MBOSSO KUHUSU MKATABA WAKE WCB | BIG SUNDAY LIVE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @stevenckanumba7
    @stevenckanumba7 2 ปีที่แล้ว

    Dogo anazinguwa sana ata kwa kiba na Raymond alifanya ivo tena

  • @emmanuelmashauri1430
    @emmanuelmashauri1430 2 ปีที่แล้ว +2

    Yaaan mimi nikuhudumie kila kitu halaf unatak tugawane sawa sio kwel acheni kuongea ongea km walikubalia mwanzo hy mikatab wakae kwa kutulia sio wanaona wakiwa tyr wapo ndn na washapat majina ndo kuanza kusema wananyonywa

  • @hamidfuad963
    @hamidfuad963 2 ปีที่แล้ว

    Mbona lavalava hamjamuita kwenye big Sunday live

  • @maxcharles5436
    @maxcharles5436 2 ปีที่แล้ว

    Wasani walikukuja apo wcb na njaaa

  • @ramso2549
    @ramso2549 2 ปีที่แล้ว

    40% ni kidogo sana

  • @Nikita_8017
    @Nikita_8017 2 ปีที่แล้ว

    Brave man!

  • @evenabwire1860
    @evenabwire1860 2 ปีที่แล้ว

    This one is a sanguine

    • @stuartkudeba
      @stuartkudeba 2 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/Du0Owr8Pebw/w-d-xo.html

  • @elishaelisha6755
    @elishaelisha6755 2 ปีที่แล้ว

    Wcb''

  • @mzalendowaasili1727
    @mzalendowaasili1727 2 ปีที่แล้ว

    Vinanyonywa hivi kusema vinaona aibu eti mikataba 🤭🤭🤭🤭

    • @bama9271
      @bama9271 2 ปีที่แล้ว

      Kweli

  • @mzalendowaasili1727
    @mzalendowaasili1727 2 ปีที่แล้ว

    Si aseme wazi mikataba ipoje ? Hahahahha kweli WCB wanyonyaji

    • @bethaelnsumyirambobpraise7794
      @bethaelnsumyirambobpraise7794 2 ปีที่แล้ว +1

      Kunyonya nikufanyaje,... Naomba nikusaidie ktu ktk mkataba nadhan wengi mnazungumzia kunyonya pasipo kujua, kunyonya kuko hvi kama mkataba uma sain kuchukua asilimia 10 ktk ule mkataba na bos kuchukua asilimia 90 na akakupa hyo 10 yako basi bos yupo sawa ila kama umesain asilimia 10 bos akakupa asilimia 9 basi kakunyonya asilimia 1 ambayo ilikua halali yako so mjifunze juu ya mikataba mjue cyo kushabikia vtu ambavyo hamvijui MTU akilipwa sawa sawa na mkataba wake huyo hajanyonywa hata kama na ndomaana kuna mazungumzo kabla ya mkataba but kama wananyonywa basi inabidi waende kwenye sheria iwasaidie maana kuna sheria pia inayomlinda mwajiliwa na mwajili