Huyu marehemu elbariki anaonekana alikua anaishi vizuri sana na jamii inayomzunguka❤mwenyezi mungu amlaze mahala pema pepon amen🙏🙏tuliobaki tuna mengi ya kujifunza...
sijuwi niseme nini kuna kauli inasema ishi na watu vizuri kweli bariki aliishi na watu vizuri sana MUNGU azidi kukurehemu akuondolee azabu ya kaburini Amen
Nafwatiliya jmn hongereni sn viongozi waArusha ..!nimeipenda hiyo umoja ninguvu kwastahili hiyo tutafika hongereni sn hakika hakiyamtu haipotei hakika duuh nimeamini jmn waTanzania mmeona tujifunze kitu jmn mmh 3:57
Acheni kujipendekeza Samia anahusiana vip na huu uwamzi acheni uchawa kilakitu Samia msimbebeshe mama wa watu majukumu ambayo haya tambui mama Yuko bize na kutoka tuzo za walipakodi
Huyu marehemu elbariki anaonekana alikua anaishi vizuri sana na jamii inayomzunguka❤mwenyezi mungu amlaze mahala pema pepon amen🙏🙏tuliobaki tuna mengi ya kujifunza...
Ukiskia mwisho mwema ndio huu wa bariki sasa 🎉🎉🎉Eeeh mwenyezi Mungu tujalie mwisho mwema
sijuwi niseme nini kuna kauli inasema ishi na watu vizuri kweli bariki aliishi na watu vizuri sana MUNGU azidi kukurehemu akuondolee azabu ya kaburini Amen
Nafwatiliya jmn hongereni sn viongozi waArusha ..!nimeipenda hiyo umoja ninguvu kwastahili hiyo tutafika hongereni sn hakika hakiyamtu haipotei hakika duuh nimeamini jmn waTanzania mmeona tujifunze kitu jmn mmh 3:57
Maskini Bariki huko ulipo ujue ulipendwa sn, Mungu akupumzishe salama Baba!
Viongozi wa chuga na wananchi wote❤❤❤❤❤
Sio jamii tu hata mungu alikua na hofu nae tunamuomba mwenyezi mungu ampumzishe mahala pema peponi
Mungu amlinde mtoto wa Bariki
Anastahili haki zote za Baba yake
From 🇧🇮 ni mependa🎉
Huyu Bariki inaonekana alizulumiwa Hali zake sana na hii yote ni baada ya mama yake kufariki baadhi ya mama wa kambo sio watu ni zaidi ya wanyama
Shikamoo Mh diwani NHABOTH SILAS
Nimewapenda sana viongozi❤ pia yule dada police ❤❤❤.
Samia yupo vizur na wateule wake. Safi sana
Acheni kujipendekeza Samia anahusiana vip na huu uwamzi acheni uchawa kilakitu Samia msimbebeshe mama wa watu majukumu ambayo haya tambui mama Yuko bize na kutoka tuzo za walipakodi
@charleskibiki217 we unafikili haon haya au unafilil maamuz yaliyochukuliwa kayatoa mamayako.potea.Hongera Mama 5 tena
@@MtumishiWaMungu-c6mwewe maongezi yote umesikia uyo mama akitajwa au nikukjrupuka anaetajwa àpo ni bariki sawa na SIO mama yako
@@monicaSamson-mc9ph monica na Charles mshaanza kunyapiana humu.aya fungen ndoa.pambav
Lala salama bariki
Bariki afufuki mmeendabali Sana
Arusha hoyeeeeeeeee
Wananchi wa eneo husika kwa kweli mmeonyesha ushirikiano mzuri sana
Mwenyekiti gonga tena....
Shikamoo Arusha
Nguvu ya wananchi
Kwani angezikwa njiro angefufuka.kwanza nibeneo tengefu cemetery area
Haki ya mtoto ingepotea
ocd ni mzuri sana hapigi mtu