USIKATE TAMAA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ส.ค. 2024
  • Haijalishi unapita kwenye moto mkali kiasi gani, barabara mbovu kiasi gani, maji yenye nguvu kiasi gani, MUNGU anataka uwe na tumaini. Hakuna TUMAINI bila Mungu.
    Mungu lazima awepo kwenye maana nzima ya tumaini.
    Kumbuka ku subscripe kwenye channel hii kupata siri mbalimbali za kukusogeza karibu na Mungu zaidi.#Usikate#Tamaa#AnointedRoom

ความคิดเห็น • 4

  • @jacklinebubelwa5127
    @jacklinebubelwa5127 2 ปีที่แล้ว

    Ameeen Ameeeeeeeeeeeen yupo Mungu anayefanya yasiyowezekana yakawezekana

  • @winnerjudith2007
    @winnerjudith2007 2 ปีที่แล้ว

    Amen, hakika watu wa Mungu kamwe tusikate tamaa tumtegemee na kumtumaini Mungu pekeake

  • @priscansoro8483
    @priscansoro8483 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen