HOJA YAKO NI IPI KWAMBA MBOWE ASIGOMBEE?KAVUNJA KATIBA AU UNATUMIA MASIKIO KUFIKIRI? NCHI YA UJERUMANI HAINA UKOMO WA KUMCHAGUA KANSELA AMBAYE NDIO KAMA RAIS KWA SISI TANZANIA;NA WATU WAMESHACHAGULIWA HADI MIAKA 20 NA ZAIDI;WEWE UMEJIFUNZA SIASA UZEENI INAONEKANA:
Nondo ni nondo kweli kweli
Safi Sana vijana ACT na CDM mmejitambua kufanya kazi pamoja kuliko hata viongozi wenu wakubwa wa vyama vyenu!
Uko vzr xn tnajua ccm wanaktamani xn hawana vijana wenye maono
Pole sana
Lissuuu
Safi
hii CHADEMA IMEKAAA SAWA NIMEIPENDA SANA ,
Mukiwa vipande kamwe hamtashika dola muungane sema shida mawazo itikadi na uroho mimi kama hamuungani na hakuna katiba mpya siwezi kupiga kura never
Nakubali
Hichi kikao mbona simuoni homeboy nyagali mdude????
Big up kk
Tulitamani kuona Mbowe naye anaaga kupisha Uchaguzi ili naye abaki na heshima yake kuliko kutolewa kwa kashifa wakati amefanya vizuri
HOJA YAKO NI IPI KWAMBA MBOWE ASIGOMBEE?KAVUNJA KATIBA AU UNATUMIA MASIKIO KUFIKIRI? NCHI YA UJERUMANI HAINA UKOMO WA KUMCHAGUA KANSELA AMBAYE NDIO KAMA RAIS KWA SISI TANZANIA;NA WATU WAMESHACHAGULIWA HADI MIAKA 20 NA ZAIDI;WEWE UMEJIFUNZA SIASA UZEENI INAONEKANA:
Mbowe Hana jipya ubongo wake umefika mwisho@@Kiyama-g8f
ilitakiwa wawalike na vijana wa ccm
get this gineus to chadema quickly
Mbona wana ccm hawapo
Mbuzi kapelekwa mahakamani jaji ni fisi unategemea mbuzi atashinda kesi?endeleeni kumaliza mate
chadema mna watu wachache mikutano yenu alikeni wana ccm
Ila wanaakili sanaaa kuliko maelfu ya CCM.
Chadema mmoja ni sawa na CCM buku na zaidi....
Endeleen kupoteza muda ccm namba 1
Choko
Mizoga yote hudhani hivyo lakini hujikuta imeoza na inanuka tu, wewe ni mzoga?
Siku ukipata uelewa hauta nena hayo.
Wew ni choko ku a wew
Ccm ilishakufa imebaki police na jeshi