TAZAMA WAHANDISI “WAKITEST” MITAMBO, VITUO VYA UMEME 100%

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 67

  • @bashirberuwani1834
    @bashirberuwani1834 3 ปีที่แล้ว +19

    Asante sana JPM mzalendo nambar moja duniani tutakuenzi jemidari wetu

  • @isaacbhudoma8750
    @isaacbhudoma8750 3 ปีที่แล้ว +17

    JPM,,,, was the man of commitment

  • @marconzilankoma7581
    @marconzilankoma7581 3 ปีที่แล้ว +5

    Mungu ibaraki Tanzania na watu wake 🇹🇿
    Mungu wabariki viongozi wote 🇹🇿
    RIP JPM

  • @diizdays8920
    @diizdays8920 3 ปีที่แล้ว +3

    JESUS for life mh. Mama samia kazi iendelee hekima iwe ndani yako

  • @deograthiaslupindu255
    @deograthiaslupindu255 3 ปีที่แล้ว +6

    Mradi huu ukikamilika ndio tutatambua maono y JPM, Mungu ibariki 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 🇹🇿

  • @selemanabdalla342
    @selemanabdalla342 3 ปีที่แล้ว +8

    Maono ya jpm tutamkukumbuka mzee wetu umehacha Alama mkubwa ktk taifa

  • @salmapolesanasalma9557
    @salmapolesanasalma9557 3 ปีที่แล้ว

    Asante jpm daima tutakukumbuka

  • @lucidaedward6567
    @lucidaedward6567 3 ปีที่แล้ว +3

    Ben Mwanantala yuko wapii???

  • @nicodemusmushi7909
    @nicodemusmushi7909 3 ปีที่แล้ว +8

    Naiona Tanzania mpya unakuja kwa haraka sana faida kwa vizazi vijavyo, nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano wa Tanzania, KAZI UENDELEE

  • @somewhereinafrica9164
    @somewhereinafrica9164 3 ปีที่แล้ว +1

    My beautiful country 🔥😊😋🇹🇿🇹🇿.... We are moving somewhere 😊🇹🇿🔨 We are coming men 🇹🇿🇹🇿🔨🔩.. #ASANTE SANA J.P.M MAONO YAKO NDIO TUNAJIVUNIA LEO, ASANTE SANA NA MUNGU AKUPUNGUZIE ADHABU YA KABULI. 🙏 Asanteni pia kwa kukubali miradi iendelee, 🤔namaanisha wale wenye maono tofauti pia namaanisha wapingaji muwe CCM, muwe CHADEMA, muwe CAF n.k 😊 Hatutaki siasa tunataka maono tekelezeka ya kutufikisha nchi ya ahadi 😊. HATUTAKI WATOTO, WAJUKUU N.K WETU WAJE WAAMINI ULAYA NI KUZURI KULIKO AFRIKA 😁 HATUTAKI WAAMINI MZUNGU AU MTU WA ASIA AU AMERICA NI BORA KULIKO YEYE.. TUNAWEZA BHANA 😎 JAPO NAJUA KIBABE.. MY BEAUTIFUL COUNTRY 🇹🇿 FIRST 🔩🔨

  • @issazakaria863
    @issazakaria863 3 ปีที่แล้ว +1

    Kazi iendeleeee

  • @amiryhamza1984
    @amiryhamza1984 3 ปีที่แล้ว +4

    tunashukru sana kazi iendelee

  • @vicentrogers9465
    @vicentrogers9465 3 ปีที่แล้ว +2

    Jpm for everybody

  • @folonatuszongo148
    @folonatuszongo148 3 ปีที่แล้ว +3

    Nzuri hiyo,Kazi inaendelea.

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akubarik Mama Samia kwa kuendeleza miradi , kwa pamoja tunaweza , ila Shirika la nyumba na wote wanaohusika na ujenzi wa majengo nao wazidi kuwa wabunifu maana Sio unashuka kwenye treni alafu narudi kitaa tandale au midizini kote kubomolewe na zijengwe apartments

  • @mcluthaya3706
    @mcluthaya3706 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu atubaliki

  • @michaelndilima6210
    @michaelndilima6210 3 ปีที่แล้ว +1

    Magufuli hatosahaulika

  • @michaelndilima6210
    @michaelndilima6210 3 ปีที่แล้ว

    Safi sana

  • @beaugosseadam6831
    @beaugosseadam6831 3 ปีที่แล้ว +3

    Juhudi na Maono za JPM (Indigo child). JPM was a commtment leader!!! Sio kama yule kuwadi wa Msoga anayechekacheka hovyo kama kicha kaona jalala jipya!

    • @TamuzaKale
      @TamuzaKale 3 ปีที่แล้ว

      Utakufa bure kumchukia mtu asiyejua be wala che!

  • @williamnyimbi1048
    @williamnyimbi1048 3 ปีที่แล้ว +6

    Ben Mwanantala yupo wapi

    • @christianlutare6309
      @christianlutare6309 3 ปีที่แล้ว

      Katumbuliwa na Mama

    • @alfrednyamnini7352
      @alfrednyamnini7352 3 ปีที่แล้ว +1

      Acha kukalili Hakuna anayekaa kwenye nafasi moja mda wote

    • @williamnyimbi1048
      @williamnyimbi1048 3 ปีที่แล้ว

      @@alfrednyamnini7352 kuuliza sio kukalili kama hujui kaa kimya

    • @alfrednyamnini7352
      @alfrednyamnini7352 3 ปีที่แล้ว +1

      Kaanzisha kipindi kipya cha uzalendo yupo.

    • @christianlutare6309
      @christianlutare6309 3 ปีที่แล้ว

      Hicho kipindi kipya mbona hakukianzisha kipindi cha Chuma? Katumbuliwa bhana

  • @msomimosomy9812
    @msomimosomy9812 3 ปีที่แล้ว +2

    Kilasiku niasilimia91mnaboasana

  • @diizdays8920
    @diizdays8920 3 ปีที่แล้ว

    JESUS for life ben mwanantala yuko wapi jamani

  • @msomimosomy9812
    @msomimosomy9812 3 ปีที่แล้ว

    Mimiloho inaniuma ebuvuta taswila uzinduzi watrenimpya ungefanywa nababa magu kmaangekuwahai ingenogajee?

  • @michaelndilima6210
    @michaelndilima6210 3 ปีที่แล้ว

    Safi ulithi wa ndugu yetu Magi.

  • @mussalee5470
    @mussalee5470 3 ปีที่แล้ว +3

    Naomba kujuzwa ivi benwaitala yupo wap sikuizi

    • @karyori69
      @karyori69 3 ปีที่แล้ว +1

      si muajiriwa wa TRC tena!

    • @selemanmtauka2925
      @selemanmtauka2925 3 ปีที่แล้ว +1

      yupo star tv kpnd cha sisi ni wazalendo

    • @mrmhenipm
      @mrmhenipm 3 ปีที่แล้ว

      Lakini Ben Mwanantala alikuwa bomba

    • @selemanmtauka2925
      @selemanmtauka2925 3 ปีที่แล้ว

      @@mrmhenipm hata kule yupo bomba

    • @karyori69
      @karyori69 3 ปีที่แล้ว

      @@mrmhenipm opinion yako sioni tofauti na wa sasa!

  • @bahatiogolla3695
    @bahatiogolla3695 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwanza - Isaka mnaanza ujenzi wake lini?

    • @benjaminpallangyo4545
      @benjaminpallangyo4545 3 ปีที่แล้ว +1

      Magu hayupo tena, uwe mpole na subira

    • @ngwanafabian9668
      @ngwanafabian9668 3 ปีที่แล้ว

      @@benjaminpallangyo4545 Hilo jibu maana yake ni nini?

    • @benjaminpallangyo4545
      @benjaminpallangyo4545 3 ปีที่แล้ว

      @@ngwanafabian9668 mwaanza-isaka mkandaras alishapatikana na alitakiwa aanze kazi mara moja, lkn mpk leo hajaanza. Manake siyo kipaumbele Cha mama, ko endelea kusubiri itafika siku atawakumbuka

    • @christianlutare6309
      @christianlutare6309 3 ปีที่แล้ว +2

      Katumbuliwa Ben

    • @cosmasdaud9088
      @cosmasdaud9088 3 ปีที่แล้ว

      Tatizo pesa jaña ndio mama katoa bilioni 300 Mambo magumu miradi ya kibabe Sio mchezo

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 3 ปีที่แล้ว

    Bado miezi mitatu tu......si tunasubiri.

    • @5facts60
      @5facts60 3 ปีที่แล้ว

      Wamebadirisha mpka november

  • @jumanurdin5891
    @jumanurdin5891 3 ปีที่แล้ว

    Tatizo fidia za watu wa umeme kipande cha pili mor-makutupola mpaka leo bado watu hawajalipwa fidia zao ili wapishe mladi.

    • @sundaysindole1978
      @sundaysindole1978 3 ปีที่แล้ว

      Acha chokochoko. Kwani hiyo reli ni ya Kenya?

  • @mrishojumbe4572
    @mrishojumbe4572 3 ปีที่แล้ว

    Mna ruku ya kutosha sio mnatest tu

  • @kabete1099
    @kabete1099 3 ปีที่แล้ว

    Failed project. Toka 2019

    • @mohamediomari1614
      @mohamediomari1614 3 ปีที่แล้ว +2

      Jenga yakoo, weka bajeti yako, utafutee mhandisii ujenge reli yako, hii ni ya watanzania wew haukuhusu Jenga yako uifaulisheee.😏

    • @BOSSTv95
      @BOSSTv95 3 ปีที่แล้ว +1

      Huyu ni hater tu mshamba

    • @petershedrack4668
      @petershedrack4668 3 ปีที่แล้ว

      Baba hii sio ujenzi wa Nyumba ya kulala,

    • @valerianshirimashirimaval6612
      @valerianshirimashirimaval6612 3 ปีที่แล้ว

      Je wewe unakula na wezi au vipi.Ukipewa nafasi ya kujenga choo kwa siku moja huwezi Domo kaya ishara ya kichwa tupu 👺😹

    • @TamuzaKale
      @TamuzaKale 3 ปีที่แล้ว

      Kwamba kutoka Dar mpaka dodoma miezi sita? Ukumbuke hawaruki hata kipande kimoja. Ndani yake kuna madaraja na majengo makubwamakubwa. Si kazi ndogo! Hiyo inaweza kufika hata miaka mitano. Si mbaya kazi ikamilike kwa ufanisi na si pupa!