![EUJC (UPPER-MIND)](/img/default-banner.jpg)
- 28
- 52 656
EUJC (UPPER-MIND)
เข้าร่วมเมื่อ 24 ม.ค. 2018
Chaîne partageant les paroles des cantiques de L'ÉGLISE UNIVERSELLE DE JÉSUS-CHRIST
MUFALUME WANGU ZAWABU NI KUBWA
MUFALUME WANGU ZAWABU NI KUBWA
1. Mufalume wangu zawabu ni kubwa , sita weza kuliimiliki (ah ah) neno la haki huku wajali
wenye hekima ukawapa watoto wa changa.
Ref : (Neno lako) neno lako la wokovu mupenzi la dumu ata leo ni mbele yake
hawai yeyote atakae amini ¨ Yupi atakae nena mimi sikulisikia neno , neno hili
neno la wokovu¨2x
2. Zamani za nuhu watu walifanya anasa hawa kumutegemea mungu nayo mvua ikanyesha
watu wakamutafuta bwana na kazalika hakuwasikia.
3. Zamani za lutu watu walifanya ginsi vitendekavio ata leo wanadamu walipinga kusikia
maagizo ya bwana akawateketeza kwa moto.
1. Mufalume wangu zawabu ni kubwa , sita weza kuliimiliki (ah ah) neno la haki huku wajali
wenye hekima ukawapa watoto wa changa.
Ref : (Neno lako) neno lako la wokovu mupenzi la dumu ata leo ni mbele yake
hawai yeyote atakae amini ¨ Yupi atakae nena mimi sikulisikia neno , neno hili
neno la wokovu¨2x
2. Zamani za nuhu watu walifanya anasa hawa kumutegemea mungu nayo mvua ikanyesha
watu wakamutafuta bwana na kazalika hakuwasikia.
3. Zamani za lutu watu walifanya ginsi vitendekavio ata leo wanadamu walipinga kusikia
maagizo ya bwana akawateketeza kwa moto.
มุมมอง: 1 251
วีดีโอ
NOA KAJENGA SAFINA & NOA SAFINANI (LYRICS)
มุมมอง 1.6Kปีที่แล้ว
NOA KAJENGA SAFINA IYO YA MUTI WA GOFERI 1. Noa kajenga safina iyo ya mut iwa goferi kama alivio agizwa na bwana ¨ Utajifania safina na ku ipakaa inje na ndani kwa lami (kwa iyo) ¨2x Ref : ( Enyi wajoli twimbeni) twimbieni bwana (Wajoli wa bwana twimbeni) twimbieni bwana ( mungu mumbaji wetu ) alionesha utukufu wake mbele ya dunia, eh baba na kilicho kuwa ndani ya iyo ni mungu mwenyezi. 2. Nime...
MIMI YOBU (LYRICS)
มุมมอง 2.5Kปีที่แล้ว
MIMI YOBU 1. Mimi yobu ni meteswa mwilini ¨2x ¨Ewe mungu muzima shuka leo unione¨2x Ref : Kweli wa ngombe wa menishutumu mungu wenu yuko wapi . Com : -Marafiki wa baya wamenishutumu mungu wenu yuko wapi -Majirani wa baya ¨ ¨ ¨ ¨ ¨ ¨ ¨ ¨ Ewe mungu muzima shuka leo unione . 2. Mungu muzima mwili umeteswa sana ¨nafsi imesongwa sana mimi ni muombe nani ¨2x ¨Ewe mungu muzima shuka leo unione ¨2x
BWANA MUNGU ALI UMBA MBINGU (Lyrics)
มุมมอง 3Kปีที่แล้ว
BWANA MUNGU ALI UMBA MBINGU 1. Bwana mungu ali umba mbingu na duniani piya aka umba bahari kubwa aka niumba mimi. 2× Réf : Mahali unapo simama apa ni inchi utakatifu. 2× Com : - Mulozi ... ... ... ... ... ... ... ... ... ... - Nduku yangu ... ... ... ... ... ... ... - Musharati ... ... ... ... ... ... ... ... - Muongo ... ... ... ... ... ... ... ... ... 2. Tuondoweni maasi yote tushukuwe musala...
KUVUA MUNTU UMBUKA (LYRICS ET TRADUCTION)
มุมมอง 3.2Kปีที่แล้ว
1. Kuvua muntu umbuka Mu yelushalema Muye mutangila Mu musoko wa yeleko "Wakasambakena Ne banyengi mujilawe Kumututa bikole Kumushiya ne tshioyoyo" 2. Ne muambi wa Nzambi Wakalua wakapita Ne muena lewi Se disua dia Yehowa "Muena samaleya Wakalua wakadila Ku mulabaye manyi Ku mutekaye pa mpunda" 3. Ne yesu wakamba Dituku ne dilue Diatendelelabu Tatu wanyi mu nyuma Ne wewe muanetu Ulamata ku dii ...
MASWALI YOTE
มุมมอง 2.9Kปีที่แล้ว
MASWALI YOTE YA DUNIA HII 1. Maswali yote ya dunia hii ya hukumiwa kwa matendo yao ¨uzuni ni naos ile wala si nywe moyoni mwangu munamo sikitiko¨2x Ref : Yoyoyo mateso , haya mateso moyoni mwangu ¨Ya meniuzunisha ¨2x ninge lifahamu mimi singe lizaliwa ninge lifariki tumboni mwa mamangu ili ni sione mateso ya duniani. 2. Wakati mimi nilipo zaliwa wazazi wangu na watu wengineo ¨ walifurahi na wak...
JEHOVA MUNGU WETU
มุมมอง 1.6Kปีที่แล้ว
JEHOVA MUNGU WETU KAELEZA WANADAMU 1. Jehova mungu wetu kaeleza wanadamu kumbukeni neno hili uliomba kwangu. Ref : Ah ! Eh baba naziri zangu , naziri zangu nitaitimiza mungu wangu unilinde hai. Com : -Nitaombea watu nitaitimiza mungu wangu unilinde hai -Nitafanya faraja ¨ ¨ ¨ ¨ ¨ -Nitafundisha watu ¨ ¨ ¨ ¨ ¨ 2. Hufanyapo agano kumbuka wingi wa siku timiza neno hili uliomba kwangu. 3. Kasirani y...
VITA NYINGI NA NI KALI
มุมมอง 936ปีที่แล้ว
VITA NYINGI NA KALI 1. Vita nyingi na kali zi menijia mimi "Jehova mungu mufalme ujitukuze kwa mambo aya" Ila kwa uweza wako Baba mufalme wangu usinyache Ila kwa nguvu zako Baba mufalme wangu usinyache Wewe kimbiliyo letu Baba mufalme wangu usinyache Wewe ni ngao letu Baba mufalme wangu usinyache 2. Mafalme wa giza wame kusanya Mafalme wa giza wame kusanya Ila kwa uweza wako Baba mufalme wangu ...
KATIKA WINGI
มุมมอง 1.4Kปีที่แล้ว
Katika wingi wa mafunuo Nimepewa mwiba mwilini mwangu Nimesii mungu mara tatu Aniondoshe mwiba Eh Baba Yangu Nimesii mungu mara tatu Aniondoshe mwiba Kutaka ni kwangu Eh Baba Kutenda nililogema siwezi Baba Baba ju ya nini ubaya ndani mwangu Ubaya ni ndani mwangu Baba Baba ju ya nini ubaya ndani mwangu Ulozi ni ndani mwangu Baba Baba ju ya nini ubaya ndani mwangu Kiburi ni ndani mwangu Baba Baba...
TIMIZA NAZIRI ZAKO KWA MUMBAJI
มุมมอง 3.5Kปีที่แล้ว
Timiza naziri zako kwa MUMBAJI Usitazame MAWIMBI Usitazame UPEPO shambani Usitazame MAWIMBI Tupa MBEGO bahari ITATULIA Ole wangu Ooole ole wangu Babangu KANIZAA mutu wa TAABU Ameniza mutu wa VITA Ni sicho kopeshua ni me daiwa nilicho chukua ni me nyanganya njiani shutumu zisizo kuwa na hatia Oh Jehova Malaïka wa Bwana Unitangulie Malaïka ulie jirika kwangu Unitangulie kambini Timiza naziri zako...
EWE MALAIKA WA NURU (Lyrics)
มุมมอง 2Kปีที่แล้ว
Lucifero EWE MALAIKA WA NURU Ewe malaika wa nuru Ewe nyota alfajiri LUCIFERO Ulipendwa sana Kuko Bwana mumba wako Akakuvika mawe ya bei Lulu ya damani kubwa Akakuvika mawe ya bei Lulu ya damani kubwa Ewe malaika wa nuru Ewe nyota alfajiri LUCIFERO Ulipendwa sana Kuko Bwana mumba wako Akakuvika mawe ya bei Lulu ya damani kubwa Akakuvika mawe ya bei Lulu ya damani kubwa Uchuruzi wako Ulikujaza uz...
SAFARI NI MWANGU (Lyrics)
มุมมอง 5Kปีที่แล้ว
SAFARI NI MWANGU Safari ni mwangu Minaomba Mungu Na tuma Mungu mbele Anitangulie Safari ni mwangu Minaomba Mungu Na tuma Mungu mbele Anitangulie Mungu wangu Uniondoshe atari zote Na shida Na shida zote ngumu Apa mimi Ni fikapo Ni tapiga goti Jehova mungu Ni takushukuru Mungu wangu Uniondoshe atari zote Na shida Na shida zote ngumu Apa mimi Ni fikapo Ni tapiga goti Jehova mungu Ni takushukuru Uk...
MAMBO YOTE NILIONAYO
มุมมอง 660ปีที่แล้ว
MAMBO YOTE NILIONAYO Mambo yote nilionayo Apa duniani Hayampendezi Mungu Baba Kwani nilipotea Hayampendezi Mungu Baba Kwani nilipotea Mambo yote nilionayo Apa duniani Hayampendezi Mungu Baba Kwani nilipotea Hayampendezi Mungu Baba Kwani nilipotea Mushauri wangu Yuko wapi Faida ya upotevu Yuko wapi Mwongozi mwema Yuko wapi he Napotea jamani Na ingia Mu mambo ya watu Napotea mu wajoli Na mu watu ...
JEHOVA AKANUNGUNIKA (Lyrics)
มุมมอง 2.5Kปีที่แล้ว
JEHOVA AKANUNGUNIKA Jehova Akanungunika Alipoona Shamba lake Shamba lile Lenye kutoa Matunda yenye Kunyauka Shamba lile Lenye kutoa Matunda yenye Kunyauka Jehova Akanungunika Alipoona Shamba lake Shamba lile Lenye kutoa Matunda yenye Kunyauka Shamba lile Lenye kutoa Matunda yenye Kunyauka Mimi Sijui kazi gani Sikutimiza kwa Shamba langu mimi Mimi Sijui kazi gani Sikutimiza kwa Shamba langu mimi...
TUDUMU DAIMA
มุมมอง 929ปีที่แล้ว
TUDUMU DAIMA Tudumu daima Katika njia ya bwana Tudumu daima Katika uduma uo Tushindane naye Nyama yule Ibilisi Tushindane naye Nyama yule Ibilisi Tudumu daima Katika njia ya bwana Tudumu daima Katika uduma uo Tushindane naye Nyama yule Ibilisi Tushindane naye Nyama yule Ibilisi Ole wako MULOZI Ole wako wewe Usie timiza uduma Ole wako MULOZI Ole wako wewe Usie timiza uduma Heri mutu wa Mungu Her...
Wewe Mwanetu Wanyi mu YESU (Paroles + Explication en swahili)
มุมมอง 3712 ปีที่แล้ว
Wewe Mwanetu Wanyi mu YESU (Paroles Explication en swahili)
[A capella] Wewe Mwanetu Wanyi mu YESU (Paroles)
มุมมอง 3772 ปีที่แล้ว
[A capella] Wewe Mwanetu Wanyi mu YESU (Paroles)
Chanson d'enfance 😢
que des souvenirs ,j'ai tant cherché cette chanson
C'est vraiment original j'aime beaucoup ❤❤🥰
🙏
😇😇🤭🤭
EUJC ❤❤❤❤
❤❤❤❤
Amen amen
Amen
Salut
Merci
ma joie et ma force🙏🙏
Amen
Esprit supérieur
Hole wangu
Esprit supérieur
Cette chance m'enlève la peur devant toutes circonstances
Amen
❤❤❤🥳🥳
❤️❤️❤️🥳🥳🥳🥳🥳
❤❤❤❤🙏🏼🙏🏼
chanson qui me console souvent
Good music, EUJC 🎉
❤❤❤
😘
Que le Saint Esprit me guide en tout et durant toute ma vie 💕
Amen amen
Que le bon Dieu vous bénisse.
J'aime beaucoup cette initiative continue vraiment c'est une bonne chose ✍️✍️✍️👌👌
Mutshima usama nzambi wanyi
🎉🎉
🤲🏾🙏🏾
❤❤❤❤❤Jambo. Wote❤❤❤❤❤❤
Amina
Amina
❤Goooood🏆
Amen amen
❤❤❤
🙏🙏🥳🥳🥳
Si possible la traduction en lingala svp
🙌🙌🙌
may our god bless you
🙏🏾🙏🏾
New sub here fika Kwangu
New sub here fika Kwangu
On doit vous soutenir, vous faites une bonne chose ! Partager dans des groupes WhatsApp de l'église
Très beau chant