TAZAMA DARAJA JIPYA LA WAMI LILIVYO BAADA YA KUTENGENEZWA, KAMA ULAYA VILE, WAZIRI ATINGA KUKAGUA..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 เม.ย. 2022
  • TAZAMA DARAJA JIPYA LA WAMI LILIVYO BAADA YA KUTENGENEZWA, KAMA ULAYA VILE, WAZIRI ATINGA KUKAGUA..
    Daraja la Wami ambalo lilikuwa kwenye ujenzi, linakaribia kuanza kutumika ambapo kwa mujibu wa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, litaanza kutumika mwezi Julai mwaka huu.
    Waziri Mbarawa ameyasema hay oleo Aprili 21, 2022 alipokuwa amekwenda kufanya ukaguzi wa hatua ambayo ujenzi umefikia na kukuta sehemu ya kupitia magari imeshaunganishwa.
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

ความคิดเห็น • 8

  • @sdeshnjwetr6707
    @sdeshnjwetr6707 2 ปีที่แล้ว +1

    VIVA TANZANIA 🇹🇿💪🇹🇿🖤 REST IN POWER COMRADE J P M ❤ TRUE SON OF AFRIKA 💚. VIVA SAMIA .

  • @valeriachipeta774
    @valeriachipeta774 2 ปีที่แล้ว +1

    Kaz ya magufuri wala watu wasijipe sifa

  • @bugybuster5788
    @bugybuster5788 2 ปีที่แล้ว +1

    Magufuli.huyooo.alafu leo anatokea mpumbavu mmoja et.magu ajafanya.kitu

  • @stevemwakisimba5986
    @stevemwakisimba5986 2 ปีที่แล้ว +2

    Maono ya jpm hakutaka watu wake wapate tabu aligawanya kila sehemu iambulie chochote r.I.p rais wangu jpm

  • @lifestylelove9207
    @lifestylelove9207 2 ปีที่แล้ว +2

    Nani kiboko Magufuli kiboko yao

  • @kefajoseph158
    @kefajoseph158 2 ปีที่แล้ว +2

    Makame acha kujipendekeza wee mtu mzima anachofanya samia ni kuongeza vitu bei

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 ปีที่แล้ว

      Mama asingetoa hela, daraja hili lisingekamilika, na miradi mingine isingeendelea...

  • @benedictmrisho5947
    @benedictmrisho5947 2 ปีที่แล้ว +1

    Wapendwa umma wa Watanzania haya mambo mema hivi tutatumia jamani? Zifungwe kamera kulinda hizi billions tuache utani.