DW Kiswahili | MAONI: Wachambuzi watathmini ziara ya Rais Xi Jinping barani Ulaya

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ก.ย. 2024
  • Hatimaye rais wa #China Xi Jinping amefanya ziara yake ya kwanza barani Ulaya tangu mwaka 2019 akizitembelea Ufaransa, Serbia na Hungary. Pamoja na kauli zilizojitokeza kwenye ziara hiyo, kipindi cha #Maoni kinatathmini umuhimu wa ziara hiyo. China inaweza kusaidia vipi kumaliza vita vya Urusi nchini Ukraine? Kwa hayo na mengine mengi, ungana na wachambuzi kwenye Meza ya Mduara. Nahodha ni Josephat Charo.
    #DW Kiswahili #DW Swahili #Maoni #Uchambuzi #Mafuriko

ความคิดเห็น • 5

  • @zakariarantsim1064
    @zakariarantsim1064 4 หลายเดือนก่อน

    Nawapenda DW

  • @TimotheoSoteli
    @TimotheoSoteli 4 หลายเดือนก่อน

    Good news

  • @jailosjoel
    @jailosjoel 4 หลายเดือนก่อน

    Aman aman

  • @CharafimalisalimoAli-qw3hk
    @CharafimalisalimoAli-qw3hk 4 หลายเดือนก่อน +1

    URUSI VHINA NA MARAFIKIZAO WAWEZA KUISHI BILA AMERICA MA WASHIRIKINA WENZAKE. ILA AMERICA NA WASHIRIKINA WENZA HAWAWEZ KUISHI BILA CHINA URUSI NA WASHIRIKAWENZAO.

  • @CharafimalisalimoAli-qw3hk
    @CharafimalisalimoAli-qw3hk 4 หลายเดือนก่อน

    KUMUAMBIA MCHINA ASIUNGANE NA MKWELI PUTIN KISHA WAUNGANE MA MATAPELI WADUNIA AMERICA UFARANSA NI AKILI ZA USHOGAHIZO NA ZA UPUMBAVU. NI KAMA KUTAFUTA SIDIRIA YA MIKONO MIREFU.😂