CLAM vs KICHECHE wote ni wasanii wazuri kila mmoja kwa nafasi yake. Safazi zao zimezaa matunda nchini KONGO lakini tamasha lililokuwa na mpangilio mzuri wa matukio na ushawishi ni la KICHECHE. Mimi huwa simkubali Kicheche kutokana na maudhui zake na matusi yake lakini kwenye ukweli nasema ukweli Kicheche tamasha lake lilikuwa na heka heka za kuvutia kuliko hii ya Clam 🙏
@@JohnBwija-xg5pf acha mihemko kijana uwe unasoma na kuelewa. Nimekwambia katika ya shoo ya Clam nchini Kongo na ya Kicheche, ya Kicheche ndio kubwa na ilikuwa nampangilio mzuri. Sijazungumzia ukubwa wa kuigiza n.k
Kiukweli watu wazima wanaenda kuangalia mtu kama wao duhh 😮😮watu awana akili kweli akuna kitu cha roho mtakatifu wanacho kitowa kule wanapo enda kushangilia ujinga
Mtu wawatu. ...hatimaye nafasi ya Steven kanumba imezibwaa mwenyez mungu akueke Kijana mdogo
Bado hajafika levo ya kanumba
Clam vevo nizaidi ya kanumba ❤@@ericlowasa3097
😂😂😂
Nanuku kauli ya clam usiseme movi za bongo zimekufa sema wewe ndo umekufa clam nayo hekima ya ali ya juu❤❤❤❤❤❤❤❤
Mie bado sijaielewa nieleweshe
th-cam.com/video/QRumB-qPL6g/w-d-xo.html
Yaani we mpuuzi unaenda congo huku tunasubiri episode 33 nkt 🇰🇪🇰🇪
Mhh broder isije ikawa ya kanumba😢unyama mwingi
Mhhh mwamba anatisha Yuko vyedi kubababake humu tu humu tu
Baba mbona kama wanakupushi makini sasa usiumizwe 😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ wa congo 🇨🇩 nawatania bwana😂😂😂😂😂😂
The great kanumba is back ☺☺☺clam vevooo 🎉🎉🎉🎉
Tunakupenda clam na movie zako nzuri,,,kutoka kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kenyan people have something to do
www.youtube.com/@KISANJILUBU
Huyu atembee Kenya tutambeba juu juu😂😂😂 Clamvevo nakupenda bure❤❤❤
Cool mon grand 🎉bienvenue au congo.
CLAM vs KICHECHE wote ni wasanii wazuri kila mmoja kwa nafasi yake. Safazi zao zimezaa matunda nchini KONGO lakini tamasha lililokuwa na mpangilio mzuri wa matukio na ushawishi ni la KICHECHE. Mimi huwa simkubali Kicheche kutokana na maudhui zake na matusi yake lakini kwenye ukweli nasema ukweli Kicheche tamasha lake lilikuwa na heka heka za kuvutia kuliko hii ya Clam 🙏
@HASHIMMAKUNGUHAMDANI asante kwakuliona hilo 🤝
Clam vevo ni mwamba auwezi muchindanicha Clam vevo nakale ka ibwa kakicheche Clam vevo njo Steve kanumba wa sasa❤❤❤
@@JohnBwija-xg5pf acha mihemko kijana uwe unasoma na kuelewa. Nimekwambia katika ya shoo ya Clam nchini Kongo na ya Kicheche, ya Kicheche ndio kubwa na ilikuwa nampangilio mzuri. Sijazungumzia ukubwa wa kuigiza n.k
Watu bhana kweli hawana kazi
absolutely correct
Watisha aisee❤❤❤ love from Mombasa Kenya 🇰🇪🇰🇪
nice clam from usa 🇺🇸
Hatimae tumepata mrithi wa kanumba mungu akupe maisha marefu snake boy on top🔥🔥🔥
Iyo nikweli Clam vevo njo kanumba wa sasa ❤❤
Kicheche alisema haujaze 😂😂😂sasa hii Nini Sisi tunakukubalia sana Clam 👑
Rudi tena mwamba ❤tuna kugoja baba huku butemboo
I really appreciate clam VEVO keep it up manzee
Kicheche acha chèche alioga hazami 🎉🎉clam vevo ukojuuuu
Félicitations à toi Clam-vevo on t'aime beaucoup Au Congo 🇨🇩🇨🇩🥰💯
Merci mon ami , merci pour ton info pour nôtre acteur clan Vevo moi c'est PAPY star depuis Lubumbashi RDC🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Uyu ndio msanii mkubwa wa movie TZ wale wengine lolote liwakute😂
Daah dogo anatalii tu Congo mzigo unachelewaa kutokaaa aaaaaah fanya uludii chap bilionea
Bd ajafikia levol za kina kanumba uyu mbna mnamkuza Sana 😂😂🎉
Kanumba panya tu
Clam Vevo Is Number One In DRC ❤❤❤❤❤🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Mimi nko huku nikingoja season 33 na wewe uko hapa kutembea Congo😂😂😂
Nami nimeshangaa itatoka lini akiwa matembezi😂
😂😂😂 it's true
@@ismaelwechuli3017 hatufanyii poa😅😅
Kuchekewesha snake boy
Namimi nimeachiwa ku follow kutafuta snake boy😂😂😂😂
Wanampokea kuliko president 😂😂 clam napenda movies zako sana❤❤
Kicheche alisema clam hajajaza jukwaa ila watu wanapenda sana majungu
Yule hana lolote
Kicheche ndio bingwa ...huyu clam yuaiga tu ...😂😂😂😂😂 kicheche 👍💯✔️
Bro I came so fast I thought it was snake boy 🤦🏽♂️
Mimi uyo apo katikati niko na clam🎉🎉
Kaka ukisha maliza vacation twaomba snake boy iwe nzuri na muda mzuri.😮❤🎉
Mbna kicheche alituaminisha kuwa haukujaza watu ulienda congo😂😂😂
Tunakuitaji 254 🇰🇪
Sanaa blood😂😂
Sasa mbona kicheche alikuwa naongeya kuusu watu sasa hawa mbona niwatu pia wamingi sana 🇨🇩🔥🔥🔥🔥
We love you❤❤😊 come to kenya
Kiukweli watu wazima wanaenda kuangalia mtu kama wao duhh 😮😮watu awana akili kweli akuna kitu cha roho mtakatifu wanacho kitowa kule wanapo enda kushangilia ujinga
Vevo to the world. Naenda nyumbani kula chapati na malagi 😂
Clam kwa ss ni nyota kubwa sana tunajivunia kama watanzania kuzalisha nyota kubwa sana❤🎉
Toa snake boy kijana unazingua
Anataka kuwa mzinguwaji Kama wengine
😂😂 Yuko bize na wakongo
😂😂😂😂
Anazingua tena sanaana tuu
Hana consistency.. project nying Bora iishe
Kikubwa duwa zetu mungu azitikie akuludishe salama undelehe namajukumu
Badala utuletee snake boy wewe unatupa mapokezi 😂😂😂😂😂
Tunataka snake boy 33 mnatueka sana 😢
Ila kicheche hana akili kabisa 😂😂😂😂😂😂
Kaka Clam unajua kuupiga mwingi❤❤❤❤❤❤🎉
😅😅😅😅we si nyokaa ngoja wakongo wakupake mkongoo 😅😅😅 ubadilike uwakule wanawake waoo😅😅
Wow ww nikipenzi cha watu kweli kweli♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
Wacaweeee clam ameingiya kongo 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hili shangwe ni tofauti na akipita Kariakoo 😲🤔
Kweli Nabii hakubaliki kwao.
Wooow amazing love from Kenya❤❤❤fika huku ak
congo kunavumbi balaaa
Number one❤❤❤
mungu akulinde kaka pia twaku karibisha kwetu ❤❤❤
Top Viewer from KENYA❤...
Wee Ile nyoka boy unachelewesha my 😂😂 ila clam muwoga sana
Kitu kikubwa kakangu nime penda❤❤❤
Wow congratulations bro clam ❤❤❤
Waiting for SNAKE BOY EPISODE 33. Mara hii umechelewesha sana manze 😢
Anataka mpka tumtukane huyu 😢
Kwa kweli ameanza kutususia amechelewa s@na
Kwa kweli ameanza kutususia amechelewa s@na
Ni kama anataka tuombe sasa 🙈🙈🙈
Kuzulura congo tuu kuachia snack boy aaaaaaaaaaaah…nitamwambia mwakatobe akugeuze kuku tukule
Kiekiekie, mwakatobe yupo Na subiri amugeuze kuku, tuta mula wote😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂 we bhana
Show gani hii
ila Clam umewapiga za uso 😂 daah hongera kwa kujaza
Maashaallah hongera clam vevo unapendwa pka na watu wa inje
Tunakupend clam from Uganda
Snake Boy 33 weka leo,, Big Fan from Kenya
Toa snake boy mzee acha izi za personal 😂😂😂
Jamani na mimi naomba like sita ❤❤❤❤❤❤
aje afike Goma. Afike Goma, uku tupo ndani ya town !! Anapendwa sana !! Anapendwa kama maji. Yeye ni maji kwetu.
Hongera sana clam mungu akubarrk 🎉🎉🎉🎉🎉
Wlkm Kenya kaka🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mimi wakwanja toka congo 🇨🇩🇨🇩❤kamitiga😢 🇨🇩
Yaani twangoja next episode ya snake boy we umeenda congo😭😭😭😭😭😭😭?
Nice bradhaa tz
Uyu kijana ako kw ligi aina yake tu❤❤❤
sasa umeamua kutupoza na show 😂😂❤
Ivyo tu kupost SNAKE BOY AAAAH😂
Brow nakukubali sana endelea hivyo hivyo %%%%%
Hapo chacha clam mwenyewe huyo mzee wa chapati na maalage
Mi niwako Ku toka kongo butembo ❤Jamani wapi ma shabiki wa msaani wetu clam vevo mujione mu liké hi comment tuki endeleya na safari
Tuna kupenda sana
Nice 🎉🎉🎉
Sikupingi mwanangu nakupenda mpaka naumwa kwa ajili ya allah
Karini kwetu congo mr. Clam
tunakudai snake boy ep ya 33 mzee😊
Kicheche njo uone sasa, Kicheche we bado mtoto mdogo, kuongea tu kuoga ahhh, ahhh.🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 clam you are the best in your country.
San vevo umetisha broo
fanya bac kuachia snake boy 33 maan tunaisubir kwa ham broo
hamm kusema kicheche aliuwa kuliko vevo huwo ni uwong vevo yupo pouw San
Ungemalizana na snake boy Kwanza ndio uanze izo tour kiogozii...we are waiting ep 33 banah joh
Nimeshangaa watu ni weuzi kama wa kenya ❤
Inshaallaaah! Utafika Kaka.
snake boy, ep 33 tunasubir kwa hamu kama kawaida yako dk ziongezeke
Jambo zuri umeitendea haki sanaa yakoo kama clam vevo
Hello my pepo hope mumeniona pia😂😂😂😊😊❤❤
Mm mbona skualikwa
Kwanza watu wakongo mulipika chapat na harage?😂😂😂😂mana mgeni huyo hatak birian anataka chapat na maharage
Kumbe ndomana snake boy hazitoki kumbe mwamba yupo congo
Aiseeeee ipo vizuri kweri hiiii💪💪💪💪💪
❤❤❤❤more love ...
Angalia usije ukatekwa na waasi wa M23 huko tukakosa mwendelezo wa movie yetu ya snake boy😅😅😅
Uwakika sana master 😂😂🎉😊
He, kaenda kigomaaa au bujumbula😅😅😅
Wooowe 🔥🔥🇰🇪🔥🇹🇿🇹🇿
Amazing😅
❤❤❤ina tisha
Makin sana Kaka CLAM
Sema si tupo tuna ngoja movie uku watu wapo Congo dah
Anatuchelewesha sana na movie 😏😏
nakubali
Ila wakongo washamba sana 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣clam should be verified heree 😮😢
Season 2 unaipeleka polepole sana broo