Msondo Ngoma Band Piga Ua Talaka Utatoa Official Video

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 286

  • @johnjoseph7363
    @johnjoseph7363 7 ปีที่แล้ว +19

    kwa kweli mungu awangazie mwanga wa milele hawa ndg zetu wa msondo ngoma music kwa kututangulia mbele ya haki,hakika tunaheshimu sana kazi zao na tunazikumbuka sana

    • @saidali1611
      @saidali1611 6 ปีที่แล้ว +1

      John Joseph @

    • @saidali1611
      @saidali1611 6 ปีที่แล้ว +1

      kweli walikua juu sana mpaka leo hakuna kama msondo

    • @sadialex9402
      @sadialex9402 3 ปีที่แล้ว +1

      Mungu huyu basi bwana

  • @brunoamir355
    @brunoamir355 3 ปีที่แล้ว

    Duh huyu ndo mungu anachukua chake kwa muda alopanga

  • @MercyTracy-k2m
    @MercyTracy-k2m 8 หลายเดือนก่อน +13

    Any one 2024👁️👁️👁️

    • @Smailmudabado
      @Smailmudabado 7 หลายเดือนก่อน +1

      Like me❤

  • @lilianmakwati5228
    @lilianmakwati5228 ปีที่แล้ว +1

    Zinanikumbusha mbali mno hizi nyimbo

  • @benlidigu5161
    @benlidigu5161 2 ปีที่แล้ว +2

    Msondo Ngoma Band has real talented musicians.

    • @hamisikinyari1293
      @hamisikinyari1293 2 ปีที่แล้ว

      2858

    • @RamadhanMagulu
      @RamadhanMagulu ปีที่แล้ว

      Tutawakumbuka. DAIMA......Walio hai na. Waliota gulia. Mbele ya. Haki. Msondo ilikuwa. Baba. Yao

  • @stamelistameli8461
    @stamelistameli8461 ปีที่แล้ว

    Rlp msondo😂

  • @ramadhaniramadhani0602
    @ramadhaniramadhani0602 5 หลายเดือนก่อน +5

    Who is still watching 2024🎉 old is gold❤

  • @sezarialfred6240
    @sezarialfred6240 5 ปีที่แล้ว +7

    Moshi pumzika sulema pumzika, ngurumo,pumzika,

  • @danstanpanga8490
    @danstanpanga8490 9 หลายเดือนก่อน +3

    Ya kale ni dhahabu. Pumzikeni kwa amani wazee wetu watunzi mahiri na waimbaji wazuri kwa mafunzo mengi mliyotupa kwenye nyimbo zenu.

  • @yoctanchandaromediarevolve9483
    @yoctanchandaromediarevolve9483 3 ปีที่แล้ว +14

    2021tunaingia na msondo gonga like kama unakubaliii

  • @jumbeomari3044
    @jumbeomari3044 6 ปีที่แล้ว +11

    Kweli kijana wangu mashaka lunyombe hilo ni dongo waziwazi la bichuka maana izi band vijembe vingi wasababishaji ni bichuka na shabani dede ao ndio magwiji wa kuahama hama kidogo na hussein jumbe.

  • @joelnassari105
    @joelnassari105 7 ปีที่แล้ว +21

    Best Band in Tanzania. ..R.I.P Msondo Legendary. ..Tx Moshi. ..Gurumo na wengne waliotangulia Mbele za haki tunawaombea, Mwenyenzi Mungu awape pumziko jema.

  • @nyerere1259
    @nyerere1259 4 ปีที่แล้ว +14

    2020 like apa

    • @happyjohn5882
      @happyjohn5882 4 ปีที่แล้ว

      Tupo hapa rahaa sana,vijana wa sasa hivi wanaimba matope tuu Mara iokote sijui mara Amabokoo daah

  • @peterkallenga5459
    @peterkallenga5459 8 ปีที่แล้ว +18

    ni dhahabu

  • @mashakalunyombe2087
    @mashakalunyombe2087 6 ปีที่แล้ว +5

    msondo kamili iyo na message hii niliambiwa na mtaalam wa mambo aya mhe j mpalasinge kuwa hilo ni dongo alikuwa anapelekewa hsn rehani bichuka nae kupitia ddc akajibu nyimbo inaitwa tende harua harua

  • @emanuelmtweve3102
    @emanuelmtweve3102 8 ปีที่แล้ว +26

    RIP WAPENDWA

  • @mussadominick2930
    @mussadominick2930 5 ปีที่แล้ว +6

    Msondoo ngomaaa 100% hakuna kama ninyi mliotangulia MUNGU awapumzishe mahala panapositahili

  • @babuchaya1410
    @babuchaya1410 3 ปีที่แล้ว +8

    2021 nipeni like zangu wajameni

  • @zulachama1067
    @zulachama1067 ปีที่แล้ว +3

    2023 wana msondo ngoma band nawasalimu nyote mlohai na walotutangulia mbele za haki mungu hawarehemu mahala pema peponi mzee wetu, nawapenda sana zilipendwa na zika pendeka kupendeza.watching from mombasa kenya

  • @zakariajoseph9435
    @zakariajoseph9435 8 ปีที่แล้ว +14

    Nawakubal sana waliobaki mjitahid Sana

  • @robertmussa4542
    @robertmussa4542 6 ปีที่แล้ว +6

    Kwamungu kila got ripigwa mupumuzike kwa amani.

  • @RojaMtembez
    @RojaMtembez 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mbilia beli wende

  • @aliissa6632
    @aliissa6632 5 ปีที่แล้ว +3

    Itabaki store tu ila mziki ndio unapotea tamaduni zetu vijana wa leo wanaiga asili za wazungu tulindeni hadhina ya kitanzania jamani 2019 bado naikubali dhahabu yetu

  • @bakarisechala4951
    @bakarisechala4951 5 ปีที่แล้ว +3

    Hivi vyuma vingekuwepo mziki wa dans ungebaki kwenye nafasi yake

  • @dottokondo7299
    @dottokondo7299 5 ปีที่แล้ว +4

    Mungu awa rehemu mlio tutangulia jamani ila msondo mlikua kiboko yao

  • @jacksaid
    @jacksaid 10 หลายเดือนก่อน +2

    Nostalgia, wazee pumzikeni kwa amani. I ❤ your songs sababu ni mafunzo tupu. From Congo

  • @tatuissa1571
    @tatuissa1571 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu awalaze mahari pema peponi amen kwa xababu hawata tokea wazee wet ujumb mzur Kama huu wa hawat tokea kabixa

  • @samwelinguru2837
    @samwelinguru2837 5 ปีที่แล้ว +2

    Heshima kwenu wapendwa msondo ngoma!!!?, MUNGU awapunguzie adhabu ya kabur!!!!!!!!!!.

  • @mornecoetzee7787
    @mornecoetzee7787 8 ปีที่แล้ว +8

    wewe hachaa tu mambo hayo hayarudi tena simchezo

  • @MwajanjaPaul
    @MwajanjaPaul หลายเดือนก่อน +1

    msondo. ngoma baab kubwa

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kuanzia mashairi, upigaji,uimbaji,uchezaji,vyote ni burudani ,bado tunawakumbuka mlituburudisha sana enzi zenu ,ila jamani huyu mpiga guitar, analicharaza kwelikweli,nimempenda sana,hivi bado yupo hai?06.01.24.bado nasikiliza.

  • @mbiyugobo1031
    @mbiyugobo1031 8 ปีที่แล้ว +14

    zakaria hawaliobaki hawezi kufikia hii musondo kama hii

  • @obillaezra6205
    @obillaezra6205 3 ปีที่แล้ว +2

    Ni Nyimbo za Mwisho mwisho kupigwa wakiwa wote” Duh Mabera Mwana Kigoma, Momba, TX Moshi, Mahina’ Gurumo, Hakika Watanzania bado Wanawakumbuka”

  • @AbdulAbdul-pr9qe
    @AbdulAbdul-pr9qe 3 ปีที่แล้ว +13

    2021 kwa uwezo wa Mungu natizama hii, gonga LIKE kama tupo pamoja

  • @freddykulwa8190
    @freddykulwa8190 ปีที่แล้ว +2

    Nipo Senegal 🇸🇳 nasikilinza music 🎶 wanyumbani siku ya uhuru Tanzania 🇹🇿 mungu ibariki Tanzania 🇹🇿 9mwenzi 12 2022 .Africa

  • @gilbertlusiji
    @gilbertlusiji หลายเดือนก่อน +1

    Njoo uluyani kenya na msondo ngoma uchekwe

  • @samsondecoman983
    @samsondecoman983 4 ปีที่แล้ว +2

    Msondo wosia wenu kwasasa unatufaa sana sisi vijana Wa 2020 hata baadhi yawazee wasasa wamepoteza ladha.
    Ewe mwenyezi uwape pumziko tulivu.

  • @radhiarajabu5183
    @radhiarajabu5183 7 ปีที่แล้ว +15

    kwa kweli msondo ngoma kiboko yao hakuna kama msondo

  • @geraldbenjamin9302
    @geraldbenjamin9302 3 ปีที่แล้ว +1

    Kuanzia Dakika ya tano tunaachana na ujumbe tunzaanza kuburudika na vyombo vya mziki. Kidogo tu, Kidogo eeeh, Kidogo tu, msondo ngoma, Kidogo tu heeee!/Anacheeeeeka

  • @festoaidan8955
    @festoaidan8955 5 ปีที่แล้ว +9

    Who watch this in 2019

    • @eliasnicholous1605
      @eliasnicholous1605 5 ปีที่แล้ว

      Festo wa festo umekubali

    • @protasbulali2
      @protasbulali2 4 ปีที่แล้ว

      Hawa ndio walikuwa wanamuziki maana ujumbe wa Kila wimbo usipime

  • @elivtv.baseafrica3988
    @elivtv.baseafrica3988 6 ปีที่แล้ว +3

    Nimeangaria uu wimbo nimekukumbuka bibi ang Upumzike kwa amani bibi ang kipenz nimekukumbuka

  • @omarkhamis3909
    @omarkhamis3909 2 ปีที่แล้ว +1

    Hizi ndio ngoma zakusikiliza ambazo Zina mafundisho sio zasasa nyimbo matusi matupu

  • @abdallaabdulrahman8319
    @abdallaabdulrahman8319 7 ปีที่แล้ว +8

    Hicho ni kijembe alichopigwa Hassan Bichuka baada ya kulazimisha kudai kuondoka kurudi Sikinde

    • @ferdinandmakore5002
      @ferdinandmakore5002 6 ปีที่แล้ว

      abdalla abdulrahman hahaha ni kweli upo sahihi.

    • @shaabannyuge6857
      @shaabannyuge6857 5 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa kaka ujumbe huo kwa njia ya muzki

    • @yusufukazamba2391
      @yusufukazamba2391 4 ปีที่แล้ว

      Ni kweli Bichuka alirudi sikinde

    • @yusufukazamba2391
      @yusufukazamba2391 4 ปีที่แล้ว +1

      Romario kaka endeleza jahazi LA msondo nawapenda sana nyimbo zenu ni darasa tosha

  • @zubedasaid5962
    @zubedasaid5962 6 ปีที่แล้ว +25

    Hizi ndizo nyimbo haziwezi potea , sio hizo za vijana wasasa, we underrate our old musics

  • @rajabsalim8920
    @rajabsalim8920 3 ปีที่แล้ว +1

    Ardhi inameza watu doh😤

  • @salummuhija4435
    @salummuhija4435 5 ปีที่แล้ว +4

    Burudani adimu sana kipindi hiki dah!

  • @thomaskasura7333
    @thomaskasura7333 4 ปีที่แล้ว +1

    Mabera toka 1972 mpaka leo msondo na roman1982 wapo nakumbuka mbali sana Central bar kibaha bado npo primary RIP mliotangulia

  • @jamesrobert8890
    @jamesrobert8890 3 ปีที่แล้ว +2

    Ngoma safi sana rest in peace mzee ngurumo na TX moshi William na wengine wote wana msondo ngoma kiukweli mlikua faraja ya watanzania mziki mliuweza sana hongereni sana kwa hilo.

  • @hamisikaisi461
    @hamisikaisi461 5 ปีที่แล้ว +3

    Ilikua kama team ya france ya 98 ya zidane...hatareeeeeee

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 11 หลายเดือนก่อน +1

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌️。

  • @clementbankuwiha7774
    @clementbankuwiha7774 5 ปีที่แล้ว +14

    2019 bado naangalia tuu

  • @nawihadj6674
    @nawihadj6674 6 ปีที่แล้ว +5

    wanangu nyieee toka mdogoo nawakubari cz jumbe zenu zinaishi milele ,kazi zenu nzur snaa baba zngu

  • @aishamzonge457
    @aishamzonge457 2 ปีที่แล้ว +1

    walale mahala pema peponi hawa watu hakika waliifanya kazi yao vizuri sana May, 2022 gonga like

  • @allykassim9826
    @allykassim9826 6 ปีที่แล้ว +2

    Sep 2018. Siamini macho yangu. Jopo zima la wanaoimba hapo wamefariki dunia. Mungu wasamehe makosa yao na uwahifadhi. Amin.

    • @abedhamza4653
      @abedhamza4653 ปีที่แล้ว

      Hilo solo la dk mabera sio mchezo

  • @barikomrisho7842
    @barikomrisho7842 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awape pepo njema huko mbele ya haki mliko

  • @AlickGondwe-x9l
    @AlickGondwe-x9l 5 หลายเดือนก่อน +1

    2024kama kawa

  • @fatmachambotanzania9379
    @fatmachambotanzania9379 5 ปีที่แล้ว +1

    Kwa Tanzania bado hawajatokea kama nyinyu hakika msondo mlikua the best pumziken kwa aman wote mliotangulia TX MOSH WILLIAM &NGURUMO &MAINA &SULEMAIN MBWEMBWE

  • @leahmnkeni7466
    @leahmnkeni7466 3 ปีที่แล้ว +1

    2021 hapa

  • @abdallahmtosa6979
    @abdallahmtosa6979 ปีที่แล้ว +1

    Inshaallah Mola awape kauli thabiti.

  • @matumbifaustine244
    @matumbifaustine244 5 ปีที่แล้ว +10

    jaman nani ako namimi..2019^hapa machozi yananitoka

  • @tobiasimussamuna1510
    @tobiasimussamuna1510 2 ปีที่แล้ว +1

    ama kweli ya kale ni dhahabu ina mafundisha kwenye maisha kuna wengine imewakuta

  • @yusufukazamba2391
    @yusufukazamba2391 4 ปีที่แล้ว +1

    Seleman mbwembwe; Tx moshi na Kamanda Gurumo tutawakumbuka daima

  • @simiyudennis88
    @simiyudennis88 6 ปีที่แล้ว +2

    Msichana mudogo gud.

  • @nelsonandrew5038
    @nelsonandrew5038 8 ปีที่แล้ว +14

    R. I. P wote mliotangulia mbele ya Khaki

  • @kidukujaki3187
    @kidukujaki3187 10 วันที่ผ่านมา

    Nakubali sana lispect

  • @frankezekiel1955
    @frankezekiel1955 2 ปีที่แล้ว +1

    2022 HERE

  • @samuelbyser5105
    @samuelbyser5105 3 ปีที่แล้ว +1

    Nyimbo zuri san hii ina mafunzo mazuri sana tutakukumbuka sana legendary wetu

  • @tausiyusuph7282
    @tausiyusuph7282 6 ปีที่แล้ว +6

    ❤❤❤❤❤❤💚💚💚💚💚😭😭😭😭

  • @simiyudennis88
    @simiyudennis88 6 ปีที่แล้ว +2

    beats poa sana, hii ni ukweli awoman is a woman ata umulee kama mtoto no pure tu.

    • @ezekielmathias627
      @ezekielmathias627 6 ปีที่แล้ว

      Simiyu Dennish
      Nashukuru sana nyimbo za zamani zinafudisha Sana jamani

  • @prosperhosea7966
    @prosperhosea7966 5 ปีที่แล้ว +1

    Zilipendwa miziki sijaona kama inaupinzani kwasasa kwa upigaji mziki na kujipanga
    Ongereni sana wazee wetu maana ni nyimbo zilikua na maana

  • @maimunakassim2840
    @maimunakassim2840 3 ปีที่แล้ว +1

    Hii ndio miziki bhana 2021 twende sawa hapa

  • @sadickndembo6642
    @sadickndembo6642 6 ปีที่แล้ว +2

    Kumbuka baba angu alikua anawapenda

  • @Isaac-vm5mi
    @Isaac-vm5mi ปีที่แล้ว +1

    Inanikumbusha kitambo kweli

  • @olsvardonegredo5650
    @olsvardonegredo5650 3 ปีที่แล้ว +1

    Old Is Gold
    Pumzken Kwa Aman

  • @gregorypungwe6838
    @gregorypungwe6838 2 ปีที่แล้ว +1

    23.9.2022 naangalia mziki mzurii

  • @jddwanzalughendo2287
    @jddwanzalughendo2287 4 หลายเดือนก่อน +1

    Best songs

  • @mahelamnazaletimahela9317
    @mahelamnazaletimahela9317 4 ปีที่แล้ว +1

    Dah baba zangu mungu awalaze mahali pema peponi emen

  • @KasibanteTonny-xo3dr
    @KasibanteTonny-xo3dr 8 หลายเดือนก่อน

    Otu jazz.pongezi tele kwa music wenu bora.Asante sana kwa kuburudisha inchi zetu africa mashariki.

  • @kasimuhija5239
    @kasimuhija5239 2 ปีที่แล้ว

    Wote mbele yahaki

  • @makamesimai2492
    @makamesimai2492 7 ปีที่แล้ว +10

    jamani huu ndio muziki,

    • @danielnjoroge5383
      @danielnjoroge5383 7 ปีที่แล้ว

      makame simai nakubali haswa mzee Ngurumo naipenda sana sauti yake ya simba Kamanda mwenyewe

  • @shebathutajirishohalisihal2458
    @shebathutajirishohalisihal2458 5 ปีที่แล้ว +1

    Well well goon sana kutuletea hizi nyimbo .naomba ule wimbo unaosema .ukiona mtu mzima analia ujue kuna jambo.

  • @jumakitwikj5586
    @jumakitwikj5586 3 ปีที่แล้ว +1

    Nngurumo na moshi nawakumbuka sana awa waze

  • @emmanuelmwanza6963
    @emmanuelmwanza6963 ปีที่แล้ว

    sema dunian tunapita yan huu wimbo nikiusikiaga tu sehemu unapgwa machozi.huwa yananitoka,,huyu mtot mnenguaji cjui saiv anaisha gani nw2023

  • @daemuularmmy5280
    @daemuularmmy5280 3 ปีที่แล้ว +1

    2020 like zangu jaman

  • @priscafidelic9074
    @priscafidelic9074 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwan hii nyimbo ya mwaka gan mana naisi cjui ckuzaliwa au nilizaliwa Nilikua mdogo sana nimeipenda

  • @iddothmani4249
    @iddothmani4249 2 ปีที่แล้ว

    Bado tunamikumbuk wazee wetu waku vitu vizur mlivyotuachia. Sio Hawa kanyag twende

  • @yusufukazamba2391
    @yusufukazamba2391 4 ปีที่แล้ว +1

    Ukweli utabaki ukweli hakika msondo ni baba lao

  • @johnsonmwakonya9989
    @johnsonmwakonya9989 11 หลายเดือนก่อน

    Mi muucrine ila Ngoma naikbali sana

  • @machanoalawi9833
    @machanoalawi9833 4 ปีที่แล้ว +1

    Nikisiliza moyo wangu unatulia nyimbo kama wanayaona yanayo tokea mtaani

  • @musa2843
    @musa2843 4 ปีที่แล้ว +1

    Huko TZ, hamna yeyote anayeweza kuendeleza aina ya huu mziki?

  • @chandeyusufu9570
    @chandeyusufu9570 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana ujumbe mzuri

  • @suzanamalike4187
    @suzanamalike4187 ปีที่แล้ว

    Hizi song ni kali

  • @mitchy408
    @mitchy408 9 ปีที่แล้ว +18

    Nimekua sina raha hapa nyumbani., kila siku maneno yako mama hayaishi..

  • @egnokinunda4539
    @egnokinunda4539 6 ปีที่แล้ว +1

    Kila siku maneno yako mama hayaishi,

  • @eliudymhapu1750
    @eliudymhapu1750 2 ปีที่แล้ว

    2022 January 30 at Tabata damp Dar es salaam

  • @kumbukababu9454
    @kumbukababu9454 7 ปีที่แล้ว +9

    hataree sana hii kitu

  • @jumammbaga9974
    @jumammbaga9974 4 หลายเดือนก่อน

    Nyimbo zote za wasafi na kile kituo chao cha kurushia matangazo yao na watangazi wote ni nyimbo moja ya walimwengu

  • @hamadymwasangala907
    @hamadymwasangala907 7 ปีที่แล้ว +9

    nimekubali

  • @chidymatanga903
    @chidymatanga903 6 ปีที่แล้ว +1

    R.I.p wote mbele nyinyi nyuma sisi

  • @dullahdescore5127
    @dullahdescore5127 4 ปีที่แล้ว +3

    Dah Kama unakubali bado gonga like.........