Kaka Kamwe nimekuelewa sana kwenye ishu ya Mzize mechi mbili za mwanzo makundi tulimmc sana, lakini pia umefanya vzuri sana katika interview ulizowahi kufanya hii pia ni moja ya interview bora sana kwahiyo hongera sana, msalimie ndugu Nazereti Upete hapo na wengine wote tunawapenda sana
Kweli Ali kamwe amesema kweli, hata Mimi niliona pale mbele,wale watu watatu pale mbele walikuwa habari sana, walikuwa wakipata mpira wanajua kutembea na mpira sana,kupiga chenga sana na Kasi sana.kweli ibenge ni hatari sana,
Nzuri sana haya mauchambuzi shida msemaji anaongea sana peke yake,mfano kuna kitu nazareti alitaka kutujuza Ally akamkatiza, nazareti alipopata nafasi, akawa hakuongea tena kile alichotaka kuongea.
Ali kamwe wewe ni manager wa habar African Allah akupe umri mrefu masha'Allha
Ee Mola Tujaalie Kheir Na Mafanikio kwenye Timu yetu naAfya ya wachezaji wetu Inshaallah
Halafu anatoka mtu anasema wamenunua mechi jamani Binadamu kazi kweli 😂😂
Kaka Kamwe nimekuelewa sana kwenye ishu ya Mzize mechi mbili za mwanzo makundi tulimmc sana, lakini pia umefanya vzuri sana katika interview ulizowahi kufanya hii pia ni moja ya interview bora sana kwahiyo hongera sana, msalimie ndugu Nazereti Upete hapo na wengine wote tunawapenda sana
Lakini Mungu mwema tulishinda 🎉🎉🎉
Nakukubali sana Afisa habari wangu
Uzuri Ally kamwe umesomea mpira safi sana ❤❤❤
Kweli Ali kamwe amesema kweli, hata Mimi niliona pale mbele,wale watu watatu pale mbele walikuwa habari sana, walikuwa wakipata mpira wanajua kutembea na mpira sana,kupiga chenga sana na Kasi sana.kweli ibenge ni hatari sana,
Naipenda yanga
Mungu ametulinda sana yanga ❤
Kweli ally kamwe umesema ukweli wale wanaume walinifanya niangalie mech nmeshika moyo
Allah awatangulie Amiin
❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂nimekuelewa 🎉🎉🎉🎉🎉
Yanga sasa iv tunatisha kaka✌️
yanga imebadilika sana
Ally unajua mpira sana kaka we nimchambuzi bora
Ile left footer inahatari sannnah...!
Inatembea na Mali alafu huchukui
Tulipumulia choki
Nzuri sana haya mauchambuzi shida msemaji anaongea sana peke yake,mfano kuna kitu nazareti alitaka kutujuza Ally akamkatiza, nazareti alipopata nafasi, akawa hakuongea tena kile alichotaka kuongea.
Kwaiyo unatakaje!
Nawapata vilivyo nikiwa pande za South Africa nawapata Barabara haw anasema mech haikua tuacheni maana nikawaida Yao kuongea
Kutoka mwanza tunaiombea yanga ya watanzania
المس دعنا نذهب إليهم
Al hilal wale jamaq wanaroho mbaya sana na wanauwezo mkubwa sana sitamani hata kukutana nao tena😆😆😆
Ali tuambie mzize anacheza namba ngapi uwanjani
mabeki ndio walifanya kazi za kujitowa
يا شباب ينغ افركنز انا اقول لكم تعالو إلى المعرق يوم السبت انشاء الله
Subiri kipigo, hakuna namna, mtatusamehe sana.
@@User255tv😂😂😂
Kwa nn msimsajili kiungo mkabaji?
Hivi max nzengeli yupo wapi yule jamaa
Injury
Wanaosema Ibenge aliuza hawajui mpira makolo hao ilemechi ilikua dume
WACHEZAJI WAJIANDAE NA MASHUTI YA MBALI:
1. AZIZI KI
2. MZIZE
3. MUDSTHIR
4. MC ALGER WATAJIANDAA KUZUIA