Ndugu Wa Marehemu Wakataa Kuchukua Maiti, Wadai Polisi Wamemuua

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 113

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 3 ปีที่แล้ว +1

    Inalillah wainailahi rajuun zurma zimewajaa maaskali baazinutazani awatakufa wataishimilele mpaka wanauwa Subuhanallah awatokaa na Amani kamww mbaka kabulini Hao wauwaji dam zawatu zitawazuru

  • @annalema311
    @annalema311 6 ปีที่แล้ว +1

    pole mama mfiwa ..mungu atakysaidia atakama serekekali isipo kusaidia .wewe lia na mungu tu

  • @salamaalliy1845
    @salamaalliy1845 6 ปีที่แล้ว +1

    Inalilah wainalilah rajiun ,,salumu umeachia majonzi wenzio ww 😭😭😭😭😭kama nakuona salum police waliofanya hivi mungu atawahukumu kwa wakati wake hakuna atakaebaki ila hamjatenda haki ,,pole mama salumu

  • @mkenyahalisi1047
    @mkenyahalisi1047 6 ปีที่แล้ว +5

    Such a handsome man ,,police mtakufa kwa silaha pia

  • @reginamanyangu6682
    @reginamanyangu6682 6 ปีที่แล้ว +1

    waendelee kutuulia ndg zetu ila iko cku Mungu hatokaa kimya

  • @paulomwashinga2830
    @paulomwashinga2830 5 ปีที่แล้ว

    poleni sana wafiwa haki ni hapa hapa duniani.

  • @bothinabothina3603
    @bothinabothina3603 6 ปีที่แล้ว +1

    Poleni sana watanzania wenzangu Mungu atahukumu kwa haki

  • @allyflavour8005
    @allyflavour8005 6 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ana waona kwa hili hii IPO siku mungu atajibu yote haya

  • @sophiamose1328
    @sophiamose1328 6 ปีที่แล้ว +1

    Mungu atamlipia inshallah

  • @elizabethmwandu9899
    @elizabethmwandu9899 6 ปีที่แล้ว +1

    Kila auaye kwa upanga naye atakufa kwa upanga. Poleni sana ndg na jamaa wote kwa kuondokewa na mpendwa wenu aliyeuawa kikatili bila ya hatia yoyoye, Mungu awatie nguvu ktk kipindi hiki kigumu mlichonacho. R. I. P mpendwa wetu.

  • @Mamatonny2065
    @Mamatonny2065 6 ปีที่แล้ว +1

    Poleni na msiba.watanzania wenzangu.

  • @aishaomari1881
    @aishaomari1881 6 ปีที่แล้ว +7

    Maaskari mufe Kifo kibaya Kama mnavoua mumyemuu mwanafunz juz Leo Salim why mnafanya hv

  • @karimissaissa4359
    @karimissaissa4359 6 ปีที่แล้ว +1

    Poleni sana jmn hawa ndio police wetu cha muhim tu niwasih kamzikeni anae jua yote ni Allah ,nb police inakua je MTU anakimbia kuliko nyie fanyeni mazoezi jmn kumuua mwenzio cyo vuzur mamlaka hayo anayo allah

  • @zurekhasaid230
    @zurekhasaid230 6 ปีที่แล้ว

    Poleni sana wafiwa

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 6 ปีที่แล้ว +1

    Inalilah wainailehiharjim

  • @omarymbalala6224
    @omarymbalala6224 6 ปีที่แล้ว +1

    inalillah wainalillah rajiun
    eee mungu watie upofu hawa polisi walotenda tukio hili

  • @aishambomwe4696
    @aishambomwe4696 6 ปีที่แล้ว

    poleni

  • @damashiru3399
    @damashiru3399 6 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana R.l.p

  • @christinetimothy5805
    @christinetimothy5805 6 ปีที่แล้ว +1

    Inauma Sana jamani amani ipokweli hapa?? Tufike huko jamani plse!!!!!

  • @machelengamachelengafatuma6862
    @machelengamachelengafatuma6862 6 ปีที่แล้ว

    Polen.sana

  • @sophiamose1328
    @sophiamose1328 6 ปีที่แล้ว +2

    Poleni jamanii

  • @minaziparasu4980
    @minaziparasu4980 6 ปีที่แล้ว

    Ukivaa kanzu gaid ukivaa jeanz jambazi. Kazi kwelikweli .tz tunaelekea wapii?

  • @annaallex3996
    @annaallex3996 6 ปีที่แล้ว +1

    Nawachukia police jamani hata mtoto wangu alipata mchumba police akamtafute mama ake akapokee hiyo mahari tena hata akija kutafuta chumba cha kupanga kwangu nikijua ni police hupati

  • @alaikamyale784
    @alaikamyale784 2 ปีที่แล้ว

    Hamza alifanya vizuri sn hatukumuelewa tu, mbele yk nyuma yetu Salumu

  • @imnathe1299
    @imnathe1299 6 ปีที่แล้ว

    Mapolis punguzen kudgulumu roho za wenzenu mutaulizwa ndug zangu dunia tunapita jaman pole sana kk umeacha watoto wadog Allaah Akbar mungu atawalipa tu

    • @tomminako6162
      @tomminako6162 4 ปีที่แล้ว

      Dunian tunapita we unayetenda hayo utaenda wapi

  • @hawaynatimam982
    @hawaynatimam982 5 ปีที่แล้ว

    Mm ningekuwa kaka wa marehem, kila askari ningemuua

  • @africandarling6925
    @africandarling6925 6 ปีที่แล้ว +1

    Sasa nini kilimkimbiza Malehemu

  • @ashooraashoora5415
    @ashooraashoora5415 6 ปีที่แล้ว +2

    Innalilah wainna ilaih rajiuun

  • @gracemalale8045
    @gracemalale8045 6 ปีที่แล้ว +1

    pole sana jaman

  • @khatibhaji4139
    @khatibhaji4139 6 ปีที่แล้ว +9

    Police was Tz wananchi hatuna imani nao

  • @rosekaiza2716
    @rosekaiza2716 2 ปีที่แล้ว

    Hata kama jambaz hamkutakiwa kumuua alitakiwa ahojiwe ataje wenzake haya sasa mmepoteza ushahidi au mko pamoja mmeogopa atawataja?

  • @ftmat2805
    @ftmat2805 6 ปีที่แล้ว

    Poleni Sana mungu azidi kuwapa subra😖😖

  • @famishdesailor8109
    @famishdesailor8109 5 ปีที่แล้ว

    Hasbiallah waneemal wakin

  • @hechihechie5558
    @hechihechie5558 6 ปีที่แล้ว +1

    Hao wenzake ndio mashahidi Wa kwanza,wahojiwe ili kuweka mambo sawa.na km ni fundi mabati pengine hizo pesa ni za mteja Wake.police wawahoji wenzake aliokuwa nao mbona ni rahisi tuu...Serikali ifanye haraka ili marehemu azikwe..ni mateso makali kwa familia jamani

    • @daslamonline4665
      @daslamonline4665 ปีที่แล้ว

      Police wahoji wenzie na wao police ndio wauwaji 😂 hiyo imeisha ndugu hakuna pakupata haki nchi hii acha tufe muda ukifika

  • @aloycemwakatala2634
    @aloycemwakatala2634 6 ปีที่แล้ว +1

    Anauwawa mbele ya pesa zake? Hii manaake nini?

  • @jenjoseph7270
    @jenjoseph7270 6 ปีที่แล้ว

    polen wafiwa

  • @annalema311
    @annalema311 6 ปีที่แล้ว +1

    tuuweni tu mana sisi ndo tulichaguwa vilio; manyanyaso kwenye nnchi yetu..ila akuna marefu yasiyo kuwa na mwisho.

  • @imnathe1299
    @imnathe1299 6 ปีที่แล้ว

    Wallaah mungu atakulipia kk malipo ni hapa dunian wasione cheo walicho nacho na mbinguni wataenda nacho polis nyie punguzen kudhulumu roho za wenzie tume wachoka jaman

  • @neemaabdul9553
    @neemaabdul9553 6 ปีที่แล้ว

    Kazi ipo tz

  • @reginamanyangu6682
    @reginamanyangu6682 6 ปีที่แล้ว +1

    itakuwa walipewa mchongo wa pesa ndo Mana wali dili na mwenye bag

  • @abdalomari5912
    @abdalomari5912 6 ปีที่แล้ว +2

    ukweli hawa polisi muwendelezo wao wa kuuwa watanzania wakati hawana hatiya wala silaa ukweli inaumiza watanzania tuliyo wegi polisi wamezoweya kwakuwa wamepata mtaji wa hawahulikani huku wakijulikana ukweli utawala uu nishida

  • @tatoosaleh5781
    @tatoosaleh5781 6 ปีที่แล้ว

    Daa hinauma jamani mnamuuwa nira hatia kisa kukikimbia tuu

  • @hadijaomary9170
    @hadijaomary9170 5 ปีที่แล้ว

    kwei msimzke Uyo marehem Iyo kes kama ya ndugu yangu ili wenzake wasiangamie

  • @mayasaahmed9496
    @mayasaahmed9496 6 ปีที่แล้ว

    sasa mnauwa wenzenu mbaki nyinyi mungu awalani duniani mpaka akhra masetani wakumbwa nyinyi malipo ni duniani akhera kwenda hesabu yani siwapendi njaa zinawasabsbisha mnawakatili wenzenu mbubavu mfe midomo wazi makafiri wakumbwa waja wamotoni

  • @cotridakigwile5997
    @cotridakigwile5997 6 ปีที่แล้ว +1

    Huu ni usenge wa kujichukuria sheria mkononi waige Ata nchi za wenzetu mtu anavyoisiwa ni jambazi lazima uchunguzi uwepo kwanza Ata week 3 Ata mwezi wengine Wana wtt na ss wanawake tutaweza kulea wtt Bila baba.? Kwa nn msifanye uchunguzi kwanza hau upelelezi.? Kama mtu mnamuisi ni jambazi pumbafu zanu huu ni ukatili wtt wa mtaani watakuwa wengi Sasa

  • @fencecrew8963
    @fencecrew8963 6 ปีที่แล้ว

    Mm nashindwa kuelewa, hivi Askari wao wako juu ya sheria inayosema "HUSIUE", kwanini Askari wanaua RAIA jamani.

  • @jackjackson2498
    @jackjackson2498 6 ปีที่แล้ว +4

    Mtu akimbie tu eti kwenye begi mnaisi kuna bunduki nyie police kuweni makini na kazi yenu na sheria uchukue mkondo wake kwa police aliye shiriki! Mungu awatie nguvu familia yake maskini

    • @thomastarimo
      @thomastarimo ปีที่แล้ว

      Yani himijitu inayojita police ni mijitu iko kama milaaniwa iliyofukuzwa na mungu mbinguni

    • @thomastarimo
      @thomastarimo ปีที่แล้ว

      Hiyo mijitu ilitaka kuiba hizo pessa ili ikale iyo laana itawangamiza na mungu lazima ataiyangamiza yote

  • @tiambeyaonlinechannelmkind3479
    @tiambeyaonlinechannelmkind3479 6 ปีที่แล้ว +3

    Maskin hana haki RIP salum

  • @ukhtysakinaa7664
    @ukhtysakinaa7664 6 ปีที่แล้ว

    Kwa kweli walimdhulumu

  • @munaassela7429
    @munaassela7429 4 ปีที่แล้ว

    Pumzika kwa amani

  • @tayanaalphonce9315
    @tayanaalphonce9315 5 ปีที่แล้ว

    Duuuh MBNA kila cku matukio ya maaskar manina walai icnkute mm

  • @wrghkjdghklljg3819
    @wrghkjdghklljg3819 6 ปีที่แล้ว +6

    polisi wa tazania wana tia aibu jamani

  • @emanuelmajele7237
    @emanuelmajele7237 3 ปีที่แล้ว

    Atae uwa kwaupanga nae atakufa kwa upanga

  • @deboramrema2861
    @deboramrema2861 6 ปีที่แล้ว

    Aaaaaa mapolisi ya tz bwana sijui yanasomea nn yani yanauwa watu tu kama kuku

  • @AliM-di8dz
    @AliM-di8dz 6 ปีที่แล้ว +1

    Maaskari mnatumaliza jamani hata mbwa hauwahi kinyama ivo

  • @sophiamose1328
    @sophiamose1328 6 ปีที่แล้ว +2

    Vife vyengine vya liza ata watu wa inchi za inje mm poleni jamaniii

  • @ramadhanmrisho9999
    @ramadhanmrisho9999 6 ปีที่แล้ว +6

    Magufuli kua makini na maaskali polisi wanakuhalibia utendaji wako hili tukio watu wengi wameliona ameonewa mugu tunasubili lipoti yako ana watoto wamne malehemu watasomaje waadhibu maaskali hao

    • @bintkonga2044
      @bintkonga2044 6 ปีที่แล้ว

      Ramadhan Mrisho hao mackari wana laana au rais kaka chonjo

  • @sadakhamis1261
    @sadakhamis1261 6 ปีที่แล้ว +3

    Maskiin jamani huyo mkaka wamemdhulumu

  • @selemanimkonga8150
    @selemanimkonga8150 6 ปีที่แล้ว +4

    Ok walikuwa watu wema. Kwanini walikimbia? Msiwe mnalaumu tu police

    • @fencecrew8963
      @fencecrew8963 6 ปีที่แล้ว

      Angekuwa ndugu yako ungesema hivyo?.

    • @selemanimkonga8150
      @selemanimkonga8150 6 ปีที่แล้ว

      Mnapenda kulaumu bila kujua undani. Ww umewai kukutana na police ukakimbia bia 7bu

    • @fencecrew8963
      @fencecrew8963 6 ปีที่แล้ว

      We post tu.

    • @hidayahassan5702
      @hidayahassan5702 6 ปีที่แล้ว

      Selemani mkonga usituchanganye tuache sisi tunae mlilia ndugu yetu sisi ndo tunajuwa imetuumaje acha kukurupuka kuandika vitu usivyovielewa kama haikukuuma kaa kimya kama wewe pesa zingekuwa zako ungewapa hao police begi la pesa ambayo hukuiba ?

    • @hejopansimon5217
      @hejopansimon5217 6 ปีที่แล้ว

      Hidaya Hassan uy uend niaskari

  • @summanelson5523
    @summanelson5523 6 ปีที่แล้ว +1

    Wanagawana pesa peupe????? Ngumu kumeza.

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 6 ปีที่แล้ว

    Na mna bambika kesi, nyie police mtakufa kifo kibaya

  • @hamadshein935
    @hamadshein935 6 ปีที่แล้ว +2

    Bdo hawajajua taalum yao inacmaje.wao wameona kuuwa ndo taaluma yao.mnawapa hasira mnao walinda wawaone kam nyie ndo maadui zao.

  • @mrsliverpool4235
    @mrsliverpool4235 6 ปีที่แล้ว

    maonevu hayo mbona wasiwarudishie hiyo pesa ya merehemu wenu hao police wnakesi ya kujibu

  • @daudshaza1221
    @daudshaza1221 6 ปีที่แล้ว +1

    Subirini uchunguzi

  • @annarafael3297
    @annarafael3297 6 ปีที่แล้ว

    Nimekosa cha kusema mm

  • @mayasaahmed9496
    @mayasaahmed9496 6 ปีที่แล้ว

    mngempata akiwa hai mngemwambia awape pesa mnanjaa sana

  • @mhinajohn1548
    @mhinajohn1548 6 ปีที่แล้ว

    Inasikitisha jamani

  • @africandarling6925
    @africandarling6925 6 ปีที่แล้ว +1

    Salumu kilichompoza kuwakimbia polis Asingekimbia Hata Kama mwalifu

  • @lucianaguerra763
    @lucianaguerra763 6 ปีที่แล้ว

    kwanini walikimbia

  • @piusdonald9733
    @piusdonald9733 6 ปีที่แล้ว +1

    Kama kuna ukwel hatua zichukuliwe

  • @dullayomwinyi3359
    @dullayomwinyi3359 6 หลายเดือนก่อน

    Damu ya mtu haiyendi bure

  • @farhasalim9824
    @farhasalim9824 6 ปีที่แล้ว

    Kama ni jambaz kwann msimxhoot mguu..mpk mumrarue tumbon...jambaz hana claha alaf una mxhoot tumbon really???

  • @gregorykaimukilwa3874
    @gregorykaimukilwa3874 6 ปีที่แล้ว

    Mimi naona mutakatifu raisi magufuli kuna haja kubwa yakuondoa hawa police waliopo na kuwajili wingini mana kiu kweli police wanatitesa laia tena sana na wanatubambikia makesi ya ajabu sana tena makesi yenyewe yanakua ya jinaii mala lobari mambo gani hayo police acheni kuchafua selekali hii nimakini na mawazili wake nimakini

  • @japhetnzunda99
    @japhetnzunda99 ปีที่แล้ว

    Alikuwa anafanya kazi gani?? Akiwa laid mwema mungu atalipa

  • @aishaomari1881
    @aishaomari1881 6 ปีที่แล้ว

    Auliwe na yeye

  • @marynoni3712
    @marynoni3712 6 ปีที่แล้ว

    police mashetani tena mashetani yasiyokua na huruma

  • @adolfkambala3214
    @adolfkambala3214 6 ปีที่แล้ว

    Tanzania police killing the innocent people,civilian,politician,busnesman,journalist.students,everyday its happening for what.this is bad job,bad money,blood salary,shame upon upon you.

    • @hassanamir1570
      @hassanamir1570 5 ปีที่แล้ว

      Mungu atamuona huyo alie mpiga bunduki hatakama magufuli kasema jambazi watakiwa umnyanga'nye bundukiyake harakaharaka na nyie pia polis uwangalie basi huoni hata wewe ulie uwa wajisikiajeapo

  • @aishababu4986
    @aishababu4986 6 ปีที่แล้ว

    msilaumu polic huwezi jua jambazi hana alama

    • @reginamanyangu6682
      @reginamanyangu6682 6 ปีที่แล้ว

      we dada mpumbav kwer unauhakika kani jambazi, ck akitolewa loho ndg yako utatoa Kaur hiyo

    • @aishababu4986
      @aishababu4986 6 ปีที่แล้ว

      REGINA Manyangu mpumbavu mwenyewe alikua bae wako au????

    • @hidayahassan5702
      @hidayahassan5702 6 ปีที่แล้ว

      Yani wewe kuvaa kote mashungi nilijuwa utakuwa na busara lakini hujitambui achana na hayo mambo tena ishia hapo hapo watu bado wana hasira kama kuzika tumezika jana bado watu wamevurugwa yani wewe na serekali nani ndo anajuwa ukweli?

  • @nickomlumbetz5326
    @nickomlumbetz5326 6 ปีที่แล้ว

    Police wa Tanzania bhan shida tuu sjui hawaja soma

  • @ludacrissrangiyabank3737
    @ludacrissrangiyabank3737 6 ปีที่แล้ว

    Polisi ni walinzi wa viongozi si raia

  • @michaelmajaliwa8316
    @michaelmajaliwa8316 6 ปีที่แล้ว

    U wicked policemen there is judgement day u will never escape from the wrath of God ,u may be in power to bully and harass people bt everything has an end

  • @briannyasibora1284
    @briannyasibora1284 6 ปีที่แล้ว

    mmh

  • @hassanlikaba9813
    @hassanlikaba9813 6 ปีที่แล้ว

    Reason for death ni shock iliyotokana na kumwagika damu nyingi.

  • @allyflavour8005
    @allyflavour8005 6 ปีที่แล้ว

    Police gani hawa fatilii kilicho endelea labda walipiga dilitu la mabati pia na hizo pesa wakawape wazazi wake walee mzigo walio muachia

  • @samuelmartinjimisha462
    @samuelmartinjimisha462 6 ปีที่แล้ว

    Siamini kama bos wao na bos wa bos wao kama hajui. Ni wajinga na wapumbavu tuu ndio wataoendelea kuunga mkono uuaji na utesaji kama huuu!!!

  • @danfordaugustino3461
    @danfordaugustino3461 6 ปีที่แล้ว

    Watafuteni wale waliobakia hai na kufunguliwa mashitaka ya kujeruhii ndio mtapata ukweli

    • @justinebenjamin8896
      @justinebenjamin8896 6 ปีที่แล้ว +1

      Danford Augustino wewe agustino usikulupuke kuandika usicho kijua fatilia kwanza unawajua walio mjeluhi wewe au unaandika tu

    • @hidayahassan5702
      @hidayahassan5702 6 ปีที่แล้ว

      Itakuwa anawajuwa mana hajitambui labda tu tukueleze mpaka leo hatujamzika mdogo wetu na wenzake wapo police kama huji ni wewe tu lakini kama limekufurahisha bas inshaalah hili haliko kwa mmoja haswa kwa Tanzania yetu hii

  • @shazyamalick5810
    @shazyamalick5810 6 ปีที่แล้ว

    poleni

  • @mwanajumaomahundumla6504
    @mwanajumaomahundumla6504 6 ปีที่แล้ว +1

    Inalillah waiina irayhi rajiun

  • @zurekhasaid230
    @zurekhasaid230 6 ปีที่แล้ว

    Poleni sana wafiwa