Kuna watu hamjui tofauti ya kudekeza na mahusiano ya mzazi na mtoto, masanja karibu katika afya ya mtoto kuanzia mimba na kuendelea, (uchangamshi) . Your are an example to others 👊
Uyu mnamkuza ndivo sivo anakuwa na ujeurii ambao mbelen utafanya ata mje mtukanane wenyew kwa wenyew. Msimdekezee ivoo huu ndo mda wa kumkunja samaki kabla hajakauka🚶♀️🚶♀️🚶♀️
originaleast1 the_ ni kweli, tena uki mlazimisha ndo ataichukia kabisa shule, watoto wa umri huo huo wana enda shule kucheza na kufundishwa kujenga kufahamiana na ku interact na watoto wengine, huku waki fanywa waipende shule na siyo kuichukia, tuache fikra za kikoloni
Katika somo la malezi ya watoto umefanya vyema sana. Unafundisha wanaume jinsi ya kufanya malezi kwa watoto tangu wakiwa wadogo. Unawekeza moyo wako kwa mtoto. Hakika hatasahau hata akiwa mzee.
Bertha mbepera hujatuliaa,niache nicheke mieee,mbavu zangu..kwahiyo una maana Maji hufuata mkondo??,Bertha Bertha... Mi simooo....Emma kazi unayo kwa binti yetu...keep it up!
Hamdekezi anajenga tu mahusiano mazuri na mtoto na kumzoesha kwenda shule umri wake si mnamuona kwanza leo kaingia mwenyewe kwenye gari mwanzoni alikua anagoma hta kuingia kdg kdg anavyozidi kuku atambadilisha hongera Masanja uko vzr sn
Hapo Leo iko kazi mchungaji. nikukemea pepo linalo kataa mtoto asiende shule😂😂😂
Nimependa sn ulivyo na muda na mwananao. Ww ni baba mzuri. Keep it up.
🤣🤣🤣🤣😂😂😂nani anamlazimisha mtoto kufanya homework ambaye hajisikii😂😂😂🤣
Adiraha Monica umejaliwa mume bora wa familia yako hongera
Safi Sana bro Mfundishe kumjua Mungu Jamani, God first
masanja hayo magari yote yako jamani hongera hahhaaa ila i like the way unampenda mtoto hadi raha kiukweli
Nakupenda na familia yako mungu aendelee kuwaongoza🙏
Kama unahamin hy jez aliyovaa masanja n yamke wake weka like twende sawa🙈🙈🙈maana imeandikwa kabisa MONICA
mambo
@@hopesylver5544 pw
😂😂😂😂😂👌
@@aminathaabubakarmasoud565 🤣🤣🤣❤️
Sisi daddy's daughters pekee ndo tunaelewa raha anayopata that kid🤣🤣🤣❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Eee Mungu wangu masanja hayo magari ni yako yoteee.. Uwiiiii... Nibariki na moja basi kaka yangu
This Content I Never Seen In Tz Keep Insaparing Emmanuel I Real Like This. ...Dear God Plzz Give Me A Husband Like This Is What I See😰😰😰😭.....
Kiinglish chako matata
Safi kabisa mlee mtoto kwa njia ipasayo
Ila nyie maixha ya xhule sitaki kukumbuka jmn 😂😂😂 jikaze 2 rfk ang ndo maixha tunatesa kwa zam
Hahaaaaaaaa daah saivi kila siku napitia TH-cam ya Masanja
Kuna watu hamjui tofauti ya kudekeza na mahusiano ya mzazi na mtoto, masanja karibu katika afya ya mtoto kuanzia mimba na kuendelea, (uchangamshi) . Your are an example to others 👊
Kwel
Mungu akuekeee kalikuwa hakitaki kuenda hadi saivi akienda anafurahia hongereni kwa malezi bora
Masanja una nn na mbavu zangu kha😂😂😂😂😂😂😂😂
😁 ila bado mdogo sana baadae atapenda tu 🔥
Hhhhhhh kamasikujipendekeza hauwezikumuweza
😂😂😂😂😂😂😂kids are so sweet.
Napenda ninachokiona blessing broo
Baba bora na si bora baba hongera wababa kama nyie mpo wachache weng wanatake time na michepuko na sio familia yake
Uyu mnamkuza ndivo sivo anakuwa na ujeurii ambao mbelen utafanya ata mje mtukanane wenyew kwa wenyew.
Msimdekezee ivoo huu ndo mda wa kumkunja samaki kabla hajakauka🚶♀️🚶♀️🚶♀️
Tee Anna Aka we mkunje SAMAKI wako Mimi ataelewa kwa kufundishwa
hapana bwana nikadogo sana hakajui hata kuongea
Amna mbona mdogo mnataka amleeaje
Mimi napenda wa baba wengi wa jifunze kwa masanja jinsi ya kumsaidia mama kazi yawa toto
Hahahaa! Eti maisha yako yenyewe ni homework
Kazi unayo Emma,hahaaaa...ndo kulea huko babaaa..
Huyu mtoto atakusumbua badae hapendi shule jaman muombee hilo pepo lisepe la kukataa kusoma🤣🤣
Saraphina Joseph bado mdogo sana huyu uwa hawalazimishwi
originaleast1 the_ ni kweli, tena uki mlazimisha ndo ataichukia kabisa shule, watoto wa umri huo huo wana enda shule kucheza na kufundishwa kujenga kufahamiana na ku interact na watoto wengine, huku waki fanywa waipende shule na siyo kuichukia, tuache fikra za kikoloni
Heeeeeeee nimeona T-shirt imeandikwa Monica jaman.. Hadi rahaaaa
Eti mwanangu ata mimi nilikua sipendi shule hivi hivi 🤣🤣🤣🤣🤣😭😭😭😭😭
Ameanza kuzoea shule Sasa,,,,good girl
😂😂😂 Hatimay umesha Kuw mama ima
Eti wewe nikama mzungu heee 😂😂😂nimeelewa
Nimecheka sanaa. Nimependa hii clip kwa kweli
😂😂😂such a cute family vlog.
Ongela kaka
😀😀😀😀Hata yeye shule alikuwa hapendi hivi hivi
Yani ww ni baba bora huyo mkeo amakinike kapata mume wa kwl
😂😂😂😂 khaaa yaani Masanja hapana kwa kweli eti shule kwani zimeisha khaaa
Mansanja me nakupenda bure Nikiangalia post zako nachekaga tu jaman
Uyo mtoto angekuwa kene kamusi maana yke ingekuwa ni "..... enye kudeka sana"
Jackson MKUYE hahahahahaha
😁😁😁😁😁😁
Eti mama ndo huyo anaturekodi😂😂😂😂
Leo kaingia mwenyewe😂😂😂😂
Keshazoea sasa 😁😁😁
@@sophiashayo1996 kwakweli
Labda hamjui huyo mtoto atakuja kupenda shule na kufanya vizuri sana darasani
Mwanajuma O Mahundumla kweli kabisaaa
Kwani hizo school bus hazinaga seatbelt. ? Alafu nani atataka kufanya home work dakika tano kabla school bus halijaja😂😂😂😂
Katika somo la malezi ya watoto umefanya vyema sana. Unafundisha wanaume jinsi ya kufanya malezi kwa watoto tangu wakiwa wadogo. Unawekeza moyo wako kwa mtoto. Hakika hatasahau hata akiwa mzee.
😂😂😂Nimecheka sana ndugu yangu
Yaani ningepata Baba wa Hivi, ningekuwa na degree 7
🤣🤣🤣🤣🤣🤣uwiiii utaniua ungekua unadegree ngap??
Beatrice Mapembe
Aaaaawwwwww!
Yupo Mungu Anakupenda zaidi ya Mwanadamu yeyote awezavyo KUKUPENDA
@@noelmarapachi1808 😂😂😂
@@noelmarapachi1808 kweli kabisa mlezi namba moja ni Mungu. Cha msingi kuwakabizi kwa Mungu. "Mlee mtoto katika njia impasayo nae ataiacha.
Jamani in mzuri mtoto wako anaitwa nani?
mmh ila dogo ana kaujeuri flaniv ka mbaali😀
Hahaha masanja bana eti shule zimeishaa
Siku izi anazoeya kwenda shule
Yaani unampenda mwanao hadi raha upo wanaume kma ww niwachache sana mpo ww na mume wangu tu basi
Inamana anapenda muke wake kupitiliza, ndio mana unaona ivo kwa mtoto
I wanna be mom of a such ttpe walahi duuuu nakubali show kaka
Jamani mama mideko huyoooo
bathidey y'amtoto WA aunt Ezekiel.
Mbona unampost hyo tu unao wengi kaka wale nao niwatoto
Huyo ni wa NDOA.
wanasemaga dad's girl,wengine wore wakiume,
Ivi kwel kuna mimtu imedislike hi vedio 🙄😷🤒
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo .badaye itakua ngumu kumrekebisha
😂😂😂 urithi
Leo hajalia hahaha
Huyu ungemfundishapo na kilimo Cha mpunga
Inaonekana Masanja wewe ndo ulikuwa hupendi Shule, ila kweli umesema.
MODESTA RUBUNDA haha
Kaka masanja napenda jins unavyoish na mtoto wako anajenga urafiki na kabint kako adi rahaa
Kwarah zake kwani simwanae yy inawaum nn
Jamani masanja muache mtoto umri bado
Kwani shule imeisha hata kesho atafanya
Umenibariki
Jitahidi kubadilisha uleaji kinyume na hapo atawasumbua baadae
Yani huyu mtoto ni kama magufuli
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣naenda kusema
😆😆😆😆😆😆
Kabishi hako😂😂kamefat ubish Wa kisukuma nn
Kwenye kusuka hizo nywele sipat picha anavyolia.
Hahahahahahahahah jmn hya bhna
Napenda sana
Nakukubar tok enzi za comedy ww ni htr aise nkuzie bint huyo nije nioe
Nimecheka walai
Masanja mbona una vituko jamani
Nakuona mkulima
Utaibiwa make sasa ahahaha umemuacha nje???
Masanja bhanaaa 🤣🤣🤣🤣🤣
Raha sanaaa
Hahaaa eti shule imaisha
Hahahahaha nimecheka
And me...😂😂😂😂
Hahahaa,nilijua tu akili za Dada kama zako,usingekataaga shule yasingemkuta dada yetu
Bertha mbepera hujatuliaa,niache nicheke mieee,mbavu zangu..kwahiyo una maana Maji hufuata mkondo??,Bertha Bertha... Mi simooo....Emma kazi unayo kwa binti yetu...keep it up!
🤣🤣🤣🤣🤣❤️😍😘
siku hizi dogo halii tena wakati wa kwenda job
masanja ongela nyumba nzuli sn
Huyo mtoto inaonesha mmemdekeza..
Sindo katoto kakwanza tena🤣🤣ila raha sn kuwanababa km uyo
@@nasraabdallah850 wa 3 huyo sema kakikke pekeyake
@@m.mmarckus6298 kumbe😱bas mi najuwa ndokatoto kakwanza jmn. Khe bas ahonger kumbe amishakuwa nawa 3 safi sn👍👍
@@nasraabdallah850 nikwamba masanja anawatt wa2 wakiume kwamama mwingine,kwa Monica huyo ndo wa kwanza
Napia monika anamtoto mwingine mdogo wakiume
Anakisirani uyu
Hahahahahahahaha jaman adi rahaa
Hamdekezi anajenga tu mahusiano mazuri na mtoto na kumzoesha kwenda shule umri wake si mnamuona kwanza leo kaingia mwenyewe kwenye gari mwanzoni alikua anagoma hta kuingia kdg kdg anavyozidi kuku atambadilisha hongera Masanja uko vzr sn
Na uwo mubukuta jaman mchungaji
Hajalia leo anazoea sasa hom wek ataweza hakika wakina baba wangekua hivyo walau %10 tu watoto wengi wangekua na akili
atakuwa sinsia dogo ila ndo tulvo wasukuma kafata kukaya
Hahahajahaaa
Hapendi kusumbuliwa
ttzo nyie hamjajua kama .amelewa sifa sn
Kivipi
Umelewa sifa wewe ambaye baba hasaport familia usimuonee wivu Monica muombe sana MUNGU nawe upate furaha hiyo katika familia yako
Huo wote n wivu
Hahahaha
🤣🤣🤣🤣❤❤❤
Kadeka sana mfukee mara moja atayooka
Masanja na familia yako kuna vitu unanifundisha kwa kweli
Yaaani wewe bro utundu wako ndo umemrandisha mtoto, sina mbavuu mimi kwani shule imeisha sina mbavu masanja. Ila tuna mpango ufike kwetu uhubiri injili
😂😂😂❤❤❤
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Haaaaa