IBADA YA KUOSHWA MIGUU || PASTOR GEORGE MUKABWA || 01/01/2024
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
- Pastor George Mukabwa -Senior Pastor-Jesus Restoration Centre (JRC), Mwanza Tanzania.
For Offering you can send from any Network to M-Pesa Lipa Namba 5252176
Unaweza Tuma Sadaka yako MPESA number +255 753 333 008
#jrcchurch #pastorgeorgemukabwa #tanzania #jrctz
Gospel Teachings for soul winning Purpose.
nimebarikiwa Asante sana pastor kwa haya mahubiri yanaendelea kunichenga akika nmeuona mkono wa bwana🙏🙌🙌
Amèna Amena Amena Papa Pasteur yani leo sijuwi niseme aje acha tuu mbingu ziwe waji kwa maisha yako yote .yani ilisomo inabidi nirudiye ndani niko na note book niandike Asante sana Baba
Am so blessed pastor with your teachings from the Bible na mahubiri yako nimebarikiwa,mengi yamebadilika katika yaishani mwangu🙏🙏🙏am Fatina currently working in saudi Arabia,,,God bless you pastor.
Kwa jina la Yesu mwenye ñguvu na mamlaka, haya mafundisho yamefungua malango yangu ya milele Kwa Mwaka huu 2024.
Nitamwimbia Bwana wimbo mpya hivi karibuni.
Na Kwa sadaka yangu eemuu nautakasa mwaka 2024 na napokea mguu wa kumiliki Fursa,Biashara, viwanja, magarina hazina zote zilizofichwa.
Napokea miguu ya Kasi kama mguu wa kulungu.
Kilichowachukua wazazi wangu miaka kinaenda kutimia
Ubarikiwe sana mchungaji Mungu akuongez nguvu
Nimefurahia mafundisho yako pastor
Nashukuru mtumishi kwa elimu
Amen, Amen, nakuelewa vzr baba
Miguu yangu itaongozwa na Bwana..
Happy New Year 2024 🎉 natakaza miguu yangu kwa damu ya Yesu mwaka huu MUNGU anipe miguu ya speed,aniwezeshe na aongoze hatua zangu 🙏
Ombea my grañdson WILL to speak
Mlio karibu na huyu mchungaji mnayo neema mungu nipe uzima nikija Africa nitaitumia hii neema mungu mtunze huyu baba na familia yake nzima
Glory to the lord. Paster
Amen, Amen.
Amen Amen napokea kila lililotamkwa ktk jina la Yesu🙏
Heri na furaha ya mwaka mpya kwa kila mmoja kwenye mtandao huu am blessed pstr mungu akujaze utele wA kiuungu ili utusambazie
Niombe epombe hii inaitwa WINiSpiRiT mungu aniondore kwa mboma yangu
Mungu aendelee kukupaka mafuta Mtumishi mwema unayetushibisha kiroho.
Baada ya kufuatilia mafundisho yako mengi nimegundua kwamba hata kufunga kwangu ni kwama nilikua nashinda njaa tu ila sasa nimepata kitu kutoka kwako.
More blessings to you Pastor Geoge.
Aman🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nashukuru mtumishi wa mungu ,hapo kwakuoshwa miguu iliniguza sana! Nashukuru!
Nabarikiwa sana na mahubiri yako pastor nimejifunza mengi kutoka kwako mungu na azidi kukubariki na akutie nguvu, Amen amen🙏🙏🙏🙏
Nina barikiwa sana baba MTumishi
Maubiri mazuri ya uamsho yenye hekima kuu ya kiungu asante mungu na akuinue zaidi na zaidi
Glory to Jesus
Amen 🙏🙏🙏 mafunzi mazuri happy New year 🎉🎉 kutoka Kenya ❤❤
asante Mungu nimehudumiwa nachukua miguu ya kurungu. ktk jina la Yesu
Aminaa mtumishi WA Mungu aliye hai ubarikiwe
Ameen
Mungu azidi kukutumia. Asante kwa mafundisho mazuri
Ñ....
Happy, Happy 🎉🎉2024
Mungu akubariki sana baba
Hakika leo nimejifunza Vitu Vingi mnoooooooo
Naosha.miguu.yangu.kwa.famu.yesu.ilinisife
Glory to our Lord
Thank you God,be Blessed Servant of God.
Asante
Asante yesu nataka kuwekea mum maji Kwa nyumba
Nko kenya lakina natamani tuu siku moja na mm niweze kutoa sadaka
Amen hallelujah bwanayesu nipe mguu wa gulu ngu
Be blessed so much am following you online,am happy I got to know you new year,I pray that my life changes for good this year!Amen😅
You are blessed pastor
In the name of Jesus Amen
Ameeeeeeeeeeen
Happy new year 2024 pastor George,!umekuwa wa msaada sana kwangu Kwa ajiri ya mafu ndizo yako, yamejaa hekima ya mbingu, Mungu akubariki sana.
Amen i'm winning
Happy new year catherine frm kenya nimebsrikiwa sana
Amen pastoe b blessed
Happy New year 2024.All be blessed by God.
Happy new year glory to god 🙏🙏
Amen hallelujah glory to God
Amen Amen 🎉
Let the year be full of Grace, Amen blessings pastor.
Unaweza kuosha, na kuosha lakini bado shida ziko palepale
🙏🙏
Amen
Najiunganisha na huu upako
Amen 🙏
Mchungaji niombee uzao wangu.
Amen. Pastor nahitaji hicho kitabu. Ili niweze tuma pesa ya kitabu naomba msaada wa namba, ili pesa ikufikie nipate mwongozo.
Mafundisho mazuri kabisa, mtu ukijua jinsi ya kumiliki ujue umeshinda roho ya mateso na umaskini.
Napenda mafundisho yako na ninayafuatilia, binafsi nisingeoshwa miguu, ninasababu za kufanya hivyo , na leo ni miguu, kesho ni mengine
Mbona mm nikijaribu kutoa sadaka yangu inafeli nisaidieni
Mkumbushe MUÑGU kuhusu Hyo sadaka na.kabla hujaitoa sadaka uinenee iombee hiyo sadaka.kwamba unataka Nini kwenye hiyo sadaka Yako
1:10:55 1:10:57
Naomba kitabu nitumie number inayo pokea pesa
Washirika wa huku naombeni number yake please
No ya watsap ni ipi postor naomba
Amen, nimepokea mguu wa gulungu.
Amen and amen 🙏🙏✝️
Amen amen 🙏🎉
Amen
Amen 🙏
Ameeeeeeniiii
Amen 🙏
Amen!!!