MAPOZI | MR BLUE | Official Video

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @dongaboyofficiel-el8nl
    @dongaboyofficiel-el8nl 11 หลายเดือนก่อน +473

    Tujuane walio angalia uu wimbo baada yakolabo na mondi like zangu apa

  • @ezevisionmediastudioezevis7855
    @ezevisionmediastudioezevis7855 10 หลายเดือนก่อน +59

    2024 nimerudi tena, gonga like kama na wewe umevutwa na colabo

  • @braybah_oley
    @braybah_oley 10 หลายเดือนก่อน +43

    Baada ya kolabo na mond pamoja na jay nikakimbilia huku kuicheki masterpiece 🔥 gonga like twende sawa

    • @ahmedhamid2814
      @ahmedhamid2814 10 หลายเดือนก่อน

      😂😂mimi pia

  • @alanochieng8643
    @alanochieng8643 5 ปีที่แล้ว +416

    2020 and am watching from Kenya wapi likes zangu

  • @EdwinJohn-vo8uf
    @EdwinJohn-vo8uf 10 หลายเดือนก่อน +18

    Tulio kuja kuangalia hii nyimbo baada ya kolabo na mond🎉

  • @mtatiroj
    @mtatiroj 10 หลายเดือนก่อน +61

    Gonga like kama umeangalia huu wimbo baada ya kolabo la Simba na Legend Blue!

  • @alnbyg
    @alnbyg ปีที่แล้ว +41

    Golden age of Swahili music in East Africa; Jose Chameleon in Uganda, Bongo Flava in Tanzania, Genge & Ogopa artists in Kenya, we had a blast in early 2000s

  • @aishamother9943
    @aishamother9943 5 ปีที่แล้ว +293

    Wow Mr blu bado tupo wangapi wanasikiliza 2019 gonga like

  • @ahmedyusuf9787
    @ahmedyusuf9787 ปีที่แล้ว +24

    This song solidified his presence in the East African Music Community forever..
    I do not know Swahili, but if you agree, hakikisha umegonga like hapa.Old is gold
    Greetings from the Somali people 🇸🇴Its 2017 and still in love with this song. bring me back old memories of childhood. Damn Blue you are the best artist forever. am still your fan till today

  • @NashKyalo
    @NashKyalo 5 ปีที่แล้ว +47

    This song solidified his presence in the East African Music Community forever..
    I do not know Swahili, but if you agree, hakikisha umegonga like hapa.

  • @bakarimembe7465
    @bakarimembe7465 5 ปีที่แล้ว +7

    Sio siri hz nyimbo mpaka leo zinaendelea kuishi tu , nyimbo safi, sauti nzuri inasikika , maneno hayafchik , naangalia hii ngoma tarehe 16/10/2019 saa 18:28 siku ya j5 , comment kama unaiangalia hii ngoma 2019.

  • @thecafcl8409
    @thecafcl8409 10 หลายเดือนก่อน +35

    Who's here because of the new diamond mapoz song?

    • @anthonyshitandi6301
      @anthonyshitandi6301 8 หลายเดือนก่อน

      😅😅 Present teacher

    • @gracemwakazi9694
      @gracemwakazi9694 8 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂am here

    • @amosomari2904
      @amosomari2904 6 หลายเดือนก่อน

      But they are 2 big diffrent songs😂😂

  • @TheRwenzoriGirl
    @TheRwenzoriGirl 7 หลายเดือนก่อน +4

    Mr Blue the unsung heroes and legends. We used to behave like Tanzanians as kids because of hi ngomaz. 🇺🇬🥰🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @john_1trader
    @john_1trader 10 หลายเดือนก่อน +18

    Dah kweli diamondi ana nguvu ya kufufua zilizo oza

    • @amoskagika8884
      @amoskagika8884 10 หลายเดือนก่อน +1

      Yaani wewe unaiita hii ngoma imeoza, upo serious kweli?? Ngoma ya kitambo na bado imeweza kufikisha views mil 2 kabla hata ya collabo hiyo unayoisema.

    • @Hussein-gx4qu
      @Hussein-gx4qu 10 หลายเดือนก่อน +1

      hii Ngoma enzi zake ilikua hit sana

    • @evancecairns6511
      @evancecairns6511 9 หลายเดือนก่อน +3

      Hii Ngoma Bado ni Kali kuliko hiyo collabo.

    • @nicholasrutto552
      @nicholasrutto552 9 หลายเดือนก่อน +1

      Zile enzi hatukua na technology kama Sasa but the song was a hit

    • @danielmoriah5545
      @danielmoriah5545 9 หลายเดือนก่อน +3

      Mimi kama Mkenya i RESPECT this BONGO kuliko ya akina diamond!!!!

  • @mzalendo
    @mzalendo 8 หลายเดือนก่อน +2

    I was like Mr. Blue lemme go back way backkkk....here we are in 2024

  • @sovereignstate45
    @sovereignstate45 2 ปีที่แล้ว +1

    Hi song ilihit mbaya sana those days but the fact remains old-school bongo ni moto was kuotea mbali. The likes of latifa, nitarejea, nakshi mrembo, kafia ghetto etc... Wah hata usiseme!!! Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @wivinerwabukamba3757
    @wivinerwabukamba3757 3 ปีที่แล้ว +7

    Rwanda in the building 🇷🇼

  • @mohamedharunful
    @mohamedharunful 6 ปีที่แล้ว +603

    Kama umeangali 2019 like twende

  • @somalibeautygal8849
    @somalibeautygal8849 9 ปีที่แล้ว +219

    when i was primo ..everyone use to sing ..i miss those gold days ..i miss my beautiful country kenya najivunia kuwa mkenya ..nilikuwa class 5 oh my god ...from sweden

  • @castoljmwalyego3778
    @castoljmwalyego3778 5 ปีที่แล้ว +2

    Dah....
    Old iz Gold...
    Huwezii zungumzia bongo fleva bilA kumtajaaaa Mr blue....💪💪💪
    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🌍🌍🌍🌍🌍🌍

  • @zawadihamisi9585
    @zawadihamisi9585 6 ปีที่แล้ว +9

    Nakumbka show yake alikuja kenya club moja yaitwa brilliant .....kalikua kadogo vizuri

  • @amosmaiko5523
    @amosmaiko5523 4 ปีที่แล้ว +1

    Nakumbuka Sana demu wangu Stella pind hyo pale dom sec jaman jaman nlibembeleza Sanaaaa blue we unastil kuitwa legend

  • @aishahassanikichuna4820
    @aishahassanikichuna4820 5 ปีที่แล้ว +97

    kweli ulianza mzki mtoto mpaka leo unawatoto🤔ila ii 2019 nipo apa mambo🌟🌟🔥🔥🔥

  • @rehemamalubalo9747
    @rehemamalubalo9747 6 ปีที่แล้ว +233

    Anaengalia hii ngoma 2018 kumalizia mwaka agonge like hapa tujuane
    My fav song 🎵 🎵

  • @shanelrichard832
    @shanelrichard832 9 ปีที่แล้ว +31

    Mr blue is already a legend.....cheki alivyokuwa mdogo

  • @amadiniyongabo9560
    @amadiniyongabo9560 6 ปีที่แล้ว +4

    Hatari sana,kipindi hicho nipo primary school, i miss those day,,now namiliki sim yang,love from Germany,,I miss my country BURUNDI🇧🇮

  • @jamwashjoni2355
    @jamwashjoni2355 4 ปีที่แล้ว +4

    this jam nikiwa high school..Kenyans in the house..ilikuwa ngoma yetu ma playboy

  • @marwa2862
    @marwa2862 4 ปีที่แล้ว +2

    ngoma haishi ladhatoka hizo enzi Tz ikiwa Tz kimuziki, gonga like ya JUNE, from kenya

  • @naimahussein4923
    @naimahussein4923 6 ปีที่แล้ว +226

    Who is watching at 05/1/2019 my favorite mapoz nawe😘😘😘

    • @annziedaizie7538
      @annziedaizie7538 6 ปีที่แล้ว +3

      8-1-2019......au sina hadhi ya kuwa wako mpenzi wish+254

    • @drmoha1
      @drmoha1 6 ปีที่แล้ว

      I'm still listening

    • @robertsimba5081
      @robertsimba5081 5 ปีที่แล้ว

      Nko ndani Naima

    • @nassorfaki2629
      @nassorfaki2629 5 ปีที่แล้ว

      Naima Hussein mm nipo mbona

    • @gracekalama5805
      @gracekalama5805 5 ปีที่แล้ว

      Naima Hussein 😂😂😂 npo nmeidownload leo mimi😂😂😂

  • @josephmwadime8733
    @josephmwadime8733 4 หลายเดือนก่อน +2

    Aisee 2024 tuko siitee hapa kwa huu mziki mzuri

  • @briansinjira8007
    @briansinjira8007 4 ปีที่แล้ว +7

    Gone are the days. 🇷🇼 🇺🇬 🇹🇿 🇰🇪
    Great music that ruled East Africa

  • @nynna972
    @nynna972 6 วันที่ผ่านมา

    Nostalgie ! J'écoutais cette chanson quand j'étais petite, je suis tombée par hasard sur le featuring avec Diamond platnumz. Franchement ce p'tit gars il avait du talent ! Contente de voir qu'il chante toujours 😊❤

  • @moses_apple
    @moses_apple 5 ปีที่แล้ว +27

    wangapi wanaopenda nyimbo za bongo old school?
    nipe like

  • @mohamedgessan3729
    @mohamedgessan3729 4 หลายเดือนก่อน

    Hii ngoma ni ushahidi wa kuonyesha jinsi gani BLUE ni Legend … ni msanii ambae ameweza kuswitch kutoka kuimba mpka kuchana … na still watu wakakubali … na still bado yupo kwenye game … sio jambo dogo … babylon byser 💙 … naomba likes zake hapa

  • @PatrickManoah
    @PatrickManoah 4 ปีที่แล้ว +13

    Prime Mr. Blue was phenomenal. Today's kids will never know!

  • @issazakaria9704
    @issazakaria9704 5 ปีที่แล้ว +112

    This is most of my favorite song still 2020 hits on

  • @lilyan2828
    @lilyan2828 10 หลายเดือนก่อน +6

    This guy was my high school young crush, his bad boy smile and teeth got me hooked❤

  • @hildakazige1637
    @hildakazige1637 5 ปีที่แล้ว +7

    Najaribu kukuacha siwezi kwenye Mapenzi labda umeniwekea hirizi😀😀😀 Enzi zetu sie wahenga❤❤

    • @jaymwinyi6957
      @jaymwinyi6957 2 ปีที่แล้ว

      aki c ezi sahau dz dayz ilikua kuandikiana barua kwa demu😄

  • @somaliparadise2858
    @somaliparadise2858 5 ปีที่แล้ว +77

    Who is here in 2019✌🏿 from somalia🇸🇴

  • @zakimagan5791
    @zakimagan5791 3 ปีที่แล้ว +5

    Wenye wanapiga huu wimbo dislike ni wagonjwa kweli
    All the love from Somalia 🇸🇴🇸🇴🇸🇴

  • @suleimanmohammed7559
    @suleimanmohammed7559 5 ปีที่แล้ว +32

    Nyimbo ni tamu aki ,,Kuna wenzangu bado tunaangalia mwaka 2019 ama ni mimi tu? Kama mpo weka like twende basi

  • @chrissjoel7752
    @chrissjoel7752 4 ปีที่แล้ว +2

    28/06/2020
    Tukijiandaa kumchagua magufuli tena nakuja kujikumbusha ngoma Kali za enzi hizoooooo

  • @lubavaclassic7048
    @lubavaclassic7048 5 ปีที่แล้ว +95

    2020 January like twende sawaaa...!!!

  • @sophiekenmon9975
    @sophiekenmon9975 6 ปีที่แล้ว

    those days ungeandika barua kwa mshikaji pale chini kwa special dedications ukose kuweka maponzi by mr Blu ilikuwa kosa. And then our adolescent days were full of fantansies like meeting mr Blu and being his girlfriend hahahahaha watching from Kenya.

  • @BettKipkemoiDavid
    @BettKipkemoiDavid 6 ปีที่แล้ว +22

    Taking me back to my highschool life. Life without music is unimaginable

  • @athumanihamidu8673
    @athumanihamidu8673 5 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa dah. Anajua sana tena sana. Naelekea kufunga mwaka na ngoma tamu muziki mutamu.

  • @MunyweMunywe
    @MunyweMunywe ปีที่แล้ว +6

    Timeless classic, classic Mr Blue! Ibiza, Tacos etc...great memories linger forever.

    • @piuskamau8305
      @piuskamau8305 ปีที่แล้ว

      Actually this song was played in those two clubs frequently.

  • @alimashaban6318
    @alimashaban6318 4 ปีที่แล้ว +1

    Bado tupo tupo kwa ngoma za Mr blue 2020,Napenda sana hii ngoma Mr blue blue hongera sana kwa kazi nzuri😚😚😚😚

  • @hildakazige1637
    @hildakazige1637 5 ปีที่แล้ว +23

    Mnao malizia mwaka 2019 na Mr blue mapozi, gongeni like hapa tujuane❤❤

  • @njarozadymali5746
    @njarozadymali5746 3 ปีที่แล้ว

    Maboyz wa siku hizi hawawezi rada hizi, hawaelewi penye mziki ilianzia E.A.

  • @mubarakismail5847
    @mubarakismail5847 5 ปีที่แล้ว +38

    My first cd kununua na pesa yangu ilikua ni mr blue mapozi alitamba sana kenya now back again 2019 my first song on TH-cam

  • @zclassicfashionz1573
    @zclassicfashionz1573 ปีที่แล้ว

    Dah! Nakumbuka enzi izo tunaziruka izi ngoma kwenya maharusi... Tunaptiliza mapak saa mbil tunaogopa kurudi masikan kuingia tuakaribishwa na fimbo duu... Uyo mtoto mpaka sasa bado anakinukisha 🙏🙏

  • @adyanshow6440
    @adyanshow6440 2 ปีที่แล้ว +7

    Old is gold
    Greetings from the Somali people 🇸🇴

  • @kayoka31athuman93
    @kayoka31athuman93 5 ปีที่แล้ว

    Msanii asiepotea kwenye muziki wa bongo kweli zaman muziki ulikuwepo yupo ktk 5 bora za artist wa bongo

  • @daisybasuben7116
    @daisybasuben7116 4 ปีที่แล้ว +19

    Hehe.. this song bring memories back, used to love it.

  • @msouthqualitymabati4657
    @msouthqualitymabati4657 11 หลายเดือนก่อน +7

    2024 tuko na classic music live and direct.

  • @Rin_ni_isa
    @Rin_ni_isa 5 ปีที่แล้ว +43

    kama unajua hii song was one of your favourites in your childhood... please you should be married by now😁😁

  • @RajabuTumaini
    @RajabuTumaini 10 หลายเดือนก่อน +1

    kwakweli tanzania sijaona msani mwenye ubunifu kama diamond kani sababishi Leo ku kumbuka wimbo wa Mr Bleu wazamani mapozi

  • @christineawuor3805
    @christineawuor3805 6 ปีที่แล้ว +18

    Deserves a Grammy Award. If it were me I would accept 😘 😍 ♥

  • @JoelHeryman
    @JoelHeryman ปีที่แล้ว +1

    💯 lit Bado tunaikumbuka Hadi sasa

  • @Yesuv_I
    @Yesuv_I 7 ปีที่แล้ว +85

    Still watching in 2020 👑👑
    This will never get old 🌟

  • @mbarukmurad3424
    @mbarukmurad3424 ปีที่แล้ว

    Jamaaa alishika feelinga kwenye hii ngoma

  • @tafari988
    @tafari988 7 ปีที่แล้ว +18

    For some weird reasons young Mr Blue resembles NY rapper Fabulous (this is my party) track back in them days, Blue was a for sure stunner 100% 😊

    • @lexxusify
      @lexxusify 4 ปีที่แล้ว

      Tafari 98 TRUE THEY DO LOOK ALIKE

    • @vivianadhiambo2524
      @vivianadhiambo2524 4 ปีที่แล้ว

      Enyewe

    • @edwinjamin7171
      @edwinjamin7171 3 ปีที่แล้ว

      He rapping style and wear resembled bow wow back in the day

  • @godwinchristian9646
    @godwinchristian9646 4 ปีที่แล้ว

    Nani mwingine 2021 mr Blu kijana wa zamani anaetisha kama covid 19 big up my brother we mkali 254 Kenya

  • @aishamohamed9222
    @aishamohamed9222 7 ปีที่แล้ว +13

    Its 2017 and still in love with this song. bring me back old memories of childhood. Damn Blue you are the best artist forever. am still your fan till today

  • @MeshackDivioshi
    @MeshackDivioshi ปีที่แล้ว

    Wasanii wetu wa kitambo walikua na ubora wa hali ya juu hii haipingwi! This song it was just amazing and gergeous!!!

  • @yusufmohamed4609
    @yusufmohamed4609 7 ปีที่แล้ว +4

    Ahh wacha wewe , nyimbo hii Mombasa in the early 2000s , good times

  • @junemuchiri609
    @junemuchiri609 5 ปีที่แล้ว +1

    Diamond shout respect this dude,talk of swag of2005😂😂😂😂,hapa Kenya we used to go hahahaha coz of mr.blue and his cuteness!!!!!

  • @delicaterheetah8446
    @delicaterheetah8446 7 ปีที่แล้ว +39

    Haha my ka crush of those days😂😂😂😂
    big love 💟💘 from Uganda 🇺🇬

    • @jsclassic5500
      @jsclassic5500 5 ปีที่แล้ว

      Delicate Rheetah karibu kusikiliza nyimbo za zamani

    • @mugerwaabdulrahimahmed1844
      @mugerwaabdulrahimahmed1844 5 ปีที่แล้ว

      Nange all I wanted was to be like him 😂😂😂😂

  • @mauricemusyoka1029
    @mauricemusyoka1029 3 ปีที่แล้ว

    Hapa bado alikuwa shule nikifikiria..Moto sana Blue

  • @marytee3740
    @marytee3740 8 ปีที่แล้ว +25

    Reminds me of Noons goes to the beach- hizo beach party umetoroka home kesho ndio unafikiria utasema nini ukifika.

    • @sitibora4942
      @sitibora4942 8 ปีที่แล้ว +2

      mary tee 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kumbe tuko wengi lol

    • @lazaisblessings2695
      @lazaisblessings2695 7 ปีที่แล้ว +1

      mary tee 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂the best memories ever

    • @نجمهالعلي-د5ض
      @نجمهالعلي-د5ض 7 ปีที่แล้ว +1

      mary tee 😀😀😀😀😀ebwanaweeeh

    • @hail7563
      @hail7563 6 ปีที่แล้ว

      noons sio.. hahaa

    • @kelvinmwasafu2116
      @kelvinmwasafu2116 6 ปีที่แล้ว

      ndani ya nyali beach . nlikuwa secoo lakini nlikuwa ckosi beach party hata kwa dawa

  • @senimashauri4796
    @senimashauri4796 5 ปีที่แล้ว

    Huyu dogo utundu wake ulinfanya nipende nyimbo zake automatically from the bottom of my heart

  • @montonamedia17
    @montonamedia17 5 ปีที่แล้ว +38

    Kama unasiliza ii ngoma 2020 nipe like

  • @amissimbotoni6950
    @amissimbotoni6950 4 ปีที่แล้ว

    Ww ndie uliefanya watoto waimbe mziki big up blue tunaiangalia mpaka sasa 2020

  • @amissahassan3251
    @amissahassan3251 4 ปีที่แล้ว +13

    2020 tujuwane.Jamani msiwe wachiyo wa Like🤔🤔😌😌

  • @happynessnjoka2702
    @happynessnjoka2702 5 ปีที่แล้ว

    Daaaaah..lpo powa bado aisee lli bamba sanaaaaaaaaa..

  • @simonpeterofficial.2332
    @simonpeterofficial.2332 10 หลายเดือนก่อน +7

    Wapi likes baada ya bonga la collabo la Simba la Simba na jay melody

  • @romiopro992
    @romiopro992 5 ปีที่แล้ว +16

    Kama uko hapa September 2019 gonga like tuendelee na joy💯🇧🇮

  • @sesdave7641
    @sesdave7641 3 ปีที่แล้ว +3

    Legendary mapozi himselfu 🚀

  • @ashachecheo9619
    @ashachecheo9619 6 ปีที่แล้ว +1

    My Dem days sa hivi mr blue ako 32mm ndio namfuatilia bado kugonga 30inshaAllah Mola atuweke nifikishe hiyo 30

  • @stefanwairimu9603
    @stefanwairimu9603 5 ปีที่แล้ว +32

    2019 this dude was very handsome 😍😜🇰🇪

  • @geofreyanania1108
    @geofreyanania1108 5 ปีที่แล้ว +1

    Bongo fleva na Hip hop IPI ikojuu. Swali ilo muulizeni Mr blue

  • @joyhildah2727
    @joyhildah2727 7 ปีที่แล้ว +21

    Why do I love this song so much. I always come back here after some time

  • @sharonauma8788
    @sharonauma8788 10 หลายเดือนก่อน +1

    Wueh baba Tee amefanya nkakuja kugotea Mr.blue 😊😊😊

  • @abdillahimahamed1814
    @abdillahimahamed1814 6 ปีที่แล้ว +6

    It just popped up...but this song reminds me of my first crush ..long time in secondary school. ..lol..now married to a beautiful wife and with three boys from USA mzuka long time

  • @Bravo254
    @Bravo254 ปีที่แล้ว +1

    That time when i was mad i love with gal...... Na akaniruka tu..... Hii song was all i could sing...... 2023 still there crazy..... Gonga like.... Kama pia wewe

  • @mudrikabdull
    @mudrikabdull 7 ปีที่แล้ว +4

    Old is gold B! Blue kitambo sana nakukubali chalii yangu

  • @leahsongwa7954
    @leahsongwa7954 6 ปีที่แล้ว +1

    He was the most handsome man in tz those days😂😂😂👌👌🔥🔥🔥kwanza ile ya unikiss kiss..kama kweli baby umenimiss basi songea karibu unipige kiss ili tusiharibu zetu promise👊👊👊👊👊👊😂😂😂😂aaah...Mr blue ilove you.

  • @samueljr9105
    @samueljr9105 6 ปีที่แล้ว +137

    I SEARCH for this song aki just to rem my daiz back sisemi kitu 2018 oyeeee

  • @senimashauri6696
    @senimashauri6696 4 ปีที่แล้ว

    Hii ngoma ilichafua sana mitaani enzi hizo, yan kila kona, this song spreaded everywhere allover the continent, we played in our holly days

  • @roseashleywanja1129
    @roseashleywanja1129 7 ปีที่แล้ว +11

    what a good #tbt song. who else crushed on this guy as I did his voice nd his handsomeness wah.

  • @حمديهالوبير
    @حمديهالوبير 4 ปีที่แล้ว +1

    Heeyee huwimbo wanikumbusha Mbali sana 2004 yaninilikuwa sioni walasikii lamama wAlababa❤❤

  • @sharifunurdini3240
    @sharifunurdini3240 6 ปีที่แล้ว +144

    ckuwahi kuwaza kama ntamiliki cm enzi hzo lakn leo na mi nacoment 23 /6/2018

  • @anithaphilip3526
    @anithaphilip3526 7 หลายเดือนก่อน

    Bongo classic "mapozi", Blue was just 16 here and was already a household name (he's definitely an icon now), one of the few child act that still pretty much exist and continue making great music ❤

  • @lilbbaddiebaddie2690
    @lilbbaddiebaddie2690 6 ปีที่แล้ว +5

    Aki hav been searching for this song I remember enzi hizi nilikua primary no phone 📱 basi nikiiskia kwa radio 📻 😉😉😉 enzi hizo now in Dubai 2018 naisikiza hii ngoma

  • @janethmwema6866
    @janethmwema6866 5 ปีที่แล้ว +1

    We wameishia njiani like ❤️ nyingi kwake big up baisa

  • @hamisiondojr.2636
    @hamisiondojr.2636 7 ปีที่แล้ว +26

    ngoma ya kwanza kuimbia mtoto wa watu hahahaha throwback mamamaeeeeeee

  • @esthersperatus3915
    @esthersperatus3915 5 ปีที่แล้ว

    Kweli ulipotoka ni mbali big up broo

    • @viviannegesh5228
      @viviannegesh5228 5 ปีที่แล้ว

      Aliedanga wapi amayeye pia alingia illuminate

  • @marierose9898
    @marierose9898 10 หลายเดือนก่อน +16

    2024. Still sounds great.

  • @gzoman4547
    @gzoman4547 2 ปีที่แล้ว

    Mziki usie kufa,Mapozi kali vrt 🇧🇮