Tunawapata vizuri sana wazee wetu kwa kuenndelea kuichambua time yetu ya yanga wakati huu wakiwa ugenini kuikabili Ali hilali tuzidi kuwaombea mungu awabariki wote pamoja waungane kwa ushirikiano tutashinda mungu ibariki tanzania mungu ibariki yanga yetu iweze kupata mweendelezo mzuri zaidi kila la heri kwa mechi mzuri zaidi mungu yupo pamoja nanyi
Mzee Sunday Manara Computer ya miaka ya '70. Bahati mbaya Haji Manara hakurithi Kipaji cha UCHEZAJI WA MPIRA UWANJANI ila amekuwa Msemaji zaidi wa nje ya Uwanja.
Interview nzuri saana
Tunakushukuru Sana Baba yetu kwa haya Madini 🎉🎉