Sasa hilo limziki la nn kwaankwaaa kelele yaaan bongo ni malimbukeni mpk mtu unahisi uishi hhata porini na manyani..hpo unahoji mtu huo mziki unatuhusu nn nonsense
Kumbe wew unachelewa kuchanga ahse kwani apo kwenye judge nyumba au Ni story uwe unajielewa wewe mijengo janja anayo magari anayo misha pia anayo acha ujinga wewe
Acha ujinga unajua walio potea kwenye game uyu kitambo kwenye game kabla ya uyo mmakonde ukisema janja Ni legendary shtuka wewe nikuulize Kama amepotea pengo lake kaziba nani? Mwenzio maarufu toka anasoma shtuka wew
@@superwhitetz3258 Aaah dogo janja mpika gongo tu Amna kitu music ushamshinda yapo madogo akila malioo mabantu ibrah wanakuja juu yeye yupo tu kufuga minywele ya mambange😂😂😂 so mi navonjua Harmonize awezi kumjibu Dogo janja Mana ataona anamuaibisha😂😂
Nimeipenda sanaa iyo kbs big up dogo janja mimi naitwa short cut nikiwa congo DRC kwakweli kijana unajua vaa kbs
MaDogo wengi Tanzania ila kiranja wao ni mmoja tu. Mad respect to Dogo Janjarooo
Mtu mwenye fear na Mungu siku zote anakuwa anaenda na amani ya Mungu. Dogo Janja nikijana mwenya hekima na kujielewa. Ubarikiwe bro 🙌
Namkubali sana sana dah
just like
Sio kweli
Dogo muuni hata huku kiwanja akija anajichanganya . salute zote
Wee ndo kusema broo # buddah boss
From kenya
From kenya salute janjaro
Janja upo Vizuri Barikiwa sana jua Mafanikio yako kuwasaidia wengine waendelee safi sana am ur die fans uje na IG Live
Experience is the best teacher i think umenielewa
Yaani Dogo janja kiatu hicho ntoto wangu wa miezi 6 anakivaa kama ndala tu wewe unaonesha show Bongo washamba sanaaa
Ttz quality
@@Leosaviour ASANTE.
Unamnunulia masampula ya kariakoo unaona kavaa viatu vinachawa kibao😂😂😂
@@maujanjatv24h41 Shangaa!... Raha ya JORDAN, Uvae OG.😊
Sasa hilo limziki la nn kwaankwaaa kelele yaaan bongo ni malimbukeni mpk mtu unahisi uishi hhata porini na manyani..hpo unahoji mtu huo mziki unatuhusu nn nonsense
Nmeipenda interview....big up
Aki nimependa hii interview nimechekaa sanaaa from Kenya
Compadede Kama compadede🤣🤣🤣 nmecheka wallah Ila sisi tulikuwa tunakula wali maharage siku nyingin mpilili aka pilau🤣🤣
Since Majengo juu 2000 nyoosha mkono💯👐😅😅
Nakuelewa sn janjarooooo 👊
hii kiswahili ya chuga naipendaga sanaaa
Interview yenye aliki big up janjaro
Janjarooooo 🔥🔥🔥
Upo vzur dogo
😃😃😃 Dogo Janja Anapenda Show Off za Kimbele mbele Saana
Nakubali sana Janjaro
Kijana yuko chummy sana sema wabongo mmezoa wale waongowango
Walaiii siwezi ipita interview ya huyu broo namkubaligi tu ..mafunzo always
Namkubali sana Janjaro. Hata mimi kuvaa kiatu ya 100,000 huwa siwazi nanunua tu boot 🥾 mwanaume ni kiatu.
Wew ni mimi kabisa kiatu yangu ya bei rahis ni 70000
Oy tumekua pamoja sema umetoka janja angu kumbuka kaoshi pale mkabala na lomba ijuva #dogojanja
Dogo Yesu anaokoa hata sasa.
Ya MUNGU mengi ila ya Shetani sio machache
Guuud mannn janjarooo
Nakukubali
mrangi wanyooshe sana
Asee hii ndo kaskazini, janjaro arudi tenaaaa
Huyu Dogo huaga namkubali tu sana
Naomba iludiwe
Much respect bro....
Page za fake ama izo za kwa Jiga janja😂😂
Bless up janjarooo
th-cam.com/video/nHVBnBAHhhE/w-d-xo.html
kama dogo Janja nimkali Kwanini hafiki uku Congo kayumba tayari amewasili rdc
Ivi daa gea unajua baba yake dogojanja yupo hai jaman aliekufaga ni baba wakambo ety naanafanan na baba yake Atari baba yake anaitwa daudi
Ya kweli hayo?
Mm nikichukua sana alivosema Bab yake kafa kumbe yupo nanimo nae Kila siku mtaan analalamika mwanae kumkan
Wew kipindi hujakielew kwasababu hawajaongelea
Mjengo
Umesema ukweli
🤣🤣ila bongo
Nampenda Sana dogo janja yaani
Simulizi au mahojiano!?
Bongo kweli bado ,😄😆😆 unajisifia kuvaa Jodi 1
#zee rakufunika funua
Kumbuka Kuna kupanda na kushuka.......usijuisifu sana!!!!!!.
Nice janjaro
Madee baba ya wengi
Yaani mtu mzima unajivunia viato kweli 🤣🤣 tafuteni pesa ya kumilika mijengo ndio maisha
Umeongea kiato hicho kiha au
Yes mijengo ndo ndili menyine shombo tu
Nikweli br !
Kumbe wew unachelewa kuchanga ahse kwani apo kwenye judge nyumba au Ni story uwe unajielewa wewe mijengo janja anayo magari anayo misha pia anayo acha ujinga wewe
Hata kuandika hamjui, kiato ni nn
🤣🤣🤣Apa naikumbuka interview ya P funk...
Hii stori ushaisimulia zaidi maramoja nahujawahi kubadilisha sehemu ata kidogo unapita mulemule kiufupi janjaro ww mkweli so muongo
Fanya collabo sasa bro
Janjaroo amenfany nmaliz interview yotee Nimechek san
OG bro🇨🇩
Et wabongo wameingiza mix😁😁😁
Dogo janjaroooo
Mbona mmeikatisha ase tunaitaka iendelee bhn
The real artist.
🔥🔥🔥
😂😅😅😅😂dogo kanikumbusha nyumban saana
Yan kapita mule mule kwenye real life langu
Napenda kiswahili ya Arusha
@@momoledonatus1220 nakubaliiii
Bado mtoto ndo maana kutwa anaongelea kuvaa wenzie tunawaona wanashindana kuwekeza kwenye majumba na mabiashara.
Acha kujizeesha ww bado mdogo mindevu ambayo haina mana towa usiwe kama babu yangu
Hahaaaa
Suna ya kwakijana wakiisilamu unataka asiwe nandevu kivipi
Mwanangu we vp unadis ndevu za mwana 🤭
Mwanaume asie na ndevu ni Kama balbu volt 60 ile ya mia 6 miacheni azitunze ndevu zake yawezekana ndo raha ya mkewe uzur zaid ni sunnah
Mwanaume ndevu jamnn ...sas unataka awe Kama emoji 😌
Mnavaa vitu vya bei gari ila mkipata mtatizo dishi la mchango
Weraaa piga keleleee kwa janjaroooo yakeee
Mrangi mjanja Sana 😅😅😅😅
🔥🔥🔥🌞
dogo nakukubari sana
Sana janjaro
Nakulew
Nimependa
Nine upends hio yakila enzi iwe yangu niendenayo sawa
💪💪💪🔥
Hahaha kuchaitabaki kuwachuga tupix janjarooo
Kama unajua kitu siyo lazime ujibu kwa mdomo vitend ni jibu zaid janjaro
Dogo ume kuwa kweli
usikose kuangalia nadua online tv kupata elimu mbali mbali za tiba ndani ya qur an mitishamba nk
Nimecheka natamani hii intv isiishe
Dogo kweli janja
Big up ndogo njanja
💰 talk only 💪
Nachoka na Lina na big g
Bongee la interview..
Janja kama janja.. 💪
Ananifurahisha kuna muda anaongea sense
Comedy sana ila lipo lakujifunza🔥
One and only janjaro salute
Sasa kiato njo nini
Chuga culture
@@antipascann2797 culture de quoi je suis désolé de toi
Uko zizur dg njanja
😊😊🎩
Nawapata ktoka pnde za Namibia
Mwamba hustler
OG🙏🔥
Janjaro kama janjaro tuu
Anavaaa midosho sana
🔥🔥🔥🔥🙏
Janjaro ngarenalo
Masikini mkubwa hujawahi kuwa nahera kabosa
Naiman janja bado ana dini za kutosha
Weusi ndio maana wazungu wanatuita busy fools ,, kiwanja nyumba ndio muhimu mengine baadae
Naludiaga sn hiiki2 kuicheki
Og
😂😂😂😂😂
Kondoa gonga like zenu tafadhali
Uyo ashapotea kwenye game anatafuta kiki kwa konde
kapoteaje na kasha toa Albam inaitwa Asante mama apo aliitwa stufio kufanyiwa Enterview
Acha ujinga unajua walio potea kwenye game uyu kitambo kwenye game kabla ya uyo mmakonde ukisema janja Ni legendary shtuka wewe nikuulize Kama amepotea pengo lake kaziba nani? Mwenzio maarufu toka anasoma shtuka wew
@@zuwenaally1935 sa dogo janja nae anaimba nn si utopolo tu kwanzA muuza gongo uyo 😂😂
@@superwhitetz3258 Aaah dogo janja mpika gongo tu Amna kitu music ushamshinda yapo madogo akila malioo mabantu ibrah wanakuja juu yeye yupo tu kufuga minywele ya mambange😂😂😂 so mi navonjua Harmonize awezi kumjibu Dogo janja Mana ataona anamuaibisha😂😂