BREAKING NEWS, KILICHOJIRI KWENYE MAZUNGUMZO KATI YA URUSI NA UKRAINE, URUSI IMESEMA HIVI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ก.พ. 2022
  • Urusi na Ukraine zimedhibitisha kuanzwa kwa mazungumzo ya amani yanayofanyika mpakani mwa Belarus
    ©TUNAKUPA HABARI ZA UHAKIKA KUTOKA VYANZO VYA KUAMINIKA
    ---------------------------------------------------------------------------------
    JIUNGE NA CHANNEL YETU APA: t.me/habari24tv
    TEMBELEA WEBSITE YETU HAPA; bit.ly/2UBBAQf
    -----------------------------------------------------------------------------------
    REPORT TO US
    If you find any error in material provided please take a minute to tell us about it. We will resolve it at the earliest.
    COPYRIGHT VIOLATION
    For Copyright Issues: We try our best to verify the ownership of content with the contributor. If you think your material is wrongly used, or if its a violation of copyright, email us assengablogtz@gmail.com

ความคิดเห็น • 29

  • @alihijiiddi8977
    @alihijiiddi8977 2 ปีที่แล้ว +1

    MAZUNGUMZO YA ZANZNZIBARI KAMA UKRAINE NA TANGANYIKA🇹🇿 KAMA URUSI 💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪

  • @jacksonletema6071
    @jacksonletema6071 2 ปีที่แล้ว +3

    Wabaguzi sana hawa wa Ukrein

  • @johnsonrenatus7772
    @johnsonrenatus7772 2 ปีที่แล้ว +4

    Mungu awajalie hekima wasuluish wa vta hvyo

  • @ausonjustinian2080
    @ausonjustinian2080 2 ปีที่แล้ว +6

    Mm hapo ndo maana nilikua nikimpenda MAGUFURI kwa msimamo wake wakutaka kutoombaomba misaada make uku ni kukiri umasikini na kupata rahana tu.

  • @matteombototo1892
    @matteombototo1892 2 ปีที่แล้ว +2

    Poleni sana ndu wanaichi wa Ukraine kwa matatiso mukuwpa kama hii mngu iwasaidie Ukraine

  • @pastormgeni5714
    @pastormgeni5714 2 ปีที่แล้ว +12

    Waafrika tujitahidi kujitegemea. Dharau zinakuja kwa sababu tunawatetemekea sana na misaada hiyo ndio inatuondelea heshima yetu. Tuna kila kitu, kila aina ya utajiri shida ni namna tunavyoutumia. Mara nyingi tunaacha washibe hao wanatubagua ndio maana wanatudharau. Tunahitaji udhirikiano wa dhati sana, ufuatiliaji wa dhati, uongozi mzuri na imara katiba na sheria vinavyolinda utu na mali asili pamoja na mazingira yetu. Mnufaika wa kwanza awe Mtanzania, Mwafrika. Ulaya bila Afrika hawawezi kuwa matajiri hivyo walivyo. Sasa wanapigana silaha zimetokana na madini yetu kama vile shaba n.k. Tunapiga magoti na pesa wanatupa na riba kimsingi wanauchezesha utajiri wetu. Sisi tunafurahi kukopeshwa. Mali zote tulizonazo ardhi tajiri kwa kilimo n.k. kwanini ni lazima kukopa tena viwango vikubwa? Kodi zinazilipa madeni ni za watu maskini, VIONGOZI WAKUBWA WANALIPA KODI kiasi gani? Tutoze ASILIMIA za Kodi kadiri ya MISHAHARA YAO iwekwe wazi.

    • @misscoast3174
      @misscoast3174 2 ปีที่แล้ว

      👍👍👍

    • @robertmgogosi8448
      @robertmgogosi8448 2 ปีที่แล้ว

      Unautajiri gani wewe unaoutaja hapa?Ivi unaifahamu America wewe au huwa unaishia kusikiliza maneno ya walevi ndiyo unakuja nayo hapa na bangi zako.

    • @misscoast3174
      @misscoast3174 2 ปีที่แล้ว

      @@robertmgogosi8448 watumwa ndio kama nyie

    • @mosesmzakwe7774
      @mosesmzakwe7774 2 ปีที่แล้ว

      Umeongea point sana.
      Mkimaliza kikao hicho
      Njoooni mjadili na yanayofanyika Congo DRC

    • @luciansanga5195
      @luciansanga5195 2 ปีที่แล้ว

      Viongozi wetu wana tembeza bakuli hawa hizi kufanyakazi wana shangilia Mikopo Hawajui kuwa kila Akopaye ni MtuMwa kwa yule Akopeshaye

  • @purryselestineraggty3171
    @purryselestineraggty3171 2 ปีที่แล้ว +2

    Asant... 🙏

  • @vintz338
    @vintz338 2 ปีที่แล้ว +3

    Yan NATO na umoja wa ulaya ndo wanaharibu amani hapo Ukraine

  • @wemaethan1489
    @wemaethan1489 2 ปีที่แล้ว +2

    Na bado acha wapigane nachukia kwa sababu wanawaonea waafrika

  • @obrigadoofficial1506
    @obrigadoofficial1506 2 ปีที่แล้ว +4

    Tuzidi kuomba. Mungu aepushe mbali mpango wa vita na Hali ya kupishana kauli na utani pia ni chanzo, eeeeh Mungu baba mwisho wa Dunia bado haujafika epusha mbali vita kuu ya 3 ya Dunia ;na tusilichukulie kawaida maana ni nchi zenye uwezo upande wa silaha na nyuma yao wapo wakuu wa vita Mungu tuliza dhoruba maana sii wote wameisikia injili. th-cam.com/video/m3AN6xvTgEA/w-d-xo.html

  • @mosesmzakwe7774
    @mosesmzakwe7774 2 ปีที่แล้ว

    Ukraine mnafiki kwa kutumika na Marekani na EU

  • @jacksonletema6071
    @jacksonletema6071 2 ปีที่แล้ว

    Hayo mazungumzo wamarekani hawayataki ili waendelee kuuza silaha kwa ukrein

  • @kenedrocky5964
    @kenedrocky5964 2 ปีที่แล้ว

    MWENYEZI MUNGU AWATIE NGUVU YUKREINE.
    WAACHE UBAGUZI WA RANGI. MWENYEZI MUNGU ALIWAUMBA WATU WOTE SAWA.

  • @johnsinyinza7450
    @johnsinyinza7450 2 ปีที่แล้ว

    Serikari za afrika zimemezidi kunyanyasa watu wao wazungu wamechoka kupokea wakimbizi afrika Marais wanataka wakae waweze kuwachia watoto wao watawale wazungu hawana tabiya hiyo.

  • @farajavilla2379
    @farajavilla2379 2 ปีที่แล้ว +1

    So mbaya amani muhimuu

  • @wonderfulmedia4697
    @wonderfulmedia4697 2 ปีที่แล้ว +3

    NINYI WA MAREKANI MNAUDHUNIKA KWA MAUAJI YA WATU MIA TANO INAYOFANYWA NA URUSI INCHNI UKRAINE NA YALE MAUAJI YA WACONGOMANI MNAYOFANYA KILA UCHAO HAMJUI KAMA DUNIA INAYAONA?

    • @snkhannassoro2404
      @snkhannassoro2404 2 ปีที่แล้ว +2

      WAO TU NDIO WANAJIONA WANAHAKI YA KUWEPO DUNIAN,WANAFANYA MABAYA SANA ILA WANAONA HAKUNA WAKUWAZUIA,,WALA WA KUWAPA VIKWAZO,IPO SIKU HATA KAMA HATUTAKUWEPO, ILA AMERICA NA WENZAKE WATAANGAMIA

    • @wonderfulmedia4697
      @wonderfulmedia4697 2 ปีที่แล้ว

      @@snkhannassoro2404 KWELI KABISA

    • @saidipeace3294
      @saidipeace3294 2 ปีที่แล้ว

      Nduguyangu kongo hakuna watu kule kunamfano wa watu

    • @wonderfulmedia4697
      @wonderfulmedia4697 2 ปีที่แล้ว

      @@saidipeace3294 KAMA KUNA MFANO WA WATU BASI WACHA TUONE LILE MAREKANI ITAKACHO KIFANYA KWENYE MAUAJI YA WATU INAYOENDELEA

  • @user-eo7ug2tg9r
    @user-eo7ug2tg9r 2 ปีที่แล้ว +3

    PUTIN amechangamsha dunia 😂😂