TIMIZA NAZIRI ZAKO KWA MUMBAJI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ม.ค. 2025
- Timiza naziri zako kwa MUMBAJI
Usitazame MAWIMBI
Usitazame UPEPO shambani
Usitazame MAWIMBI
Tupa MBEGO bahari ITATULIA
Ole wangu
Ooole ole wangu
Babangu KANIZAA mutu wa TAABU
Ameniza mutu wa VITA
Ni sicho kopeshua ni me daiwa nilicho chukua ni me nyanganya
njiani shutumu zisizo kuwa na hatia
Oh Jehova
Malaïka wa Bwana
Unitangulie
Malaïka ulie jirika
kwangu
Unitangulie kambini
Timiza naziri zako kwa MUMBAJI
Kwa nini kulia juu ya MWIBA
Neema yako imekutosha Utukufu wako ni ku MWIBA huo
Timiza naziri zako kwa MUMBAJI
Kama nilivyo kuwa na baba zako ndivyo nitakavyo kuwa nawe sita ku pungukiya kamwe