Duh kaka yetu hogera sana Mkuu wetu:Tunaifaham vema sana kazi namaelekezo yako ya msingi sana uliyokuwa ukiyatoa kwetu na taifa lako:Unaupendo Wa thati sana;Ushauri Wa maisha;Nidham utii kiukweli uliyoyafanya kwetu na taifa zima mungu atakulipa
Hongereni sanaa viongo WETU WA ULINZI,binafsi nawashauri kama itawafaa wa huu Hawa wa taasisi za ulinzi wa kitaifa,wafanyiwe bajeti ili pindi wamalizapo utumishi wao basi nasi wananchi tupate kuwaaga ktk Moja ya kiwanja Cha mpira.#MAISHA MEMA CDF MABEYO#JWTZ#JKT#WIZARA#TANZANIA#AFRICA.
Mungu awe nawe ewe cdf mstaafu Mabeyo.Bila shaka wanaokurithi wataendelea kuwa na utu na hofu ya Mungu ktk utumishi wao kwetu na Tanzania kwa ujumla.Waendeleze umakini,usikuvu,uhodari na uwajibikaji Bora na madhubuti wa msingi wa JwTz.♥️🙏
Mwenyeezi Mungu akubariki, nakutakia maisha mema,wewe ni kiongozi wa kuigwa kwa kweli.
Mama Samia mabeo hapewe KAZI nyingine kubwa zaidi uyu Baba mabeo Yuko vzr sana sana
Umepumzika tukiwa bado tunakupenda, asantee kwa kazi njema.
Duh kaka yetu hogera sana Mkuu wetu:Tunaifaham vema sana kazi namaelekezo yako ya msingi sana uliyokuwa ukiyatoa kwetu na taifa lako:Unaupendo Wa thati sana;Ushauri Wa maisha;Nidham utii kiukweli uliyoyafanya kwetu na taifa zima mungu atakulipa
Kiongozi Mzuri Sana mnyenyekevu sana
Hongera Afande CDF kwa Utumishi wako uliotukuka Jeshini na kwa Taifa letu. Mwenyezi MUNGU akujalie afya njema na maisha marefu.
Hongereni sanaa viongo WETU WA ULINZI,binafsi nawashauri kama itawafaa wa huu Hawa wa taasisi za ulinzi wa kitaifa,wafanyiwe bajeti ili pindi wamalizapo utumishi wao basi nasi wananchi tupate kuwaaga ktk Moja ya kiwanja Cha mpira.#MAISHA MEMA CDF MABEYO#JWTZ#JKT#WIZARA#TANZANIA#AFRICA.
Mungu awe nawe ewe cdf mstaafu Mabeyo.Bila shaka wanaokurithi wataendelea kuwa na utu na hofu ya Mungu ktk utumishi wao kwetu na Tanzania kwa ujumla.Waendeleze umakini,usikuvu,uhodari na uwajibikaji Bora na madhubuti wa msingi wa JwTz.♥️🙏
Natamani sana cku 1 niwe Kama kiongozi huyu anaesema mwenyewe nataka nikapumzike. Hongera sana!
Asante kiongozi mungu hakulinde
Hongera Sana CDF Mabeyo
🙏🙏🙏 hongera sana kamanda
Atuna cha kusema tungependa uendelee ila aiwezakani mungu wetu wa mbinguni akutunze uishi miaka mingi baba yetu tunakupenda
Mungu akutangulie kwa kila jambo lako Afande CDF Venanc Salvatore Mabeyo
Tunakupongeza sana baba.
Safi sana kamanda wetu
Wewenimzarendo 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Pamoja mkuu
Hakika wewe ni mzalendo wa kweli kwa taifa letu Mungu aendelee kukutunza afande Mabeyo
Baba yetu ungeongezewa mda bado uko vzur
James mbwambo
Huyu mtu mbona ni mdogo bado sana kwanini ajiuzulu
umeambiwa kastaf,unasema kajiuzulu, uliskia wapi cdf kajiuzulu 😂
We kweli kichwa cha boga
@@tumlakimwaitumule Ahahaha! 😆😁😃🤪😋🤓
Ana miaka 66
@@catherinesamson9239 Ahahaha! 😛😝😄😀🤣🙄😂
Chuma