SAKATA LA KUNGUNI UDOM, UONGOZI WATHIBITISHA, UFARANSA YATAJWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @assaandrew2411
    @assaandrew2411 ปีที่แล้ว

    Upige one tena kwan kwan hapo chuo mnatoa Matokeo kwa division

  • @jackezekia6068
    @jackezekia6068 ปีที่แล้ว

    Sasa hawa wanafunz wanarudi nyumbani siwanatuletea tena jmn

  • @simonmalegesi414
    @simonmalegesi414 ปีที่แล้ว

    Uhongozi mbovu wewe unakubali kunguni wapo afu unasema eti ushindani wakibiashara 😮

  • @rivaldomallowah
    @rivaldomallowah ปีที่แล้ว +2

    Huyu Mama anaongea vitu ambavyo havina uhalisia kabisa. Inaonekana hajawahi kushambuliwa na kunguni vizuri. Yeye aende alale kwenye hizo Room zenye Kunguni aone kama atatoboa ata Usiku mmoja.
    Yaani Mwanafunzi kusema anasumbuliwa na Kunguni ndo kukichafua chuo ? Eti Maswala ya kibiashara haha.
    Kunguni hawasababishwi na Uchafu, unaweza kukaa sehemu yenye usafi wa hali ya juu lakini ukaishi na Kunguni.
    Kunguni wanasambaa, yaani mtu kuwabeba kutoka sehemu moja mpaka sehemu nyingine. Ata hapo ofisini kwake, akipelekewa kunguni mmoja tu hapo baada ya Wiki atakiona cha moto.
    Angalieni mbinu za kutokomeza hili swala, siyo kuanza kuwalaumu wanafunzi tena. Kuna ambao wametoka nyumbani wanafika chuo wanapata kunguni kwenye Vitanda, hao pia mtawalaumu ?
    PIGENI DAWA KUNGUNI WAPUNGUE AU WAISHE KABISA.

    • @theuniversetv2870
      @theuniversetv2870 ปีที่แล้ว

      That's real Dodoma Kuna Hali ya hewa ikiwepo joto so kuwepo Kwa kunguni sio suala la usafi mi nimewahi kukuta kunguni shule Moja sitoitaja lakini nimejaribu kila namna kuweza kuwatoa lakini nikashindwa,suala la usafi asiliseme kabisa kunguni hawaangalii uchafu ata kidogo fumigation iendelee tuu kuwatokomeza asilaumu wanafunzi

  • @ronniebertin3563
    @ronniebertin3563 ปีที่แล้ว

    Kunguni wametoka Ufaransa wametua bongo hoi ni noma

  • @angelsulle7177
    @angelsulle7177 ปีที่แล้ว

    Ni aibu gani hiyo??? Hao kunguni wametoka nao nyumbani lkn kisomo chote hicho mtu anashindwa kuthibiti chumba??? Au kunguni nao wanasafirishwa kama wale mbu??? Chacharikeni kwa vyovyote

  • @amemasudi5735
    @amemasudi5735 ปีที่แล้ว

    Kla Mmoja na Usafi wake wengine hawakogi wengine namu yao ya Kunguni watu hawa ndio wabaya na hili ni Jeshi la Allah

  • @jackezekia6068
    @jackezekia6068 ปีที่แล้ว

    Duh

  • @peninashungu6633
    @peninashungu6633 ปีที่แล้ว

    Mwijaku ANAHUSIKA bora mngemkatalia kuingia Tanzania

  • @CrissManda
    @CrissManda ปีที่แล้ว

    YANI CHUO KAMA JELA YA SOUTH AFRICA,DULL VUMBI HAKUNA HATA UPANDAJI WA NYASI KAMA GARDENS ILI KUPUNGUZA VUMBI,SASA HALI YA NJE IKIWA SIO RAFIKI HIVYO UMO NDANI KUTAKOSA KUNGUNI KWELI, NA NINA WASIWASI NA HIYO DAWA WANAYO PULIZIA, HAPO BUDGET KUBWA LAKINO MAJI MATUPU

  • @priscargodwel3794
    @priscargodwel3794 ปีที่แล้ว

    Nimesoma Dodoma lakini sijaona bhn kwa vitanda vipi?

  • @salwamohammed4787
    @salwamohammed4787 ปีที่แล้ว

    Hata oman wapo kunguni mimi kutwa natowa magodoro nnjee kuwanika juwan

  • @aishaz1
    @aishaz1 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂 kunguni ni tishio duniani kwa kwel kunguni hailetwi na uchafu ni maajabu tu haya

    • @syliviakente9460
      @syliviakente9460 ปีที่แล้ว

      Kunguni wanapenda unyevunyevu na maficho

  • @tonyshineafrica8278
    @tonyshineafrica8278 ปีที่แล้ว

    Mbona wanaonesha social tu au ndo kuna Nguni nn😂

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 ปีที่แล้ว

    Hao kunguni wakamatwe mara moja,wamwkuja nchini bila ilani

  • @joramkimario9321
    @joramkimario9321 ปีที่แล้ว

    Inamana Kama Kuna kungun nan wa kulaumiwa Kat ya serikal uongoz wa shule au wanafunz.

  • @manasekijangayamba2023
    @manasekijangayamba2023 ปีที่แล้ว

    Mbona kama umepanick?

  • @PrinceJ4-pe1fi
    @PrinceJ4-pe1fi ปีที่แล้ว

    Joto Kali

  • @cmantz8837
    @cmantz8837 ปีที่แล้ว

    Ushauli tu kama kweli wapo najua nikawaida tu. Sio kama wa uraya sasa mawazo yangu ni kwa kama wapo msipige dawa maarum hapo pigeni mafuta ya taa pekee watakufa wote mi nilisha fanya hivyo wakaisha kunako chumba changu

  • @khamisikhamisi7225
    @khamisikhamisi7225 ปีที่แล้ว

    so bongo tour Ddoma wako Ase U D O M