"HERI SASII KAINYIMA SIMBA USHINDI, MECHI ILIMPALIA, ILE NI PENATI, NI KAMA ILE YA MAMELODI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ย. 2024
  • "HERI SASII KAINYIMA SIMBA USHINDI, MECHI ILIMPALIA, ILE NI PENATI, NI KAMA ILE YA MAMELODI"
    #yanga #yangasc #yangatv #yangaleo #yangalive #caf #cafcl #azamfc #jkupdates #simbasc #simba #simbaleo #simbalive #simbaliveleo #simbatanzania #simbatanzania #nguvumoja #daimambelenyumamwiko

ความคิดเห็น • 21

  • @user-ce3tx7mr8v
    @user-ce3tx7mr8v 28 วันที่ผ่านมา

    KWELI kabisa

  • @IddyMaurid-u9n
    @IddyMaurid-u9n หลายเดือนก่อน +2

    Min nimeona penalty ya ki n sahihi contact ilikuwepo nilikuwa Engle ya nyuma ya goal Malone katoka nyuma akakosa mpira na kugonga mguu was aziz

  • @user-wl3sv2xn9e
    @user-wl3sv2xn9e หลายเดือนก่อน +1

    Dabi ya kariakoo inawezwa na waamuzi wa kike,wakiume wanamihemuko ya kishabiki,na pengine ukifkili sana tunaweza sema na tamaa ya fedha,kama hii ukiangalia ni kama refa alkuwa na maelekezo,maana haiwezekani timu furani ipo kwenye movement ya kutengeneza nafasi tena clear kabisa anashka kipyenga,mara wa bendera ananyanyua nyanyua hovyo kabsa,huo mchezo ulitawaliwa na kipyenga nyingi,kuliko mchezo wenyewe

  • @fauzishabani2622
    @fauzishabani2622 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi mshabiki wa Simba . Tulizidiwa tulishindwa kumzuia pacome

  • @RobertHaule-o4b
    @RobertHaule-o4b หลายเดือนก่อน

    Haikuwa penati Mkwala aliwafanya ngazi walinzi wa Yanga kabla mpira kufika kwa Kajili

  • @nabiimgongolwa8728
    @nabiimgongolwa8728 หลายเดือนก่อน +1

    SEMENI YOOOOTE LAKINI SIMBA MTAFUNGWA SANA. UBWELA NI KISWAHILI AU NI MDUDU GANI...MMEJIROGA SIMBA SI TIMU YA MTAA.

  • @AdamSaffi211
    @AdamSaffi211 28 วันที่ผ่านมา

    Huyu refa alichukua mamillioni ya Yanga! Yanga wanatumiwa hela kushinda.

  • @abujumanne7570
    @abujumanne7570 29 วันที่ผ่านมา

    Nyie waandishi yao kwasi kamkanyaga mutale.. hii mlikua vipofu au😂😂

  • @user-ce3tx7mr8v
    @user-ce3tx7mr8v 28 วันที่ผ่านมา

    MAREFA WALIOPANGWA KUIBEBA SIMBA WAMEFUTA MAGOLI 2 YA YANGA,

  • @zuberikupaza1184
    @zuberikupaza1184 หลายเดือนก่อน

    Kiuhalisia Simba kafungwa goli 4 kwa 1

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 29 วันที่ผ่านมา

    Wachambuzi wa michongo..

  • @FaustineTango
    @FaustineTango หลายเดือนก่อน +1

    Abbisay bonge la mchambuzi huyo mwakarobo ni malaya shoga tuu tulikuwa tunamjua toka Moro

  • @kadirichannelonlinetv4258
    @kadirichannelonlinetv4258 หลายเดือนก่อน

    Mbn huo jamaa mwenye amekaa mwanzo hajuw kuchambua faulo ya ki haon hata kwenye malejeo ya pich huon aliguswa mguu

  • @FilbertKalembe-fy4oq
    @FilbertKalembe-fy4oq 28 วันที่ผ่านมา

    Dondodonduruka nyie mtashuhudia mengi

  • @eliashagai7920
    @eliashagai7920 หลายเดือนก่อน

    Kunyanyu daluga juu mbele ya mchezaji ni kosa,ilikuwa penalty sahihi, sema huyu refa kila Mara anaiminyaga simba

    • @user-ho9sx3qq7j
      @user-ho9sx3qq7j 29 วันที่ผ่านมา

      Penati za Aziz Ki na Dube hamziongelei na clear Goal la Aziz Ki na Lile la Pacome mkakazania penati ya Simba.Wabongo BANA km Refa kaharibu kwa Timu zote Why Simba??

  • @user-ce3tx7mr8v
    @user-ce3tx7mr8v 28 วันที่ผ่านมา

    HONGERA CHANNEL YA SIMBA KUMTETEA MWAMUZI WA TIMU YENU

  • @ShafiiHungo
    @ShafiiHungo หลายเดือนก่อน

    Kwaiyo yie munajiweka Zaid kuriko Azam tv washamba tu Makolo

  • @FaustineTango
    @FaustineTango หลายเดือนก่อน +1

    Abisay wew utafika mbali ila hao wengine wote malaya tuu

  • @halimalachpat1927
    @halimalachpat1927 หลายเดือนก่อน

    Mwezi wewe goli 4 wamelala?

  • @user-wl3sv2xn9e
    @user-wl3sv2xn9e หลายเดือนก่อน

    Dabi ya kariakoo inawezwa na waamuzi wa kike,wakiume wanamihemuko ya kishabiki,na pengine ukifkili sana tunaweza sema na tamaa ya fedha,kama hii ukiangalia ni kama refa alkuwa na maelekezo,maana haiwezekani timu furani ipo kwenye movement ya kutengeneza nafasi tena clear kabisa anashka kipyenga,mara wa bendera ananyanyua nyanyua hovyo kabsa,huo mchezo ulitawaliwa na kipyenga nyingi,kuliko mchezo wenyewe