NANDY ambana BILLNASS kuhusu kupata mtoto na mwanamke mwingine, "Nataka ufanye interview useme"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024
  • #Nandy #Billnass

ความคิดเห็น • 249

  • @agriparose3942
    @agriparose3942 2 ปีที่แล้ว +44

    Nandy anampenda sana bill😍😍

  • @HalimaHalima-id2cb
    @HalimaHalima-id2cb 2 ปีที่แล้ว +53

    Nandy unampenda sana bill😘😘😘true love

  • @thelonewolf4429
    @thelonewolf4429 2 ปีที่แล้ว +20

    Katoto laini ona kanavyo mwangalia najicho la mahaba Nenga ana faidi nyie

  • @najuf8021
    @najuf8021 2 ปีที่แล้ว +21

    Nandy ndio anaependa sana nenga hamna kitu

  • @thefarahatlifestyle
    @thefarahatlifestyle 2 ปีที่แล้ว +16

    Mnao juwa kumsoma mtu macho NANDY aisee inaonesha anavyo Mapenzi makubwa kwa BILLNASS.

    • @abdulsinga2464
      @abdulsinga2464 2 ปีที่แล้ว +1

      Hahaaaa kwa luge alifta nini..😂...kama bado anapenda?

    • @christamazara1266
      @christamazara1266 2 ปีที่แล้ว

      Umeona eee!nawapenda sn sn jmn waoane 2 jmn.

  • @saraaudax8138
    @saraaudax8138 2 ปีที่แล้ว +7

    Yan uyu bilnas ata ayuko romantic kwa mwenzie Yan Nandy kanajitahidi kumregezea jicho ye amekazaa

  • @64aaa
    @64aaa 2 ปีที่แล้ว +37

    MashaAllah!! Nafurai kuwaona hivi. Fanyeni muowane sasa. ❤❤

  • @khadijamasoudmikidady1726
    @khadijamasoudmikidady1726 2 ปีที่แล้ว +6

    Nand anampenda sana mpaka namuonea uluma

  • @bimumaulid1171
    @bimumaulid1171 2 ปีที่แล้ว +44

    YAANI HUYU NANDI ANAMPENDA MTU MPAKA ANARINGA

    • @flova7022
      @flova7022 2 ปีที่แล้ว +2

      Cha ajabu jamaa Hana hata habari nae dahh ..haya mambo painfull sana

    • @ashaomari7972
      @ashaomari7972 2 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂🙌

    • @zulfakajanja1170
      @zulfakajanja1170 11 หลายเดือนก่อน

      ❤😂😂nimecheka

  • @tausiomary5294
    @tausiomary5294 2 ปีที่แล้ว +14

    Nawapenda Sana napenda niwaone mkiwa hivyo mnapendeza Sana mungu awabariki mfike mbali

  • @tehamarobema9403
    @tehamarobema9403 2 ปีที่แล้ว +6

    Hakuna mapenzi hapo

  • @JaylesGeorge
    @JaylesGeorge 8 หลายเดือนก่อน +1

    I really apreaciate dis couple❤❤❤❤💯💯

  • @mr.elevator4567
    @mr.elevator4567 2 ปีที่แล้ว +11

    Mapenzi ya upande mmoja magumu sana. Ngoja kwanza Nandy apate experience

  • @dach_addiction9557
    @dach_addiction9557 2 ปีที่แล้ว +7

    Billnass anamapoz ya kishamba

  • @mutisyatv
    @mutisyatv 2 ปีที่แล้ว +9

    Nandy anampenda billnass sana...

  • @naimamunishi1241
    @naimamunishi1241 2 ปีที่แล้ว +8

    hii story isijekuw kama jux na vee😂😂

  • @mwanaidsalehe1109
    @mwanaidsalehe1109 2 ปีที่แล้ว +14

    Mmejua kunifurahisha sana Nandy na mangi Mungua awatangulie mfunge ndoa.

  • @atamotivetv8104
    @atamotivetv8104 2 ปีที่แล้ว +3

    Nandi uyo bwana anadharau achana nae acha kubebelea mizigo ya ovyo kiukweli uyo bwana hakupendi acha kujibembeleza mh!

  • @BacktoPhiladelphiaministry
    @BacktoPhiladelphiaministry 2 ปีที่แล้ว +13

    Yaani kuonekana pamoja tuh ni biashara.... hearth is hard

  • @isaya.junior
    @isaya.junior 2 ปีที่แล้ว +4

    OMB. 3:22 Ni huruma za BWANA kwamba hatuangamii, Kwa kuwa rehema zake hazikomi.

  • @munaahmed8499
    @munaahmed8499 2 ปีที่แล้ว +6

    Billnas kaka yng una aibu sana jmn
    Japo ugomvi umakuwepo lkn ktk media naona mpo vzr si rahis kujua mtu nyie mnagombanaga hivi huu ni mfano wa kuigwa si kugomban watu had mitandaoni no si poaa ila narudia twna bro ana aibuuu
    Anachezea cm si dharau ni aibu huyo

    • @64aaa
      @64aaa 2 ปีที่แล้ว +1

      Hawo hawana cha maojiano ni umbea tu. Na billnenga ndie anaewaweza. Media za bongo wanasubiri uteleze tu ndio utakiona🤣🤣🤣

  • @hanifamasudi9732
    @hanifamasudi9732 2 ปีที่แล้ว +11

    Bilinasi hana mapenzi yaukweli wanawake hua twamizwa kilasiku

    • @salummzengaeka9341
      @salummzengaeka9341 2 ปีที่แล้ว +1

      Dada angu wanawake ndio mnaumuza sana wanaume mana wanawake mnadanganywa sana ,na mpo tayali kumuacha mtu alikupenda na kukujali ukamfuata mwanaume anaekushawishi na kukufanyia stalehe ,

    • @donathalaizera6561
      @donathalaizera6561 ปีที่แล้ว

      Ndio washaoana na mtoto tayari

  • @angelmutua9575
    @angelmutua9575 2 ปีที่แล้ว +9

    Nandy loves this guy truly sio yakufake hataaa

  • @eazieofficial6209
    @eazieofficial6209 2 ปีที่แล้ว +7

    Nandy anampenda Sana huku Kaka hata kwa macho anaonekana Ila huyu Kaka sasa

  • @queenbibisha1961
    @queenbibisha1961 2 ปีที่แล้ว +25

    Yani wasani wa tz ndo maana awatofika popote sasa wewe unaojiwa unajifanya uko busy na simu kweli, hizo nikuonyesha zarau kwa waandishi wa abari

    • @tunuyaomar5017
      @tunuyaomar5017 2 ปีที่แล้ว +12

      Sio dharau ana asili ya aibu kwa hiyo hapo anazuga kucheki camera hataki😂😂

    • @64aaa
      @64aaa 2 ปีที่แล้ว +3

      Wewe waona mna mwaswali ya maana hapo isipokuwa Umbea. Waandishi na media za Bongo watakahivyo coz wanasubiri uteleze tu wapate ya kuongezea.

    • @64aaa
      @64aaa 2 ปีที่แล้ว +3

      @@tunuyaomar5017 kabisaaaa na apendi maswali ya kimbea.🤣🤣🤣

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 2 ปีที่แล้ว +1

      Si bora wasaniiiiiiii huwa nasikia kuwachapa viboko wana siasa wa chama fulani yaani hata kwenye mikutano ya maana wako busy na simu NONSENSE

    • @rich.kizza10
      @rich.kizza10 2 ปีที่แล้ว +2

      Sasa kama maswali yenyewe ndo haya ataachaje kuwa bize na mambo yake

  • @njoroboihustla125
    @njoroboihustla125 2 ปีที่แล้ว +15

    Neenga!!!! mwanang sanaaa🔥🔥🔥

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 2 ปีที่แล้ว +2

    Baada yandoa Niko hapa nawakubali sana Nenga n Bill

  • @lydiaakimana7988
    @lydiaakimana7988 2 ปีที่แล้ว +12

    Ila Nandy anampenda saana billnass yaani anavomuangalia tu unaona mtoto kafa kaoza Mungu aendelee kuwasimamia

  • @najuf8021
    @najuf8021 2 ปีที่แล้ว +3

    Mwanaume yuko busy na nacm utafkiri wakala mxiiiiiiiiu

  • @jacqdaniels891
    @jacqdaniels891 2 ปีที่แล้ว +2

    huyu nae cm utasema kajua cm leo loooh

  • @erastojackson8432
    @erastojackson8432 2 ปีที่แล้ว +3

    Dah penzi lenu linsnikosha sanaaaa Nandy Big up💪❣️

  • @hassanford7148
    @hassanford7148 2 ปีที่แล้ว +3

    Nawapenda sana hawa jamaa coz wanapendana sana mpaka najiskia raha sana nawaombea kwa mungu awape upendo wa dhat na baraka tele Inshaallah.

  • @MbaiNondo
    @MbaiNondo 6 หลายเดือนก่อน

    Nandy ni taperi wa kwaza tazania jamani uyo dada ni taperi sana

  • @HeriethKihahi
    @HeriethKihahi 7 หลายเดือนก่อน

    Kiufupi nand na neng Ni Kam mapacha iv wamefanan fulan iv mung awalinde jamn

  • @frankngoloka2589
    @frankngoloka2589 2 ปีที่แล้ว +4

    Tatizo waandishi wa habar mnapoa sana,tabia ya kung'ang'ania kitu uliza maswali ya msingi yanayohusu mada iliyoletwa

  • @lynnkyra4101
    @lynnkyra4101 2 ปีที่แล้ว +10

    Nafurahi sana kuwaona tena❤️

  • @zubedamagambo9600
    @zubedamagambo9600 2 ปีที่แล้ว +5

    Bilnas hana comfidance kabisa.

  • @zuhra480
    @zuhra480 2 ปีที่แล้ว +2

    Why are you guys blaming billnas being on phone...maybe he has interview phobia...nit everyoneikes interviews!!

  • @atroisfoundation5546
    @atroisfoundation5546 2 ปีที่แล้ว +10

    Nenga ila next usishike simu unapokua unahojiwa sio poa..bora ukatae interview next time if ur busy

    • @64aaa
      @64aaa 2 ปีที่แล้ว +1

      Media za bongo zinataka mtu kama billnenga. Hapo amna mwaswali ya maana zaidi ya Umbea.

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 2 ปีที่แล้ว

      Nadhani yuko shy ☺️ sana

  • @kimah9855
    @kimah9855 2 ปีที่แล้ว +13

    Nandy nakuona vile tu unaiangalia sema you guys are inlove😁😂

  • @officialarafa6511
    @officialarafa6511 2 ปีที่แล้ว +3

    Yaaniie huwa nawashangaa sana watu wa kwetu 7naulizwa maswali lkn hujibu inavotakiwa sababu ni nini lkn muda wote huo munapotezewa watu bando tuu

  • @projazzpromoter7503
    @projazzpromoter7503 2 ปีที่แล้ว +1

    Mapenzi Adimu. From MuseziTv 🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @sophiamfikwa7340
    @sophiamfikwa7340 2 ปีที่แล้ว +12

    I love both of them 🥰🥰

  • @LynCvlogs
    @LynCvlogs 2 ปีที่แล้ว +23

    Being in an interview and you're busy on phone is total disrespect

    • @Kobe_254
      @Kobe_254 2 ปีที่แล้ว +2

      For real… very very stupid

    • @hamdusimai7711
      @hamdusimai7711 2 ปีที่แล้ว +1

      Unprofessional kabisa

    • @angelxwt7879
      @angelxwt7879 2 ปีที่แล้ว +1

      Pia Mimi sipendi simu qwani inahama akimuacha atawahi pata Kama Nandy

    • @hopeeve3558
      @hopeeve3558 2 ปีที่แล้ว +1

      I second you broo

  • @SabrinaAlly-ri7ql
    @SabrinaAlly-ri7ql 20 วันที่ผ่านมา

    True definition of he fell first but she fell harder😆

  • @esthernafula3415
    @esthernafula3415 2 ปีที่แล้ว +2

    Nandy unapenda hakuna ati unaitwa huyu dada vua viatu

  • @jemmymarioty848
    @jemmymarioty848 2 ปีที่แล้ว +6

    ila nandy na nenga pumbaaaaaafu saaaana ,,,
    yan mnang'ang'amuana afu mnajdai mmeachana

    • @MrNdanguza
      @MrNdanguza 2 ปีที่แล้ว

      Wananyanduana na condom au ?

  • @fatmayassin1668
    @fatmayassin1668 2 ปีที่แล้ว +3

    Jamn me naipenda hii couple more than love all

  • @pharmaceuticalnotesbank3348
    @pharmaceuticalnotesbank3348 2 ปีที่แล้ว +3

    nenga unakaa kinyongee sana

  • @eshimendinkya8678
    @eshimendinkya8678 2 ปีที่แล้ว +2

    Sidhani kama hapa kuna mahusiano

  • @fadhiladam7769
    @fadhiladam7769 2 ปีที่แล้ว +1

    Jmaa anakilk sana broo nakukubal ata kujibu kwako nakukubal sana nandy anakufaaa msela

  • @yvesmasirika3839
    @yvesmasirika3839 2 ปีที่แล้ว +44

    The lady loves the man more than the man does

    • @alicekisanga8004
      @alicekisanga8004 2 ปีที่แล้ว +9

      Yes but i think her parents are too negative towards their relationship, which is very discouraging for a man.

    • @fadhiliyusuph5195
      @fadhiliyusuph5195 2 ปีที่แล้ว

      @@alicekisanga8004 yeah that's

    • @evenabwire1860
      @evenabwire1860 2 ปีที่แล้ว +2

      So what!!!

    • @marykaingu4888
      @marykaingu4888 2 ปีที่แล้ว +1

      Yes true nandy amependa sana

    • @sylviah9666
      @sylviah9666 2 ปีที่แล้ว +3

      Nandys parents are negative towards bilnass kisa na maana kipato cha Nandy kipo juu

  • @dannywiston6391
    @dannywiston6391 2 ปีที่แล้ว +2

    Nenga hua ana akiri sana

  • @w_media_house
    @w_media_house 2 ปีที่แล้ว +10

    Waandishi mnaharibu muziki, mnakamia mahusiano akati kilichowaleta ni muziki🙌🙌

  • @zachariaamos5585
    @zachariaamos5585 2 ปีที่แล้ว +5

    Mnaendana sana🔥

  • @constanciashangali7523
    @constanciashangali7523 2 ปีที่แล้ว +3

    Billnas, unajina kubwa sana.. una jina la Nyota.. yaan mida hii ulitakiwa uwe juu sanaaa

  • @imeldathomas760
    @imeldathomas760 2 ปีที่แล้ว +5

    Natamani siku moja kuona mmefunga ndoa.

  • @ashiriiyulu6430
    @ashiriiyulu6430 2 ปีที่แล้ว +2

    wanakumbushia 😂😂😂

  • @nimoshe0423
    @nimoshe0423 2 ปีที่แล้ว +1

    Let's not ignore Billnass rudeness???

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 2 ปีที่แล้ว +2

    Wote wamekutana mmoja ana mtoto mwingine ana Popo mwenye makampuni yake bongo

  • @msbeckie4693
    @msbeckie4693 2 ปีที่แล้ว +1

    The guy yuko busy na cm ad anaboa😏

  • @noelmarapachi1808
    @noelmarapachi1808 2 ปีที่แล้ว +1

    Wabongo wanapenda sana umbea na wengine kuharibikiwa, aina ya maswali ya so called waandishi wsnauliza

  • @leahfanuel254
    @leahfanuel254 2 ปีที่แล้ว +7

    What a love 💕

  • @kaymsafi
    @kaymsafi 2 ปีที่แล้ว +2

    WANAKAA VZURI SANA👏👏👏👏👏

  • @RehemaRajabu-nh1su
    @RehemaRajabu-nh1su 11 หลายเดือนก่อน

    Nenga ana aibu jmn

  • @jastinmkandala5620
    @jastinmkandala5620 2 ปีที่แล้ว +4

    Nawapenda jamn

  • @امينهعلي-ض5ث
    @امينهعلي-ض5ث 2 ปีที่แล้ว +2

    Mpenzi ayafichiki hongera nandi

  • @mediaisbawa7255
    @mediaisbawa7255 2 ปีที่แล้ว +3

    Oya aiseee the africa prince

  • @esthernonneh2740
    @esthernonneh2740 2 ปีที่แล้ว +10

    there is a disconnect btwn nenga n nandy

    • @denisdejo5033
      @denisdejo5033 2 ปีที่แล้ว +1

      Upo sahihi, though people can't see that.

    • @phinaswai4718
      @phinaswai4718 2 ปีที่แล้ว

      Hayo ni mawazo yako aise. Wapo poa tena sana

    • @denisdejo5033
      @denisdejo5033 2 ปีที่แล้ว

      @@phinaswai4718 Upo sahihi na wewe pia. Some see that way.

    • @eshimendinkya8678
      @eshimendinkya8678 2 ปีที่แล้ว +1

      Yess hata mm naona hapa kila mtu ana hamsini zake ..Ni kama yale ya vee na jux kuambiana wasiexpose mambo nje ila mwisho wa siku

  • @neemasondobi1560
    @neemasondobi1560 2 ปีที่แล้ว

    Nenga kama nenga jaza mimba mtoto huyo isje ikawa kama yule ... Wa vanesa..baadae unatoa nyimbo watu washakula

  • @RoseBitanga
    @RoseBitanga 7 หลายเดือนก่อน

    Nandy i love you

  • @williamloserian5999
    @williamloserian5999 2 ปีที่แล้ว +6

    Nice🙏🙏🙏✍️✍️

  • @williamkeitha1262
    @williamkeitha1262 2 ปีที่แล้ว +4

    Billnass umekuja kwa interview but haupo serious upo busy na simu acha uboya hapo umebebwa tu na NANDY.acha upuuzi aisee bill

  • @asiahamadi8224
    @asiahamadi8224 2 ปีที่แล้ว +1

    Nandy shoga yangu apo huna bwanaaa apok

  • @leilaadamu4817
    @leilaadamu4817 2 ปีที่แล้ว

    Nawapenda muwe wote jmn acheni hizi breck up😠😠😠

  • @milbys3decarter998
    @milbys3decarter998 2 ปีที่แล้ว +1

    This lady eeeish maringo!!!! Ppppthoooo

  • @agreyraban8859
    @agreyraban8859 2 ปีที่แล้ว +1

    Nenga amejibu nje ya swali

  • @khadijakiba3587
    @khadijakiba3587 2 ปีที่แล้ว +4

    Ila wapare jmn wanajua kupenda hawajui kuacha wakishapenda na wivu juuu kwa sanaa

  • @reganuisso1256
    @reganuisso1256 2 ปีที่แล้ว

    Nenga unampenda nandy kwel? Mbona haupo comfortable kuwa karbu nae

  • @lulugora2712
    @lulugora2712 2 ปีที่แล้ว +1

    Sasa hiyo cm ya Nini?

  • @upendodavid3081
    @upendodavid3081 2 ปีที่แล้ว +4

    Aseee bill wanawake uwa tupo romantic Sana na hasa ukiwa na umpendae ebu mfanye dandy awe na furahaa Kuna kitu akipo sawa hasa upande wa nenga mpe mapenzi ya dhati nandy please usi act kibaba baba Sana naona Kama upo silius Sana

  • @emmakipalula9097
    @emmakipalula9097 2 ปีที่แล้ว +7

    Hawa wakimaliza interview wanaenda kugombana....kicheko Cha kinafki...

    • @rich.kizza10
      @rich.kizza10 2 ปีที่แล้ว +1

      We unajuaje jomba? Au ww ni house girl wao

    • @odiin2725
      @odiin2725 2 ปีที่แล้ว

      @Rich worlwidew1 we jamaa wewe😂

    • @tausifautini407
      @tausifautini407 2 ปีที่แล้ว

      Nimecheka kizembe

    • @mahmoodalghefeili5370
      @mahmoodalghefeili5370 2 ปีที่แล้ว

      @@tausifautini407 mm mwenywe nimecheka

  • @rahmasaleh3953
    @rahmasaleh3953 2 ปีที่แล้ว +1

    Nandy unapenda over limit mwanaume hana mdaa yani ukitazama tu unajua hakupendi

    • @phinaswai4718
      @phinaswai4718 2 ปีที่แล้ว +1

      Kamuoa mtu asiempenda???

  • @mamy8220
    @mamy8220 2 ปีที่แล้ว +7

    💓💓💓😘

  • @dyzerjoshuah5475
    @dyzerjoshuah5475 2 ปีที่แล้ว +3

    best couple in town

  • @SamuelNkorerimana
    @SamuelNkorerimana 5 หลายเดือนก่อน

    ❤you biiin

  • @lovenesskalenge2683
    @lovenesskalenge2683 2 ปีที่แล้ว

    Hivi mnao andika kingereza mna Nini lakin hamjuh kiswahili au nawependa nyote

  • @waddytz5239
    @waddytz5239 2 ปีที่แล้ว

    Ukiringa Alafu Hauna kitu Unaonekana Kama Lijinga😅

  • @jescajohn6619
    @jescajohn6619 2 ปีที่แล้ว +1

    Interview ya kipuuzi kweli

  • @mkamantale6491
    @mkamantale6491 2 ปีที่แล้ว

    Billi anapiga tu apa ana mda na uyo malaya anajipendekeza tu nandy

  • @calvinmayola7866
    @calvinmayola7866 2 ปีที่แล้ว +1

    Wewwwww nandy

  • @gracengunga348
    @gracengunga348 2 ปีที่แล้ว

    Nenga umejibu swali kisiasa sana adi nandy kapoaa

  • @emilywambui9192
    @emilywambui9192 ปีที่แล้ว

    Nani alisema nenga hawezi

  • @hanifamasudi9732
    @hanifamasudi9732 2 ปีที่แล้ว +4

    hawa wanachanaka nakurudiana kilasiku daah 🤣🤣🤣🤣🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @modetheo5182
    @modetheo5182 2 ปีที่แล้ว

    busy na simu kwani huwezi kwanza kuacha

  • @faithmutio2628
    @faithmutio2628 2 ปีที่แล้ว +17

    Nandy deserves a man who respects her..billnass doesn't seem to respect her

    • @jacklinebaini3517
      @jacklinebaini3517 2 ปีที่แล้ว +1

      I think we are on the same page. Will end up separating like venessa and jux.

    • @Kobe_254
      @Kobe_254 2 ปีที่แล้ว +1

      Ata amemwita Huyu alikua South Africa

    • @videozaaj1069
      @videozaaj1069 2 ปีที่แล้ว +5

      Nyie watu mnajaji watu sana!!!MNAWAJUA???

    • @saeedalsaedy9916
      @saeedalsaedy9916 2 ปีที่แล้ว +2

      unafki mbaya daah wanapendna wte sna snaa

    • @phinaswai4718
      @phinaswai4718 2 ปีที่แล้ว +2

      Haya wamefunga na ndoa kabisa, nyie mnao wajua sanaaaa imekuaje??

  • @cecilemsupa2015
    @cecilemsupa2015 2 ปีที่แล้ว +9

    Huyu bill as anajifanya, nandy atafute mwanaume wa hadhi yake

    • @patrickmukundichalamila3038
      @patrickmukundichalamila3038 2 ปีที่แล้ว +2

      Bill Nas anaaibu sanàa

    • @wardaridhwankassim4774
      @wardaridhwankassim4774 2 ปีที่แล้ว +1

      Nandy anatuaibisha wapare😂 Emb Afate njia ya dada V😍

    • @tonybyser7961
      @tonybyser7961 2 ปีที่แล้ว

      Nandy kampenda sana Billnass kwo hawezi kumuacha hata iweje 😂😂😂

    • @eshimendinkya8678
      @eshimendinkya8678 2 ปีที่แล้ว

      Nadhani hapa hakuna mahusiano tena hata maswali yanavyojibiwa utaelewa tu..na nahisi ni baada ya nenga kuzaa nje ndo maana umesikia nandy akikomalia aitwe kwenye interview ya kuhusu mtoto means no relationship anymore

  • @devisowigo8067
    @devisowigo8067 2 ปีที่แล้ว

    Hawa jamaa wanaendana xna na mapenzi yao yakisekondary hahaaaa

  • @finishmasai4562
    @finishmasai4562 2 ปีที่แล้ว +1

    Nawakubali Sana ficheni Mambo yenu

  • @albasnepa3001
    @albasnepa3001 2 ปีที่แล้ว +1

    Uhum