakustahili kwenye crew hiyo
Clouds pelekeni watu wenye akili timamu kufanya mahojiano na TAL vinginevyo ni mtihani
Hawa wapuuzi wanauliza maswali afu hataki ajibu IPASAVYO, YANI KUMTAJA ABDULI JASHO LIMEWATOKA MATAKONI
😂😂😂😂
😅😅😅
Huyu dada akasome Tena..
TANZANIA MUNGU ANAIPENDA SANA, WTZ WAME DOWNLOAD MEMA MENGI SANA KIPINDI HIKI KUPITIA HUYU MWAMBA, KWA JINSI WTZ WALIVYO MAZWAZWA NA MACHAWA, KUNA VIPAJI VIPYA KUPITIA MENGI YA NEEMA TOKA KWA MHESHIMIWA Tundu Lissu, Asante sana Mheshimiwa
Hili Lidada ni takataka kabisa
Huyo mwandishi KIJA anazingua sana katika kuuliza maswali na anajikuta mjuaji sana, mbishi, hakubali kusikiliza. she is NOT GOOD ENOUGH.
Mnamlaumu bure. Education background yake ikoje?
Kufanya mahojiano na Lissu inahitaji mtu makini sana! Huyo dada Amepuyanga sana !! Uwezo wake ni mdogo sana
Tumuombee uyu dada uelewa mdogo sanaa, sijui watangaji kama awa wanawatoa wapi
Mtoto wa shangaz
Boss mkuumamake
Mbuny
Management nzima mnaona vizuri jinsi Dada anapwaya sana kwenye Hiki kipindi.
Anatukosea watazamaji na sio sahihi
Uyu dada jamnani anajisikiliza kweli anacho ongea
Yaan huyo dada ajui hata kuhoji, cjui amesoma ZION MOUNTAIN
Hahaa
😂😂
😂😂😂😂😂😂😂