Best song, best sound, amazing video, big up big brother. The love EP is for lovers, good to have you back, tulimiss sound yako. We got your back bro. Switcher baba.
Badilisha jina...haina maana ya kujiita Quick Rocka kwa staili hii ya mziki...unaimba slowly hafu eti bado unajiita Quick Rocka 😆😆😆.... Quick Rocka ninayemjua mimi Ni wa #Bullet na #My_life tuu
wangapi wamekuja apa baada ya kusikia hii nyimbo kwenye..movie ya JUA KALI ☀️..TUjuane
😂😂😂😂
Nimependa sana
Yaan apa nimekukubali mpaka bc jaman teamo
Huu wimbo ungekuwa umetolewa na mmoja wa WCB ungekuwa no. 1 kwa trending. Ila mziki wa Sasa hivi bana.... Useeeeeela mwingi sana. Ila Kazi nzuri bro
Good job roob nwver giv up unaju zaidi ya mondi amini ilo ila kwakua watu wanapenda miziki ya ujinga mwingi watakataa
Kumbe uyu mwanamuzk pia
Noma
Switcher baba umeuaa
switcher wewe ni level zingine na unauwezo wakubadilika embu peleka huu mziki mbali zaidi tuachane amapiano mziki wetu ni mzuri sana
Noma sana
safi sana kaka rock
Huu wimbo ulinisababisha nikarudiana na x wangu
Switcher baba 👐👐👐👐👐💣💣💣💣 hizi ndio code
We fundi blood
Mziki mzuri mno
Hatari Kaka fuleee
Ngoma mkali
Nzuriii❤️❤️❤️❤️
Jmn ni nzur san❤
Switcher Baba👊🏻👊🏻👊🏻👊🏻
Muziki mzuriih
Nyimbo tamu sana sema bongo ndo hvyo wanafata wenye KIKI
Huyuu mwamba fundi
huyu jamaa anajua sanaaa sanaaa.....
My favorite song ❤
Nyimbo kali sana kila sekta❤️❤️
Shemeji
Juakali brought me here
Waaaaaaacha moto huuuu
safiii San kakaanguu
Sijawahi ku comment hapa nimeshindwa kujizuia mziki mzuri bro unajua Te amo
Youngkiller achane humu✌️✌️✌️
Fundi hakuna mfano aiseeee u kill dem@@@@
Mbwa mwitu anaona aibu
Hii ngoma inakosaje 1m views mbona ni kali sana au wanamroga switcher baba
Noma sana mzee unaujua mziki
Nyimbo nzuri sana
Good music Kaka fule
NC bro ✌️
Kak umeuaaaa sana
Kali
Mzuki mzuri ❤
Unyama mwingi blood
safiiii
Switcher Baba🍁
Noma sana kaka
💃💃💃💃💃
Wimbo mzuri kama macho yake😂♥️♥️♥️🔥🔥🔥🔥
Naam🥰😅
Bonge la classic song with classic video
Love life ep.... Bonge la Ep kuskia mwaka huu
Oya hii ngoma ni hatare mamamaeee
Fireeeee
Baba
Kaka yamotooooooooooooo hio🌹
Teamo gusa pale pale teamo tandika tulala
Bonge la ngomaa aseeh kila kitu kiko on point
Switcherbaba 🔥
Itoshe kusema Hii ngoma n kali 🙌🙌🙌
❤❤❤❤❤
Rocka
Hii quick Umekaza sasa inayo fuata iwe kali zaidi ya hii uone kama hu rudi fasta kwanza hii Uki piga promo Ume rudi ni booonge la ngoma
Cha kushangaza good music's hazina views 😪😪 this is just amaizing hit #switcher
Tatizo bongo kujuana kwingi hit nzur km hizi hazipew airtime
Hits Song💣🔥🔥🎶
Green city on top
Love
Mbeya boe 🔥🔥🔥
Bonge la ngomaaaaa 💥💥💥
👐
Naomba hii ngoma isiishie hapa kaka IPO promo hii ndo come back yetu kaka
Thanks lacka this is good music and good vibe
Kitu flani hivi Cha 🔥🔥🔥
Video nzuriii ila watazamajii Hamna dah😭
Switcher Baba 🔥
Amkeeeni amkeeeni @quickroka is back#teamo
Kenya is her
Good song
Good vibes💕💚💚🦋
Love is here😉🦋🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
noma sana
Ngoma tam ila ile dread ndo inakukaa fresh bro!
KAZI NZURI MDOGO WANGU....
Teamo lavida 🔥🔥🔥
Big up my brother #QUICKROCKA kwa #teamo 💪💪💪💪🔥🔥🔥🔥
Best song, best sound, amazing video, big up big brother. The love EP is for lovers, good to have you back, tulimiss sound yako.
We got your back bro.
Switcher baba.
Big tune big song #te amo
Dope 🙌
🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Badilisha jina...haina maana ya kujiita Quick Rocka kwa staili hii ya mziki...unaimba slowly hafu eti bado unajiita Quick Rocka 😆😆😆.... Quick Rocka ninayemjua mimi Ni wa #Bullet na #My_life tuu
Unyama#
🔥🔥
Quick rocka.. Switcher Baba☑️
racker wa i ga ma bullet bado tunaendelea kumsubiri tu , tupo
🔥🔥🔥🙌
Love song l lov her
Rocka 🔥 🔥 🔥🔥🔥🔥🔥
Love u bro🥰🥰
on top
Huyu jamaa hajawahi kuharibu Quick rocka 🔥🔥🔥
nisapot na Mimi bro and sis
Rocka 🎧🎶🙌
Swicher baba is back
🎶✨Te Amo Switcher Baba 💋 🎶
Ngoma 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mziki huu tunaelewa watu wenye akili zetu💣💣💣💣💣💣💣💣💣💥💥💥
Kabisaa yaani
Aww❤️🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥