ALIEMUOSHA ABDALLAH DAUDI "HAKUOSHWA NA SABUNI, ALIJAA NURU, ALITABASAM" - SHARIF SALEH
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
- HAKUOSHWA NA SABUNI, ALIJAA NURU, ALITABASAM - MAITI YA SHEIKH ABDALLAH DAUDI
Follow Us On:
INSTAGRAM: / miladu_tv
FACEBOOK: / babdeo miladu/
TIKTOK: www.tiktok.com...
TH-cam: / @babdeomiladu
Allah ajaalie kaburi lake liwe katika mabustani ya peponi ❤❤❤❤
Amiin ya Rabbi
amin ya rabby
Allah twakuomba umpe kauli thaabiti na umsamehe madhambi yake na umuingize peponi kwa rehma zako
Allah akbar
Kwa uwezo wake ALLAH moja kwa moja Peponi ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Jidanganye
Hakika 🤝🤝🤝👏👏👏
Amiin yarab amiin
Allah Akujalie qauli thabit akujalie janat ferdaus akutilie noor kwenye kaburi lako akuondoshee adhabu za kabri yarab amiin
@@miltonjohn9779 kwani lazima uncomment jmn
Allah amjalie pepo ya daraja la juu
Amiin
Allah atujaalie sisi tue miongoni mwao watuwema❤❤❤❤
❤️❤️❤️ALLAH-HUAKBAR❤️❤️❤️
May Allah grant our brother the highest level of jannah,let him enjoy,, Allah alimridhia that's y alimchukua na umri mdogo,
Allah amjalie pepo y firidausi ikawe makaz yake🤲🤲🤲🕌🕌🕌 nasi allah atujalie mwish mwem inshallah 🤲🤲🤲🤲❤
Inna Lillahi Wainna Illayhi Raajiuun. Allah Amsaameh Na Amrehemu, Nasi Atupe Mwisho Mwema Ya Rabb. Allahumma Amiin
Amiin
Ameen
Amin
Mola atupe subra kwenye huu msiba wa sheikh qari abdallah bin daud
Aamin yaa Rabby.msiba ni mzito.
امين -al Fatiha
Hakika Sheikh Daud alikuwa mtu wa kheir
Hii ni dalili Sheikh Daudi alikuwa ni Walii wa Mungu, ALLAH(SW) amuhofadhi na adhabu za kabri
Allahuma filahu warhamhu waaskinhu fil jannah
Amina Allah amlehemu shekhe ABDULLAH DAUDI
Mashallah 😊
Mola amrehemu amtilie muangaza kaburi lake
INNAH LILAHI WAINAH ILAYH RAJIUUN Allah tujalie tuwe miongoni mwao
Allah atufanyie wepes tupate ikhlasi na mwisho mwema
Amiin
اللهم اغفر له وارحمه واسكنه في الجنة
Aaami
Allah humaamiin
Allah atujalie na ss husni khatima na yeye amizidishie Nuru qabur lake
Aamina Yarabbi Mola atujaalie nasi tuwe miongoni mwao tuipate salama kwa Allah. Allahumma Aamin
Mashallah Allah amraham
mash-ALLAH
Allah ajaalie kaburi lake liwe bustani miongoni mwa bustani za peponi ,nass atujaalie mwisho mwema 🤲
ALLAH atupe mwisho mwema
Amiin! Allah Amrehemu yeye pamoja na wazazi wetu ambao tayar wametangulia mbele ya haki; Amiin!
Subhana Allah. Mola amlaze pema
Allah ampe kauli thabithi awe miongoni mwa Waja wema
Mashallah allah amnusuru na adhabu ya kabri
Inalilahi wainailehi rajuun
Allah Akbar na Sisi Allah atujaalie Mwisho Mwema inshallah🙏🏾🙏🏾
Mashallah lakini mm kwa upeo wangu mdogo natamani mtu upewe sifa zako mzuri kabla hujakufa tusisubiri mpka ufe watu wakusifie
Allah amwakire
Amina
Inshaallah akampe kauli thabit
MashaALLAH
SUBHANNALLAH UKIFA MZURI
Sio wote. Allah umma ghifrillah warahamhu wasaakinhu filjannah.
Allah msamehe mja wko huyu na ss tupe mwisho mema.Aaamin
Ameen
Amiin Inshaallah
Alhamdulillah.
Amiin inshaallah 🙏
Allahu akbaru allah akbaru
Yarrabi tujaalie nasi mwisho wetu uwe mwema
Yaarab mjaaliye pepo ya Firdous pamoja watu wema❤😂❤🎉
Inna Lilah wainna ilaihi raajiun
Allah amjaalie makazi mema mbele yake nyuma yet.
Ukisikiliza haya MANENO ndio utajua umuhimu wa KUWAFATA wema walio tangulia سلف الصالح
Allah amsameh makosa yake
Assalam Alykum Warahmatullah Wabarakatuh Waislam tusome tusiwachie masheikh elimu yetu yaan jinsi anavosifiwa huyo mtu. Masufi wanashida sana jinsi anavisifiwa huyo sheikh basi usije ukaona baadaw wanamuabudu kwasababu masufi kwa kuabudu makaburi kwao ni jambo la kawaida
Umeongea utumbo mwingi San na ujinga mwingi San ambao mwenye akili anaona kinyaa
Mngu amlaze pema penye wema ampe qauli thabit
Tuoshe maiti zetu wenyewe hii hatari .Ikiwa ni kweli unamsengenya,Ikiwa uongo unamzulia.
Waliomuosha pia ni maiti yao na family yake imeridhia vipi wewe wa kando ukasirike...
Ila tunatakiwa tuwaoshe maiti zetu hali ya kuwa tunezifunika.
Ameuona uso wake???
Allah amfurahishe kama alivyomfurahisha.
Ampe kitabu chake kwa mkono wa kulia.
Alijaalie kaburi lake liwe ni raudhwa min riyaadhwil jannah.
Aaamin....
Kusengenya ni kutaja mabaya sio mema pia kutaja mazuri ya maiti sio mbaya mtume anasema tajeni mazuri ya maiti zenu na jizuiyeni na mabaya yao
Kusengenya ni kutaja mabaya sio mema pia kutaja mazuri ya maiti sio mbaya mtume anasema tajeni mazuri ya maiti zenu na jizuiyeni na mabaya yao
😭😭😭
😭😭😭😭
Waja wa pepon.
Washampa pepo zamani 😂😂😂 waislam wa cku hizi bhanaa Tuache kudanganyana bhana 😂😂 hii ishakua hatari. Haya kazikeni qur-an mkale ubwabwa mkapumzike
Yan tunadanganywa balaa
@@allyabdi8804 balaaa kaka yaan wanajisemea tu kwa mihemko yao wenyew
Ujinga mzigo cku zote
Du shekhe umekwenda mbar sana Qur ani tangu lini ikazikwa?
Sawa msom
Ikiwa kwa huyo imezikwa Qur'an vp kwa mtume na maswahaba zake
Someni fani za lugha mtajuwa maana yake
Nahii ndo shida ya mawahabi hamna Elmu za fanni unafikir alikisema imezikwa ukafikiri imezikwa qur an kama qur an
huyu mc ana maudhi sana.anamsimamia mtu na hawezi kuzungumza kwa nafasi
Mute visa vya kweli
Allah akbar