MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2023- kozi 10 zenye ajira tanzania engineering courses 2023/24
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
- kozi zenye ajira tanzania,kozi zenye ajira za haraka,kozi zenye soko la ajira,kozi zenye ajira,kozi zenye fursa za ajira tanzania,kozi zenye soko la ajira tanzania 2023/24, kozi 8 zenye ajira tanzania,kozi ambazo hazina ajira,kozi za afya zenye ajira,kozi za arts zenye ajira,kozi za biashara zenye ajira,kozi zenye soko tanzania,kozi za sayansi zenye ajira,kozi zenye ajira 2023,soko la ajira tanzania,kozi za afya zenye soko la ajira,kozi zenye soko la ajira 2023/24, form five selection 2023/2024,form six results 2023/24,matokeo ya kidato cha sita 2023/2024,matokeo ya kidato cha sita 2023/24,selection za kidato cha tano 2023/24,selection form five 2023/2024,selection za form five 2023/2024,necta form five selection 2023/2024,2023/2024,heslb news 2023/24,kozi zenye ajira 2023/24,matokeo ya form six 2023/24,mikopo elimu ya juu 2023/24,form five selection 2023/24,orodha ya vyuo vya kati 2023/24
Wakwanz kucomment xo nipe likes zangu❤
Vp kuhusu automobile engineering ina ajira
toa iyo civil apo ya kwanza na ngumu ni mining engineering😁 aw huijui iyoo
Katika hizo kozi chache sana ndo zinafundishwa katika vyuo vya Tanzania
Ahsante , ila ungetaja na vyuo vya kozi hizo
Ungekuwa unataja na vyuo vinavyofundisha baadhi ya kozi maana vyuo vyetu vipo. nyuma sana baadhi ya hizo course ni mpya hapa duniani na hasa Tanzania
Kaka mm na shida na taka uni shauri ni kasomee kozi gani
Umesoma combination Gani?
Tunataka uelezee na kizi za art pia tujue mtu akisoma labda kama KGL, KLI, HKL, nk atapata kusomea kazi gani
Ucjli
Ungekuwa unatoa na connection za scholarship itasaidia sana watanzania kuna uhitaji wa kutoka naamini inawezekana
Noted, nilifanyia kazi boss
Mr. VIP upande wa ajir kwenye Mining engineer nchi Tanzania .
Naomba kufaham vizuri kwenye mechanical engineering katika sector ya ndege Inakuwa na matawii yaan namaanisha kwamba nayenyew imegawanyika halfu vyuo vyake kwa Tanzania kipo wapi pia uwezekano wa Kupata ajira upo au ndio connection ???
Aloo vip ukiwa na miaka 32 unaweza kisoma hizo kozi kama vigezo vipi ua
Ni vyuo gani vinatoa coas ya machenical engenearing kwa ngazi ya cheti na diploma tanzana?
VP kuhusu coz ya Heavy Duty Equipment Engineering.. Je haina soko au Anita??
Vp kuhusu mechatronics engineering plz... 🙏
Iwapo physics una F chemistry B Biology C Mathematics C and Geography C unawez kusomea hzo courses pia nieleweshe hapo kiongoz
Kama nimesema PGM Je ni KOZI gani nichukue?
mining engineering
Vipi kuhusu mishahara yake ipi ina maokoto makubwa
Vipi kuhusu kozi za art ambazo na makertable
Daa sasa hivi science ndo Dunia inavyotaka
Nalifanyia kazi.. soon
Inviromental engineering inajihusisha nini
Kak jan nlikuulz kuhs public administration lkn bad haujanijib
Nalifanyia kazi boss soon nitakuja na majibu
Teacher d aujanijibu mpaka Leo jamani nilikuomba uniambie vipi kuhusu marine and refrigeration engineering?
Nikozi nzuri.. kama ufaulu wako unakuruhusu unaweza ifanyia kazi
@@teacherd kweli
Teacher d me nilichaguliwa na tamisemi kwenye selection za kidato cha nne
Teacher d me nilichaguliwa na tamisemi kwenye selection za kidato cha nne
@@AdiMody-yc7cg kwaiyo ulikua hutaki kwenda?