Nyimbo nzuri Sana hii jaman natamani watanzania wajekuitazama tumsapot samir uyu Kaka anajua kutunga na hii nyimbo Kama amenigusa sanaaa mwanaume niliempenda duh😭😭😭
Kusikiliza nyimbo za maumivu ya mapenzi ukiwa na maumivu ya mapenzi ni sawa nakumpa mtu mgongo akucharaze bakora kadri unavyosikiliza ndio unavyozidi kuumia na kushindwa kumsahau huyo mtesi wako.
I don’t understand Swahili language but I love this song still listening 2024 😢😅 I’m planning to go to Africa 😊 can anyone give any info about this gentleman, is he alive? If so I would like to meet him. Can anyone tell me which country is he from or where I can find him 🤓
Daaa wefundi brother tatizo nyota ❤❤❤❤❤
Daa acha tu niseme unajua 😚💪
Samir nitachoamini unajua ila umekosa management tu komaa ipo siku utakua jus.
Nyimbo nzuri Sana hii jaman natamani watanzania wajekuitazama tumsapot samir uyu Kaka anajua kutunga na hii nyimbo Kama amenigusa sanaaa mwanaume niliempenda duh😭😭😭
We need another song Samir his voice is very nice
Kusikiliza nyimbo za maumivu ya mapenzi ukiwa na maumivu ya mapenzi ni sawa nakumpa mtu mgongo akucharaze bakora kadri unavyosikiliza ndio unavyozidi kuumia na kushindwa kumsahau huyo mtesi wako.
@@bongorecaps3558 Anajua
Ngoma kali sanaaaa duuu😢😢
Daah kaka bonge la ngoma hili dah 🤔😥😥
Respect I love this song brother 🙌 from Australia 2021
Dah,ngoma inahisia sana hii
Mwamba unajua yani kikubwa bandika bandua uludi mjini
Samiri unajua ila jitaidi korabo nawasanii wezako hii ngoma ungekuwa na marioo bonge ngoma hii
safi kijana
This man deserve respect
I don’t understand Swahili language but I love this song still listening 2024 😢😅 I’m planning to go to Africa 😊 can anyone give any info about this gentleman, is he alive? If so I would like to meet him. Can anyone tell me which country is he from or where I can find him 🤓
Kwel
Naomba samir aachie kazi mpya sasa mda umefika
Yisha mbya
Jamaa umenigusa. San yan nalal na hii nyimb naamka nayo. Naumia san yaan daah respect samir
Nice song
Top
❤
Vzr mno
FIYAAAA🔥🔥🔥🔥🙌🙌
Very good ❤️❤️❤️❤️
Jamani ni nalia tu
Kali
Umetisha Home Boy
🎼🎼🎼
Mwanangu unajua sana
Kipaji bado kipo samir
Good music
👍👍