UONGO WA KALE PART 2 - MAU MPEMBA NA DONGO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ม.ค. 2022
  • #MauMpemba #KomboKichwa #VitukoZanzibar
    UONGO WA KALE PART 2 - MAU MPEMBA NA DONGO
    Furahi na jifunze na vichekesho vya Mau Mpemba. Mau Mpemba ni msanii wa Zanzibar anaejulikana sana kwa aina yake ya sanaa ya maigizo kwa kutumia asili yake ya Pemba. Kwa kushirikiana na wasanii mbali mbali Tanzania, Mau Mpemba anasisimua na kuvunja mbavu za watu wengi wanaopenda aina yake ya maigizo.
    Aina ya sanaa anayofanya Mau Mpemba ni mfano wa kuingwa kwani, anatumia kile kidogo alichonacho ili kufurahisha na kuelimisha pia.
    Ukihitaji kuunga mkoni harakati za wasanii hawa ili waweze kuleta furaha kila siku katika jamii zetu, hakikisha unatangaza biashara yako au kutoa ushauri wako kupitia.
    +255 777 001500
  • ตลก

ความคิดเห็น • 82

  • @fetriucysuleiman9284
    @fetriucysuleiman9284 ปีที่แล้ว +1

    Mhh et nentoa kaa nzimaa kazi nzuri mungu awatangulie katik kazi yenu

  • @nassorhaji2637
    @nassorhaji2637 2 ปีที่แล้ว +3

    Daaah...khatarii nakwambia wapemba munzidi vituko eti kaa kwenye shina na Mjomba...balaaa...mwaweza uwa

  • @mohdsaad2736
    @mohdsaad2736 2 ปีที่แล้ว +3

    Mtumee mbavu zangu hii tuifanye series bora

  • @aliyulukiza8857
    @aliyulukiza8857 2 ปีที่แล้ว +2

    Dongo namkubali kichizi

  • @hajikhamis3288
    @hajikhamis3288 9 หลายเดือนก่อน

    Npakaaa nkondoooni 😂😂😂😂😂😂

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 2 ปีที่แล้ว

    Naka vizuri munione

  • @khamiswapemba9019
    @khamiswapemba9019 2 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana fundi mau

  • @zahramussa6674
    @zahramussa6674 2 ปีที่แล้ว +2

    Jamani muwe munaendeleza hii comedy 🤣🤣😂

  • @barghashally7791
    @barghashally7791 2 ปีที่แล้ว +1

    Kaz kaz nawakubali

  • @muhammedtz287
    @muhammedtz287 2 ปีที่แล้ว +1

    We Ni Atali 😂 😂 😂 😂

  • @naimaabuualii578
    @naimaabuualii578 2 ปีที่แล้ว +3

    😂😂😂😂Kaa na miguuyee

  • @abuujureyjkhaniy.5520
    @abuujureyjkhaniy.5520 2 ปีที่แล้ว +3

    LETEN ZA ZAMANI MNATUFURAHISHAAAA

  • @allyally4323
    @allyally4323 ปีที่แล้ว

    Nkongwe mauuu aaaaaaa heeee rafk yangu taaaa baba iyo kiboko hiiiii

  • @GoogleAccount-rb5qc
    @GoogleAccount-rb5qc 2 ปีที่แล้ว +1

    Muitoweeee part ya 3 🙏🙏🙏

  • @hemedjackson2261
    @hemedjackson2261 2 ปีที่แล้ว +1

    Hiii iendelee lart 3

  • @wardahaly4194
    @wardahaly4194 2 ปีที่แล้ว +1

    Hhhhhhhhh htr baduruuuu wamwage

  • @ahmadseif7241
    @ahmadseif7241 2 ปีที่แล้ว +1

    Hahahaha, wadogo wadogo wamwageeee

  • @anwarally7611
    @anwarally7611 ปีที่แล้ว

    😅 Halichinja umo umo

  • @zahramussa6674
    @zahramussa6674 2 ปีที่แล้ว +3

    😂😂😂😂kali hizi jamani 😂😂

  • @abdihaji22
    @abdihaji22 2 ปีที่แล้ว +2

    Halichinja umo umo

  • @barghashally7791
    @barghashally7791 2 ปีที่แล้ว

    Kaz kaz

  • @salehkhamis8653
    @salehkhamis8653 2 ปีที่แล้ว +1

    Nyio kweli pasua vichwa
    😆😆😆😆😆😆😆😆😆
    Mshashiba mapembe mnaropokwa2

  • @zaitunmohamed3965
    @zaitunmohamed3965 2 ปีที่แล้ว +1

    Kiukwe jamaaa zangu wa mchanga mdogo munajua had mnakera kwa Tz hakuna💯👌

  • @abdullaabdullahmpakanjia2336
    @abdullaabdullahmpakanjia2336 2 ปีที่แล้ว +1

    Fundi wazidi chafukwa

  • @sammellody3116
    @sammellody3116 2 ปีที่แล้ว

    Haaaaaaaaaaaa salut

  • @mohdalismaily4805
    @mohdalismaily4805 2 ปีที่แล้ว +2

    Mhhhh😂😂😂

  • @fumuali1605
    @fumuali1605 2 ปีที่แล้ว +1

    Daah

  • @ahmadsaif6504
    @ahmadsaif6504 2 ปีที่แล้ว +2

    Uongo ni haramu hata kama ni mzaha

  • @hajikhamis3288
    @hajikhamis3288 9 หลายเดือนก่อน

  • @abdullathabithemed9377
    @abdullathabithemed9377 2 ปีที่แล้ว +1

    🔥

  • @hafidhhamad9399
    @hafidhhamad9399 ปีที่แล้ว

    Baba we watisha kwa gombe hilo ulolifunga na nshipi

  • @yassirrashid7802
    @yassirrashid7802 2 ปีที่แล้ว +1

    Commedy kali sana 😁

  • @athumaniwaziri9392
    @athumaniwaziri9392 2 ปีที่แล้ว

    Kushaanza weye endeleza mwendelezo tu

  • @uwezogroupcomedy1135
    @uwezogroupcomedy1135 2 ปีที่แล้ว +1

    Mmmmhhh 😄🤣😂😆😄

  • @abdulhafidhi84
    @abdulhafidhi84 2 ปีที่แล้ว +1

    Na mm naitaka hyo nafac ya kuigiza naweza

  • @jumasalum2677
    @jumasalum2677 2 ปีที่แล้ว

    Acha uongo

  • @aliyasaa9214
    @aliyasaa9214 2 ปีที่แล้ว

    Mauu umuongoooooo heeeeeee lkn dongo weeee na makunde munzid aka BC kwenye sina langomba aka heeee haaa ni mjusi

  • @salimmaalim7540
    @salimmaalim7540 2 ปีที่แล้ว +2

    Hahaaaaaaaa

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 2 ปีที่แล้ว +1

    Ya Mau hatarii eti ngombe Wa pwani

  • @fatmaalsharge3257
    @fatmaalsharge3257 2 ปีที่แล้ว

    Haaahaa jamani mambo ya nyumbani ayo

  • @fatimasaid9469
    @fatimasaid9469 2 ปีที่แล้ว +2

    🙈🙈🙈😂😂

  • @hemedjackson2261
    @hemedjackson2261 2 ปีที่แล้ว

    Hhhhh mmh mmmhhhhhhhhhhh

  • @abdullahhassan.6368
    @abdullahhassan.6368 2 ปีที่แล้ว +1

    Mau unatishaa duh.?adi mbav znanium kwakuchek

  • @eyabdimaha3698
    @eyabdimaha3698 2 ปีที่แล้ว +2

    Hahaha

  • @OmanOman-ky2oo
    @OmanOman-ky2oo ปีที่แล้ว

    😂😂😂

  • @abuujureyjkhaniy.5520
    @abuujureyjkhaniy.5520 2 ปีที่แล้ว +1

    DONGO UMEKUTAJA UMEKUTAJA UMEKUTAJA KWETU KIWANI

  • @ftoomibrhoom7512
    @ftoomibrhoom7512 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣

  • @abdallahabibu8340
    @abdallahabibu8340 2 ปีที่แล้ว +1

    Mau kofia huuzi😀?

  • @khamiskombo5303
    @khamiskombo5303 ปีที่แล้ว

    Mh

  • @mohdalismaily4805
    @mohdalismaily4805 2 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂😂

  • @maryamhamad3485
    @maryamhamad3485 ปีที่แล้ว

    😅😅😅

  • @drmalaikah8958
    @drmalaikah8958 2 ปีที่แล้ว +1

    Hahahhhhh

  • @fatmafatma550
    @fatmafatma550 2 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😆😆😆😆😆😆😆

  • @issaofficialvideo6375
    @issaofficialvideo6375 2 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @omarhashull3181
    @omarhashull3181 2 ปีที่แล้ว

    😀 😀 😀

  • @yassirrashid7802
    @yassirrashid7802 2 ปีที่แล้ว +1

    😀😀

  • @a.856
    @a.856 2 ปีที่แล้ว +1

    😀😀😀

  • @akidahamad142
    @akidahamad142 ปีที่แล้ว

    Mau uko poa

  • @maryamabdullah9169
    @maryamabdullah9169 2 ปีที่แล้ว

    Hahaaaaaa

  • @mohammedpie102
    @mohammedpie102 2 ปีที่แล้ว

    Hhhhhhh

  • @hamidyakoub6865
    @hamidyakoub6865 2 ปีที่แล้ว +1

    Hhhhhh

  • @uzayrkaaby9603
    @uzayrkaaby9603 2 ปีที่แล้ว

    😁😁😁😁😁😁😁

  • @mfuu9160
    @mfuu9160 2 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣

  • @hamudseif
    @hamudseif 2 ปีที่แล้ว +2

    Mau nataka nikupe ushauri tu, nyny mnatumia uongo kuchekesha watu, nimeona ile clip yako ya “zaman za kale” mnasema uongo kwa kufurahisha watu..swali ni..Je ni halali kusema uongo kwa nia ya kuchekesha watu..? Uongo wa maskhara nadhani haufai kaka

    • @tumaahmadghulaam9413
      @tumaahmadghulaam9413 2 ปีที่แล้ว +3

      Nimependa bure Maneno yako

    • @suleimansaid4398
      @suleimansaid4398 2 ปีที่แล้ว +1

      Sio kila kitu kinahitaji falsafa mzee take it easy....

    • @hamudseif
      @hamudseif 2 ปีที่แล้ว +1

      @@suleimansaid4398 Falsafa gan nilotumia apo, dini haitaki kutake easy kila ktu kipo na sheria, na sheria ya dini haipindishwi ispokuwa adhabu itakustahiki tu..kuna ungo umeruusiwa na sheria ya dini yetu otherwise utapata dhambi

    • @zanlec7357
      @zanlec7357 2 ปีที่แล้ว

      @@hamudseif hkika kbis

  • @hashimsalim1621
    @hashimsalim1621 2 ปีที่แล้ว

    Ww pochi ww acha ujinga huo waijuwa vema story ya pochi ungeitowa ingependeza zaid pochiii la mzungu mzungu wa bwagu wlikuta hla hziwahipo kuonekan duniani hle hzo hwa mapch nimependa kjna utani wa jadi lazima uwendelee

  • @hemedjackson2261
    @hemedjackson2261 2 ปีที่แล้ว

    Hhhhh mmh mmmhhhhhhhhhhh

  • @didimhutila8985
    @didimhutila8985 ปีที่แล้ว

    😅😅😅

  • @bravoabdul8201
    @bravoabdul8201 2 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣

  • @maryamhamad494
    @maryamhamad494 2 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @hajiharoub8125
    @hajiharoub8125 2 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣

  • @ramadhanikhatib9021
    @ramadhanikhatib9021 2 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂

  • @alisaleh6615
    @alisaleh6615 2 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣

  • @allybin08
    @allybin08 ปีที่แล้ว

    😅😅😅