ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Mzigo mpya umeingia. Ngoma ya pungwa kutoka Bumbwini Zanzibar, sehemu ya pili. Angusha like na comment zako
I love this
Woow. Na huo ndio uswahili uswahili wetu
💃🏽🤗
Pungwa ni nzuri! Lakini, wachezaji hawaonekani kama ndio wale, wachezaji PUNGWA. Wa ASILI! Asante
Tufahamishe vizuri kwa faida yetu. Maana hawa ndio watu wa Bumbwini hasa
Hii sijawahi kuona 😂😂😂
❤🎉
Mbona wachezaji mumebaguwana
Ni wanene🤣
Na vip abdi sungo hataitaki asaivi ata mukamuwajia anaimba uyo Hana sauti
Yupi
😂😂 hii pungwa imenitia hamu ya kuzuru Zanzibar mwaka kesho Allah akijaalia. Natamani niinuke.😂
Karibu mwalimu