Asante kwa maelezo. Je mfano mimi nina account NMB bank nikishajaza form na kuwatumia online nikitaka kuanza kuchangia naweza hamisha hela kutoka NMB na kutuma huko UTT Amis au naweza kutuma kwa kutumia mfano mpesa au tigo pesa km namba ya simu niliyoandikisha wakati najaza form?
Asanteee kaka
Ahsante sana
Shukran kaka
Tunashukuru kwa elimu
Thanks bro
Kama tayali Nina vupande vya utt nifanyeje ilikupata taarifa zangu.
Form zipo nne naomba unielekeze namna ya kuzijaza
Je naweza jiunga utt nikiwa nje ya Tanzania?
Elimu zaidi kwenye vipande nenda utube kasome zaid
Anaeielewa hii elimu naomba maarifa
Jmn mbona mim kila nikifungua haifunguki wala acount siipati
Hatua kwa hatua
Nikiweka namba ya simu hawaleti taarifa kama nimefungua akaunti mbona?
Na kama umeshafungua form unataka kufungua account simu yangu app unafajanje
Msaada nimedeposit ile initial deposit ya liquid fund 100k lakini kutumia nmb yangu lakini ni kicheck balance inaonyesha 0
Naweza kufungua Account mbili kwenye App Moja?!
Ndio inawezekana kama ni mifuko tofauti, au iwapo utatumia line mbili tofuati
Mmmh hakuna ujanja ujanja
Kwa mfano mm nipo simiyu nikienda crdb wananikamilishia usajili
Ndio ,popote ulipo Tanzania,pakiwa na tawi la CRDB unakamilisha usajili
M nimeenda crdb wameniambia hawaungi watu wakanipa namba 150*82 sa sielew@@ElimikaMtandaoni
Mimi nikifungua akaunti wanasema niweke namba ya simu niliyojisajiri,
Ndio namba ya simu ni muhimu ,maana akaunti yako itahusianishwa na namba yako ya simu
Kwa Dar ofisi yao ipo wapi
Sukari house posta
Mbona account haifunguki?
Na mm nimejaribu haifunguki
Mimi nimeweka 100000 na nimepoteza ile namba na sijafika ofis zao je nikienda bila namba nitakubaliwa
Namba ya akaunti?kama ni ya akaunti sio shida tumia namba yako ya simu kupata namba yako ya akaunti
Huyu muhun
Na ukienda crdb pia wanakusaidia kukamilisha form sindio
Ndio utasaidiwa
Mh
Dah ingekuwa rahisi sana kama mtu unajifungulia account mwenyewe pia unakamilisha mwenyewe sio mpaka kwenda kwenye mabenk au kuna namna?
unaweza kuingia kwenye website yao, www.uttamis.co.tz download application form then unawatumia kwenye email uwekezaji@uttamis.co.tz
KYC ni muhimu ,nadhani watafanya namna ya kuiwezesha KYC online kama ilivyo kwa soko la hisa
Mbn kwenye website yao haionyeshi application form?
www.uttamis.co.tz/forms/scheme_account_opening_form
Asante kwa maelezo. Je mfano mimi nina account NMB bank nikishajaza form na kuwatumia online nikitaka kuanza kuchangia naweza hamisha hela kutoka NMB na kutuma huko UTT Amis au naweza kutuma kwa kutumia mfano mpesa au tigo pesa km namba ya simu niliyoandikisha wakati najaza form?