Yesu Aka Walaniya (Paroles)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
- Lyrics
Couplet 1 :
Yesu aka walaniya watu waliyo, mpinga tanguu awali "aka anzia katika vijiji ambamo alimo fanya Majabu" 2x
Refrain 1:
(Yesu hunenaa) "Eenyi ninyi waatu (enyi wajoli) itakapo kuja siku ya hukumu wengi waatangaaamizwa" x2
Couplet 2 :
Enyi wapingao Mungu wa uzima olé ni kwenu ninyi "Enyi muliyo na njaa na kiu njoni mupokeye roho" x2
Refrain 2 :
(Njoni mutwae) "Njoni njoni njoni (njo mutwae) njoni mutwaeeeh maji ya Uzima mpewe roho mtakatifu" x2
Couplet 3 :
Mimi nina wagizeni maagizo ya Milele ijaapo Siku zile kubwa "mizigo wamaneno munayo yafanya itazidi nguvu sana" x2
Refrain 2 :
(Njoni mutwae) "Njoni njoni njoni (njo mutwae) njoni mutwaeeeh maji ya Uzima mpewe roho mtakatifu" x2
Amina
❤❤❤
Amina