Tumeikubali kabisa naona imetoka siku ya Leo natumesha ipa please thank lavalava and diamond platinum munajuwa 🇨🇩🇨🇩 nikutoka hapa DRCONGO 2023 and 2024 niyako diamond platinum tokoos 🤛🤛💪💪👌👌 🇨🇩🇨🇩 JACKSON JEAN KING
Noma lingini bombe kutoka usafini hiki ni Bala lamwaka huuu kama hapigi collaboration na simba la masimba hana video Bola ya mwaka broo mimi ni mwana family WCB for life ❤🤝👑👑Mond vs lava lava.
Don't you know the cost of alcohol?,finally repeat broken 6 times,and tired 9 times, We can't watch you get heartbroken to an extent you break English.
wanangu hili chupa ni kali 🔥🔥🔥🔥mashabiki waliopenda hii ngoma na video gonga like yako hapa❤❤😂😂😂😂
th-cam.com/video/v7E5KmgxK88/w-d-xo.html uga mix
Huyu kijana ni Chungu Sana much love from Kenya guys like bat😂
Proud of you tanzanian 🤍🔥 much love from Malawi 🇲🇼 amalawi ndipatseni likes zanga apa
diamond's new vocals have a VIBE, nani anakubaliana na mimi?
Siku hizi Diamond platnumz akuna kupumzika ,,,hapa na pale halali yeye ,,
Super power Simba 🔥🔥📸🎂
Kudadeki 🔥🔥🔥🔥 Huyu simba sio mtu mzuri hata kidogo 🔥🔥🔥🔥
Anahasira Mzee Baba kapagawa!! Anamsemo wake!! Eti# tupindike!!! Kudadeki ..😂😂😂ndi kwanza anaanza...
Diamond kwamavazi ameuwa kinoma ,kiufupi nyimbo ni kali kuanzia mwanzo hadi mwisho 🔥🔥🔥🔥🔥
Lavalava amejiuliza anakwama wapi naona kapata majibu.Hongera sana.
This year Lavalava just came back unlike DEM wako mwenye alienda majuu😂😂
Kile mulikuwa natafuta munakiona sasa kwa simba vidéo ni kali sana,nawakubali d.r.congo ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Wangapi tuna kikao na hii video..!!!!🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤
Ndio maana tunasema Tanzania wewe uchaguwe tu sanamu lako tukajengee wapi, simbaaaaaa wewe ni mwamba, 👑 king wa Africa zima na duniani ❤❤❤
Kula bomba hilo wcb never disappoint unyama ni mwingi sana humu gonga like kama nawewe umeitazama hii chupa mara nane😂😂
Kichupa hatar sana... daah imekula ghalama sana kwa jins inavyoonekana...CONCO KWENYUU WCB GROUP
Tumeikubali kabisa naona imetoka siku ya Leo natumesha ipa please thank lavalava and diamond platinum munajuwa 🇨🇩🇨🇩 nikutoka hapa DRCONGO 2023 and 2024 niyako diamond platinum tokoos 🤛🤛💪💪👌👌 🇨🇩🇨🇩 JACKSON JEAN KING
🦁Simba ninoma goma Kali Mmeua hatali video original
Huyu Mondi wa tandale atawa kill hizi Siku 💥💥💥
Love from Burundi 🇧🇮🇧🇮
Fact: Tanzanian music has a huge fan base in Kenya 🇰🇪🔥
😂😂😂true I can imagine sorry to say people jaming to this song in clubs and bar.me included enjoying ram & redbull
really
Kwanza coast region huwezi skia Ngoma zinachezwa
Yah it's true I am from kenya in the coast and people enjoy this songs souch
Nawapendraaaaa jmn ideas ni kali kila nyimbo 🥰🥰🥰🥰 WCB🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Diamond we support hii kijana❤❤
Wakwanzaaaa gonga like kama unamkubar tajiriiiii 🔥🔥🔥🔥🔥#wcb4life
2:59 Diamond Platnumz goes crazy like Lil Wayne 🙌🏽
Hii imemrudisha lava kwa game in a big BIG WAY.
Leo mtamskiza Lava Lava mpende msipende
❤❤❤❤❤❤❤ simbaaaaaaaaaa again with mt love bite🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Unyama ni mwingi mpaka unamwagika yaani
Love from kigali rwanda 🇷🇼🇷🇼🇷🇼
Simba la Masimba Dangote you killed it ❤️
Tulikuw tumevimic vitu kama hivi kwa lavalava na mond💪💯🔥🔥
Ahaaaaaaa ndy simbaaaaaeeeeee
Much more love❤❤❤❤WCB 🇹🇿,from Port Harcourt 🇳🇬 🇳🇬 🇳🇬, 🎉🎉🎉🎉,the song is💥💯💫despite the language barrier.
Greet our brothers and sisters in Harcourt 🥰
We mondi usikufe mamae... maan hizi radha tutazikosa..mung akupe life baba..
Simba simba simba 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mondi yesu wa music tz
Simba simba dangote mwaka iyi hatari kabisa ❤❤❤
Inabid wasanii wengine watulie kwanza magwiji Wana toa ngoma kila mwezi
Na ukinichekea kidogo aaaa umetafunwa bwanaaa😅😅😅 this hit me
😂😂😂😂😂
Iam proud of being an African 🔥🔥🔥🔥this is a great masterpiece love from zim 🇿🇼🇿🇼
Hawa WCB wanatengeneza kingdom Imara sana kwenye bongo fleva.. kam unaamini weka like tusepe🔥🔥
Video kali sana! Video ya viwango vya mbele kabisa!👊💪🍎🍎🍎🍎🍎❤❤❤❤❤
I'm watching from 🇺🇸. kichupa nicha moto kweli kweli team wcb tujuane kwa like please 🙏
Tanzanian hands down! You're not joking in this music industry. Keep it up!
Mooondy nakukubali kinoma
That part "Aty nilalale nimlalie nani wakati pesa nimeshika ukubwani" really snapped different 😂😂
2:15
😂😂Inanihusu wallah
On God😂😂
Uko sure your not keyan 😂😂😂
@@Lyd-rx6zu i am Bana😂😂😂
Wakubwaa mnafanya yenu 🙌🙌 pongezi kwa IVAN kauwaaaa
"Na Ukinichekea Kidogo Umetafunwa Bwana"...😂🦁💥
Mtoto w kiume ukileta Shobo utashikwa T*ko😂😂😂
😂😂 uliza waliomchekea walitafunwa kwel
@@RichardRutembesa-ns1kn Aaagh😂💥
@@tonnnieghm Alietafynwa ataongeaje kaka na ashaliwa ivo😂😂😂
Simbaaaa lovebite
Colabo ya nguvu kweli.I salute you guys
Simba ulituahidi na ujatuangusha Allah bls🎉
Diamond was a pure talent from god say amen
Hii ngoma ni Kali sana from Rwanda
Another trending😮🔥🔥
Simba LA masimba dangote 🔥🔥🔥
Bongo land is really taking amapiano to another level,, double good vibe it is🤞🏾
Love Bit unakuja kama umeme Mjomba .....🎉
WANAO MKUBALI #Diamond_Platnumz Na LavaLava ,,NJOONI HAPA KUNAKIKAO 🇹🇿,,GONGA LIKE 👍🙌
Ngoma kali sn hii sema mwenye ngoma kasizi. Hii na YAYA pamoja na Enjoy zote zinakaa.
Diamond killed this one❤❤
haujui huu ni simba..tupo nyuma yako mkuu
Much love from Kenya ngoma ni moto yani 🔥 🔥 🔥
Ni motooo
Tanzania music for life
Uncle goma kalii Sana hasa chorus
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥this guys never disappoint,,Simbaaaa
Dude si ndo hiliii
Noma lingini bombe kutoka usafini hiki ni Bala lamwaka huuu kama hapigi collaboration na simba la masimba hana video Bola ya mwaka broo mimi ni mwana family WCB for life ❤🤝👑👑Mond vs lava lava.
Lava lava kashatumikia adhabu ya kunyanganywa demu
Ngoma kali tumekubali
team WCB🔥🔥🔥
Zombie Platnumz ameua kinyamaaa😂😂😂😂❤
3:46 ...Dah...Mtoto wa kiume punguza Shobo...utashikwa tako😂😂😂🤣💯💯🔥🔥🍁
WCB apa mmeshindikana bajeti imetumika humu 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Wapi Like za tajiri lavalava na Simba Dangote, naombeni please zifike walau 1k nijivunie kuwa shabiki wa WCB' s Melody.
No comment,lavalava unajua sana
Baba Tiffa never disappoints 😅😅much love from Kenya
Duh watu wanawekeza aisee bonge la chupa🙌🙌🙌🙌🔥
Much love from Kenya 🇰🇪
Wakenya hamna kazi
Ukinichekea kidogo tuu umetafunwa bwana😎
Kabisaa
This is one of the best lit Tanzanian Music Video of the Year, the cinematographer or the videographer did great.
Wee zombie ni Simba la masimba dangote always likolo ❤❤❤ love from Lubumbashi
One of the Best from lavalava and platnumz❤❤🎉🎉🎉🎉
Tanzania is danger 🔥🔥🔥🔥 salute
Mimi ndo wa kwanza nipeni likes zangu plz😮
Hatariiiii ili gomaa
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👈🏼🎶lavalava hit🎶😂😂😂
Katika ngoma tano za kipindi hiki kwangu hii namba1 lava umerudi vizur big up👍👍👍👍👍💥💥💯💯💯💯
the king diamond platnumz is back now ❤❤
Uyo dem anajua kucheza Black beuty very nice with red hair
LOVE FROM NIGERIA 🇳🇬 ❤️ ♥️ ❤ DIAMOND KILLS IT AS ALWAYS
Wallah !! The way akina na beat tutibagiye na rimes ziw maze kweli iyii beat iri deep !! Muri speed yumuziki wa buja fleva
Lava on fire proud of you guys our two kings wcb for life
We zombie haujui ni simba la masimba dangotee @diamond platnumz ❤
Sometimes we stay single,is not because we don't need love it's just because we're tied of lies and blocken promise
Broken* 😊
Absolutely 👍
I agree 😅
I feel the pain in your chest 😂😂,take it's easy just got yourself drank.
Don't you know the cost of alcohol?,finally repeat broken 6 times,and tired 9 times,
We can't watch you get heartbroken to an extent you break English.
Kazi ipo kweli brother
Lavalava International vibe .... watching from South Sudan 🙌
Tunakikao😂😂😂😂😂 bana diamond is my guy where he goes I go atah kama ni kwa sheteni au kwa mungu nitaenda na yeye ❤❤❤❤❤ diamond to the head 🎉🎉🎉🎉🎉
Lava lava is always a vibe.. any day... From Kenya with lot's of love
"Tondu Nī kīī wee" umeskia hiyo kikuyu hapo ❤❤
Lavalava di best
Awajawai kutuangusha❤
revolutionary music era of Tanzania very proud of yall
Diamond give us more hits👊