Mzè magoma kama unataka kusaidiwa na yanga ungekua muwazi tu ungesaidiwa na maisha yako yaboreshwa sio hivyo umeyabananga omba radhi kwa heshima yako iendelee
Njaaa mbaya San, Sasa uyo ukimwambia achangie Ada ya usajili kila mwala anaweza kweli kutoa hata 10 kweli, maisha Yake yanaonelana magumu sana, anataka atingishe abadilishiwe maisha, tumegoma
Huyu bila hivyo asingelisikilizwa hapo Kuna somo kubwa mfano Stand Utd na Simba hatimaye Young Africans, hapa bila kupepesa macho Kuna changamoto kitengo cha Sheria. Si Eng Herse Wala watendaji wao Bali ni vitengo vyao vya Sheria wakati wa kuandaa katiba wakitakiwa kuliona.
Je kama yeye ni shabiki kweli wa Yanga malengo yake ni yapi?! Je anayomalengo zaidi ya kuiona timu inafany vizuri?!hawa walishazowea uongozi ulee wa zama zile wanapo wakisema hivi wanapewa pesa ili wakae kimya, na ukimskiliza utaona kama Kuna kitu walihitaji wakanyimwa na ndio maana kazuwa hayo yote, maana myaka yote hiyo hiv ndo amejua kua Kuna kasoro kweny uongozi?!
Juma Magoma yuko vizuri ni kiongozi mzuri, enzi hizo tukiwa watoto alikuwa kiongozi na captain wa timu yetu ya watoto ya "Wanted Kichaa" ya Magomeni Makuti .
Msema kweli cku zote anapigwa jaman mzee anaongea kwer tusipuuze kisa yanga unafanya vizur mwisho wa siku timu itakuwa na mwenyekiti tuwe mkini jamani tulifikili3 hili kwa usahh
Ipo siku watakuja kuona umuhimu wa hiki anachokizungumza huyu Mzee. Leo Yanga tunaifurahia Kwa matokeo mazuri lakini IPO SIKU (Tunza maneno yangu akilini)
Ukiangalia kwa haraka na jaziba huwezi kuelewa hata siku moja. Hapa Kuna haki na wajibu, katiba katika nyanja nyingi haifuatwi. Nazani Kuna funzo kubwa kwa Young African na kitengo cha wanasheria wao, maana kesi nyingi wanashindwa pia hata Simba hapako vizuri. Simba mchakato haujaanza lakini utekelezaji umeanza Kuna uzaifu mkubwa. Watanzania tuweni maoni kuliko kutukana watu.
Mzee umeeleweka lakini Wana Yanga si tunakaa Vikao Ili kufanya mabadiliko Kwahiyo mzee anatakiwa kuheshimu Vikao pamoja na mabadiliko yanayo pangwa na vikaoo
Huyu mzee kisheria hajui anachokiongea, lakini pia katiba sio msaafu kwamba haibadiliki, kingine haelewi kwamba Dunia ipo kwenye ukisasa ila yeye anataka mambo yawe ya mwaka 1954 huu ujinga wa hali ya juu.
Mzee Magoma nakupa PHD ya heshima
😂😂big up sana kwake
Alikuwa mwanachama sio mwanachama. Mzee atapotezwa vibaya na wanachama wa timu na atakuwa mpole na hatafanikiwa anachotaka.
Mjengee nyumba inayolingana na hadhi ya PhD, vinginevyo acha imbecile comment!
Taarifa za magoma zote zinapatkanika s500 tu why....... hongera mnooo S500 TV
Ndio ujiulize sasa😂
S500 hajazibwa mdomo
Ndo waliopo nyuma yake
Ww ni mjinga kabisa kama ulikuwa unajuwa hilo saiv acha ujinga sana ww kata kopolako hilo
Njaaa na. Posho mzee hazitoki tangu mfumo wa kisasa uingie. Basi hizo zilipendwa acha kuvuruga wananchi mkuu fata maisha Yako😊
*ANDAZI NA MZEE MAGOMA NAMCHAGUWA MZEE MAGOMA*
Mzee ana akili sana huyu ni Genious 😊
Genius... Duh.. Mbona unalishushia heshima neno Genius.... 😂😂😂 lifute bhana
Huyu Mzee kwakweli nimemuelewa sana tena sana,anaongea fact tupu.sema tu msema kweli sikuzote hapendwi
skasemee kwenye mkundu weke namama yake
wewe iziraeli anakutaka wewe
@@DoreenMlay-e8gmashabiki wa hovyo hayo ndo majibu Yao manyau kweli nyie
Anaongea point sana
Fast za mkundu wako
Mzè magoma kama unataka kusaidiwa na yanga ungekua muwazi tu ungesaidiwa na maisha yako yaboreshwa sio hivyo umeyabananga omba radhi kwa heshima yako iendelee
Umeambiwa ana njaa mzee magoma acha ushamba
@@SmilingBulldogPuppy-nb9urananjaa sana
Yeye yupo Sahihi saana.
Tatizo mnamsujudia engineer
Sababu ana maokoto
Magomaaa 100%
@@SmilingBulldogPuppy-nb9urila debora fc bhana😅😅
Safi mzee
Mzee namkubali sana ,ana hoja za msingi,sema uto wengi hamnazo ndio maana wanamshambulia
Hoja ya msingi ipi hapo..mahakama imetaka engr atoke..yeye anasema kamshtak mama engr anamkubal
Magoma motooooo
Mzee magoma ana point asikilizwe 😂😅😅😅
Mm Yanga ila Mzee Magoma Msema kweli daah😢
Magoma mkavu sana😂😂😂😂😂
Ukisikiliza watu mtandaoni unaweza Sena mzee hajielewi ka mzee mpili kumbe yupo makini🙌🙌
Njaaa mbaya San, Sasa uyo ukimwambia achangie Ada ya usajili kila mwala anaweza kweli kutoa hata 10 kweli, maisha Yake yanaonelana magumu sana, anataka atingishe abadilishiwe maisha, tumegoma
Njaa mbaya sana
Magoma for life😅😅😅😅😅😅
Mzee wetuu✊🏻✊🏻✊🏻 umeongea point za mafanikio kwa maslah ya tm
Kweli Mzee wafuaye utaratibu kanuni na Katibu, hakuna taasisi, kikundi kinachoendeshwa bila katiba na kanuni
Wewe kolo
Hiyo inaitwa zilipendwaaaaaa! Yanga hatutikisiki Daima mbele nyuma mwiko.💚💚💚.
Tutampigania Magoma mpaka mwisho, na kama unahitaji mawakili wengine tuambie tu, tutakupa service bure..Utopolo lazima kieleweke.
Badala ya kupgania makolo wako usje ukadhalilika tar.8 unaangaikq na yanga
Mzee anaongea point sana ila machawa na vibaraka wanapayuka payuka tu hawana hoja
wandishi wa tz bana, sasa unaonyesha nyumba yake ya nin, amekupa ruhusa ya kupost makazi yake
Akome na yeye na njaa zake jumba bovu kweli 😂😂😂😂😂
Kweli mwanangu sio poa kupost makazi ya mtu huko ni kuvuka mipaka.😂😂
Sasa mzee mpira kisasa hatuwez jiandikisha kwa makaratasi duniani kote payment ni electronic payment
Mzee anajua sheria,, uyu ham muwezi, kabda atumie busara
Mnamupa sofa tu huyo mjinga
Kwa maisha hyo ndo anataka awe kiongozi atuondolee njaa zake
😂😂😂😂
Unamsikiliza hoja zake lakini?
🤣🤣huyo mzee mkimwachia yanga atamsajili hadi mbappe
😂😂
Unalisha familia yake😂😂😂😂
😂😂😂😂❤❤❤❤ILove magoma😂😂😂😂
Namuelewa sana mzee wa yanga
Ungemuuliza lini mala ya mwisho kulipia Yanga kwenye uanachama
Mzee uko vizuri wakujibu kwa hoja sio wanatukana tukana😅
Sahihi
Hoja gani Kuma uyo wakt kadi izo azitumiki katika mabadiliko yanga sasaiv ipo kwenye mabadiliko
Hatar kwa vvyura
Wazee wa kizaramo nawapenda sana, wewe mzee nakukubali sana
Huyu mzee mkimfuatilia sana anachanganya mada
Mara kadi yake ya mwisho ilikuwa inaishia mwaka 1968
Njaa mbaya
Toka pepooooo!
Unatakaa kuongoza yanga pakuishi panamshinda
Hizo nyumba mbili tofauti 😅
Hun akil ww
Hujui chochot ww
@@CydneyJackson we angalia hata huo mlango sio unaongea hizo nyumba mbili tofauti angalia kwa umakini huoni hiyo ina plaster ile ya mwanzo hamna
@@CydneyJackson watu wa namanga mnashida sana wewe unaakili sans siyo unaita watu hawana akili??
Mimi nimemuelewa sana
Uko sawa mzee
apungez nja huy muzzz
Sawa kabisa mzee wangu
Yanga wamjengee nyumba
YAni huyu ndo wakutunyima usingiz kweli wakati yeye pa kulala hana😂
Hapo sio kwake huyu mzee anamaduka Kariakooo Maeneo ya Karume
Hana pa kulala na analipa Hadi Ada tangu 86? ww umeanza lini kulipia?? Na je? Una Kadi? Je unalipia?
Njaa izo hahaha sasahivi tumetoka huko kwenye kad za makaratasi mzee fala huyu maisha yamebadilika
Hii ni kazi ya bangi mbichi hii😂😂😂mngempa kavu jamani
Huyu Mzee kakosea nn? Hebu toa hoja
Acha ufala ww, huyu Mzee anaongea point
Huyu bila hivyo asingelisikilizwa hapo Kuna somo kubwa mfano Stand Utd na Simba hatimaye Young Africans, hapa bila kupepesa macho Kuna changamoto kitengo cha Sheria. Si Eng Herse Wala watendaji wao Bali ni vitengo vyao vya Sheria wakati wa kuandaa katiba wakitakiwa kuliona.
Kwa upande wangu huyu mzee yupo sahihi tusiangalie pesa sijui ni masikini tuangalie point zake kuna kitu hakipo Sawa.
Je kama yeye ni shabiki kweli wa Yanga malengo yake ni yapi?! Je anayomalengo zaidi ya kuiona timu inafany vizuri?!hawa walishazowea uongozi ulee wa zama zile wanapo wakisema hivi wanapewa pesa ili wakae kimya, na ukimskiliza utaona kama Kuna kitu walihitaji wakanyimwa na ndio maana kazuwa hayo yote, maana myaka yote hiyo hiv ndo amejua kua Kuna kasoro kweny uongozi?!
😢oko diku watamkumbuka huyu mzee tena si mbali
Walioileta Hii story mtandaoni ndio wenye nia ovo na sio mzee Magoma
Mzee anajua uy
Tunasimama na magoma hadi kieleweke
UTASIKIA... MAGOMA SHIKILIA HAPO HAPOOO!!!!!
Acheni kumdhalilisha mzee magoma nyumba mnayoonyesha ni tofauti na mnapomuhojia huo ni ujinga na mnatumiwa vibaya
Juma Magoma yuko vizuri ni kiongozi mzuri, enzi hizo tukiwa watoto alikuwa kiongozi na captain wa timu yetu ya watoto ya "Wanted Kichaa" ya Magomeni Makuti .
kumbe alikuwa anaongoza team ya vichaa😂😂
Kumbe ni kichaa mwenzako! Sifa ya uongozi mzuri itaakusiwa na mazingira ya maisha ya nyumbani kwako!
Msema kweli cku zote anapigwa jaman mzee anaongea kwer tusipuuze kisa yanga unafanya vizur mwisho wa siku timu itakuwa na mwenyekiti tuwe mkini jamani tulifikili3 hili kwa usahh
Mzee Magoma ana nyumba kali sana😂😂😂😂😂
😂😂
@emmanuel😅😅😅😅mayunga1518
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ataweka kambi ya timu yake yanga hapo..subiri atatuonyesha chumba cha aziz ki,inaangaliana na cha pakome
Yanga hawakutaki unataka kuisemea vip wee Mzee ila unacholitafuta utakipata
Akuonyeshe kadi mpya ya sasa Ili tumtambue kwamba ni mwanachama hai
Broo kendal zako....kwa yanayoendelea yanga hata kama Mr hersi angelikua si mtanzania bac Tim lazm aichukue
Juma magoma upo sahihi
Umezingua sana Mzee Magoma
Ukijiheshimu utaheshimiwa. Na makadi Yako ya kilinic hayo
Nilijua huyu mzee kana point kumbe nimegundua HANA AKILI njaa inamsumbua.
Mzee unaonekana ata usooni we ni tapeli ndio maana ata maisha Yako ni magum na utaseka mpaka bas
Vilabu vya kipuuzi hv ndo mana havina maendeleo
Kumbe hata wapuuz huwa wanazeeka 😅 njaa ndio tatizo huyu Mzee ana maisha magumu sana uongozi wa Yanga wamsaidie tu akajambe mbele
Hizi nyumba ukiziona tu jua ndani anakaa mchawi yanga tumeyatimba
Daah😂😂😂😂
😂😂😂😂 mm Simba ila hii nimecheka sana
yampiri jee
😂😂😂😂😂😂
Na msipo mpa Hela hata kidogo, hamchukui ubingwa ng'o 🤣🤣🤣
We mtangazaji unaakili kweli?card anazo za zamani hiyo ni valid?
Magoma kagoma😂😂😂
Safi sana Mzee
Baba Kwan iyo timu ya baba yako wee unamzidi mama karume kwenye mchango kwa yanga acha njaa zako Mzee fanya kazi Bado unanguvu
Huyu sio mzee njaa tu ndio imemzeesha miaka 50 km 70
Ipo siku watakuja kuona umuhimu wa hiki anachokizungumza huyu Mzee. Leo Yanga tunaifurahia Kwa matokeo mazuri lakini IPO SIKU (Tunza maneno yangu akilini)
Mzee unaakili kuliko watu wote wa yanga walioko dunian
ndo kombe mmebakisha Magoma cup
😅😅😅😅😅@@aishathkalugira3296
Moja yakitu nilichojifunza ss watanzania ni wavivu wa hoja
Tupe kadi ya 2024 kuma wew
Matusi vp mzee kua makin kutukana watu mitandaoni utapotea
🖕🖕🖕🖕🖕🖕
Matusi ya nini we mvuta bange? Kuwa mstarabu..
Hata mamaake analo...asijizime data 😂
itakuja kupotea Kaka nakuhurumia mambo ya mtandao yamebadirika mdogoangu huu mwaka wa pili anatumikia jera
Magoma ww ni msenge sana ulivyo ona yanga wanafanya vizur ndio unaanza kuleta wehu wako wa makopo sindio
Njaa Kali sana kiukweli
Muelewe m2 kumawee anachotaka Kwa nn ofisi ya yanga Wana chama awaingiiii
Mara ya mwisho kulipia kadi ya uanachama ni lini? Na katiba inasemaje?
Huyu ndiyo Juma Ally Magoma, mpambanaji.
Makolo babu yenu anawaingiza chaka tabu iko palepale😂😂
Njaa ni hatare sana , yatamshinda uyu mzee, apewe funguo alafu iweje labda apewe funguo ya choon kwao
Wenye yanga yao
Uyu mzee kama sio mwanga basi mganga 😂
Amenipigia picha kwenye mlango mpya
Mnyakyusa huna unacho kijua we kaa huko huko tukuyu isyese uyole uko .
Skendo hzo za wiki wa
wananchi😮😢
Ujui chochte njaa tupu wew
Wew Mzee huna kaz yakufanya,kaombe uongoze Simba uwo uerewa wako ni wasimba
Ukiwa na baba km huyu hufanikiwi kamwe,,,, 😢😢
Unafanikiwa kwani ww unamjua mnyekiti wawanachama
Kwel hufanikiwi
Ukiangalia kwa haraka na jaziba huwezi kuelewa hata siku moja. Hapa Kuna haki na wajibu, katiba katika nyanja nyingi haifuatwi. Nazani Kuna funzo kubwa kwa Young African na kitengo cha wanasheria wao, maana kesi nyingi wanashindwa pia hata Simba hapako vizuri. Simba mchakato haujaanza lakini utekelezaji umeanza Kuna uzaifu mkubwa. Watanzania tuweni maoni kuliko kutukana watu.
Makorooo wanafuraiyaaa wanamuogopaaa enjiniaa badooo yupoooo sanaaa tenaa sanaaa .matesooo biraaa urumaaa tanooo zipooo kiraaa mwakaaa
Mzee asikilizwe ana jambo na hoja
Uyu mzee uzee unamupereka msobe msobe atuachie yanga yetu😢😢
Mzee umeeleweka lakini Wana Yanga si tunakaa Vikao Ili kufanya mabadiliko Kwahiyo mzee anatakiwa kuheshimu Vikao pamoja na mabadiliko yanayo pangwa na vikaoo
kadi mpya iko wapi
Kama ulisikia wazee wa kazi ndio hawa. Viva mzee Magoma wape dozi watoto wadogo.
We mzee watu wanavoipenda yanga watakuua coz upo kuvuruga timu
Mzee ukimuangalia Kama ana Akili lakin kumbe hana,hivi Leo Bungeni tungeenda wananchi wote tungefanyia Bunge Benjamin Mkapa au?
Hana mpango anataka kiuwa yanga yanga inafanya vizuri huyu kwa mujibu wa maneno yake ni mwanachama miaka 27 yanga yanga ina karne moja na something
Jmn inauma sana mtu unatumikia timu harafu wengine wanafaidika mzee magoma tupo na wewe
We Mzee wanayanga tupo wengi huwezi kushindana na sisi ww loloma tu tupo wengi tutakupoteza Lea wajukuu zako ushazeeka
Huyu mzee kisheria hajui anachokiongea, lakini pia katiba sio msaafu kwamba haibadiliki, kingine haelewi kwamba Dunia ipo kwenye ukisasa ila yeye anataka mambo yawe ya mwaka 1954 huu ujinga wa hali ya juu.
Mbona huku kwenye global ameonekana kwwnye nyumba nyingne nzur na kasema ni yake au ndiyo miungoni mwa nyumba zake tatu alizosema
Mmeenda kumuoji mzee au mmeenda kuonesha nyumba ya mzee na mazingira yake acheni unaa nyinyi waandishi wa habari fuateni kinachowapeleka
Mzee magoma ni mtu muhomu Sana.
Njaa kali sana, msameheni sana mana kamkataa mpaka mwenyekiti wake ni shida tuu zimemfanya akafanya ayo
Safi sana wanakuchukia ni hawana akili😂
Huyu Mzee nijaaaatu mpeni hela akale basi mjinga huyu